Тёмный

PART 4: OMBI LA MORRISON KWA RAIS SAMIA, APIGA MAGOTI KWA UNYENYEKEVU NA ADABU ZOTE AKILIWASILISHA.. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 241 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 182   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 года назад
SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:👉🏾 bit.ly/3MraYdQ
@Zurushylab
@Zurushylab 2 года назад
Utabiri wangu kwa mnyama msimu ujao kama kweli jembe hili limeonewa bhasi team yangu hitopita tena maana itakua imebeba dhuluma dhida ya watu
@cashcow7414
@cashcow7414 2 года назад
You are now a comedian Morrison just change your attitude and character
@deusmorris1030
@deusmorris1030 2 года назад
huyu aache uhuni ni mcezaji mzuri
@LucyMichael-u6z
@LucyMichael-u6z Год назад
1:46 and CT by
@miangijunior4358
@miangijunior4358 2 года назад
Karibu Tanzania Bilashaka viongozi wamesikia na sisi wananchi tumesikia Na Watanzani sisi ni wakarimu Hatuna shida na wewe karibu Taifa stars
@peterlazaro2853
@peterlazaro2853 Год назад
Karibu sana sana sana ndugu yangu Tanzania tunakupenda nafikiri Raisi ameshakusikia
@fatumaali4275
@fatumaali4275 2 года назад
Wana Simba bado tunamhitaji Morrison💯💪
@rubenijackisoni5679
@rubenijackisoni5679 2 года назад
Aisee Tanzania hii nchi ya amani Sana Apewe2 pasport
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 года назад
Welcome Steven Say
@nuhukhamis6863
@nuhukhamis6863 2 года назад
Kama kweli wamemuacha wamekosea binaadam tumeumbw na makosa lkn wabora ni wale wenye kusamaheana
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 2 года назад
Tunakupenda sana bm3
@James-xf9yk
@James-xf9yk 2 года назад
This guy love our country
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 2 года назад
Ila huyu jamaaa tunampenda sana
@sundayagrey4769
@sundayagrey4769 2 года назад
Real good kanifanya nimuondoe ubayan
@maryjkiosa3380
@maryjkiosa3380 2 года назад
We love you too brother Morrison ❤️
@kavoomshana7289
@kavoomshana7289 2 года назад
U ar so welcome tz Morrison even me l support it
@rhodaerasto6151
@rhodaerasto6151 2 года назад
Kila mchezaji akija anang'ang'ania hataki kuondoka sjui kwann wajameni sisi tunaupendo sana hatuna manyanyaso
@geofreyalexander1382
@geofreyalexander1382 2 года назад
Kuna kitu mnawapaga. Watanzania bhana
@mkomatembo
@mkomatembo 2 года назад
True Say Bro We Are Frendly. Tanzanians. Am Simba Member. But to Love you As Sportsman. Sportsmaship. #1
@imamhussein1104
@imamhussein1104 2 года назад
Kudos global tv online 👏 👏
@mapachawayesu
@mapachawayesu 2 года назад
Mpeni Uraia Huyu Akatusaidie Kwa Team yetu ya taifa
@BenardBahemana
@BenardBahemana 2 месяца назад
Jamaa anatia huruma mama yetu mheshimiwa mkuu wetu DR Samia Hasani Suruhu mpe uraia awe pamoja nasi
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md 2 года назад
This is true love man. Mama samia inshallah atakuskia kilio chako utapewa passport. We love you mor brother ✌
@maulidimassanga4183
@maulidimassanga4183 2 года назад
Kiukweli hili jambo la usalama tz tunaamani mnoo km hujaiona jaribu tembea baadh ya nnchn ndio utaon haya aisee watu wanauwana km kuku
@keahjayzan7828
@keahjayzan7828 2 года назад
Ok! If i got it well,morison still love simba.Much love for him
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 года назад
Although he has some issues with South African authorities, and South Africa as a country is our close ally in term of relationship, we acknowledge them to forgive him once he gets his Tanzanian national 🙏🙏
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 2 года назад
Your are Soo fan brother please president give him passport.
