Тёмный

RAIS SAMIA ALIVYOINGIA TENGERU LEO, ULINZI WAKE NASSARI AMKOSHA AKIOMBA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Год назад
Tunamuomba mwenyezi mungu subhana huwataallah amjaalie rais wetu afya njema ,❤❤❤❤❤❤❤,kazi iendeleee
@user-qp9mr5ge5e
@user-qp9mr5ge5e Год назад
Shikamoo mama tunakupenda Sana hatuna Nia mbaya na wewe tunakuomba Umtangulize Mungu ndiye atakupa uwezo wa kutuongoza najua huwez kumridhisha Kila mtu uishi maisha marefu Mama Samia
@kelvinkangomba9590
@kelvinkangomba9590 Год назад
My president❤❤
@bongo39
@bongo39 Год назад
Mama piga kazi wachawi wanga wafunge midomo yao wezi wa fadhila wasioujua kushukuru mungu
@Monica1Mona1
@Monica1Mona1 Год назад
Mama samia upo vizuri na unaupiga Mwingi saanaaa Comrade
@davidpaulbernard
@davidpaulbernard Год назад
Ukiona hayo elewa ni nguvu ya pessa inashangilia Lakin ukweli ni unabaki. Kuwa ukweli ya kuwa tumeuzwa na hao hao wanaoshangilia wakipewa fedha waandamane wanaweza . so shida ni kwamba tunatofautiana kipato.pole Sana Tanganyika
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Год назад
Safi Sana Mama
@khalifamutabuzi6583
@khalifamutabuzi6583 Год назад
Kazi Iendelee
@ChidBoy-fz8qs
@ChidBoy-fz8qs Год назад
Saf sana mama Samia soko
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Год назад
Tatizo letu mambo mazuri comment ni chache,ila jambo baya au mrembo kapiga vitu vya Uturuki comment hadi 10000
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
Piga kazi mama nafungua nchi
@davidpaulbernard
@davidpaulbernard Год назад
Na aliyoyasema dugai alijua Kila kitu na ndio maana wakamtaka ajiuzuru.ila. Dugai anajua kabisa bandari insuzwa ili tupunguze den la uvico 19.
@roseamos2812
@roseamos2812 Год назад
❤❤❤❤❤
@highthemetv7857
@highthemetv7857 5 месяцев назад
Kuna mume wa mtu hapo anaita mamaa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
WATANZANIA WANAFIKI SANAA. MNALALAMIKA ANAUZA NNCHII, LAKINI BADO HUKU MNA MPIGIA MAKOFII, SASA TUWAELEWEJEE?
@richardbegga6679
@richardbegga6679 Год назад
Wameripwa Sh ngp hao watu wa CCM?
@allymusira2153
@allymusira2153 Год назад
Wewe ukimtukana wenzio wanamuelewa
@muzneali4747
@muzneali4747 Год назад
Wabejibanza kimya ingekuwa hakuna watu ungewaona wakiponda Binaadamu taabu saana
@mohamedbushoberwa9418
@mohamedbushoberwa9418 Год назад
🥰🥰🥰🥰
@kingnkumbi5834
@kingnkumbi5834 Год назад
Hizi combati zingne ni jeshi la wapi naomba kueleweshwa 🙏
@natgeowildafrika7328
@natgeowildafrika7328 Год назад
Dp world
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 Год назад
Hahaha 🤣🤣🤣🤣
@mrjaula7769
@mrjaula7769 Год назад
Jamani hata no comments jamaniii 😭😭😭😭😭😭😭
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 Год назад
Mtapigwa Bei mpaka kaptura zenu
@mayaally2512
@mayaally2512 Год назад
HII NCHI WATU WANAJUA WANATAKA NN WA MITANDAONI WANAJISUMBUA NA NI O.OO1%
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Год назад
TANAZANIA HATUKUWAHI KUWA NA RAIS MNYENYEKEVU NA MCHA MUNGU WA UKWELI KAMA MAMA SAMIAH! ASANTE SANA MUNGU BABA KWA KULIPENDA TAIFA LAKO HADI UKAMLETA MTEULE WAKO AMINA!
@hashimuuhehwa1320
@hashimuuhehwa1320 Год назад
Bwege wewe
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Год назад
@@hashimuuhehwa1320 Hata utembelee kichwa, sisi huyu ndo rais wetu mpendwa na atakuongoza hata wewe miaka mitano tena. Ukimchukia ndo Mungu anazidi kumbariki zaidi!
@hashimuuhehwa1320
@hashimuuhehwa1320 Год назад
@@cleophacephelician6739 Sema wewe sio sisi kiswahili hujui nini au wewe sio Mtanzania?
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Год назад
wauza bandari
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Год назад
Kiongozi ukipendwa huwezi kuweka ulinzi mkubwa hivi,,,,sasa wanaogopa nini viongozi wa kiafrika?kutembea nchini mwao kwa ulinzi mkubwa na mabunduki ya vita
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Год назад
Hukusomea Protocol ya Usalama Kaa kimya Kwani duniani kuna binadamu atapendwa na Kila mtu Binadamu huyo hajazaliwa labda wewe utakuwa ndio wa kwanza
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Год назад
@@ramadhanimtetu3656 viongozi huku ulaya wanararuana kwa maneno ata kwenye mabunge yao...ila hawana ulinzi wa hivyo...ni viongozi wa vi nchi maskini kununua bunduki hizo kuwaua waafrika wenzao..leo tunaona huko sudan..kwani bunduki si viwanda viko ulaya...?
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Год назад
@@ambokileasheengai1140 Ulinzi Kwa Viongozi wetu ni Suala nyeti linaloratibiwa na Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama sababu Kila mtu ana Maadui na wanaompenda kanuni ya kiusalama inasema m-baya kajificha m-baya haonekani kwa urahisi Ndio Maana nchi kama Marekani imepoteza Marais wao kadhaa kwa kuuawa na watu waovu akiwemo Rais Kennedy
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Год назад
Wanafiki hamkosi la kusema! Magufuli mlimsifu kila kona ila ulinzi wake mkubwa hamkusema, leo mama analindwa kama watangulizi wake, mmeanza makelele. Tuwaeleweje!? Ulinzi wa rais we unakuhusu nini!?
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Год назад
@@cleophacephelician6739 mimi ata ulinzi wa Magufuli sikusifia ni upuuzi mkubwa viongozi wa Kiafrika kutembea na ulinzi na magobole yaliotengenezwa ulaya na wao wenyewe wako huru,,ina maana sio wasafi kabisa
@nolascotesha8996
@nolascotesha8996 Год назад
Stendi yetu yamkoa mama mbona hatuielewi mama,ahadi yastendi imekua kizunguzungu sana.
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Год назад
Watanganyika hata hawajielewi
@NDEWARA
@NDEWARA Год назад
Mtanganyika nani😂😂 Tanganyika ilikuwa estate ya wajerumani 😢Sisi ni Watanzania 🎉🎉🎉
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
Sina comment acha nikae kimya sina wakili mie😂
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 Год назад
BANDARI BANDARI SHIKAMOO
@Bikhafija
@Bikhafija Год назад
Bandar umefeli mm lazima tuseme ukweli
@khalifamutabuzi6583
@khalifamutabuzi6583 Год назад
Kazi Iendelee
@khalifamutabuzi6583
@khalifamutabuzi6583 Год назад
Kazi Iendelee
Далее
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16