Тёмный

RADDI TAKATIFU KWA MAFUTA NA KIBARAKA WAKE SOLOKA || Muhammad Bachu | 11/8/2024 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 172   
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Месяц назад
Hatakama mm si katika wale twaalib l liilmu akina barakhiyani docter Islam abuu muawiya wallah sasa nimejuwa wapi kuna haqqi Muhammad l imam sikujuwa haya hapo kabla kumuhusu yeye kumbe nimtu mujitahidin kisawasawa walllah hii nineema Huyu kijana Allah amfunguwe azidi kutuonesha njiya natuifate biidhini llah
@saidali9255
@saidali9255 Месяц назад
Aamiin thumma aamiin
@NoorAli-vj4gn
@NoorAli-vj4gn Месяц назад
Ameen
@Musahamisi-oj5lj
@Musahamisi-oj5lj Месяц назад
Haya mambo mazito Kama Una elm ndogo usikoment chcht
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Месяц назад
​@@Musahamisi-oj5ljUzito munauweka nyinyi majadidah munaobidiisha waislam ovyo
@ELIMUyenyeMANUFAA
@ELIMUyenyeMANUFAA Месяц назад
@@Musahamisi-oj5ljyani wewe unayo elimu kubwa!!yaa salaam
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq Месяц назад
MashaAllah, Allwah amuhifadhi sheikh letu azidi kutuelimisha. Ameen yaa rabbi
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo Месяц назад
Kweli nampenda sna sheikh Qassim Mafuta lakini kwa hili sikubaliani nae hata kidogo
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 Месяц назад
kumbe tupo wengi
@NuryaMusa
@NuryaMusa Месяц назад
❤❤❤ Muhammad bachu ALLAH Amuhifadh kiboko wa majadidah maswaafiqah mahadadiyah
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj Месяц назад
Allah ampe umrii tupate faidaa
@Musahamisi-oj5lj
@Musahamisi-oj5lj Месяц назад
Mambo mazto ha yo Kama Una elm ndog usikoment ushabik
@ELIMUyenyeMANUFAA
@ELIMUyenyeMANUFAA Месяц назад
@@Musahamisi-oj5ljwew unayo kubwa ,mbona unatia wasiwasi na ushabiki?
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Месяц назад
AMEEN YARABB
@NuryaMusa
@NuryaMusa Месяц назад
@@ELIMUyenyeMANUFAA shekh wetu kipenzii Abdul Hamid mahamud yusuph ALLAH mtukufu akuhifadh. . huyo kijana yy sijui ana elimu gani
@abouuwaysrajab8579
@abouuwaysrajab8579 Месяц назад
جزاكم الله خير يا معشر الفريقين... ALLAAH ATUONGOZE WOTE ..ILA NAWAHUSIA WALIMU NA MASHEKH WETU... bainisheni hoja baina yenu ila msitumie maneno mabaya na kutukanana na muwe munaombeana dua kwani wote nyinyi ni watu wa qibla moja..إنما المؤمنون اخوة. عسى الله أن يحعل بيننا مودة والهداية إلى سواء الصراط.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Месяц назад
Hatutaelewana shekh,hapa kuna watu wanathibitishiwa manhaji yao mpya
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Месяц назад
Wenye akili tupo majadida na tunakusikiliza sanaa na tuna furahiya darasa zako
@SheikhTaymiyyah
@SheikhTaymiyyah Месяц назад
KAKA ENDELEA KUIBANISHA HAQQI KWA AJILI YA ALLAH
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Месяц назад
Maa shaa allah.. ni mwanafunzi wako uyu. Nakupenda sheikh bachu kwa ajili ya Allah.. وقل جاء الحق وزهق الباطل ان الباطل كان زهوقا
@MASOUD-e3i
@MASOUD-e3i Месяц назад
Sio umaarufu Muhammad Bachu anaelimisha acha jazba
@QuthamAbdalla
@QuthamAbdalla Месяц назад
والله أنا في الله ربي أحبك يا معلمنا وعظيم شيخنا . أطال الله بقائك بالخير والبركة .