@focuserick6162
@focuserick6162 2 года назад
Tunakupenda sana sana sana morison lkn sasa acha mbwembwe
@westmanmoses541
@westmanmoses541 2 года назад
Mbwe mbwe zake ndo zinavutia aisee
@hajimuhammed4442
@hajimuhammed4442 2 года назад
@@westmanmoses541 yeah ndo Ivo mbwembwe zake ndo zinafanya nimkubali zaid BM3
@nimrodmareges3131
@nimrodmareges3131 2 года назад
He is very fun we loves him no matter what his next step is
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 года назад
“ We love him”
@IsackKasabuku
@IsackKasabuku Год назад
Good Basi watakupa Uraia
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 года назад
As he adorably shows his loveness to country Tanzania directly from his bottom of his heart and dares to ask for Tz citizenship let him have it, I kindly ask for responsible authority to hear his desires and bless him with Tanzanian passport no matter if he will be called up in Tanzania national team or what 🙏🙏
@sehemunzuri
@sehemunzuri 2 года назад
Mwana FA msaidie kijana apate Paspoti bana 😅
@kashindisimon5265
@kashindisimon5265 2 года назад
Mwana FA ndio ofisi za uhamiaji lini WA TZ wataheshimu instructions badala ya personality!???
@popekatalango9409
@popekatalango9409 2 года назад
hajasema yeye ndio uhamiaji bali amemuomba yeye asaidie kupata pass,na hilo ni jambo la kawaida watu wakiwa na shida kwenye maofisi huwatumia viongozi au watu maarufu kusukuma maombi yao
@greenmwasile9769
@greenmwasile9769 2 года назад
I saw Steven sey a player from namungo
@onesphoryo407
@onesphoryo407 2 года назад
super global tv,,super mwandshi wa hbr,super interview,super morrson,,niliwai kusema ukihonja nchi ya,Tz lazima uikubali tu
@josephjohnmagesa8256
@josephjohnmagesa8256 2 года назад
We love you morisson
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 2 года назад
Hyu mwana apewe uraia atatufaa sana kwenye team ya taifa hii ni ishara watanzania ni watu wenye upendo san tofauti na nchi zengine za kiafrika
@hermanndongolo1550
@hermanndongolo1550 2 года назад
Karibu sana tanzania
@patricktegea1430
@patricktegea1430 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 network mbaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Год назад
Morirson love you sana
@flomenastephen2226
@flomenastephen2226 2 года назад
Steven aseyi nakuona kwa mbali apo
@nuhukhamis6863
@nuhukhamis6863 2 года назад
Namkubal morisson pamoja na mazauf yke lkn uwanjani ndo mihimu nje ya uwanja hali wali
@rehemasaid796
@rehemasaid796 Год назад
Huyu c wa kucheka nae! Akimzoea sana mama Samia kuna siku atambembea mgongoni mana Morrison haaminiki
@rahmarayc3418
@rahmarayc3418 2 года назад
Jamani tuweke mbali ushabi yanga mko juuuu🍎
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 2 года назад
Huyu jamaa anataka kuwa mtanzania Jambo jema Sana!
@suzanafromomani2973
@suzanafromomani2973 Год назад
Welcome Tanzania
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 2 года назад
Uyo anafaa kuwa Comedy
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 2 года назад
Wakiwa wanaigiza namarehemu bibi yako itanoga
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 2 года назад
@@nurunswebe4203 aaaaa umewaz nin
@leahsalumu5994
@leahsalumu5994 2 года назад
Kweliiiii anaitaji kusamehewa
@hassanali4838
@hassanali4838 2 года назад
Mbona hachezei timu ya Taifa ya Ghana,anatuona vipofu siyo.kwenda kengeza
@cashcow7414
@cashcow7414 2 года назад
His performance is below standard in Ghana
@hassanali4838
@hassanali4838 2 года назад
Anakuja tutambia hapa kumbe mchwala huko kwao
@mariamhassan5247
@mariamhassan5247 2 года назад
Rizik yke ipo Tanzania siku zote nyumban hapakuzi mtoto
@cashcow7414
@cashcow7414 2 года назад
@@hassanali4838 I don't understand Swahili please
@cashcow7414
@cashcow7414 2 года назад
@@mariamhassan5247 I don't understand Swahili Mariam and will be glad if you can teach me.
