Тёмный

ORODHA YA MANABII WAKUZIM HII HAPA EV PASCHAL CASSIAN 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 150 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

#0766998994 #call0688199370 #0788871769 $

Развлечения

Опубликовано:

 

26 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 124   
@daimamhingq6885
@daimamhingq6885 14 дней назад
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu kwa huduma nzuri na kuufunua ukweli
@HelakridiWella
@HelakridiWella 8 дней назад
Waumini wa hayo makanisa huwaambiii kituuu😂😂😂😂 Wamerogwaa yan🙌🙌🙌🙌🙌
@msambwajoseph
@msambwajoseph 3 месяца назад
Pole ongeza Imani Wenda huamini kama mungu anaumwa❤ jifunze kwanza Vita so yao ni ya bwana usishindane na mwenye kibali ashapewa jifunze katokea wapi unahukumu tuuu agano la mungu ni la mungu tuui kama kila kitu kizuri ni kuzimu back hatuna mungu acha mungu ainuliwe maaana wakwako hatujamwona naishala hizi zitaaambatana na wamwaminio tunakpenda Ila Vita ni ya bwana labda upambane na mungu😢😢😢
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 3 месяца назад
Exactly
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
😂 kwakweli wa kwake hatujamuona
@yusterlucass
@yusterlucass 3 месяца назад
Mungu gani wa chini au maana Munguwet aliy juu Mbingni tunatumia herufi kubwa huyo hatumjui
@EnaraMfwango
@EnaraMfwango 3 месяца назад
Mm unajua xiwaelew mtumish wa mung akimtumia nabii wa uong ken mnamchukuliaj mung yy mnazn anafany mamb madog madog ndy mxem mtumixh wa mung mung nimkuu jaman naawz xhul mwenyew atuxaidie xhid zet anatumia watumixh wak kututatulia xhid zet na mwampox mung akimtumia Kam alivy kuw akiwatumia wakinaelia,elixh,samweli na mtum yohn na Petro ximtaxem ni maxhetan juen kuxom bible achn kujadil kit uxich kijua alf nilaan kuwaxem watumixh wamug mung ndy atawahukum anajua wap walio wak ww mtu Kam mm kaa kimya xaw
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 11 дней назад
asante mtumishi hao nimbwamwitu hao
@razimatushinde
@razimatushinde 19 дней назад
Poleeeeeee goropha yako imebunguliwa.nawe ni miongoni mwa wandawazimu umebakiza kitu kimoja tuu kuvua nguo.
@theresiamateru6426
@theresiamateru6426 2 месяца назад
Kweli ni matapeli Mungu awalaani hasa mwamposa
@johnmsaki7920
@johnmsaki7920 4 месяца назад
USISEME WATUMISHI WA MUNGU VIBAYA MUNGU ALIEWAPA KAMA MWAMPOSA MUNGU AMEMPA KIBALI NA KARAMA WATU WANAPONA KWA JINA LA YESU
@user-oj9ky8tj9g
@user-oj9ky8tj9g 3 месяца назад
😂😂😂😂
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 3 месяца назад
😂😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Katembo_Official
@Katembo_Official 3 месяца назад
Pole sana
@amosnnko7792
@amosnnko7792 3 месяца назад
Mwambie aelewe ebu
@user-lx8nl8hh3f
@user-lx8nl8hh3f 3 месяца назад
Mm nakubali matapel ila kutosoma kwetu biblia kuna tuponza
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 3 месяца назад
NJAAA ,BANGI,UMASKINI NDIO TABIA ZA KUONGELEA WATUMISHI MBEAA MKU WA WEW
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 3 месяца назад
😂😂😂😂😅nimecheka Kwa nguvu mungu anisamehe
@kentkizzy
@kentkizzy 3 месяца назад
wewe kaka umekosa kazi yakufanya nibola ilobando lako ukalitumia kutafuta kazi pole sana
@meryevance6744
