Kwa akili ya kujiongeza huyu mwanamke for me hafai kuwa mke wangu kama mi ningekua harmonize, because mwanamke anayejisifia anatafutwa na wanaume wengi, anaona kwamba she is the only who deserves good treatment, yani sura nayoipata hapo ni kuwa she is selfish in love and also anahisi kudate na mtu ni kama anamsaidia tu since anatafutwa na watu wengi. For me personally she don't deserve to be a wife. Am sorry kama nakosea
Omy, kitambo Sana nakubali kazi zako kila unako amia ila nikichukizwa Sana mambo ya makundi kushiliki uchochezi hii sio poa unauwezo mkubwa wa kufikili na kusikika wwe Kama wwe na sio mtu na mtu
Siyo kweli mwanaume akipata hivo vyote utulivu lazima.... Me ni mwanaume nina ndoa zaid ya miaka 17.. Nimeona when niko form 6... Ila kuna jamaa yetu mmoja hivi ana respect ya kutosha kwa mkewe 7bu mkewe ana respect na yeye... Tulisha mtumia wasichana tofautitofauti wazuri,,hadi kumfungia ndani na mwanamke ila jamaa ni mstaarabu sn haja cheat... Kwa sababu hakosi chochote kwa mkewe... Hivo kifupi... Wapo wanaume wenzetu ambao wako SMATER THAN... Wewe unao cheatiwa ujue kuna tundu kwenye bati lako... 😂😂😂😂
A man doesn’t cheat akiwa na discipline tu. Hizo zingine zote ni excuses. Kuna alot of steps to take kama kuna kitu unakosa kwa mkeo mpaka kufikia cheating ila wanaume wasio kua na nidham ndo wanakurupuka na kucheat because hawawezi kucontrol tamaa zao afu wanasingizia flaws za wake zao. Mbona hata nyie wanaume mna flaws but wake zenu hawacheat because of mapungufu. Wakicheat because hawana nidhamu and it’s a choice too
Unaota ndoto za mchana ukiwa umekaa kwenye Kochi.. huyu dada anashepu nzuri sana kajala haingii hata robo.. acha kimcompea na kajala. Kajala mashalla lakini poshy umeumbika vizuri kubali ukatae 😊😊
Nimewahi kuona watu wanajidhalilisha lakini huyu binti amevunja records zote. Lugha anayotumia ya kujifanya mzungu , kujishauwa, kisha philosofia yake ya maisha kama kupenda fedha sana. Ati pesa ndiyo itakayofanya asicheat. 🙄 Ni vigumu kuona umuhimu wa kumsikiliza mtu kama huyu ila tu kujifunza kuwa baadhi ya watu hawana thamani yoyote bali vyombo tu🤮