Тёмный

Rais Magufuli Akutana na Wafanyabiashara Ikulu Kusikiliza Changamoto Zao 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Rais Magufuli Akutana na Wafanyabiashara Ikulu Kusikiliza Changamoto Zao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt John Magufuli, Leo Machi 19, 2018, ameongoza Mkutano wa 11 wa baraza hilo, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Dhumuni la Mkutano huo ni kujadili mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya biashara nchini, na namna ya kutatua changamoto zinazoikwamisha sekta hiyo kuendelea kuku na kupanuka kimataifa zaidi.
Kauli mbiu ya baraza hilo ni “Tanzania ya viwanda - ushiriki wa sekta binafsi”.
Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage, Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara, Elisante Olegabriel, Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majliwa, Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri mkuu, Sera, Bunge, Watu Wenye Ulemavu na Vijana, Jenista Mhagama, Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi, Nk.
Aidha mkutano huo umehudhuriwa na Wafanyabiashara Mashuhuri nchini akiwemo, Mohamed Dewji 'MO', Mkurugenzi wa IPP Reginald Mengi, Said Salim Bakhresa na wengine wengi.
Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 6   
@freddymello3227
@freddymello3227 6 лет назад
Hongera sana JPM,serikali sikivu ndio hii.ushirikishwaji wa wadau bila ubaguzi na maoni kufanyiwa kazi kwa muda mwafaka.Hapa kazi tuu!
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 5 лет назад
Ni kweli kenya wana wakala wao anayekusanya maparachichi kwa bei anayopanga mwenyewe kilo moja ni tshs 11000 na anapeleka kenya kwa ajili ya kubrand logo ya kenya na kupeleka ulaya but nafikiri serikali inajua hili so mheshimiwa rais chukua hatua mapema kwa hili jambo katika wizara husika je hawana taarifa na hili jambo na matunda hayo yanapita wapi hadi kenya?Pia njombe kunaweza kuwa na kiwanda cha usindikaji hayo matunda so hiyo ni fursa kwa wawekezaji kuinvest na kuajiri wananchi na wataalamu mbalimbali waliopo nchini....ni hayo tu
@evidencekangimba1538
@evidencekangimba1538 6 лет назад
naomba wahusika serikalini wafanyie kazi haya maoni ya wafanyabiashara maana ndo wanaoufanya uchumi wetu upande kwa kiwango kikubwa
@janesuma2193
@janesuma2193 6 лет назад
Fred shoo fresho kampany naomba unipatie vyeti vyangu na muheshimiwa rais alione ili anifanyie haki katika vyeti vyangu ni haki yangu na Mali yangu huna sababu ya kuvizuia MKURUGENZ WA FRESHO INVESTMENT SHINYANGA unachukua vyeti vya wafanyakaz na kuvikatalia nataka vyeti vyangu
@evidencekangimba1538
@evidencekangimba1538 6 лет назад
bilashaka hadi mnapeana vyeti kuna makubaliano fulani baina yenu, hakikisha unatimiza mashariti ya makubaliano yenu
@freddymello3227
@freddymello3227 6 лет назад
Jane Suma umefuata taratibu za kisheria kuhusu jambo hili?
Далее
MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA
3:52:16
Просмотров 31 тыс.
Agizo la Rais Magufuli kuhusu Wamachinga
22:08
Просмотров 343 тыс.
MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA
4:07:50
Просмотров 20 тыс.