@meryevance6744 3 месяца назад
Ww mwenyewe unahata ofu ya Mungu usoni kwako
@user-do5by8jl6g
@user-do5by8jl6g 3 месяца назад
Baba omba kibari acha kuchafua watu mwamposa vs apostor aviti ndo habari ya mjini sema usemavyo hatuhami pambana na halo yako
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 3 месяца назад
Kwanza ktk hiyo orodha ebu atutolee mwamposa hapo na sijui kwanini watu wengine wanaacha kuhubiri neno la mungu kazi kuwahukumu watumishi wa mungu wanaingilia kazi ya mungu tu💔🤔
@geekilimba8362
@geekilimba8362 3 месяца назад
Watu wanapenda miujiza jamani
@stellakazungu-gn7nk
@stellakazungu-gn7nk 3 месяца назад
Kuhani Musa ndo habari ya mjini
@AnitaErenest
@AnitaErenest 3 месяца назад
Wew mkaka uta laaniwa acha kusema watumishi wa mungu
@kassimualli1755
@kassimualli1755 3 месяца назад
Hawezi kulaaniwa,mmezoea kutapeliwa
@meryevance6744
@meryevance6744 3 месяца назад
Ww unaakiri kwsbb imeandikwa hv watu wangu wanaagamia kwa kokosa maahalifa km inalipa fanya hata ww mwenyewe unatafuta pesa kupitia kuwasema watumishi wa Mungu ww nimpuuzi
@masumbkomndeme3321
@masumbkomndeme3321 3 месяца назад
Q​@WAZUSHIMEDIA47
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 3 месяца назад
Mmmmmmmm aaaaaaasss😂😂😂😂😂 😂
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 3 месяца назад
Ni LAANA kuwasema vibaya Watumishi wa Mungu,please hao wote MN hapo juu ni True genuine and great servants of the most high God of Heaven
@user-dm6xi9xo5o
@user-dm6xi9xo5o 3 месяца назад
Nenda na wewe uko kuzimu ili upate nguvu tena kona mkutukana kuhani musa huyu ni jitu la mbinguni utakufaa ohio we endelea kuish na mapokeo tena usimfananishe kuhani musa panyawwww
@BernadethaRobert
@BernadethaRobert 3 месяца назад
Huenda unachokisema kinamashiko lakini ulikofikia ni mbali Kaka hayo mamlaka ya kuhukumu watu hao umeyatoa wapi? Iyo KAZI mwachie mwenyezi mungu mwenyewe😮😮😮😮😮😮
@user-ms4dq9pv3e
@user-ms4dq9pv3e 3 месяца назад
Kama unahisi huduma za watu wa Mungu zinakukera kaa kimya usiseme watumishi wa Mungu mwamposa hakuua watu jua chanzo ys kitu kabla ya kusema na ukiendelea kusema watumishi wa Mungu Mungu afunge hicho kinywa chako milele kwa Jins la Yesu
@EvelinQueen
@EvelinQueen 3 месяца назад
Tumtete Yesu kristo tusiwatetee manabii hawa maana hata hyo unaemwamini huwez jua maana kilichonyuma yake ebu watu wa kizazi hiki tufunguke macho tuone tulikofikia na utakapojua ulikofika utajua anaekuongoza ninani bila kujua majira hatutajua nabii tunaemfata ni wa namna gani
@IsaacNdeda
@IsaacNdeda 2 дня назад
Pole sana kwa kweli ufahamu wako ni mdogo sana for example have done thorough research on the prophet Owuor...have you visited the many people healed in his meetings...are you aware that even the international tv BBC did a through research and made a follow-up on the many healed in the meetings HIV,cripples,blind,deaf...healed without giving a penny...what about the powerful message of rapture of the church,resurrection and eternal judgment...I mean are you sobber enough...why dare to mock the mouth piece of God... even with the help of the internet, you can easily do a follow-up...please be careful,and born again properly for the Messiah is coming...