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 года назад
Sisi tunakupenda popote utakapokwenda we love
@josephatmarko6155
@josephatmarko6155 2 года назад
Why can't we take this guy🤥 he is real an asset to our country
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 2 года назад
Hahahaha mwana fa anamdanganya🤣🤣🤣
@saeedamour2395
@saeedamour2395 2 года назад
Today tomorrow
@erasmusleonidas6105
@erasmusleonidas6105 2 года назад
Mimi ni shabiki wa simba lakin Morrison nampenda popote pale atakapokwenda
@madamuhimu9354
@madamuhimu9354 2 года назад
Jembe salehe tunajua unataka jamiii ifahamu undani wa Morrison .watoto wa Tanzania. Watafaidika vip na mahojiano hayo
@mort-c1j
@mort-c1j 2 года назад
Karibu Bongo
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 2 года назад
Broo Hata ukienda Yanga Bado mashabiki WA Simba tunakupendaaaa
@bashirosman9665
@bashirosman9665 2 года назад
Kama unahitaji Tanzanian citizen you should uwe na NIDHAMU SIYO ULETE UWENDAWAZIMU kama unashindwa rudi kwenu
@martinepeter3291
@martinepeter3291 2 года назад
Mbona vichaa ni wengi tuu
@shedracktryphone6776
@shedracktryphone6776 2 года назад
Kwawo wapi we she kwawo akhera dunian wote wapitaj
@TimesShosi
@TimesShosi Год назад
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 2 года назад
Wengi mmekalia oooh CEO atauwa timu,kwa kusikiliza upande mwingine je Barbara mwenyew nae kaongea???
@yohanalukindo3737
@yohanalukindo3737 2 года назад
Hawajielewi yani wanapenda kusikiliza upande mmoja tu
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 2 года назад
Huyu jamaa wa kuwa naye makini sana sbb ukifatilia historia yake Hana mapenzi yupo kimaslahi zaidi anabadilika kutokana na mazingira penye maslahi yake ndio anapoweka mapenzi so Inahitaji jicho la tatu sbb hachelewi kuharibu kama asipofantiwa anavyotaka
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 2 года назад
Watu wa West Africa wengi wao kwenye maslahi kaa nao mbali uwaga Kweny pesa utu huwekwa pembeni.
@joyjilien5432
@joyjilien5432 2 года назад
@@salehkhamis3000 Naona watu wa east Africa Hamjawajua vizuri watu wa West Wanakuaga wa ovyo sana Sasa sijui huyo kijana kwann Wa Tz wanamshikilia sana Kama wa ajabu Wamuache aende anapotaka Kwani kwao Hawana team za mpira?? Sasa Jaribu kwenda kucheza Kwao west Africa Ndo utaona wanavyokuaga
@alisaghir4259
@alisaghir4259 2 года назад
Ktk kitu kinachoniumiza moyoni mwangu adi Sasa ni Kwa Nini Simba tumemuacha huyu kijana? Ndio nyakati Nyengine anavuruga mambo, hata hivyo nadhani tungemchukulia na kumnyoosha pole pole Kwani hakuna mwadamu asiyekosea lakini tunaelewa tabia zake kabla hata hajaja Simba? Kinachoniumiza zaidi kuhusiana na kuachwa kwake ni pale nikumbukapo mapenzi na juhudi zake kubwa Kwa Simba SC. Nabaki najiuliza kwani Morrison alifanya kosa gani kubwa hasa hata asisamehewe?mbona MKUDE alifanya kama hayo au zaidi na akasamehewa hapa Simba? au MKUDE ni mtu na bahati yake ndani ya Simba na Morrison amekosa bahati yeye? Sometime viongozi wa vilabu mnafanya mambo ambayo sio tu yanatuumiza washabiki bali pia yanaibua sintofahamu ndani ya klabu. Iwapo huyu jamaa ataenda yanga, nadhani Simba itakuwa ktk wakati mgumu Kwani kutakosekana baadhi ya vitu vinogesho Kwa klabu ikiwemo hamasa ya washabiki kulinganisha na upande wa wapili.
