Je ni wangapi siku ipiti Kama hawajaiona hotuba ya Shujaa wetu MAGUFULI?mie bado naumia tu kwakumpoteza Raisi wetu kipenzi cha WATANZANIA wanyonge Daima tutamkumbuka PUMZIKA kwa Amani Raisi wetu MAGUFULI 😭 😭😭😭😭
Me kila kuitwapo Leo nangalia hotuba yake Jembe LA kazi hayati Dr John pombe Magufuli Tutamkumbuka daima saivi hatuna Rais wakutetea nchi yetu kwa Hali hii ya Watu kuwawa ovyo
Pumuzika kwa amani babaagu nilikupenda saaaaana nahaipit siku bilakukufatilia katika mitandao naukizingatia wewe ndouliekuwa rais wangu wakwanza kukupigia kula tokaniigie kwenye mfumo wakupiga kula.