@shekhmansoor5421
@shekhmansoor5421 Месяц назад
Subhanallah Haya yote hatukubainishiwa Sisi Ila Kwa Shekh wetu Abuu muaawiya Allah amrehem tulibainishiwa uongo. Kweli tuacheni Taassub hebu acheni kudhilumu wale walio Kua wakifanya jitihada katika Sunnah. Allah akuhifadhi Shekh Muhammad bachu
@SheikhTaymiyyah
@SheikhTaymiyyah Месяц назад
ngoja tu nicomment KAKA MASHAALLAH UNA ELMU YENYE KIPAJI
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Месяц назад
Allah amuafikishe kila alifanyalo liwe kwa Ikhrasi na iwe sababu ya kunusurika kwetu na kwake na Moto Wa Allah, mana tunapata faida ikiwemo na misamiati ya kiarabu mipya na majibu makhsusi sio jumla
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Месяц назад
Kabisa MAASHAA ALLAH
@AbdukarimMpapai
@AbdukarimMpapai 29 дней назад
Mungu akulaan ww niwakumjengea hoja na kumkosoa Al imamu Suyuti Rahimahullah
@OmarAbeid-wu5ur
@OmarAbeid-wu5ur 22 дня назад
Acha upuuzi huyo kwani yeye ndie alomjfngea yeye kanakili vitabu
@LovelyAutoRace-nb6vu
@LovelyAutoRace-nb6vu Месяц назад
Allah akuhifadhi shekh wetu tunafaidika sana,,mpaka hata majadiyda wanafaidika sema tu hawataki kusema kwasababu yahusda walizo nazo
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س Месяц назад
DHULMA WANAZOZIDHULUMU watazilipia mbelé ya AllAh
@abdrashid-j1c
@abdrashid-j1c Месяц назад
Naam shekh muhammed bacho allah akuhifadh kwa kuelimisha majadida
@kanzucentre3468
@kanzucentre3468 Месяц назад
Mashallah, sindano zinaingia barabara
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Месяц назад
Ushasemaa hahahaa
@salimmapande4668
@salimmapande4668 Месяц назад
والله هذا رد علمية، بارك الله فيك وحفضك الله وزادك الله علما
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm Месяц назад
Shekhe islimu ibni tamiya kashasema halaumiwi mtu kuchagua upande moja kukiwa kote kuna wanachuoni nakuna ijitihada bachu allah akuhifadhi tumeijuwa shali ili nisiingie kwenye shali endelea kutufundisha ili tusifate manhaji kwa mtindo wa kihizibi allah atuongoze katika haki???
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Месяц назад
Shukran kwa ubainifu...sheikh langu .
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Месяц назад
Allah akulinde ewe kijan hakika elimu unayotoa ni kubwa unasomesha vitabu 5 kwa wakati mmoja
@AjmalTV-ng4yi
@AjmalTV-ng4yi Месяц назад
ماشاء الله تبارك الله
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Месяц назад
MAASHAA ALLAH tabarakallah sheikh
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Месяц назад
Hongera sheikh bachu
@SeifRashid-s2q
@SeifRashid-s2q Месяц назад
الله حافظ جزاك اللهُ‎ خیر
@SaidAbdalla-gl2dp
@SaidAbdalla-gl2dp Месяц назад
Mashaallah tuelimishe tunapata faida kubwa tu
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 Месяц назад
Hapa sio anajibiwa soloka, bali sisi na soloka wote tunasomeshwa. Alhamdulillah. Soloka imekuwa sababu ya kufahamu mengi katika dini, nakufahamu namna jamii ya kiislamu na waislamu tunavyo amiliana baina yetu.
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س Месяц назад
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Месяц назад
Assalaamu aleikum. اللهم أرنا الحق وارزقنا اتباعه. آمين
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Месяц назад
Hapo nnachoona hakuna ambae atakuwa tayari kukubali hoja ya mwenzake kwasasa maana anahisi kama atakuwa mjinga lakini kwasasa naendelea kuchukua faida kutoka kwa masheikh wote ambao kwangu naitakidi ni wa2 wa sunna Qassim Mafuta,Bachu Muhammad Abuu Muawiyah,Abuu Khaula,Mujahiid, Hussein Sembe nk.......
