Тёмный

RAY KIGOSI: MAMA KANUMBA ANALIA NJAA/ YALIYOMO NI BALAA 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 126 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

28 окт 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 172   
@medysaid2704
@medysaid2704 4 года назад
ALIEGUNDUA TOKA AONDOKE KANUMBA NA MZEE MAJUTO MAMBO YAMEMENYWEA AGONGE LIKE TWENDE SAWA KAZI KUJISIFIA SANA NAKUNYWA MAJI MENGI ILI KUWA MWEUPE
@farhatali682
@farhatali682 5 лет назад
Ww rey acha ushamba wa kusema mama kanumba analia njaa cio kauli nzuri hyo
@adoniamaseneje5669
@adoniamaseneje5669 5 лет назад
kama hujaskia movies ya gabo zigamba gonga like
@bahatikyeje766
@bahatikyeje766 4 года назад
Nimemsikiliza rey zaidi ya mala tatu hajaonge kwa ubaya kabisa, ila watu mmemwelewa tofauti niliposoma coment nam nilichukia zana lkn sio, tusikilize vizuri na si kukurupuka kucoment.
@sylviah9666
@sylviah9666 3 года назад
Kwenda huko...mbwa wewe....huyo n mzazi anaongelewa Angekuwa mamako ungesema hivi....mbwa koko ww
@frankmalimba5539
@frankmalimba5539 4 года назад
Kama we we umesikia kauli mbovu ya Rey gongs like yako hapa tweñde xwa
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 года назад
Vincent kigosi hajaongea vibaya jamani mumusikilize vizuri , amesema mambo ya njaa sababu ya Muindi listen very careful. I like Vincent kigosi
@tunufumakule5626
@tunufumakule5626 5 лет назад
Filam bongo ishajamba kanumba kaondoka na filam zake
@frankjully5457
@frankjully5457 5 лет назад
ww ndo unasema hivyo Muvi zipo kama kawa kwani kanumba nani ashakufa nakuoza zamani
@tunufumakule5626
@tunufumakule5626 5 лет назад
@@frankjully5457 kama kweli hayo unayosema mbona muvi haziendelei zinakuwa mbovu sana
@fatumaally9250
@fatumaally9250 5 лет назад
😂😁😀😂
@aishamother9943
@aishamother9943 4 года назад
Kweli kabisa tunu umeongea point safi sana. Sasa huyu nae nani anaesema movie zipo ok zipo lkn hajivumi kama hawali pumbavu wewe
@najma3268
@najma3268 5 лет назад
Hapo umekosea ley kumumwambia mama wa mwenzio analia njaa alikuja kukuomba au kukulilia, yaan ww leo ni wakusema hivi hata angekuja kukulilia kwa ww unatakiwa kumstiri mama wa mwenzio
@abdullahrashid6297
@abdullahrashid6297 4 года назад
Huyu Ray anajisahau sana, na yeye ndio alikuwa Best friend wa marehemu kanumba nao anamuongelea mama yake shombo Hapo ndio ujue Zimwi likujualo halikukuli likakumaliza kauli mbaya sana ameongea
@barakakafurike5907
@barakakafurike5907 5 лет назад
All in all Kwa sasa Bongo move nivituko tu hakuna cha maana hapo
@shazdelacruz9800
@shazdelacruz9800 5 лет назад
First to comment wameongea cha maana wpi like zao
@barackapearson1837
@barackapearson1837 5 лет назад
aisee jamani na mm naweza kucheza filamu mnanisaidiaje mfano nina filamu inaitwa ushuhuda wangu
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 5 лет назад
Subscribe kwenye chaneli yetu bonyeza picha itakuleta kwenye chaneli yetu kucheki ubuyu habari zoote za instagram , comedy na filamu zetu asanten
@theearth5581
@theearth5581 5 лет назад
Nita ipataje iyo app kwenye iPhone 8
@enockezekiel2276
@enockezekiel2276 5 лет назад
The 5 best actress in TZ 🇹🇿 1:Monalisa 2:Riyama 3:Thea 4:Johari 5: Lulu.
