Тёмный

RATIBA YA KIKOSI CHA YANGA IKO HIVI/ MENEJA WALTER AFUNGUKA 

Yanga TV
Подписаться 627 тыс.
Просмотров 71 тыс.
50% 1

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Спорт

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 153   
@user-ql6hg7fy9p
@user-ql6hg7fy9p 12 дней назад
Ikawe heri kwa wachezaji wote na benchi la ufundi, kwa neema ya Mungu tujaliwe kuwa na msimu bora zaidi wenye mafanikio makubwa, kwa kila hatua Mungu awe pamoja na timu yetu.
@fadhilsalum2143
@fadhilsalum2143 12 дней назад
i like 👊👊👊
@lucianaligambasi
@lucianaligambasi 12 дней назад
Amen
@MariamMasanja-kd3lm
@MariamMasanja-kd3lm 12 дней назад
Ameen
@user-ig8iq1ho4o
@user-ig8iq1ho4o 12 дней назад
Inshallah
@SimonAnton-uo1rr
@SimonAnton-uo1rr 12 дней назад
Amen❤❤
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 12 дней назад
MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@amaniomar1755
@amaniomar1755 12 дней назад
Safi sana wanajeshi wetu 🎉🎉🎉 pambaneni tuko nanyi kwa maombi
@saumbakar7643
@saumbakar7643 12 дней назад
Kila la kheri timu yangu pendwa mungu awatangulie katika maandalizi ya msimu ujao, YOUNG AFRICANS💚💚💛🙏🙏
@user-fw2jk3mx7g
@user-fw2jk3mx7g 12 дней назад
Safi sana viongozi wetu na wachezaji kujali kazi yenu kwa kuwahi kuriport kazini
@user-zv3rm3st3b
@user-zv3rm3st3b 12 дней назад
Ss wanachama na mashabiki wa yanga African tupo nyuma yenu na nyuma ya timu yetu, kwa kumuomba mwenyezi mungu awake afraid njema. Amina
@NeemaValentina
@NeemaValentina 10 дней назад
Mko vizuri sana God bless you all management of yanga Africans club
@magrethmakauki235
@magrethmakauki235 12 дней назад
Waooo safi sana wananchi. Mungu wa mbinguni awasimamie
@apostleisaacnyika4669
@apostleisaacnyika4669 12 дней назад
MUNGU Akawatangulie Na Kuwafanikisha Kwa Kila Jambo Ukawe Ni Msimu Wenye Mafanikio Makubwa 🔰💚💛
@amaniandrew534
@amaniandrew534 12 дней назад
Safi sana chama langu,mungu awe nanyi kwa msimu huu ligi ulianza,tuko pamoja sana wananchi
@josephatkibona2814
@josephatkibona2814 12 дней назад
Mungu ijalie timu yangu iwe bora zaidi ya msimu ulioisha tuepushie majeruhi❤❤❤❤
@AdyanMbuyu
@AdyanMbuyu 12 дней назад
comment ya kwanza piga like
@user-vm4zq7kf4e
@user-vm4zq7kf4e 12 дней назад
Ume comment nini sasa
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 12 дней назад
Mwenyezimungu awalinde ktk mwaka 24..25 ktk kazi zenu dua kwenu nimuhimu kwetu In sha A llah Allah kariim🎉🎉
@AnnaChami-ew4cy
@AnnaChami-ew4cy 11 дней назад
Hongerni sana Mungu awaoe nguvu zaidi
@user-sp5hl7ub9z
@user-sp5hl7ub9z 12 дней назад
Mungu awaongoze yanga yetu
@ziadamuhunzi6210
@ziadamuhunzi6210 12 дней назад
Nguvu moja maisha marefu mwenyezi mungu awatangulie majembe yetu inshaallah
@JacksonFrances
@JacksonFrances 11 дней назад
Modern Club in Tanzania 🇹🇿 Dar Young Africa Chama la Kibabe 💪 💪 💪 Lenye Malengo Makubwa Mnoo. Mamelodi Sun Down Wajiandae Maana Moto Huu Ukianza Kuwaka Hakuna wa Kuuzima. Tanaenda Hadi Nusu Fainal na ikiwezekana tunafika Fainal. Hata Motsepe Anajua....🎉🎉🎉🎉🎉❤❤😂❤😂😂❤😂🎉🎉🎉