@seiframadhan1254
@seiframadhan1254 Месяц назад
Allah awahifadhi kwetu wote ni masheikh zetu wa ahlu sunna
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Месяц назад
@@seiframadhan1254 aamiin
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Месяц назад
Yaan hivyo kuwakubali wote hilo ndo lengo la hii mijadala ila upande mmoja hawamkubali yoyote madamu wametofautiana naye ktk mambo ya ijtihadi
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Месяц назад
hii inasomeshwa ww ukweli na Haqqi utaijuwa ww wapi usimame wawo hata wasipo kubaliyana ww unatakiwa kujuwa wapi pakuegemeya
@khamisali5942
@khamisali5942 Месяц назад
Hata me niko hapo waache watoane lkn me nafaham hao wote sis ni masheikh zetu hatubagui mtu wote hawa ni wattz wa sunna sheitwan tu hapa kakaa kati na kuchochea huku na huku
@ahmetmwandu8499
@ahmetmwandu8499 Месяц назад
Wallahi haki Iko waziii
@ismailmakame7183
@ismailmakame7183 Месяц назад
Allah akupethabati amin
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot Месяц назад
Ahsante sana Shekh Muhammad, tunakuombea kwa Allaah umri mrefu ulio zungukwa na afya njema, na kheri kedekede za dunia. Pia tunakuombea ziada ya maarifa ktk Dini ya Allaah Tabaaraka Wata'aalaa. Khalafu nataka ndugu zetu masalafi waliokosa kufahamu maqaaswid ya Dini hii waelewe haya yafuatayo; 1-Ukweli usio fichika masalafi mmeharibu sana kwenye da'wa, na uharibifu mulio ufanya uko wazi nanyinyi mnajua hilo. 2-Hamuna uwezo wa kuutetea uharibifu wenu na uchafuzi wenu wa da'wa. 3-Mumekua wakhaini, na wang'ang'anizi wa batwili, hamtaki kuiwacha batwili yenu. 4-Mume wezwa mara hii, mnatafuta angalau kichaka na kichochoro cha kujifichia, lkn wapi, kila mnapo jitia mnatolewa, mpaka mumefikia kua kama viziwi, haqqi munaiona lkn hamtaki kuifata. 5-Masalafy mmefikwa na nini mara hii, mbona hoja zenu zimegeuzwa kama majani laini yalio sagwa, Shekh Muhammad Bachu anawatesa na kuwafedhehi pamoja na majigambo yenu na dharau zenu kwake na kwa Mashaayikhi mfano wake, lkn tunaona hoja zake hamuja weza kuzijibu, bali yeye ndie alie tafawwaq na hoja zake dhidi yenu. 6-Mfano wa Shekh Muhammad Bachu na masalafy ktk kadhia hii, ni mfano wa Shekh Qassim Mafuta na Abuu Iddy na Samir wa Tanga. Walivyokua wabovu kwenye hoja masufi hawa kwa Shekh Qassim, ndivyo mulivyo nyie masalafy kwa Shekh Muhammad Bachu, maana mukiongea asiejua anaweza kudhani mmetoa hoja, lkn msomi Shekh Muhammad Bachu akija hewani hoja zenu zote zina yeyuka, hata kwa wasiokua na elimu hata kidogo, lkn wana akili na ufahamu sahihi wa mambo, wanaelewa kua hapa, hapana masalafy wamekoroga mambo. 7-Niliwaambia masalafy dhulma hii mulio ifanya kwa Shekh Abuu Mu'aawiyah Allaah amrahamu jitakaseni nayo mapema, isije ikaguka na kukutafuneni, lkn mnajiona kama malaika hamkosei, kwenda na kurudi mambo hadharani leo, kila mtu anaona uovu wenu wa kuwahukumu wana Sunnah kwa dhulma na uaduwi, na hoja za mwalimu wenu mmeshindwa kuzijibu, na hoja zenu anazitafuna kama karanga,😂😂😂😂😂😂😂. 8-Shekh Muhammad kwakweli simama hapahapa, na Wallaahi usalafy huu wa kuwatoa wana Sunnah kwenye Manhaj kwa dhulma na uaduwi, na kuwaacha waliostahiki kutolewa utaeleweka na kubainika vizuuuri sana kwa nondo kama hizi. 9-Shekh Muhammad unastahiki pongezi kwa kazi nzuri unayo ifanya ya kubainisha haqqi. 10-Kwa mujibu wa elimu inavyo eleza, niwazi kua mashaayikh wa kisalafy wasasa wamekosea sana kwenye kadhia ya kuwabidiisha Maulamaa na kuwatahadharisha. Kwa sbb kila Aalim ana mchango mkubwa ktk Uislamu wetu, lkn baadhi ya Mashaayikh wamefanya kauli zao nikama Wahyi haifai kwenda kinyume nazo, kwaio kupitia mwanya huu wakawabidiisha wasiostahiki, kama vile Shekh Ally Alhalaby Allaah amrahamu, na Shekh Yahya Alhajuury Allaah amhifadhi, na Shekh Muhammad Al-Imaam, Allaah amhifadhi, na mfano wa Maulamaa kama hawa. 11-Kupitia mwanya huu, ndio hawa wanafunzi nawao wakawafanyia dhulma Maulamaa, na wanafunzi wenzao ambao wamesha piga hatua ktk