Bro mbona nimekuelewa sana ebu ongeza mara mbili ya hapo naamini utafika kimataifa zaid na utajulikana dunia nzima kikubwa mtangulize Mungu usidanganywe na njia zingine njia peke ni Mungu pekeake kipaji unacho uwezo unao salute
Kelvin wafanya kanzi nzuri tena kufaavyo 👏 usimwache Victoria 😢... Kipindi chenyewe nakifuatilia kina mafunzo mengi sana.... Waiting for the next episode. Much love from Mombasa Kenya ❤