Тёмный

PERFOMANCE: JUMA NATURE kwenye STAGE Dar Live 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 59 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@josejuma103
@josejuma103 6 лет назад
Kama unamkubali sir juma nature gonga like hapa
@kamaumwangi3104
@kamaumwangi3104 6 лет назад
Jose Juma simukubali.aende akanywe matingasi au pombe ya busaa
@rionoogeoffrey3933
@rionoogeoffrey3933 5 лет назад
Nko ndni n nature
@joackimmbanguka6304
@joackimmbanguka6304 4 года назад
Daaaa!! Nature nature nature nature,,,basiii tuuu
@augustinesimbi8256
@augustinesimbi8256 6 лет назад
Wewe ni jiwe la gizani utabaki unashaini milele watoto wa juz ndio hawatokuelewa!
@JacksonMakuta
@JacksonMakuta Месяц назад
Juma nature wewe ni hatari babuuu
@hajiharuna786
@hajiharuna786 6 лет назад
Daaaaaaaah ww mkali hawakuwezi
@felixochiengomondi6189
@felixochiengomondi6189 6 лет назад
Dah! Mtoto idi. Nomaaaàaaaaaaa!
@sheeqassim2032
@sheeqassim2032 6 лет назад
Keep it up nature ...we miss those hits
@sheeqassim2032
@sheeqassim2032 6 лет назад
Hatuna kituuuuuuuuuu💪💪💪💪
@johnvenasa.k.awazamansana8025
@johnvenasa.k.awazamansana8025 6 лет назад
Ukiona MTU anamponda nature ujue nimtoto wajana enzihizo hakuwepo usimraumniutoto
@fadhilimdugi4994
@fadhilimdugi4994 6 лет назад
Juma anajua
@raphaelkitorobo8817
@raphaelkitorobo8817 5 лет назад
Nature we we ni hatari
@gideonalbert895
@gideonalbert895 4 года назад
nyie noma
@amryabdallasaid2077
@amryabdallasaid2077 6 лет назад
Nashangaa Mwlm akija kila swal ananiulza mm kwan wengne huwaon nakusoma kwnyw nmegail sindo unavyota: Bg up sana Msitu wa vna:
@PeterMchomvu-gv1bq
@PeterMchomvu-gv1bq 5 месяцев назад
🎉kazi kaz
@seifyusuph9627
@seifyusuph9627 6 лет назад
necha a. k. a kiloboto🔥🔥🔥
@felixochiengomondi6189
@felixochiengomondi6189 6 лет назад
Dah! Wamebana wameachia! Tatu bila.
@idynyundo2994
@idynyundo2994 6 лет назад
Kali yaooooooi
@masala8099
@masala8099 5 лет назад
Wasimuelewa nature na wasanii wa kitambo jua kipindi kile alikuwa kuja town bado japo halizaliwa ila hakuzisikia na kuna wengine wao walikuwa wadogo hawazijui hizi kwahyo mkiona mtu anaponda za kitambo mchunguze utagundua hayo ninayokwambia
@amirkiviga5972
@amirkiviga5972 4 года назад
Nature yupo kileleni
@dicksonmbogela7578
@dicksonmbogela7578 3 года назад
Sanasana
@samjcb7896
@samjcb7896 6 лет назад
msimkatishe tamaaa jamani
@jumaself5496
@jumaself5496 6 лет назад
Upo poa
@jimmysawaya1659
@jimmysawaya1659 6 лет назад
Jamaa anaweza ila kadharau fan
@saidinestory6673
@saidinestory6673 4 года назад
Baba atabaki kuwa baba 2
@prosperndelwa4560
@prosperndelwa4560 2 года назад
Huu ndo muziki
@RashidMuhunzi-pr5xj
@RashidMuhunzi-pr5xj 3 месяца назад
We ni rapa wa pekee tz "ACHA WACHOME MUINDI KWA TORCH".
@jumakuyela2612
@jumakuyela2612 5 лет назад
Zakale zahabu
@NgoshawaMwanza
@NgoshawaMwanza Месяц назад
yaani hapo Hakuna Hata ladha ya Burudani, Nyimbo ni nzuri Lakini Hazina Mpangilio, Kwa Mimi Naona ni Upumbavu tu
@musictanzanianet3822
@musictanzanianet3822 6 лет назад
Bado unanusa
@dorymligo123
@dorymligo123 6 лет назад
daaaaaaaa mshkaji hanaaa jipyaa bdo ya kalee
@mohamedchorah8514
@mohamedchorah8514 3 года назад
.
@jumakapola419
@jumakapola419 2 года назад
Sasa apo ulikuwa unaimba au unaesabu vipande vya colasi
@safaritz3557
@safaritz3557 Год назад
Itakua umezaliwa kuanzia 2010 😊😊😊 waache wakubwa wafurahie vitu vyao vya kikubwa
@RamadhanSaleh-mv2gg
@RamadhanSaleh-mv2gg 5 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg 6 лет назад
Ungaaa
@fadhilali5648
@fadhilali5648 6 лет назад
Yap
@privinusdecroshan135
@privinusdecroshan135 5 лет назад
Unga ulimpa nature 4life
@hamisiliyadu8974
@hamisiliyadu8974 5 лет назад
Kibla
@lebahatikivuyo6941
@lebahatikivuyo6941 6 лет назад
Daah unga mbaya nasikia anauza mahindi was kuchoma😏😏😏😏😂😂
@farihiayusuph6405
@farihiayusuph6405 6 лет назад
Lebahati Kivuyo acha ukuma uyo ndo mkongwe
@stevenlugo8195
@stevenlugo8195 5 лет назад
Hata km Anauza mahindi Wewe hayo Hayakuhusu...Usiwe fala wa kufatilia Maisha ya watu wakati Yako yanakushinda
@wamaputomaputosidade6963
@wamaputomaputosidade6963 5 лет назад
@@stevenlugo8195 choko fala ww
@stevenlugo8195
@stevenlugo8195 5 лет назад
@@wamaputomaputosidade6963 fala baba yako na mama yako pamoja na Wewe Msio jitambuwa 🖕🖕🖕
@benitoilulatvpilla144
@benitoilulatvpilla144 4 года назад
Huondo upjinga usiopimika sasa akuza mahindi we inakuhusunn acha upimbi pumbavuwewe
@mustaphajaffary1898
@mustaphajaffary1898 6 лет назад
Huna jipya
@farihiayusuph6405
@farihiayusuph6405 6 лет назад
Mustapha Jaffary fanya lako tuone mshamba wee
@stevenlugo8195
@stevenlugo8195 5 лет назад
Mustapha naona wewe utakuwa sio riziki kwa wazazi Wako na Ndio maana huelewi Na hujitambui kwa unacho kiongea
@geofreyngoloka806
@geofreyngoloka806 5 лет назад
Mustapha Jaffary tako wewe
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 8 месяцев назад
Kiko wap sasa
@samjcb7896
@samjcb7896 6 лет назад
msimkatishe tamaaa jamani
Далее
FIESTA MOROGORO 2012  - JUMA NATURE
16:54
Просмотров 100 тыс.
На самом деле, все не просто 😂
00:45
Squeezer ft Nature - Naja
5:27
Просмотров 462 тыс.
Tmk Wanaume -Umri
4:43
Просмотров 1,3 млн
FIESTA 2012 MOROGORO - JUMA NATURE 2
16:13
Просмотров 24 тыс.