Elimu. Sasa kwa msingi huu kumbe sio jambo jepesi kumuhukumu mtu na kumtoa ktk Manhaji kama ambavyo wamekhalifu msingi huu masalafy, kwa sbb wapo walio fanya mambo makubwa kuliko haya ambayo yamefanywa na Mashaayikh zetu kina Muhammad Al-Imaam, Ally Alhalaby, Yahya Alhajuury, lkn Maulamaa wetu wakubwa hawakuthubutu kuwatoa kwenye manhaj kina Suyuutwy pamoja na mikhaalafa yao yawazi ambayo iko kinyume na ijtihaad, pia iko kinyume mnoo na manhajussalafy, lkn masalafy nyinyi pamoja na Mashaayikh zenu mmepatwa na zalla gani mpaka msingi huu muka ukanyaga chini kwa viatu vyenu kwa baadhi ya Mashaayikh walio kosea makosa yalio chini ya makosa ya Suyuutwy??? Ukichunguza kwa makini utakuta kuna khalal kwa baadhi ya Maulamaa wa zama hizi, ndiomana na baafhi ya wanafunzi wao wakapita mapito haya yaliojaa dhulma na uaduwi na kukosa inswaaf na uadilifu. 12-Shekh Qassim ulikubalika na watu wa Sunnah kwa sbb ulisimama na hoja nzito dhidi ya wazushi hapo mwanzo, lkn kwa sasa hoja zimegeuka na kua dhidi yako na walio mfano wako kwenye hii dhulma munayo ifanya kwa Mashaayikh wa Sunnah, na huwezi simama hata siku moja, kwa sbb huwezi kuja na hoja na ikakuunga mkono kwenye dhulma munazo wafanyia Mashaayikh, bali hoja zilizo madhubuti zinazo fungua mioyo ya watu kwa Tawfeeq ya Allaah Azza Wajalla ni hoja za hawa Mashaayikh munao waita mahizby kwa dhulma na uaduwi. Na ndiomana kila kombora linalo elekezwa kwenu lazima muitane na musaidiane namna ya kulipanji, lkn wapi chuma kina wazoa. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Vijana tusomeni sana, na tuacheni ta'asswub kwa Mashaayikh zetu, na tuikubali haqqi hata ikitoka kwa nani. Lieo ni siku ya Jumanne-13-08-2024. Ewe Allaah inyanyuwe hadhi ya Shekh Muhammad Nassoro Bachu, kwani anadhulumiwa sana, wakati hakustahiki kufanyiwa dhulma hii, na wazushi, na ndugu zetu masalafy.
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Allahuma amen ya rabal all amiyn qassimu mafuta waliomdhulumu Sana shekh abuu muawiya rahimahullah rahmatan wasiaa kwa kumbidiisha kwa asbabu aliwakosoa wao kwenye mapungufuu yaoo
@MohazAbdi-kw1ef
@MohazAbdi-kw1ef Месяц назад
Al Muhadith😂Vipi kuhusu Yale maswali mengine ulio ulizwa kuhusu Sheikh Rabee Ibn hadii Al madkali حفظه الله mbona huya jibu hiyo usalafi jadida waanzilishi Ni kina nny?Na n maulama wpy wanayajua hayo kuhusu hiyo ujadida .Huwezi ficha hakk n vichekesho vyako
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 Месяц назад
Qassim mafuta hajawai kupigwa na kitu kizito kama hiki......Haki ipo wazi tu na sisi tunaona
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Anajifanya MJANJA sana yule jamaa, eti Anajidai hata kujibu😂😂😂 kumbe hawezi...walikuwa wamejificha kwenye kichaka cha kuwa SUYUTWIY hajafikishiwa ujumbe, sasa mwanamme kaja na ushahidi wanajidai hawajibu😂😂😂😂
@Muswlih
@Muswlih Месяц назад
SOLOKA NJOO HUKU UMJIBU KIDUME HUKU
@BuiKishkOnlineTv
@BuiKishkOnlineTv Месяц назад
بالعافيه 🎉
@mohamedmweta-j4e
@mohamedmweta-j4e Месяц назад
Baraka LLAH fih
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Месяц назад
mashallah
@nusalim3389
@nusalim3389 Месяц назад
Moja ya khizyi waliopewa majadida,kwenye maktaba zao Kuna masheikh wanatumia vitabu vyao kuwalingania watu ujadida Hadi Leo lakini mara TU masheikh hao wakawa mahizbi kwao☺️ mfano kw maktaba ya jadida utakuta vitabu vya bakr Abu zeid,Ali alhalabi,saleem alhilaly,fauzi Al athary lakini wakati huohuo hao ni mahizbi kwao,mgongano TU wanabaki kusema hiki ni kitabu cha mash'hoor alsalman kabla ya uhizbi😊au kitabu cha alhajuri na mohd alimam au mohd bin hadi kabla ya uhizbi,msingi mbovu,
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Месяц назад
ilo nalo neno maana apo ni sawa na ""kuharamisha nyama ukahalalisha supu"" au ""baniani mbaya ila kiatu chake dawa""
@rajabTaratibu
@rajabTaratibu Месяц назад
Hawawez kupata Majibu Hao majadida
@IssaNankalaga
@IssaNankalaga Месяц назад
Radi nondo
@Muswlih
@Muswlih Месяц назад
