Тёмный

ONA MAFUNDISHO YA ZINAA YALIVYO KUMBA KANISA EV PASCHAL CASSIAN 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 146 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

#0766998994 #call0688199370 #

Развлечения

Опубликовано:

 

3 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 22 дня назад
Hallelujah Hallelujah, Ni wakati wa toba na matengenezo ukitubu, na kutengeneza na Bwana. kukaa katika kauli na sheria za Mungu utainuliwa bila kupokezwa baraka za uongo. Wachungaji wa mchongo ambao wameenea kila mahali na kuhubiri kubarikiwa wanawalaani wengi sana utabariki aje mtu aliyeasi na kumwambia pokea mchumba, nyumba, gari haiwezekani kupokea chochote kama wewe mwenyewe dhambi. Ukishatubu na kuomba rehema kwa Bwana omba kama ni mke au ni mume na kwakweli roho wa Bwana atakuelekeza mpaka kwa yule aliye wa kwako. Lakini mahusiano yeyote bila kuwa na msingi kwa Kristo mtasalitiana. Ubarikiwe sana mtumishi kanisa liko topeni watu wamefungwa katika maneno za watu na hawako tena katika NENO la Kristo. Ni wakati wa kurejea kwa Bwana ni sekude chache na Kristo atareje
@upendoshija2235
@upendoshija2235 22 дня назад
MUNGU wa Mbinguni akulinde mtumishi çasian adui asikuguse kwa jina la yesu
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 22 дня назад
Tukirejea katika injili ya TOBA kwa hakika kila mmoja atakuwa salama. Kila mmoja ataenenda kwa hofu ya Mungu na kutunza uaminifu wa Mungu mahali popote. Ubarikiwe sana mtumishi. Asate kwa neno hili nimepiga hatua ingine mbele.🎉
@maxinenaibei
@maxinenaibei 20 дней назад
Listening from Kenya be blessed I always follow your teachings
@joycefaida6548
@joycefaida6548 21 день назад
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu🙏🙏,,,,,nabarikiwa Sanaa na na pia unanifundisha na kunikemea pale nimekosea🙏🙏,,, Mungu akutunze daima🌎
@joycehaule9717
@joycehaule9717 21 день назад
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah umeubiri INJILI YAKWELI
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 22 дня назад
Amena Mungu akubariki sana Ev Paschal Mungu akupe nguvu🎉🎉🎉🎉
@MaryMnjamche
@MaryMnjamche 2 дня назад
Barikiwa mtumishi kazi yako njema
@DanielNasibu
@DanielNasibu 16 дней назад
Ubalikiwe mtumishi wewe ni sauti iliae nyikani mungu aendelee kukupigania ❤❤❤
@bhavinjani4415
@bhavinjani4415 22 дня назад
Amen sana hakika Mungu akubariki
@ImaniKalinga-z8e
@ImaniKalinga-z8e 22 дня назад
Hallelujah!!! Tuwapate wapi wasema kweli kama huyu ndani ya makanisa!!!!!!
@Deborah-dl4ug
@Deborah-dl4ug 18 дней назад
Hii ndio injili tunayoitaka, barikiwa mtumishi wa Mungu Caccian
@JosephTherathini
@JosephTherathini 22 дня назад
Oooh hiii ni injili ya kwel .Mungu akubaliki
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 22 дня назад
Amen ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@user-ep9by3ui1v
@user-ep9by3ui1v 22 дня назад
Ubarikiwe mtumishi wa bwana 🙌
@sianagodson3690
@sianagodson3690 20 дней назад
Ujumbe wenye nguvu, tunakuombea upaze sauti zaidi,kila mwenye mwili asikie neno la Mungu ambalo Roho anakumbusha kanisa.
@JacklineMroso-gy6ej
@JacklineMroso-gy6ej 22 дня назад
Njia pekee ya kumwona Yesu ni kutubu dhambi na kuacha
@ezekielsabiyumva8048
@ezekielsabiyumva8048 18 дней назад
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 22 дня назад
bwana asifiwe sana mtumishi wa Mungu akubariki sana
@RachelKabwe-mw5ne
@RachelKabwe-mw5ne 22 дня назад