@hawaali8107
@hawaali8107 5 лет назад
Jaman nampenda JB mpaka naumwa niunganishieni
@allyyolam6110
@allyyolam6110 5 лет назад
According to you madam
@gilibethkapelembe2108
@gilibethkapelembe2108 4 года назад
Ajamusema vibay Ila amesema mwanzo awakutengeneza Mambo vozuli ya kibiashala kwaiyo mv za kanumba muindi ndio kazimilikk kibiashala .kwaiyo mama kanumba awezi kupata kitu chochte .Apo
@umuvugaukurilaveritejustel2621
Pachika na BARAGUMU pia bro from Burundi
@beatricelichoti1650
@beatricelichoti1650 4 года назад
Nyote bure kabsaa, mutu akiwa na shida hamutaki kumsaidia, Rey sikupendi kwa tamko lako
@Chingagirl123
@Chingagirl123 4 года назад
Wote mmeongea vizuri...lakini Ray bana usiseme mama Analia njaa sema wote tunalia njaa.Bongo movie kuendelea labda kanumba arudi aisee.badala ya kukazana kama nchi zingine ziingie zionekane Netflix ama showmax bado manashindana na mwindi.
@justinemachayi2936
@justinemachayi2936 4 года назад
Ni kweli Ray midomo yako ime tosha asali kwaku tuaambia sisi wa Tanzania wenzako kuhusu biashara yako,lakini ulimi wako umekosea kwaku tuaambia kwamba mama kanumba Amelia njaa, njaa sio yamutu mumoja la ila njaa nijambo ya mutu wote ulimwengu mzima, huyo ni mzazi wetu sote akikuomba msaada msaidie kama mama mzazi wako, maana kanumba alikuwa rafiki wakaribu sana nawe,so huna uwezo wakumtangazia njaa.
@mohamedschaeublin7374
@mohamedschaeublin7374 Год назад
Hawafaidiki na Kazi walio fanya nyuma, is Facts Rey anacho Sema
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 года назад
Naomba mumusamehe Ray kama mumemusikia vibaya
@maimborajabu9496
@maimborajabu9496 5 лет назад
KAMA UNAAMINI RAY BADO ANAKUNYA WATER BASI GONGA LIKE TUWE WEUPE
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 года назад
Mm naona kaacha mbona anafifia
@edsonshirima5208
@edsonshirima5208 4 года назад
Rey hajakosea amezumgumzia mnagan ma kanumba ananufaika na kazi za mwanae akaona hakuna hiyo alijaribu kuelezea
@raymondmathayomsigwa8737
@raymondmathayomsigwa8737 Год назад
Nyie mnaye mkosoa Kigosi mnauelewa mdogo ameongea vizuri sana yaani ametoa maneno ya msisitizo
@lincnobel7299
@lincnobel7299 4 года назад
Kanumba waz big minded ray mikorogo tu..
@risperbonareri942
@risperbonareri942 Год назад
Wish kanumba was alive we miss you but ila tufanyaje hakuna .... ila Ray heshimu kanumba acha kuongea mbya heshimu mamake sana still tunamkumbuka kanumba ...
@yusuphshija4052
@yusuphshija4052 5 лет назад
hio elfu 2 inawekwaje? tuone maelekezo vizuri
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 лет назад
Kanumba aliondoka na movie zake, brothers mnajichosha tuu
@samally3136
@samally3136 5 лет назад
Hahahahaha
@happylaban1564
@happylaban1564 4 года назад
Hahahaha
@DAMUSAFI
@DAMUSAFI 5 лет назад
App hii huwezi kuiona kwenye iPhone or iOS
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 4 года назад
Mama Wa Mwenzio ni Sawa na mama yako
@fakihassan2453
@fakihassan2453 4 года назад
Ww rei ipo siku naww utalia sana achakiburi ndugu yangu kusema mama kanumba analia njaa sasa ww ndopakumsaidia kaka
@sadockmhinza699
@sadockmhinza699 4 года назад
si ukweli lakini
@risperbonareri942
@risperbonareri942 Год назад
Very true just respect kazi ya kanumba mamake ako n haki ya mwanawe
@robbemanase9051
@robbemanase9051 5 лет назад
Ni MP TV ama ni nini? nimejaribu kutafuta kwnye app store , sipati hiyo app .
