Тёмный

RC MALIMA AWAWASHIA MOTO KWA MKURUGENZI NA AFISA MIPANGO MIJI MANISPAA MOROGORO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@shukurukoll7269
@shukurukoll7269 Год назад
RC Malima upo " Serious" na maendeleo yetu na taifa. Namshukuru Mwenyezi Mungu kuja mkoani Morogoro. Tuna imani kubwa utaukwamua mkoa huu kutoka hapa tulipo. Hongera sana !
@athumaniissayalatif9264
@athumaniissayalatif9264 Год назад
Jitahidi baba morogoro imeozaa,mkurugenzi hovyo kabisa,yaani morogoro wanefanya kama sehemu yakuchota hela,fuatilia hizo computer zote za wahasibu wa manispaa utagundua wiza mkubwa sana.
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Год назад
Malima uko vizuri sana sana na wakurugenzi wako ni ovyo sana .Vijana wa sasa hivi wana nini.Hapo zamani viongozi waliotutangulia walikuwa very smart
@maguluhamidu247
@maguluhamidu247 Год назад
Hongera sana RC Malima upo vizuri sana pia fuatilia mradi wa viwanja Kiegea (Star City) Wananchi Wana manung'uniko sana.
@charleselijah-vq3hq
@charleselijah-vq3hq Год назад
Pole sana Mweheshimiwa Mkuu wa Mkoa. Hao ndio watendaji uchwara kazi yao kubwa ni kutunisha matumbo yao bila kuweka Utaifa mbele. Ndio maana hawajui pato lao ndani kwe manispaa wanazo simamia
@issashekh4726
@issashekh4726 Год назад
Very critical question Only data matters
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Год назад
Karibu malima !! Hao jamaa wanajua kuvimba maofcn hakuna kitu kichwan
@_meckmill2
@_meckmill2 Год назад
😁😁😁 afisa mipango wa mchongo ndio uyu sasa, hawa ndio wanatukwamisha maendeleo sana
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Год назад
Kazi nzuri mkuu wetu mpya wa mkoa....tunakuamini
@geeva99
@geeva99 Год назад
Level ya ya akili ya huyu jamaa, hapo wafunge turbo vichwa vyao
@shukurukoll7269
@shukurukoll7269 Год назад
RC Malima, tafadhali tufuatilie Kiwanda chetu cha Sukari kilichokuwa kinajengwa Mkulazi kimekwama kukamilika kwa miaka yote, tatizo lipo wapi? Tusaidie hilo Mkoa na Taifa letu liongeze mapato. Karibu Mheshimiwa.
@IddaItuga-o9d
@IddaItuga-o9d 9 месяцев назад
Njoo Ulanga
@IddaItuga-o9d
@IddaItuga-o9d 9 месяцев назад
Njoo na ulanga baba yetu
@benardethamhela4898
@benardethamhela4898 Год назад
Uko vizuri mkuu wa mkoa.
@FRENKFRENK-ld8pp
@FRENKFRENK-ld8pp Год назад
mama tutolee uy mkulugezi awa viongozi ovyo sana
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Год назад
The guy is smart like his father
@emmanuelbageni4388
@emmanuelbageni4388 Год назад
Good job
@FRENKFRENK-ld8pp
@FRENKFRENK-ld8pp Год назад
Tunasikia uyo mkulugenzi anabajaji 50
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
Haha wanaendaga ku sign tu ofisin hawajui hata kaz zao ndio bongo iyo
@zakariaswai9180
@zakariaswai9180 Год назад
Adam marima hogera sana Hawa viraza niwegi sana
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Год назад
Nampenda sn sn kigoma Malima
@josephnjella4919
@josephnjella4919 Год назад
.wangalie na mkurugnzi Wa Moro Dc amekula hela za nauli za wastaafu.