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 2 года назад
Uongozi wetu wasimba unamatatizo sana
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 2 года назад
Thursday is ahamisi 🤣🤣🤣
@fahadfahmy
@fahadfahmy 2 года назад
Kwamtazamo wangu mpeni uraia Morison ataisaidia timu ya Taifa sana
@peterjohn7613
@peterjohn7613 2 года назад
Inawezekana tatizo Simba likawa kwa uongozi!!! CEO ajitafakari
@josephkapinga652
@josephkapinga652 2 года назад
Atawachetua hadi mtajuta kumwacha🤣🤣🤣🤣
@aloycembener6530
@aloycembener6530 2 года назад
Gonga like kwa Bernard Morrison ❤️
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 Год назад
Mpeni uraya tu wa Tanzania 🇹🇿 ola urudi simba mi nakuombea kwa mwana FA sawa
@ramadhanomary2966
@ramadhanomary2966 2 года назад
Benad tuomba ubaki simba bro😨
@itare2858
@itare2858 Год назад
Inaniuma xana kuona morson anaachwa simba nawaomba tumurudishe jamani huyu anaipenda tanzania kwa moyo wake mmoja
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 2 года назад
Wamba wa kukera wote Morrison vs stive Sey
@blackothman7332
@blackothman7332 2 года назад
Azichanganya sana Simba na yanga
@odiahguya4244
@odiahguya4244 2 года назад
STEVEN SEY, mbona nlikuwa simuoni?
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 года назад
Alikua misri
@rashidjuma1969
@rashidjuma1969 2 года назад
Mm huyu jamaa nampenda anavousanifu mpira akiwa uanjanii na hii ndio inamfanya aendane na mazimgira yake
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 2 года назад
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 2 года назад
karibu sana tukupe kabila utakuwa msambaa wa Lushoto
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 2 года назад
Kama vp bm3, njoo taifa stars tz mpen mkoba fasta akiwashe
@ramadimbegu7996
@ramadimbegu7996 2 года назад
Ukiwa na kipaji raha,
@officialshebyflavour7379
@officialshebyflavour7379 2 года назад
Mpira na comedy
@agnesmasanga2390
@agnesmasanga2390 2 года назад
Poa morrison yanga tamuu
@championalways192
@championalways192 2 года назад
Babra ni mpuuzi sana... simba itaendelea kuporomoka hamtaamini macho yenu. Pona ya simba ni babra aondoke... amekubuhu kwenye fitina... Nonsense Mwisho wa msimu ujao tukutane hapa hapa kutoa mrejesho wa nilichosema... Babra alipomzingua Manara nilisema simba haitashinda msimu huu... na imekuwa hivyo... sasa subirini tena... shubaaamit
@shufaamujarabu2705
@shufaamujarabu2705 2 года назад
Morison anacheza na akili Zetu tuuuuuuu!!! Wewe ni mfanya Biashara tuu
@kaisarimbisso5011
@kaisarimbisso5011 2 года назад
Of course, football ni biashara. Wacha kijana atafute fursa
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 2 года назад
Hakika, ndiomaana wasiojua wanamlaumu CEO,ila huyo kaja kutafuta maisha lazima avutie upande wake
@adibilsalum9580
@adibilsalum9580 2 года назад
Kama ulaia walimpa kibu dankan lastaman kwann huyu mmnyime
@ZawadiJumanne-pt6bf
@ZawadiJumanne-pt6bf Год назад
Apewe uraia toto tundndu
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 2 года назад
Ingekuwa ulaya fasta wangetoa uraia jamaa anakipaji anaweza kuisadia taifa letu !nashangaa Tanzania kwa nn inakuwa ngumu kwenye mambo muhim kama haya
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 2 года назад
Kweli bro inasikitisha SN rais amesikia hapa lkn utaona halijafanyiwa kazi
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 года назад
Kiswahili chako kinakua
@Ndundu23
@Ndundu23 2 года назад
Mama samia msaidie awe mTZ
@halimamvungi1
@halimamvungi1 2 года назад
Muacheni aende kwao,, ni mchazaji sana ila sio mzuri , hajatulia