SOLOKA NJOO HUKU UMELITAFUT NJOO ASA UKO
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Месяц назад
😂😂😂
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Haji hata siku moja....Bachu ndio mwanamme wao hawa MAJADIDA 😂😂
@NuryaMusa
@NuryaMusa Месяц назад
Qasim mafuta kiongozi wa hizbu salafi wala hajielewi. Naww. Kipenzii chetu Muhammad ibn bachu. Allah mtukufu akuhifadh. Wallah hawa majadidah hawawez kukujibu. Kiufasaha kuhusu Al imamu suyutwiy . ALLAH subhanah wataalah amrehem
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 Месяц назад
Ukishakuwa upande mmoja huwezi kuwa muadilifu
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
​@@AminaAhmed999nyinnyi mumemfanya Kassim mafuta kama vile Maasum
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Месяц назад
​@@AminaAhmed999ww ambaye ni muadilifu ulikuwa upo upande gan kabla au ndo umesilimu leo?
@abuuyunusnassor446
@abuuyunusnassor446 Месяц назад
Hatari sijui hawasomi vitabu au wasoma lakin hawafahamu au wana Taassubi
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Dah soloka anajiharishia kijana sio kwa kichapo hiki huku shekh bachu, huku abuu zagar huku abuu Nuaym anachezea bakora tuuuu pamoja na mahizbu wenzake
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Месяц назад
Hachezei bakora anabainishiwa Haq tu, akiona Atafata akipuuza juu yake lakini, hao wanaojiita masalafi wanakosea sana
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 Месяц назад
Umetumia lugha sio nzuri akhy. Bado sisi sote ni waislamu.
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
@@saidmuhama9846 kaka mim hio lugha so wa kwanza kuitumia aliitumia shekh wao qassimu mafuta wakati akimradd dokta Islam akasema hiviy dokta Islam na barahiyan wamejiharishia na mim nimefatiliza hivyo hivyo
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
@@saidmuhama9846 akhiy wewee fiatilia rudud zao hao mahizbu Salafy wanakosoa watu Katika usulubu mbaya Sanaa kwa kutumia lugha mbaya
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
@@saidmuhama9846 na hayo maneno mim so wa kwanza Kuya Sema alisema Shekh wao qassimu mafuta alipo mradd dokta Islam pale alipokuja Katika mskiti wa alsheikh barabara ya Sita akasema kuwa dokta Islam na Barahiyan wamejiharishia hivyo mim nimenakili kwa shekh wao mafuta
@khamisali5942
@khamisali5942 Месяц назад
Ila somo ni zuri sana
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س Месяц назад
Navitàbu hawasomi nikulalamikatu
@harithsaid1834
@harithsaid1834 Месяц назад
Assalamualaikum warahmatullah swabahall kheiry sheh unajitahidi sana Allah akuwafikishe lakini kwanini mnajionesha ili kuonekana kuwa mmesoma pwent yangu lazima mjizungumshie vitabu pande zote kuonekana mmesoma sana hii ni riyya tujiepushe
@abdullatifmnyamis372
@abdullatifmnyamis372 Месяц назад
hamna riya hapo
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Месяц назад
unakosa faida chukua ujumbe na ufanyie kazi na umwombee dua kwa Allah isiwe riya. ukibaki na background ya vitabu unafeli na huezi elewa
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Месяц назад
Hiyo ni ishara ili ujuwe kuwa anaongea kielimu wala hakurupuki km majadidah
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 Месяц назад
Huu ni ushahid kua yeye sio mropokaji kila anokisema ni kutoka vitabuni
@saidabdallah5448
@saidabdallah5448 Месяц назад
Abdallah humed ukowapi tunaangamia nawewe upo bachu anatuuwa
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Месяц назад
Wanaelewa but wanatafuta kuchenj mada
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂 dah kweli ukimuona mtu anacheka pekeake usimshangae kwani kunakitu kimemchekesha Al akhe 😂😂😂😂😂
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj Месяц назад
Solokaa kaji changanyaa jamanii Allah akulipe kheriii
@hudhaifahsadru-xr2gg
@hudhaifahsadru-xr2gg Месяц назад
Uliwahi kusema akhy kuwa suyut hajawahi kufikishiwa ujumbe Zama zake, je ulipata kitabu gani?