@ramdhanichasigwe4473
@ramdhanichasigwe4473 Год назад
wametia aibu sana
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 Год назад
Sasa tume pata chuma maana hao watu wa ardhi ni wazito ni wezi tu mkuu fatilia miradi ya upimaji mkundi cct na kiegea star city
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Si mchezo, Mhe Mkuu wa Mkoa wasaidie, kwa kuwa Hao ndio uliowakuta Anza nao ila kuanzia hapo wasipate usingizi hadi waombe uhamisho 😅
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Год назад
Namkubali sn
@issadoggo
@issadoggo Год назад
Hewa wote hao, hamna kitu
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Год назад
Huyu anaweza akatusaidia Morogoro
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Год назад
Ndio
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Год назад
Marc na madc wote wataondoka hawa´a kazi wanayoifanya.
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Год назад
Wambie waache ujinga wanapitwa ata namiji yakijinga jinga tu kama tanga mbeya yani yale sio majiji nizaidi yatakataka
@floriannkwita4672
@floriannkwita4672 Год назад
Mhe mkuuu wa mkoa mpya Adam Malima nilikufatilia sanaaaaa ktk uongozi wako naomba kukutana na wewe nikupe madudu ya wilaya Moja Kuna madudu haijawahi kutokea inchini Tanzania najua wewe utamaliza jambo ziti hilo
@desderyanatory6671
@desderyanatory6671 Год назад
Vitu vidogovidogo ni muhimu sana kuvijua vilevile, tusidili na vitu vikubwavikubwa tu hata vidogovidogo ni muhimu kuvijua !!!!
@nyovestkaslati5971
@nyovestkaslati5971 Год назад
Afisa wa mipango bhnaaa😅😅😅😅😅😅 majiji 4
@thinktwice7176
@thinktwice7176 Год назад
Majiji manne, du hiyo balaa, uwezo wake mdogo sana,
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
Nchi hii aisee😂😂yani mtu hata hajui idadi ya majiji ya Tanzania na akati yeye ndo mtu wa mipango
@thinktwice7176
@thinktwice7176 Год назад
Jimec heka sana huyo Afisa mipango anatupiga na kitu kizito
@alphoncehanura3255
@alphoncehanura3255 Год назад
Nepotism inaua Taifa. Ndiyo matokeo yake hayo.
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Год назад
Nimtu makini
@leobalige7069
@leobalige7069 9 месяцев назад
Vyeo wamevipata kama zawadi. Hawawezi kufanya kazi, hawa.
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 Год назад
fanya hilo wilaya zako zote,kuna kivumbi
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 Год назад
Business minded person... akili kubwa
@mjemamjema9695
@mjemamjema9695 Год назад
TUNA KAZI TANZANIA.. HAO NDIO VIONGOZI WAKO SERIKALIN. HOPLES
@issadoggo
@issadoggo Год назад
Kuna vizee vipo muda mrefu sana hapo. Vinajiona ndo kila kitu.fumua fumua
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Год назад
Mbunge wazamani wa pwani
@PLAYPROGAMING568K
@PLAYPROGAMING568K Год назад
Anasema NNE ha ha ha
@PLAYPROGAMING568K
@PLAYPROGAMING568K Год назад
23 jiji ha ha ha
@ommymp9058
@ommymp9058 Год назад
Daaah huyo jamaa hafai yaani afisa mipango hajui idadi ya majiji je vigezo atajua?? Fuatilia kero ya morowasa hawamalizii miradi ya maji,kata yote ya mkundi haina maji
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mrafm7285
@mrafm7285 Год назад
Mama mama turudishie huyu jamaa Tanga hili ni jembe
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 Год назад
Kama na mkuu wa mkoa ni hivi? Jee, hao watumishi wa umma wa wilaya hiyo wanahudumiwaje? Kwa staili hii Tanzania shughuli IPO!
@matungawarioba4052
@matungawarioba4052 Год назад
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 Год назад
Nauliza tu kabla ya huyu kigoma malima,aliekuwepo kabla yake alikuwa anafanya nn ????au alikuwa likizo???
Далее
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 870 тыс.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 121 тыс.
BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa
11:41
Просмотров 666 тыс.