@@anthaall4582 kanumba umetumpa.wakati mgumu sana mm kama.mm sita kaa nikusahau haki yamungu mm nakuombeya kwa mungu akupokee ili utushikie nafasi mbele yetu nyuma yako kk
Nlimpenda huyu kaka sana,tangu kuondoka kwake siangalii bongo movies tena,alikuwa star sio siri tulipenda sana movie zake.Mpaka kesho twampenda sana huku Kenya, Mungu amlaze mahali pema peponi,amina.
Ooooh kanumba it's now almost ten years since you left ulikuwa mtu wa maono na WA msaada kwa Dunia ukatoweka ghafla still in my memory continue resting in peace Mungu akupunguzie adabu ya kaburi much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nafunga mwaka 2019 kwa kuangalia interview ya jembe langu R.I.P #Steven Mungu akupe wepesi ulipo naomba like zangu kama nawewe umemaliza huu mwaka na na steve
Kifo chako kilikuwa mshituko sana kwangu kanumba maana sijaamini mpaka Leo hii, inanibidii nitazame filamu zako Mara kwa Mara kuoneshe kwamba ungali hai, tulikupenda sana tens sana lakini mungu kakupenda zaidi na aiweke roho yako mahali pema tutaishi kukumbuka kanumba.
HE WAS BRIGHT,HANDSOME AND HE WAS IN GOD ...I LIKE THE GUY REST IN PEACE...YOUR INSPIRATIONS WILL REMAIN FOREVER WORKING WITHIN OUR LIVES...REST IN PEACE KANUMBA STEVEN
Really we remember you mr Kanumba. Dah! it's true the world is not our permanent home. Bado nakuona kanumba yuu hai but bongo movie hoi,sipati ushawishi saana wakuangalia labda komedi bado nipo.
Kifo cha Kanumba ilikuwa ni pigo kubwa sana kwa sanaa ya filamu Tanzania. Tangu alipofariki, sanaa ya filamo imebaki pale papel alipoiacha. Yeye kwa mikono yake aliinyanyua sanaa ya filamu kutoka vikundi vya vichekesho kuwa industry yenye hadhi ya kimataifa. RIP Kanumba
Dah yan hakuna muigizaji atakuja kuwa kama huyu ..Dah Boss kanuamba ungewahi kuzaa ..Natumaini mtoto wako au watoto angekuzid mara mbili..Punzika kwa amani ndugu Unapendwa sana
Dah kama unaangalia interview mpaka Sasa gonga like dah kanumba umeacha pengo kubwa kumbe ulikua utumii kilev na tuliambiwa alilewa ndo maana alivyosukumwa kidogo kafa😭😭😭