@wauwetz8263
@wauwetz8263 5 лет назад
Ray unakosea kusema mama yake kanumba alia njaa haipendez wa kumsaidia ninyie apo
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 лет назад
Lazima aseme ili asaidiwe kwan ray peke yake ataweza msaidia maisha yote, lazma aseme hali ni ngumu peke yke hawez mbeba cku zote
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
@@williamchrispian1752 True my dear
@wauwetz8263
@wauwetz8263 5 лет назад
Duuu
@pastorycharles683
@pastorycharles683 5 лет назад
wauwe tz
@hatamimnimempendabulejaman1596
Ni kweli hapo umesema kaka mam wa kanumba ni kama mama yake pia mana walishibana Sana hata mim Ninaweza nikamsaidia mama wa rafiki yangu kama ana shida
@douglasradley6698
@douglasradley6698 5 лет назад
mimi niko burundi nina kipaji kwa kucheza filamu :::kigosi endelea utasonga mbele tena
@j...876
@j...876 5 лет назад
Ray tumiya Runzuri za Eshima Si Eti ana liya nja, ila niviashara lazima vihuzikane kihalali
@enockezekiel2276
@enockezekiel2276 5 лет назад
Hebu ntajie 10 actors best in TZ Unaokubali uwezo wao,,me kwangu 1: Kanumba 2:Tino 3:Richie 4:Ray 5:JB 6:Gabo 7:Hemed 8:Cloud 112 9:Dk cheni 10:Mlela.
@christinetimothy5805
@christinetimothy5805 5 лет назад
Enock Ezekiel ,haiwezekani kumtaja mtu ambaye alishakufa nakumchanganya na walio hai. Kanumba tutaendelea kumkumbuka.
@enockezekiel2276
@enockezekiel2276 5 лет назад
Kwahiyo kama hayupo na lake halipo..!!!?😏😏😏😏😏.. he's still the best in TZ... no matter where he's..
@waltergodwin2529
@waltergodwin2529 5 лет назад
Enock Ezekiel na Dude
@frankjully5457
@frankjully5457 5 лет назад
mtoe kanumba alishakufa he was the best ila sasa hivi hatuwezi muweka kuna wapya kina Rammy Galis ,na kina duma mtoe Dr cheni siku hizi haigizi mtoe na tino
@johnenock604
@johnenock604 5 лет назад
Weeeeee gabo wa kwanza 2 madebe
@user-tb4lj6zv5p
@user-tb4lj6zv5p 5 лет назад
buku mbili tu?
@nemesmassawe7326
@nemesmassawe7326 5 лет назад
hongeraaa ray
@munirayakoub3682
@munirayakoub3682 5 лет назад
Ley shika adabuyako angekuwa nimeamka yako ameambiwa ivyo ungejisikiyaje tuwe naa dabu nawazazi wawezetu safisha kariyako ukosefu wadabu mpumbavu weee
@elicegelard5026
@elicegelard5026 4 года назад
Mi nilivoelewa ray anamaanisha mama kanumba anahangaika kwasababu kazi za mwanae zinamilikiwa na muhindi
@phirmtv6095
@phirmtv6095 5 лет назад
MP TV iko Kenya?
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 Год назад
Nmependa tena sijaiona
@aishazchilonga9988
@aishazchilonga9988 5 лет назад
Ivi ww ray unajiona naniii au unajikuta malkia sanae
@maritv3930
@maritv3930 5 лет назад
ray good acter
@geofreykilasi7354
@geofreykilasi7354 5 лет назад
Safi sana...tanzania mpya
@myself4128
@myself4128 5 лет назад
Huyo mama hana shukurani na haridhiki kwani anadhania alizaa nani hasa mfalme ama? Kanumba kanumba mtu keshakufa kila siku kelele mara mama kanumba hivi mara vile mara michango kama mnampenda nendeni mkamfukue basi?huyo mama nae atulie kama anaona mwanae hakutendewa haki akadai malipo bank sababu labda kuna hela aliachiwa kama hamna basi akae kimya tumechoka!!!