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c Месяц назад
Mimi naona hawa majadida walikua hawamfaham suyutwi na wangemfaham wangekua wamfaham wangemtoa zaman ila sasa hv inabd wamtetee tu hata kama ana makosa hawakubali makosa yao
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@nasirdinmohammed8741
@nasirdinmohammed8741 Месяц назад
Anajitekenya na kujichekesha mwenyewe naona au vipi hatujaona dalili alizopewa na sakhawi tukajuwa kweli ni dalili za kumfanya ajue haqq inawezekana akawa na hadith zaifu ambazo kwakwe ameona sahihi ndio akajengea itikati hizo au sakhawi inawezekana akamnukulia hadith ambayo kwa ijtihada yake imamu suyutwi akaona ni hadith zaifu na sahihi lakini kwake akaona haina wajhu waistidilali na haya na mengine mengi ibnu taymiyya ameyataja kwenye kitabu chake رفع الملام عن الأئمة الأعلام kama njia za kuwapa udhuru wanachuoni koo labda ungetupa hoja zaid za saghawi ambazo amempa imam suyutwi kwa ufafanuzi afu tukaona amejizubu vipi kwa inaadi au kwa njia za kielimu ndio tutasibiti imesimama hoja kwake siyo kwa jumla jumla tu ingelikuwa vizur siyo kujichekesha upuuzi wala hakijuulikani cha kuchekea
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 Месяц назад
Unajitahidi kumbeba Dr. Islam lakini habebeki. amejuzisha kuchukua elimu Kwa sheitwaani sasa hili nalo vp? Kasuku wa zanzibar
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Leta hoja acha mipasho hio mahizbu salaf​@@AbuJuhaifah-c8j
@technicalyahya8314
@technicalyahya8314 Месяц назад
Naam
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db Месяц назад
Pale ambapo ustadh Bachu حفظه الله unatuficha sisi wanafunzi ni kwamba huyo mwanachuoni aliyemkosoa Imaam Suyuth رحمه الله je alimtoa kwenye usalafi au bado alikuwa salafi ? Na Je sheikh Muhammad Imaam alipokosolewa alitolewa kwenye usalafi au bado alikuwa salafi?
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Месяц назад
Akhuy jiangalie usifuate mambo kiupofu.
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 Месяц назад
Jibu swali kwa faida ya wote
@muhidini_abubakar
@muhidini_abubakar Месяц назад
shekhe letu leo kapiga pigo za kisufi kwenye mavazi😂😂😂 jaman utani tu huo😅😅
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Месяц назад
Maalim bainisha haki mm naamin maneno yako hayaendi patupu wapo watakaokuelewa japo kwa baadae madamu upo ktk haki
@Musahamisi-oj5lj
@Musahamisi-oj5lj Месяц назад
H maada nzito na elm yakeni kubwa Sana Kama atujuw tunyamaze tusifate ushbk
@zuberinasibu1441
@zuberinasibu1441 Месяц назад
Sheikh Qaasim Mtafuta kutokumjibu Mtoto wa Bachu Huwa inamuuma sana ndiyo sababu Kila bango lazma amtaje hata kama kilichopo hakimuhusu kwa wakati huo. Ila Muhammad Bachoo tambua si KILA MTU ANAJIBIWA na Kila sheikh. Wasaidizi WEWE wapo wa kukuweka sawa tu usiumie lakini.
@Musahamisi-oj5lj
@Musahamisi-oj5lj Месяц назад
H Maada n nzito inaitaj uwe Una el I'm tusifate ushabik
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Месяц назад
Anatajwa kwa sababu ndo kichwa cha majadidah na kutokujibu kwake bila shaka hana jibu
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Mwambie shekh wako ajibu mwenye elimu ya utafiti yeye kazi yake kuwabidiisha watu Rais wa mahadadiya tanzania
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Mwambie shekh wako ajibu mwenye elimu ya utafiti yeye kazi yake kuwabidiisha watu Rais wa mahadadiya tanzania
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 Месяц назад
Wasaidizi ndo kama huyu Soloka? Hoja zijibiwe hakuna mwenye darja ya kutobainisha haqqi ikiwa anajua.
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 Месяц назад
Kwahiyo wakikubali suyutwi ni mtu wa bidaa na hao unaowatetea na wao watakuwa watu wa bid'aa maana naona umehama nukta ya mzozo
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 Месяц назад
Kwahiy huyo kwenye picha ndio suyutwi?
