This guy is very wise and smart. I love how he respects women and how he still respects Vanessa. No bad feelings to his new gf but i wish they got back together with V but like he said, God plans better than we do.
Mmmh Huyu na Vanessa wanarudiana soon.Yaani 80% ya interview just shows how much he still loves her Napenda Jux always anaongelea positive kwa wanawake wa maisha yake.Mama raise her well
Kakuzwa na maadili mema na diamond kajikuza mwenyewe so lazima wawe tofauti Yeye hajui nini mana ya maisha na maadili kwa shida anavuruga . Kusema watu vibaya ndio sifa kwao.
Rekebisha hapo sio mens ni men Umoja ni man na uwingi ni men Kwenye uwingi ni men hakuna kuongeza s Kinachobadilisha pale ni 'a' inatoka unaweka 'e' inatosha
Always real,,, Jux I wish all men could be like you,, I wish they learn from your experience and all relationships would be perfect 👌,, I wish you all the best in your life 😚😚
Jux nilichukia ulipomuacha Vanessa na kumleta mchina wako ila kwa hii interview nimekupenda sana sana umemuongelea vzr hata x wako wengine wote umewaongelea vzr
Nimependa sana ulivyojieleza ki ukweli napenda v lakini kwa hivyo ulivyomwongelea hujamchafua ujaonyesha Zarau tunawaombea muwe na amani monotonic mwenu maisha mengine yaendelee
Nmekupenda jux uko vzr n wanaume wachache wenye kuongelea x wake vzr...c kwamba x wk hajawai kukukwaza kiasi kwamba ukashindwa kusemea mbovu ila ww hujataka hilo big up bro.....angekuwa mwngn apo duh....angelopoka ht ambavyo havistahiri mamakee....hta mm pia nmejfunza
Jux umenifurahisha sana, ni wanaume wachache ni wawazi kama wewe na umenifurahisha sana ulivyotumia nafasi yako baada ya vanessa kutukanwa I like dat ni wanaume wachache wenye kuweza ku msifia msichana pale wanapo achana. Dats wat I like you most more. Thanks for respecting girls. God bless you
Your so smart jux I wish u all the best ktk safari yako ya mahusiano I learn alot from u especially that part of your life with Vanessa the way unavyo muuelezea Vanessa pamoja na kuwa hampo pamoja tena i like the way you still repeact her guys I wish one day mrudiane tena
I understand....naelewa pande zote mbili. As a fun sina uzito kwenu ila nawaombea muweze kusameheana ili muendelee mbele. You have both shown true maturity. Hizi shutma ndogo ndogo msiziache zikaharibu urafiki wenu kwa kabisa. Wishing both of you the very best. *#MaturityAtItsBest*
SURA ZA MASTAA kwa bahati mbaya sijasikia Vanessa akimchafua Jux! Labda nilipitwa. Kama nakumbuka last time alichosema ni kutoa mwimbo wao mpya bila ya kumfahamisha Kwangu sio kumsema vby. Oh well na wish Jux awe happy na huyo mpya lakini long distance relationship huwa Ina matatizo.
Bro u are real💯👏👏n that incident once happened to me 4 sure that moment is really really tough...like u,moving on with another chick but still feeling the previous girl...i salute u man👐👊
always iko ivo na mm nalitambua hilo kuwa... kama unapenda na mtu sana, ila ikatokea kutokuelewana, ni vema mkakoseana kadili muwezavyo but msiachane. maana mkiachana wakat mnajua still in love, basi jua hamuwez kupendana ka mwanzo
Once kioo kimevunjika hata uki kiunga hakiwez kuwa kipya ndy yaliyo tokea kwa hii couple..kama washaona hawataendana sis in Nani tubishee😝ndo bs ishakuwa hvoo
Daaah amna kopa iliyobamba na kubamiza kitaa kama iiiiii ya jux na v money cjui ata kama hayo mahusiano yenu mapya yata take place kama mwanzo inshort nawapenda wote na mungu awaongoze
This two will never be together jacky is coming out soon I pray for vannesa to get someone that deserves her she is very beautiful and intelligent woman
My boyfriend should come here and see how men behave is he even my boyfriend or my ex🤔we date from Monday to Wednesday and weekends he goes offline and comes back on Monday with excuses🤣🤣 anyway I’m good I love this interview
umeongea kwa nizamu naheshima sana hasa kwa swala la mahusiano yako yaliopita ningumu kumsifia X wee umeweza , yes mashabiki tunawamiss sana lakini ndio hivyo tena
Nilichogundua mimi Dozen ulimsapoti sana Jux kwa hiyo akushukuru sana wewe maana ulianza wewe toka kimziki na zaidi na kuweka idea tofautix2 za brandi Ila Jux kama ni dini kweli itakuwa sio poa...
Duh noma sana aseee kaka umenifunza kitu. Kama ulivyo mfunza diamond kuvaa ulikuwa mfano. Sio majitu humu baada ya kukuskiliza yanaleta udiamond humuu.
one of the middle of the pipe interview i liked the question even the answers too but i really liked the broo juma has used a lot of intelligence to put things in one line