Mungu akutunze Mtumishi
@SafiAkinyi8361
@SafiAkinyi8361 21 день назад
bwana ni mume wa mtu ama boss lakini BWANA ni wa juu mbinguni Amen
@PastroryMasanja
@PastroryMasanja 20 дней назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu aliye hai Ubarikiwe sana na Mungu akulinde sana
@GodfreyMakala
@GodfreyMakala 3 дня назад
Mungu akubarik sana kaka
@user-kl6zb6so3i
@user-kl6zb6so3i 22 дня назад
Amen sema tupone Mtumishi wa Mungu.
@user-pp1mp2sr6b
@user-pp1mp2sr6b 21 день назад
Kaka paschal nakuombeya kwa mungu akupe afya njema ili uzidi kutufungu tuokoke
@maxinenaibei
@maxinenaibei 20 дней назад
Hoping by grace of God you'll come Kenya expecially my.elgon
@user-ef7pn5wt7g
@user-ef7pn5wt7g 21 день назад
Hakika Kila mtumishi anashika mahali pake ili ajaze kanisa... pascal Mungu akutunze wewe ni sauti iliyotumwa kuleta matengenezo....Mungu akulinde daima
@erickchaula5084
@erickchaula5084 22 дня назад
Amina mtumishi mungu aendelee kukuinua na kukuweka viwango vya juu ili uendelee kutukumbusha juu ya kumtumikia mungu
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 22 дня назад
Mungu wangu nisaidie kunyenyekea. Miguuni Pako unisamehe maovu yangu.nitubu Toba ya kweli.Aminaaaa.
@kalungirugoye2607
@kalungirugoye2607 22 дня назад
Go go goooooooooo Ev.!
@tausipaschel155
@tausipaschel155 20 дней назад
Amina mtumishi wa Bwana unachokisema ni kweli kabisa
@joycehaule9717
@joycehaule9717 21 день назад
Yan nilikua namuuliza Mungu naifanyaje Huduma yangu zaidi nimepata nyongeza zaidi...yakufanya kazi ya Injili zaidi.....
@neemamsanga253
@neemamsanga253 17 дней назад
Mungu akubaliki sana 🙏
@brianshomi722
@brianshomi722 22 дня назад
Hii nilikuwa naisubilia injili ya namna hii❤
@joycehaule9717
@joycehaule9717 21 день назад
Naumenipa kitu chakuongezea katika huduma yangu barikiwa Sana mtu wa Mungu aliye HAI.....
@ChristinaSanga-pl5jm
@ChristinaSanga-pl5jm 16 дней назад
Piga kelele usiache mtumwa wa Bwana ni kweli injili ya kuacha dhambi haihubiriwi tena Mungu atusaidie turudi kwenye toba
@joycehaule9717
@joycehaule9717 21 день назад
Kutubu dhambi kunakupa mpenyo wa Maisha uwiiiiiiii barikiwa Man of GOD
@laurentbulabo5002
@laurentbulabo5002 19 дней назад
Hakika mtu huyu anafundisha kweli ya Mungu, ni ngumu sana katika kizazi hiki. Kumuelewa
@user-gj2gc4en3t
@user-gj2gc4en3t 22 дня назад
Sema kweli mtu wa mungu tuko pamoja, asante nakutizama kutoka mombasa
@TatuOmar001
@TatuOmar001 22 дня назад
Atammi niko OO1 Abarikiwe sana mtumishi wa mungu 🙏🙏👏👏👏
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 22 дня назад
Twende twende twendeeee Aminaaaaa ✊✊✊🙏🙏
@Zawadijoelmkonda
@Zawadijoelmkonda 22 дня назад
kwajina la yesu mitego na shauri za adui shetani zishindwe Amina mungu akulinde
@SafiAkinyi8361
@SafiAkinyi8361 21 день назад
Yesu ama YESU MUNGU ama MUNGU c mungu tafadhali ama c yesu
@AdamJulius-z5i
@AdamJulius-z5i 22 дня назад
YESU tusaidie tuvuke salama, maana injili imevamiwa.
@godfrelykitundu3323
@godfrelykitundu3323 21 день назад
Napenda injili ya namna hii
@Pendopasilika
@Pendopasilika 22 дня назад
Mm hakuna mafundisho ya kweli zaidi ya mafanikio eee BWANA sababisha moyo wangu kuwa na Toba ya kweli kweli kabisa kusema kweli umeitwa na BWANA MUNGU atusaidie kuyashika mafundisho ya kweli ya MUNGU
@GodloveMwaijande
@GodloveMwaijande 22 дня назад
Niukwel mtupu
@LovenessAugustino-he7xh
@LovenessAugustino-he7xh 22 дня назад