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u 12 дней назад
Like za jeshi apa 🤙
@alfasilasi5286
@alfasilasi5286 11 дней назад
Nakubali chama langu💚💛💚💛
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 12 дней назад
Namuomba M/Mungu awajaalie nusra na ulinzi timu yote kwa ujumla Inshaallah
@nyagoonline7986
@nyagoonline7986 12 дней назад
💛💛💚💚daima mbele nyuma mwiko
@JuliusMnkondo-fk9kv
@JuliusMnkondo-fk9kv 12 дней назад
Kwa kweli nimemuona mwanangu Danis Nkane anapasha saf sana
@BectMaridadi
@BectMaridadi 12 дней назад
Mungu ibariki tmi yawananchi kazi iendelee 2anzie 2lipoishia inshaalah 2po pamoja
@FaustinaMkama
@FaustinaMkama 12 дней назад
Safi.tunamatumaini makubwa na timu yetu
@DAUDIMNKONDYA-w6r
@DAUDIMNKONDYA-w6r 12 дней назад
Mungu abariki kikoso chetu cha wananchi by daudi mkondya nikiwa hapa bukoba
@user-zx1vk9pr1w
@user-zx1vk9pr1w 12 дней назад
Eebwana weeeh ! Waaooh ! Daima mbele , kila la kher chama langu
@mackford4698
@mackford4698 11 дней назад
Hamnaga show mbovu 🎉 milele love young Afc
@AminaTanzania
@AminaTanzania 11 дней назад
Yanga yangu na wapenda sana nyoteee mwaaaaaa yanga
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 12 дней назад
Mchezaji wangu max nzengeli yule pale
@malick_jrzramadhan7298
@malick_jrzramadhan7298 12 дней назад
Hongera sana viongozi wetu ikawe kheri kwa msimu ujao
@reginardmrl5283
@reginardmrl5283 12 дней назад
Hakika msimu huu tutafika nusu fainal.Caf💚💚💚👉💪
@user-kx2lw1fc3w
@user-kx2lw1fc3w 10 дней назад
Ikawe her kwa timu yetu safar hii Africa ikasimame na kushuhudia ubingwa ukija tanzania
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 12 дней назад
Allah awasimamie mwanzo haad mwisho wa msimu
@mussakefa2439
@mussakefa2439 12 дней назад
Team Iko Iko tayari poa sana nasisi mashabiki tuko tayari 💚💚💚💚
@habibumavulla
@habibumavulla 12 дней назад
Naitakia Mafanikiho mema time yangu Ya yanga piya nawaombea muwe na Afya njema Yanga Bingwa💛💚
@aminakhamis2276
@aminakhamis2276 12 дней назад
Kila lakheri wananchiiiiiii tupo pamoja inshaallah
@feruzifeisaly-nh6ou
@feruzifeisaly-nh6ou 12 дней назад
Daima mbele nyuma mwiko
@aminangano3635
@aminangano3635 12 дней назад
Kila la kheri Vijana🤲🤲💛💚
@monicalucas3738
@monicalucas3738 12 дней назад
Meneja wetu huyo🎉🎉🎉
@ibrahimomary1386
@ibrahimomary1386 12 дней назад
kuna watu hawataleta team
@MossiSaadat
@MossiSaadat 12 дней назад
Kila la kher wananchiiiiiiiiiiiiiiiiii
@joelkamanda1013
@joelkamanda1013 12 дней назад
Tunawaombea sana kwa Mungu.
@ArafatAlly-b3n
@ArafatAlly-b3n 12 дней назад
Ikawe kheri ishaalla
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 12 дней назад
Tim kubwa daima mbele kwa mbele❤❤❤❤
@PatrickMalema-f9s
@PatrickMalema-f9s 10 дней назад
Mungu akabarik
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 12 дней назад
Allaah Akbar
@shomarisangari-rt6le
@shomarisangari-rt6le 12 дней назад
Mungu ibariki safari yetu ya club Bingwa
@sarangajohn9338
@sarangajohn9338 12 дней назад
Ongera mungu awabariki
@MAJALIWAMASSANGA
@MAJALIWAMASSANGA 12 дней назад
All da best wananchi.