@ClementMaico-vq6fs
@ClementMaico-vq6fs 3 месяца назад
Videos
@FlorenceKhaoma
@FlorenceKhaoma 3 месяца назад
Kweli yesu hakuja kuangamiza alikuja kuokoa mbona awor😢 yuasema yeye alileta corona
@LatifaMtika
@LatifaMtika 3 месяца назад
Me nishuhuda wa kanisa la kimara temboni nimetendewa tena sijapangwa na ukiambiwa chawa wa kuhuni mussa richad mwacha nimimi apa
@AlnordGozonga-gw2sb
@AlnordGozonga-gw2sb 3 месяца назад
Huyu mwandishi mjinga sana kwakweli unachafua amani na imani ya mtu
@mrfantastic8364
@mrfantastic8364 4 месяца назад
Kama una karama nenda kamtumikie Mungu uponye watu kwa jina la Yesu. Kukosoa kosoa tu haijengi, wengine unawakosoa ni watumishi wa Mungu halisi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
SI ndo hapo Kazi kupoteza Muda hapa Mungu mwenyewe ndo atahukumu Ndo mama Yesu alisema acha magugu na ngano vikue pamoja Bwana wa mavuno akija itafahamika tu
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 3 месяца назад
Sipendi majitu yanayoongelea watumishi wa mungu
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 месяца назад
Siyo hupendi ww ni miongoni mwa wajinga wengi ambao maarifa kwenu ni tatizo mtu anakuambia yeye aliongea na Mungu uso kwa uso na wew unasadiki tukuiteje kama siyo punguani ni nan ww
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 3 месяца назад
@@ShinjeMackenzie mbumbu wankuzimu uliyelaaniwa,ogopa sana mtu haangalii story yote anakata kata,ili kuharibia sifa wenzake,
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 3 месяца назад
@@ShinjeMackenzie mapumbavu ya Dunia yaliyolaaaniwa ndio husema mambo ya watu ,wenye hakili na hekima ukaa kimya na kufanya mambo yao
@davidjoshua129
@davidjoshua129 8 дней назад
Hao manabii huko dunia nyingine hawapo ni huku Tu Africa?
@EvelinQueen
@EvelinQueen 3 месяца назад
Lkn pamoja na kumponza huyu aliesema haya hata Yesu alisema watakuja manabii wa uongo kwa jina langu na watapoteza wengi na hata wateule ko wakati wakuchangamka ww uliemjua huyu Yesu wa kweli ili usije kupotea kwa ajili ya hawo watu waliotabiliwa na tayari tuanona wameshatokea asomaye na afahamu
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 месяца назад
Yaani kibwetele hakufanya kosa kuwachoma moto wakristo wapumbavu kule Uganda hata hapa kwetu tz ipo siku atatokea kibwetele ayachome moto makristo majinga majinga yanayouzalilisha ukristo maana yanaambiwa lakini hayasikii
@marthariri8723
@marthariri8723 3 месяца назад
Huyo anazema ukweli kabisa ni wanabii wauongo ,ukweli una set watu free!!!!
@MohamedKhalidiMfina-mt1qc
@MohamedKhalidiMfina-mt1qc 3 месяца назад
Wakrito mnanini lakini mbona hamshituki mnaambiwa ukweli lakini bado hawa ni manabii wauongo mlitaka hao manabii wa uongo waje kwa sura ipi ndio muelewe
@BoazDillu
@BoazDillu 14 дней назад
😂😂 Yesu atarudi wapi sasa? Maana kila mtu anajiona yuko sawa kivyake,kila mtu anajifanya najua kilakitu hv mbingu ziko ngapi mmh kazi ipo.