Amen sana🙏.. Mtumishi wa Mungu
@joycehaule9717
@joycehaule9717 21 день назад
Leo nimekuelewa sanaaaaaaaaaaaa huko kwingine sikuelewagi
@user-yb2uh9vc9w
@user-yb2uh9vc9w 20 дней назад
Amen mtumish wa Mola
@user-pq1hy4gh4n
@user-pq1hy4gh4n 19 дней назад
Amen I wish all the best,my god bless you
@user-wz6zb7wh1n
@user-wz6zb7wh1n 22 дня назад
Amen 🙏🙏🙏🙏 iende mbele injili ya toba
@EzekiaMwaiga
@EzekiaMwaiga 18 дней назад
Amena balikiwa pia
@user-cr6fc7nt8k
@user-cr6fc7nt8k 22 дня назад
Amen amen
@MichaelWallace-sz7mu
@MichaelWallace-sz7mu 19 дней назад
Wapatikane wapi watumishi Kama huyu,Hali imekua mbaya ndani ya Kanisa duniani.
@nyangiboke
@nyangiboke 21 день назад
Msema kweli anachukiwa ninachojua wewe si waulimwengu huu kaza mwendo baba
@rosemassawe4187
@rosemassawe4187 22 дня назад
Barikiwa tuambie tupone
@MargrethMloka
@MargrethMloka 19 дней назад
Amina❤❤🎉🎉
@selegioelias9076
@selegioelias9076 22 дня назад
Yes ssss
@thembarikiwa
@thembarikiwa 22 дня назад
Great is HIS NAME JESUS
@angelamos2261
@angelamos2261 22 дня назад
Mtumishi hio Shirt inakubana mwili
@user-fh7gu7eb2d
@user-fh7gu7eb2d 21 день назад
habari ya mahusiano ipo ndani ya biblia,kwa hiyo sio dhambi kufundisha,toba,mafanikio,mahusiano,utumishi nk,lakini msingi ni kristo mafanikio ndani ya yesu sio dhambi,kanisa linatakiwa kufundishwa,watu wapate maarifa,kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi,watu wakishaokoka wanafundishwa mafundisho kuyashika yote alitufundisha ila ukihubiri toba ndiyo msingi maana ni kristo,mafundisho ya ndoa ,utumishi,kuwaleta watu kwa yesu nk ,paulo na petro wamefundisha sana mahusianona kufanya kazi
@geitandelwa299
@geitandelwa299 21 день назад
Kweli tumebaki na pesa na bikini aaaa shetani hana adabu tz ole wetu MUNGU MIKANISA YA AJABU IMEJAA NA KUJICHUBUA NA MIKOPE NA MASENGENYO KIBAO
@RamondLema-po6py
@RamondLema-po6py 22 дня назад
HUU NDIO MUDA TUNAHITAJI KWELI WALA SII FARAJA
@imanimwanjoka2671
@imanimwanjoka2671 22 дня назад
Ivi huumii sauti
@user-ol4my2mx1u
@user-ol4my2mx1u 22 дня назад
Alie ndani ya yesu akuna kitakacho muumiza
@joycehaule9717
@joycehaule9717 21 день назад
Ukinikuta nahubiri stand au wapi Injili yangu ni Toba tu.....wananichekaga wanaona sina content Ila sibadilishi nahubiri TOBA TU
@CarolineNafula-rx8bs
@CarolineNafula-rx8bs 22 дня назад
Amen
@JeniNachega
@JeniNachega 22 дня назад
Mbinguni ni kwa watu wario tubu dhambi nakuziacha usipo tubu wewe ni wamotoni
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 22 дня назад
Wewe mnona ulimuacha.mke wako. Kakuuguza wee alafu umemuacha
@joycehaule9717
@joycehaule9717 21 день назад
Mbona alieleza hafanyi kazi maana alipata shida kwenye uume wake alipopata ajali , mke wake kaona aondoke
@joycehaule9717
@joycehaule9717 21 день назад
Barikiwa saana KWA KAZI YA MUNGU ALIYE HAI
@dicksonmangah1648
@dicksonmangah1648 22 дня назад
Amen mtumishi,thambi haikemewi siku hizi makanisani .
@neemamsanga253
@neemamsanga253 17 дней назад
🤝🙇😭😭😭 tunapotezwa jmn huku kwenye makanisa yetu,,,😭😭😭 MUNGU tusaidie Dunia inawayawaya 😭😭😭 natamani nisimame nihubiri neno la Mungu kanisani kwangu MUNGU niinue😭😭😭🙏 YESU kristo nitie nguvu 😭😭😭😔😔😔
@rosewacharo3336
@rosewacharo3336 9 дней назад
Amen... barikiwa
Далее
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
27:08
Вот почему 😐
0:59
Просмотров 2,4 млн
Утонуть НЕВОЗМОЖНО 😱 #Shorts
0:19
Да блин 😀
0:19
Просмотров 4,2 млн