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Месяц назад
Enyi majadida wenzangu tuchikueni elimu tu kwa walimu wetu ila usulubu wao tusichukuwe Tupende haqqi ....HAQQI INAPENDEZA ZAIDI KWETU KLIKO WATU ....(walimu wetu) TUSIWE KAMA MASUFI wanachokisema walimu wao ndo wanafata hata wakibainishiwa HAQQI
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س Месяц назад
Nakwaĺeo tumegundua kwamba masalafijadida niwajinga kwakweli
@bacteria5184
@bacteria5184 Месяц назад
Shee bachu kunywa soda hapo mombasa nakuja kulipa,Leo masalafy wanaulizana nani atakujibu,yaani wanaogopa utawatia aibu.bc tena shee bachu
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Месяц назад
😆
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 Месяц назад
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Unajitahidi kumbeba Dr. Islam lakini habebeki anajuzisha kuchukua elimu hata kwa sheitwaani hili nalo vp sheikh?
@AmirJuma-p5j
@AmirJuma-p5j 25 дней назад
Shee bachu siku alipomjibu dj said ndio siku aliopungua thamani yake
@musa123v
@musa123v Месяц назад
NUKTA YA KWANZA Audio ya sheikh Qasimu mafuta (Allah amhifadhi) Ukisiliza hiyo audio ya sheikh kwa makini,ni kuwa kuna watu walikuwa sio maulamaa mujtahid wakawa mbele kwenye kutoa fatwa ,wakakosea badala ya kuwaachia waulamaa kosa lao liho likawatoa kwenye njia ya sawa Lakini kwa alimu mujtahid,akikosea hupewa udhuru japo haitafaa kumfuata kwenye kosa hilo.
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Sasa mbona wao hawajampa udhuru Muhammad Al-imam? Au huo udhuru unakwenda kwa makabila maalum? Kubalini mara hii mumezidiwa hoja, musiwe na viburi😂😂😂😂
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me Месяц назад
Huyu dogo anatafut umaarufu ila atadhalilika tu in sha Allah wewe unamtia kwenye bidaa mwanachuoni mkubwa unamjua lkn suyuutw
@Najma_Mbaruk
@Najma_Mbaruk Месяц назад
Oya mwamba kuwa makini na comment zako, ametiwa kwenye bidaa Au Amefanya bidaa mwenyewe? Yeye mwenyewe amesema maulidi yanafaa. Yeye mwenyewe ndio alosema kamuona mtume akiwa yupo macho mara 70. Yeye mwenyewe Ameomba maiti.............sasa hapo amitiwa au amejitia mwenyewe.
@abdillahsuleiman2278
@abdillahsuleiman2278 Месяц назад
leo kuna tatiz gani la kiufundi darsa inaganda ktk dakik ya 22 apo
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Месяц назад
simu yako huenda ina shida
@khamisali5942
@khamisali5942 Месяц назад
Swah
@MattarOnlineTV
@MattarOnlineTV Месяц назад
Mashallah
@MohammedSalim-lz3bv
@MohammedSalim-lz3bv Месяц назад
Kuwa serious Ustadh,hayo mambo ya kucheka kwa kebehi haipendezi…
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 Месяц назад
Jamani mimi naomba nimuulize uyo bachu na naomba nijibiwe kielimu. ikiwa kumuona aliekufa pasina kuota haiwezekani na tunakubali mitume wote wamekufa isipokua nabii issa Swali:(1) zipo dalili zinazoonesha mtume alivoenda kule israai aliwaswalisha mitume wote sasa aliwaona vipi wakati wameshakufa? (2) Ikiwa suyuutwi alimuona mtume unasema ni mrongo na haiwezekani sasa mtume aliwaona mitume naye unamuita ni mrongo? Naomba kujibiwa bila kutukanwa.