@dominamushi7171
@dominamushi7171 12 дней назад
Kila la her wananchi mungu akawatanguli kila hatua mtakayopiga🙏🙏
@user-gg3rl2ru8u
@user-gg3rl2ru8u 12 дней назад
Kwani vp kuhusu Aziz k mbona hamsemi chochote 🥺🙄
@HawaAlznezbar
@HawaAlznezbar 12 дней назад
Allalh ataweka wepesi insha allalh
@patrickndizeye2190
@patrickndizeye2190 12 дней назад
Mambo fresh sana
@allyforodha2303
@allyforodha2303 12 дней назад
Saf sna tim yangu pendwa
@AlexIsubila
@AlexIsubila 12 дней назад
nawakubali san wanajesh wa vita
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u 12 дней назад
Kuna watu wameenda kuzulula
@yosayocomedytz
@yosayocomedytz 12 дней назад
💚💚💚
@simonwenceslaus3745
@simonwenceslaus3745 12 дней назад
Adi raha
@michaeljames403
@michaeljames403 12 дней назад
Maulid kitenge kaharibu hali ya hewa kuhusu @ Aziz ki kwamba hajasaini kuwa Rais kathibitisha hilo leo akiwa South Afrika
@maestrokiss7245
@maestrokiss7245 12 дней назад
Msimu ndio tunauanza namna hii!!! Kila la heri kwetu ukawe msimu bora na wenye mafanikio tele
@Alexismadimo
@Alexismadimo 12 дней назад
Mungu pamoj nasi
@LeonardRuteangwa
@LeonardRuteangwa 12 дней назад
Nawapenda sana wananchi ❤
@GregoriRafael-je1sd
@GregoriRafael-je1sd 12 дней назад
Munguu n mwema
@HajiTarimo
@HajiTarimo 12 дней назад
Vamos wananchi
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 12 дней назад
Nakubali sana
@JumaMngumba-123
@JumaMngumba-123 10 дней назад
kila la kheri wananch once again
@kassimomar7589
@kassimomar7589 12 дней назад
Allah walinde wachezaji wetu na watu wenye chuki na sisi
@thuwaibamkana9691
@thuwaibamkana9691 12 дней назад
M/mungu awatangulie
@mailulaamani
@mailulaamani 12 дней назад
yanga bingwa
@Gabriel-q7x1f
@Gabriel-q7x1f 12 дней назад
Vizr sana naimani tutafika kwenye mafanikio
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 12 дней назад
Mashaallah
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 12 дней назад
Nice
@MoajGraphics
@MoajGraphics 12 дней назад
Yanga Sc Bingwa 🔰
@NTIYABALIWEBUTEME
@NTIYABALIWEBUTEME 12 дней назад
Hakika tutazidi kunawili
@ReeMsafi
@ReeMsafi 12 дней назад
👍
@gerardyoung1707
@gerardyoung1707 12 дней назад
Maneno makubwa ni malengo makubwa big young Africa Sports club
@hamisiyangakozwe147
@hamisiyangakozwe147 12 дней назад
💪
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 12 дней назад
Wakina mama Debora wameenda misri ngoja wakapake rangi kucha wakirudi watakuwa wamependeza tar 8 tukawachumbie
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 12 дней назад
Yanga bingwa 😅
@aishabakari8040
@aishabakari8040 12 дней назад
Nimemuona roho yangu jezi imempendeza kawa mwepe aiiiii🙈
@ShimaKaheto
@ShimaKaheto 12 дней назад
Wananch mmetisha
@user-hb2nn6ud2d
@user-hb2nn6ud2d 12 дней назад
Jaman azz yuko wp mbona naskia moyo unashtuka
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 12 дней назад
💛💚
@asiahamisi-lo5lw
@asiahamisi-lo5lw 11 дней назад
❤❤❤
@LukindoMchome-qv3vo
@LukindoMchome-qv3vo 12 дней назад
❤❤
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 12 дней назад
KAZI KAZI... HAINA KUPOA!!
@AinessAmani
@AinessAmani 12 дней назад
Hongeleni tunateĝmea mazuli kwenu jaman
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 12 дней назад
Acha wakazungushe sketi zao huko wakirudi hapa wanaanza oooh GSM kadhamini timu nyingi
@user-eu6gl4vs1o
@user-eu6gl4vs1o 12 дней назад
Nimefurahi kuwepo Msonda
@jackobchavala3384
@jackobchavala3384 12 дней назад
💚💛
@DicksonNasibu-tv7vr
@DicksonNasibu-tv7vr 12 дней назад
Daima mbele Nyuma mwiko
@lilamaganga2690
@lilamaganga2690 12 дней назад
🎉🎉🎉🎉
@shaabanabdallahkhamisi4089
@shaabanabdallahkhamisi4089 12 дней назад
Daima mbele nyuma mwiko tunaimani na nyinyi jeshi letu
@dicksonngasapa7007
@dicksonngasapa7007 12 дней назад
Viongozi hamna baya timu ipo 3:56
@AbbyBakari-ix4hi
@AbbyBakari-ix4hi 12 дней назад
🤲🤲🤲
@user-cb4mt3fb7p
@user-cb4mt3fb7p 12 дней назад
🙏🙏
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 12 дней назад
Nimemiss sana kikosi changu hata tv siangali sipati boll lakutupa furaha
@OmariGidion
@OmariGidion 12 дней назад
Moooto wananchiii wa moooto
@KhubeibuHamisi
@KhubeibuHamisi 12 дней назад
💚💛✅✅
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo 12 дней назад
Jeshi letu ilo naona munajiweka sw
Далее
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24