@HassanHassan-sr3fq
@HassanHassan-sr3fq Год назад
halima nimekupenda nitafute
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Kila la heri katika kurudi kwako Yanga
@pilihassani6930
@pilihassani6930 2 года назад
Umeniuma Sana huyu kuondoka Simba piga kaz kaka lizki popote
@yakubuipariro6392
@yakubuipariro6392 Год назад
Nafax yangu apewe mi nixepe zang nikaixh gaza
@colestmakoloo1500
@colestmakoloo1500 2 года назад
Mpeni jamani uyu morison
@HopeRyan16
@HopeRyan16 2 года назад
Karibu Yanga
@ally1702
@ally1702 2 года назад
Jamaa anajua kucheza na akili za watu
@Josephgoliama1
@Josephgoliama1 2 года назад
KWA akili ya huyu kumpa uraia ni kuongeza idadi ya vichaa nchini
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 2 года назад
Tatzo tabia yako duh unamambo ya kitoto sana japo unajua kucheza soka Pungza mambo umri unasepa
@piusphilip307
@piusphilip307 2 года назад
Huyu hafai kupewa uraia nchini Tanzania, Kwa nini nchini South Africa, haruhusiwi kukanyaga, maana yake ni muharifu wa kimataifa....... Kingine Morrison ni msaliti. Kama aliweza wasaliti yanga akaja Simba, hashindwi kuisaliti nchi, Kingine Hana nidhamu, mgeni kumjerui mwenyeji, siyo jambo dogo. Nchi zingine kama USA na UK. Unafukuzwa mazima.
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 года назад
We ndoa unachuki binafsi na morisson wachezaji wanahama timu wanaangalia maslahi sidhani na morisson sio wa kwanza hiyo Ni kitu Cha kawaida kwa wachezaji,huyo mwanaume mwenzio kaka!!
@eliasulley177
@eliasulley177 2 года назад
Usaliti kwani kazaliwa na klabu ya simba au yanga ....mbn simba au yanga ikiwaacha wachezaje sio usaliti ....mpira ni kazi kaka
@NuruNgole
@NuruNgole 8 месяцев назад
Huu ataisumbua tz
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 2 года назад
Tanzania tungekuwa na uraia pacha tungechukua africon Mara kibao,
@allymwangasi4647
@allymwangasi4647 2 года назад
Kuna siku atasajiriwa futuhi huyu jamaa, mpira sio fani yake
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 2 года назад
Morison bangi nyingi sana ww
@freymuch7112
@freymuch7112 2 года назад
Bm we also like you so much.If you are really serious lets start the Naturalization process so that you become A citizen of Tanzania.Kabila lako litakuwa Muhaya😂
@geofreyalexander1382
@geofreyalexander1382 2 года назад
Oyaaaa we usituchezee atakuwa mkurya
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 года назад
Striven ssey
@allyhamisi6394
@allyhamisi6394 2 года назад
tff wanachelewa nn kumtafutia uraia morisson kama kwa kibu
@hamisimohamedi9092
@hamisimohamedi9092 2 года назад
Ametuona hatuna action hata akitupga bisibis
@rashidsaleh1543
@rashidsaleh1543 2 года назад
Msumbufu tu huyo asitushuhulishe....Okwi ameenda na kurudi zaidi ya mara tatu hapa hakuwa na shida hata kidogo....Analingia kuzungumza kwake,ni mchezaji wa vyombo vya habar....
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 2 года назад
Namarehemu bibi yako muuza ugolo pia
@blackothman7332
@blackothman7332 2 года назад
Huyu mbwa anapenda sana pesa ndio maana anaz
@allymsengesi6820
@allymsengesi6820 2 года назад
Kea mwenendo huu anaigiza ni mtiifu Ila ataaribu vijana wengi Sana kea nizamu yake kipi cha kuigwa kwake kama mamelodi wamemuacha unafikria sisi ndo tutaishi nae.
Далее
Incredibox Sprunki in geometry dash
00:19
Просмотров 1,7 млн
MAGOLI YOTE YAMO | SIMBA SC 4-0 USGN | HIGHLIGHTS
9:32
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
MTOTO Shujaa ALIYEMKUNA MAGUFULI, Akatoa MILIONI 8!
16:46
Incredibox Sprunki in geometry dash
00:19
Просмотров 1,7 млн