@MagrethStanley
@MagrethStanley 3 месяца назад
achana na kuhani musa kama unajipenda wewe kaka 0:39
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 4 месяца назад
Jana nimeona eti kina supu ya upako kwa suguye Ha haha ukute siyo supu ni damu za watu ,watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
@aminajuma1156
@aminajuma1156 4 месяца назад
Aiseeh kweli kabisa yaani kila kukicha wanadanganya Kwa staili tofauti tofauti Mungu turehemu 😢😢watu wanaangamia Kwa kukosa maarifa
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v 4 месяца назад
N​@@aminajuma1156pia Kwa kiboko ya wachawi Kuna fagio la upako na ungo wa upako kama sijasahau
@abelmbata37
@abelmbata37 4 месяца назад
Hivi neno upako linawachanganya sana ee. Hivi kwani we huombei chakula na kama unaombea ukisema chakula ulichoombea kina upako kuna tatizo?
@aminajuma1156
@aminajuma1156 4 месяца назад
@@abelmbata37 wewe nawe ndio kishwani hamna kitu ndio yote mnaibiwa bule Baki kanisani kwako soma neno acha kufata upepo amka uliko lala
@abelmbata37
@abelmbata37 4 месяца назад
@@aminajuma1156 jifunze kumtafuta Mungu. Ukitaks kumjua Mungu ruhusu moyo wako acha kuwa na mambo hasi. Unaweza ukafikir unajua kumbe unaowaona ndo wanajua kukiliko. Shida ya watu tunamwabudu Mungi kwa akili zetu badala ya Moyo. Mtafute Yesu naye awe ndani yako ukifika hapo kila kitu kinacho kuzunguka kinakuwa na nguvu ya Mungu yaani upako.
@emmyphilibert1906
@emmyphilibert1906 3 месяца назад
Najizuiamno nisihukumu 😭😭😭😭😭
@musaliaeugene7975
@musaliaeugene7975 3 месяца назад
Mbona kuwasema wengine hata kama ni waongo hukumu ni ya mungu Acheni hizo mungu ndiye muhukumu😏😏
@LilianArani
@LilianArani 3 месяца назад
Weeeeeeeee! Kuna pande hutakanyaga ndugu yangu chunga!!!
@pjmaarifa3528
@pjmaarifa3528 4 месяца назад
Wewe sema yko
@robertchazya2351
@robertchazya2351 3 месяца назад
Mpumbav na wew pia
@user-do5by8jl6g
@user-do5by8jl6g 3 месяца назад
Hatukutataki
@Blessed-cd9lg
@Blessed-cd9lg 3 месяца назад
VIPI KAMA KATIKA WATUMISHI ULIOWAWEKA PICHANI KUNA AMBAO WANAMTUMIKIA MUNGU KTK KWELI MA WANAVUNA NAFSI NYINGI KWA KRISTO!! UNAFIKIRI HUKUMU YA MUNGU ITAKUACHA???????
@colletamutheu7887
@colletamutheu7887 3 месяца назад
Religious extremism is s real rsp in Africa
@pjmaarifa3528
@pjmaarifa3528 4 месяца назад
Hubiri yako
@user-ul1jt5py9q
@user-ul1jt5py9q 3 месяца назад
Soma matayo 24:1_10
@DeusRamadhan
@DeusRamadhan 13 дней назад
Huo ni ukweli wamejivika ngozi ya kondoo wakati ni mbwa mwitu watu wasome biblia ndipo watangundua hao matapeli
@ChristinaSebastian-nh2kp
@ChristinaSebastian-nh2kp 2 месяца назад
Nawewe si ufanye ys jwsko
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 4 месяца назад
Eeeh Mungu turehemu
@elizabethmushi7424
@elizabethmushi7424 3 месяца назад
Mbona kila siku unawahubiri .watu badala ya kumuhubiri Kristi watu wamufuate??
@JOELMWANGI-dm7rl
@JOELMWANGI-dm7rl 4 месяца назад
Kisa usichokijua ni kama usiku wa kiza. Na ukiona zinduna na ambari ipapo.kunao utofauti mkubwa sana baina ya manabii wa kuzimuni Kama ulivyo utangulizi wako na nabii wa ukweli.Utawajua kwa matendo yao. Soma kumbukumbu ya torati 18:18 na kuendelea.
