Hakuna Rais mjinga na mpumbavu kama Magufuli. Anaongea usiku na Makonda ili ajitokeze hadharani kuonyesha silaha. Mbona una walinzi wengi sana na wewe unazo silaha. Hebu tembea kilometa moja tu hapa Dar es salaam kama Mwinyi au Kikwete watakukuta baharini. Kiongozi anateka watu, anafunga watu, anaua watu nani atamwacha akiwa peke yake barabarani.
Nivizuri sana alifanya ....ila polisi ndio tatizo ukienda kuhakiki unaweza ukaiacha hapo na kuja kuichukua ikawa ni msalaba mwingine tena. wakifanya kama walivyomfanyia mkuu hapo zoezi hili sila kuchua mda
WELL DONE MR. PRESIDENT. UMEONESHA NJIA NA HILI NI SOMO TOSHA KUWA "MADARAKA SIO KINGA YA KUTII SHERIA" KWA KUWA WATU WOTE TUPO CHINI YA SHERIA KIKATIBA. TUMUUNGE MKONO, TUTASHINDA. KUHUSU KAULI YAKO YA UMEYA WA JIJI, MIMI NAKUPA 100/100 KWANI NAAMINI UTAKAPOINGIA KATIKA OFISI ZA CCM WATAKUELEWA TUU.
Huyo ni Askari anajua Bunduki ni nini na risasi ni nini, huyo anae koki koki hapo ni raia yeye anakoki koki tu, huwaga zinabakigi humo kwenye chamber, ukikoki inafyatuka ukiwa unajua lazima ukae pembeni.
tanzania ni nch tajili sana kla kitu kipo lkn viongoz wachache wengi wanakula pesa nyingi bla kuangalia laiya wema nimefulahi sana kuona lahis kama huyu ambaye anayaona mengi tunayofanyiwa tz a love u home a love u magufuli so lais bali ni mfarme wetu huyu niwaombe watanzania kua tumuachen magufuli miaka yote ili aitengeneze nch yetu tz