@rollrealgooap3015
@rollrealgooap3015 5 лет назад
Pachika na why me? From lwiche arts ktoka mkoani rukwa up coming wanajua sanaa wameitendea haki naiko trending
@saidabdullah7273
@saidabdullah7273 4 года назад
Kwa mimi nilivyomuelewa hajaongea kwa maana mbaya... ila kila mtu na uelewa wake
@2mara_og186
@2mara_og186 4 года назад
Achen kushabikia malehem Rey ameongea nn kibaya apo
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Amekosea!
@sadickrajabu1191
@sadickrajabu1191 5 лет назад
Pigen kaz nzuri tu watu tutanunuwa tu ila kwa sasa movies bado sana
@geofreykilasi7354
@geofreykilasi7354 5 лет назад
Babu tufundishe tukawapige na sisi,kaka mi dar es salaam tu
@fauzishma8033
@fauzishma8033 4 года назад
Rey asema kweli mamake kanumba hana apati chochote kutokana na kazi za mwanawe kwa kazi zote zilikunuliwa na mhind angalau ametumia neno njaa lakini usikiliza vzuri alivio sema sio njaa hii ambao wengi wamelewa
@justinkendo1537
@justinkendo1537 5 лет назад
Sisi wa kahaji wa burundi na congo tuna maliza ngapi kutizama ivyo vipindi
@danielkonesongoi9394
@danielkonesongoi9394 3 года назад
Rey acha sarau mama kanumba alii njaa ila kama analia njaa sumsadie
@mudric-dj7in
@mudric-dj7in 3 месяца назад
Tathinia wa film iko wapi???
@jumakapo9914
@jumakapo9914 5 лет назад
Wewe ray acha usenge wewe una ela au ushamba tu nani amekwambia mama kanumba analia njaa kanumba bado yupo juu sana
@rossefelix3126
@rossefelix3126 5 лет назад
bongo dare saal m ilikuwa Nouma sana
@ibrahimhaki4762
@ibrahimhaki4762 5 лет назад
Shida sio kuigiza kama mchaza mpira,shida ni uhalisia umewahi kucheza mpira mpaka uigize kama mcheza mpira tena wakimataifa,sio unacheza mpira kama kichekesho.
@SaphiloNoubith
@SaphiloNoubith 5 лет назад
Jamani munasema uongo MPtv Sio kila mwezi Movies Inaweka. Tunapoteza pessa zetu. Lini #BONGODARESSALAM itawekwa kwenye MPtv?
@husseinmunga9591
@husseinmunga9591 5 лет назад
tena? si utaibiwa pia iyo
@uwezomrpose8594
@uwezomrpose8594 Год назад
Sasa nyinyi munaweka rey kisha anaongeya uyu mupuuzi
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
#50 on comments NILISHA JIPAKULIA APPLICATION, $3 KWA MWEZI. ILA NAOGOPA MANYAKUNYAKU, MATAPELI. NAOFIA USALAMA WA CADI YANGU.. NIGENUNUA MARAMOJA. 🤔🤔🤔 Je personal information yangu itakua salama???
@dieudonnemto5722
@dieudonnemto5722 5 лет назад
Mm nataka hile movie ya kanumba msazi# je naweza nikaipata?
@ogwangmakanya1234
@ogwangmakanya1234 5 лет назад
Kwa hiyo bongo dar es salaam haitaonywesha tena wasafi TV?
@danyakala
@danyakala 5 лет назад
Hii app inaweza kufanya kenya kweli?