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 месяца назад
Kwa kweli wachungaji wengi ni wachawi anapiga mateke kama brusilii
@Christian_based
@Christian_based 3 месяца назад
😂😂😂
@user-lt8id9lv4x
@user-lt8id9lv4x 3 месяца назад
Yuko sahihi
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 месяца назад
Wanaotoa povu limewapata.😂😂😂😂😂😂
@Blessedone349
@Blessedone349 3 месяца назад
Repent and prepare the way for the coming of the Messiah. Are you aware that everyday you are moving closer to your grav? How will you appear before God. Repent of homosexuality, nudity, witchcraft, lust, corruption, devil-worshipping, hatred, etc. GOD is not a joke. The prayers on your burial day won't save your soul.
@mahijamikael3652
@mahijamikael3652 3 месяца назад
Umefika kuzimu??
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 4 месяца назад
Hizi ni nyakati za mwisho, yote yaliyofichika yatafichuliwa. Mungu achezewi watapatakichapo hawataamini.
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 4 месяца назад
Usisapoti ujinga wa kuwasema vibaya Watumishi wa Mungu,ni laana hiyo ndugu be careful
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 4 месяца назад
@@patsonkyando1732 unafikiri ni kila mmoja anayejiita Mtumishi ni wa Bwana Yesu. Tunawajua kwa Roho sio kwa macho ya nyama tu! Ni mbwa mwitu ni vile wamevaa ngozi ya kondoo.
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 4 месяца назад
@patsonkyando1732 walizi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni MBWA walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto, hulala hupenda usigizi. Isaiah 56:10. Bibilia inasema ni Mbwa sababu kazi yao ni kufaidi vitumbo tu! Kazi ni kuhubiri baraka, na mafuta na vitambaa na mahitaji; Kama Yesu alisulubishwa kwa ajili ya ujinga huo pekee wa mahitaji basi inamaana kazi ya msalaba haina maana na wokovu ni bure. Wamepotea njia walafi hawa, hawashibi kamwe, wamefunga nafsi za wana wa Mungu kazi yao ni kuwatolea matoleo na hawashibi, wasio fahamu neno. Funguka macho ni nyakati za Mwisho
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 3 месяца назад
IPO siku tu devil worshipers
@upendocalistus3184
@upendocalistus3184 3 месяца назад
Usihukumu usije ukahukumiwa, we ni nani usiyeondoa boriti kwenye jicho lako mwenyewe unaangalia kibanzi kwenye jicho la wengine, mnagiki wewe
@oliviernsengiyumva7076
@oliviernsengiyumva7076 3 месяца назад
Tumuajiye mngu2
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 4 месяца назад
Hell is waiting for them. Wataenda kwa miguu na watafika wamechoka. Not that am perfect, but waache kulaghai watu.
@AlnordGozonga-gw2sb
@AlnordGozonga-gw2sb 3 месяца назад
Acheni kuandika upumbavu wenu,mpumbafu waache watu wamungu waendelee kuweka amani duniani,fanya wewe basi usimuchambue m2 usiyemjua acheni ufara
@omwekesiaofficial
@omwekesiaofficial 3 месяца назад
Umeubiwa nini na hao?,umesahau uhusiano wako na shietani tutakuanika hivi karibu juu Siri zako najua
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 3 месяца назад
Wewe mtu muongo😢😢😢😢
@user-sz6qc5fh3q
@user-sz6qc5fh3q 4 месяца назад
Usiogope kaka endelea kusema kweli
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 3 месяца назад
Kabisa
@Malemajrtv
@Malemajrtv 3 месяца назад
Akili huna
@maswamills3161
@maswamills3161 3 месяца назад
Hafai kuishi huyu
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 3 месяца назад
na watu wanapiga makofi vipofu na wafu hai
@danielkamau2554
@danielkamau2554 3 месяца назад
Let God judge but not you , how sure a you they are free k heel ,
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 3 месяца назад
Unakenua kenua TU kwenye RU-vid
@stephenokingo3716
@stephenokingo3716 3 месяца назад
You will account for what you are saying
@user-wl3cj1dz8o
@user-wl3cj1dz8o 3 месяца назад
❤❤❤❤
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
Hahaha Kwamba we neir wa kweli wengine wa uongo? Tukuamini kwa sbb gani? As for me, namuamini Mungu tu aliyejifunua kupitia YESU kristo Sbb hata watumishi wote watajibu kutokana na assignment zao ,so kupoteza kuda kusema yule wa uongo yuoe wa kweli ni kupoteza muda ti Mtafute Mumgu wewe binafsi
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 4 месяца назад
Tuweni makini.