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Месяц назад
Mtume huwezi kumfananisha na mtu wa kawaida, jambo ambalo haliwezekani kwa mtu wa kawaida linapowezekana kwa mtume linakuwa ni sehemu ya miujiza yake, kwaiyo huwez kujenga hoja kuwa madam mtume kaona au kafanya jambo fulani na yyte anaweza kuona au kufanya
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 Месяц назад
Nikweli kabisa mtume si kama sisi Kwahiyo kumbe Allah aliwafufua mitume wote mtume s.a.w akawaona sasa inakuaje mnasema ni muhali kwa Allah wakati amelifanya hilo Swala lililo kinyume na ada kama hilo linawezekana kwa Allah. Allah akilifanya kwa mitume huitwa muujiza akilifanya kwa watu wema huitwa Karama kama ilivokuwa kwa shekh letu imam suyuutwi r.a
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Месяц назад
@@bashirusalumbigapsana673 Kitu ambacho hujakielewa ni kuwa miujiza iliyotokezea kwa mitume hiyo ni maalumu kwao wao tu haiwez kutokea kwa mtu yyte, kinyume chake itakuwa tunafungua mlango wa kuwa sawa na wakristo wanavyowaamini wachungaji wao. Ebu nijibu suala langu kulingana na maelezo yako: je akitokea shekhe mkubwa akadai kuwa leo mchana alienda mbinguni akazungumza na Allah baadhi ya mambo pia akapata nafas ya kusalimiana na malaika wa Allah wote na akatembelea baadhi ya maeneo huko mbinguni kisha akapewa Tsh. billion 2 za matumizi na yote hayo yalifanyikana ndani ya dakika 1 tu akarudi je tusimuamin na kwanin?
@bacteria5184
@bacteria5184 Месяц назад
Masalafy shee mafuta kashasema kosa moja inatosha kkutoa kwenye salafy,je imam suyuti na ibn taymiah walikosea je mbona hamwatengii?mkasome
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary Месяц назад
Shaykh jitahidi kujibu messages WhatsApp, twajua una mengi ya kufanya ila tafadhali jitahidi kwani tunayo mazuri ya kukufikishia na biidhnillah yataleta manufaa zaidi
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Месяц назад
Unatuma sms kwa namba ipi wewe?
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary Месяц назад
Zantel ​@@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@muhsinabdalla1680
@muhsinabdalla1680 Месяц назад
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Tuma namba yako ya kenya
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_.Shekh Mohamed bachu Allah akuhifadh na akupe umri marefu wenye manufaa nawe tunaomba ubainishe haki wewe ndio uliebak baada ya kufariki shekh abuu muawiya kuelezea uvundo wa Hawa hizbu Salafy mahadadiya maswaafiqa waliofanya usalafi kama pote au kikundi
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_.Shekh Mohamed bachu Allah akuhifadh na akupe umri marefu wenye manufaa nawe tunaomba ubainishe haki wewe ndio uliebak baada ya kufariki shekh abuu muawiya kuelezea uvundo wa Hawa hizbu Salafy mahadadiya maswaafiqa waliofanya usalafi kama pote au kikundi
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 Месяц назад
Porojo tupu elimu ndogo ni udhia
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Месяц назад
Njoo ujibu akhy usiseme2 elimu ndogo
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 Месяц назад
@@Hamis-ks1sy tatizo ni kwamba nyinyi wafuasi wa bachu mnasikiliza upande mmoja
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Leta hoja Kaka acha mipasho hiyooo
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Месяц назад
​@@Abuuabdillah259uongo sisi tunaskiza wote kwa kuwa tunaitakid ni masheikh wa Sunnah,ila ninyi munaitakid ni masheikh wa kihzb ndo hamumskiz,so usituzushie, Pia Ukifuatilia ujibuji wa soloka na ufafanuzi wa bachu ktk majibu hayo unajua kuna mtu anatuviligia ili kutetea pote lake
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Месяц назад
​@@Abuuabdillah259bachu hana wafuasi ilo la kwanza sisi tuna sikiza hoja za kisheria na la pili nani amekuambia hatusikizi kote. Tunasikiza kote japo soloka na wenzie ukisikiza unachoka wanaboa hawana mpangilio, na huhukumu mambo kwa ujumla na hawajibu maswali kwa mpangilio yakaisha inakua kama kelele tu, na wanashambulia sana mtu kwa matusi badala ya kushambulia hoja. Na mwisho ni watu wanaopituka mipaka kwenye mambo yao
@Mbarkakombo
@Mbarkakombo Месяц назад
usione umepatia hamna ulilotetea hapo unasubiriwa ujibiwe na utajibiwa
@abdullatifmnyamis372
@abdullatifmnyamis372 Месяц назад
be neutral utaelewa
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Месяц назад
haq hufuatwa sio kujibiwa, na kiburi sio maungwana kwenye hili wakubali tu na wafuate haq, wala sio kushindwa ni haq
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Acha mipasho kaka leta hoja mipasho mwiko
Далее
Dora was kidnapped and then… 😨 #shorts
00:18
Просмотров 2,4 млн
Какой звук фальшивый?
00:32
Просмотров 610 тыс.
UKITAKA KUPENDWA NA WATU FANYA HAYA // SHEIKH IZUDIN
56:33
013 Jawahirul maani
3:21:48
Просмотров 8
Dora was kidnapped and then… 😨 #shorts
00:18
Просмотров 2,4 млн