@salmaothuman9762
@salmaothuman9762 5 лет назад
Sasa kama Amelia njaa msaidie acha kumsema mama wa mwezio unajiona duniani umefika mxueeeeeei
@helenamwaipopo967
@helenamwaipopo967 5 лет назад
Anajisahau sana ajui kuwa maisha yanabadilika ,sijawai msikia Ray akaongea maneno ya busara zaidi ya majigambo tuu
@sethkikapo
@sethkikapo 5 лет назад
me Nina kipaji cha uandishi wa filamu, naomba support yenu
@salmaathumani8562
@salmaathumani8562 4 года назад
Rey umekwisha ulikuwa unatumia nyota ya kunumba usimwambie mama wa mwenzio analia njaa kwenye media huyui hata mama ako atalizwa na nini leo kwa mama wa mwenzio kesho kwa mama ako sasa hivi huna soko kanumba kafa n.a. movie zake bongo movie imekufa mmebaki roho mbaya tu
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 лет назад
duma anaongea kama mmama😀😀😀😂
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 лет назад
Kwan mmaama c mtu yaan wanawake ndio wakwanza kujiweka nyuma NA kujishusha NA kujitolea mifano mibovu na isio hai, halafu tukiifuatisha misemo hio utasikia " Wanawake tunadhalilishwa sana tunataka haki sawa" lakini wao wenyewe hawajikubali na wanajiangusha wenyewe, acheni matus yasio NA mwelekeo.
@mbunahchannel2179
@mbunahchannel2179 5 лет назад
wizi wa kisasa njoooni kwenye chanel yangu tucheke
@irenenguta2893
@irenenguta2893 5 лет назад
Too many ads
@venancebasil4656
@venancebasil4656 5 лет назад
ni idea ya netflix
@happypa2027
@happypa2027 3 года назад
Ila naona hajaongeya vibaya
@hamzamussa8727
@hamzamussa8727 5 лет назад
INAMAANA HATUTAPA BONGO DSM HAPA WASAFI TV?
@hollymore4904
@hollymore4904 5 лет назад
ko kama sina smartphone...manake cwez waangalia!? poor you bongo movies
@boniphacetv739
@boniphacetv739 5 лет назад
Movie siyo yako umeuzaje sasa
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 лет назад
Hio ni collabo kwahio lazima awe ambassador kwa upande wake ili ilete maana ya yeye kushirikishwa maana walitaka soko la hapa bongoland so ili kuliteka ni lazima wamtumie yeye mwenyeji, " hio ni market occupation technique"
@mcsimonmzungutv2084
@mcsimonmzungutv2084 5 лет назад
Duma hamna Msanii yaani 0 zero
@izackbarnaba9510
@izackbarnaba9510 5 лет назад
Duma au dum niutumbo mtupu
@davidpaschal778
@davidpaschal778 5 лет назад
ambao awana smart au family home!
@givenkihongosi2396
@givenkihongosi2396 5 лет назад
Mbona hyo Mp online nimelipia hela ya mwez 7000 lkn bado wanakata mb zangu
@blues4life633
@blues4life633 5 лет назад
Hio app inachajiwa data?
@stevehiraly9127
@stevehiraly9127 5 лет назад
Vya bure vinaua
@user-is1sy1we6h
@user-is1sy1we6h 5 лет назад
@@stevehiraly9127😂😂😂😂 jamani
@stevehiraly9127
@stevehiraly9127 5 лет назад
@@user-is1sy1we6h kwan uongo jaman
@norbertcplyian9644
@norbertcplyian9644 5 лет назад
Ndo hapo ulipie half uchajiwe na data si upuuzi
@athumanii
@athumanii 5 лет назад
Haipo kwenye app store
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 4 года назад
ukimdharau mama ya Mwenzio ni Sawa na mama yako
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 4 года назад
Nyie ndo wakumsaidia mama kanumba sasa sio sisi watafiti
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 Год назад
Tutumien kwa. You Tube
@mauwanaomi1153
@mauwanaomi1153 5 лет назад
Wekeni kwenye Netflix na sisi tuone tupo mbali 🇺🇸
@dullhemed6379
@dullhemed6379 5 лет назад
Mauwa Naomi
@abubakarikizamba8106
@abubakarikizamba8106 5 лет назад
Ah!!! Kwa Sanaa yetu, NETFLIX mbala saana huko 😊dah!! Labda baadae kidogo Dada ang
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Tatizo lao walio wengi ni shule!!!
