Uhusiano baina ya Afrika na Marekani una historia iliyopitia mikondo mingi, ukiwemo mkondo uchungu wa utumwa uliofanywa kikatili na Wamarekani dhidi ya Waafrika. Profesa Laura Fair anajaribu kuifafanuwa mikondo hii kwa wanafunzi wa Kimarekani na wakati huo huo akijielekeza kwenye ukombozi wa kifikra. Msikilize hapa kwenye Gumzo na Walimu.
11 сен 2024