@PapaSabiti
@PapaSabiti 3 месяца назад
Uko mwizi wewe achana na mwamposa ww
@noorlenetv
@noorlenetv 3 месяца назад
We unatafuta laana tu, kwanini umewaweka watumishi wa MUNGU na hujawaelezea tuhuma zao? Kutaka hela za youtube kusikuingize kwenye laana wewe na kizazi chako, huwezi kumuongelea vibaya Mtumishi wa Mungu halafu ukabaki Salama, maana utakiwa pia imemudhihaki Mungu mwenyewe aliyemtuma
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 месяца назад
Watumishi wa shetani wala si Mungu wa kweli kuuza mafuta na maji uwe mtumishi wa Mungu jidanganye
@cethycherono7856
@cethycherono7856 3 месяца назад
Who are you to judge are you the one who called them
@bensonsemo9258
@bensonsemo9258 3 месяца назад
Do you know prophet owour is promised Elijah. Be careful with him because all HIS teaching are plainly clear that is God sent.
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 месяца назад
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa .kweli kabisa nyie mnaompinga paschal mbona mmepungukiwa na maarifa kiasi hiki hao kwenu ni watumishi wa Mungu kweli nimeamini wajinga ndio waliwao paschal waanike wasenge hao
@josephogada8530
@josephogada8530 2 месяца назад
Pumbav zenu wote ,mkasome biblia vzr hasa Matayo 24 ,Mungu awaponye ,kaka em waambie hao wajinga wanyamaze kmy mkasome Matayo 24!!!
@coolruler6820
@coolruler6820 3 месяца назад
Wajinga hawaishagi, hata ukianza kuwauwa, utashangaa utapofika mwisho, utakaporudi mwanzo utawakuta waliopo ni wengi kuliko uliowauwa
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 3 месяца назад
Ukalime bro mashamba kibao
@ClementMaico-vq6fs
@ClementMaico-vq6fs 3 месяца назад
Ngono
@user-qe7or5jc1u
@user-qe7or5jc1u 4 месяца назад
Achana na watumishi wa mumgu
@anthonyyalanda11
@anthonyyalanda11 3 месяца назад
Unaye mbishia huyu jamaa,wewe ndiye mjinga,siyo ukubari kila ujinga,wajinga hamsomi biblia,hawa manabii lazimwa wakemewe wanawadanya nyie mnaoabudu manabii badala ya kumwabudu Mungu
@GRACE-ru2nn
@GRACE-ru2nn 3 месяца назад
Mjinga tuu wewe
@SalomeNasiuma-em6wr
@SalomeNasiuma-em6wr 3 месяца назад
Wewe bwana uko mjinga acha upumbavu kama huna kazi nenda ukalime kwenu
Далее
🛑 до конца!
00:12
Просмотров 35 тыс.
MKE WANGU ALINI KIMBIA EV PASCHAL CASSIAN
31:44
Просмотров 37 тыс.
It worked for me)
0:19
Просмотров 21 млн
🗿КОРОЛЬ МЬЮИНГА ИЗ ТТ
0:17
Просмотров 3,5 млн