@mropeamadeus5445
@mropeamadeus5445 5 лет назад
kitu nakukubali Duma uko smart
@DAMUSAFI
@DAMUSAFI 5 лет назад
MPTV
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Wall good Ray
@puritympanga5927
@puritympanga5927 4 года назад
Wewe.iki.ukoleo.namimi.nilikuwa.naikiniko.leo.nawewe.utakuwa.asati
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 4 года назад
Ni vyepesii n'a mama yako kudharauliwa
@michaelalbano3593
@michaelalbano3593 5 лет назад
Good keep on struggle to uplift our film
@husseinmatelephone6662
@husseinmatelephone6662 5 лет назад
Kibongo bongo siku hizi hamna jipya naona mnahangaika kujitangaza hovyoo
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 4 года назад
Mtu ukifiwa una zalilika jaman hasa kwa mtu ulie kuwa unamtegemea jaman. Wasanii wote hawa bila kanumba mbaka leo wangekuwa hawana hata chup. Ila mkumbuke na nyie kina Rey kwamba mnachungulia kabul wote nyie wasanii hakuna atakae ikwepa maut
@zittotv9972
@zittotv9972 4 года назад
Dyana Tanz hgg
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 4 года назад
@@zittotv9972 okay
@wantedcarter1003
@wantedcarter1003 5 лет назад
👈👈👈
@neemamabiki4496
@neemamabiki4496 5 лет назад
huyo ray sijawahi elewa movie zake anaforce tu kuigiza.alafu lugha zako ni chafu.
@justinkyando6103
@justinkyando6103 4 года назад
Kaigize ww
@gockoomzawa226
@gockoomzawa226 5 лет назад
tufubdshen jins Ya kutumia hyo app tumeipata App Lakn matumiz yake sjayaweza
@ndagiletv521
@ndagiletv521 5 лет назад
imekaa poa sana
@habibadhikr9406
@habibadhikr9406 5 лет назад
Duu wa Tanzania wote njaa acha hizo kaka mfano umwe hapo lazima utataka mchango
@fauzishma8033
@fauzishma8033 4 года назад
Hizo ni drama sio film
@jumamaganga2021
@jumamaganga2021 4 года назад
Porojo Tu hizo ukinunua iyo muvi akuna lolote unalopata humo ndani bongo movie is dead
@PetVMyinga
@PetVMyinga 5 лет назад
Yaani mimi nalipia mp TV halafu bado natumia mb zangu kuangalia ujinga huo samahani
@juliusjustin4813
@juliusjustin4813 5 лет назад
Achaaaa unaaaaa...mbona unapoteza mb zako na porn..achaaa unaaa wasapoti watanzani wenzio kwa kazi wanazojituma
@user-he4fl7md2z
@user-he4fl7md2z 5 лет назад
Jb haaaaaaaaaa
@Francinegabriella
@Francinegabriella Год назад
Muwe munaweka filamu kwenye RU-vid bwan 😂
@shomariamuri9917
@shomariamuri9917 4 года назад
Yeye mwenyewe Ray ana maisha gani juu aongee na madharau namna hii?? Mjinga kabisa.
@kelbertkiza8233
@kelbertkiza8233 5 лет назад
Kwa nini msiwe naziweka Netflix au movibox afu mkawa nawekezaa milioni ya pesa 😏😏
@philberttepeli2945
@philberttepeli2945 4 года назад
Rei acha ushamba kanumba alikuweka pazuli alafu mama kanumba alii njaa ila analia naanavyopotelewa na wanae mbona so weziyo wanaongea mambo kibusala wewe kunywa maji na kujichubuwa ndouone umeshuka kiwango kweli wewe ndo wakwenda Zambia nikajuwa utasema ulikuwa Kongo Amelia amelica umefulia bwana Zambia two tunduma Malibu sumbawanga
@philberttepeli2945
@philberttepeli2945 4 года назад
Mweziyo alikuwa akikupaisha rei kama mademu zake Leo hii unamponda ata Haya una
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 5 лет назад
Sasa unaripaje
@ftmat2805
@ftmat2805 5 лет назад
🤔🤔😊😊
Далее
FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 01)
30:40
Просмотров 1,1 млн
Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba
26:51
Просмотров 1,3 млн
The story Book: Lumumba Shujaa Aliyetolewa Kafara
25:41
HOW I GOT RICH AND WEALTHY  - Mike Sonko
11:00
Просмотров 123 тыс.
Happy 4th of July 😂
0:12
Просмотров 32 млн
Happy 4th of July 😂
0:12
Просмотров 32 млн