Тёмный

RECAP: Maajabu ya KOMASAVA ya DIAMOND na Utawala Mpya Kimataifa, Yeye anasema 'Wamejaa kwenye Mfumo' 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

24 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@esthermatisho2604
@esthermatisho2604 25 дней назад
God is good, and Diamond Platnumz❤ is awesome. I'm so proud ya kuwa Tanzanian 🇹🇿 na yeye Diamond Platnumz ni kati ya sababu ya kuwa proud 👏 love from Ireland 🇮🇪 💖
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 25 дней назад
🧭🤳 Komasava ina impact kubwa duniani kwa ujumla mataifa mia moja na kitu. Nawapata nikiwa Msumbiji 🇲🇿 Mkoan Cabo Delgado mjini Pemba CarioCa Kazi nzuri wana SnS hapo studio🕊️✨✨
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm 25 дней назад
Komassava🙌🙌🙌🙌
@ramayonline2281
@ramayonline2281 25 дней назад
Komasava to the 🗺 🇹🇿🌍🎧
@chimnyengeUpdate
@chimnyengeUpdate 25 дней назад
Top 🔥🔥🔥
@titoamani-e8b
@titoamani-e8b 16 дней назад
Harmonize alizaani uchawi wake wa Popo utaweza kumuzima Diamond asisikike tena...Mwenyezi Mungu ni Mwema sana🙏🙏🙏🙏🙏
@BILALIMSANGI-kw2ki
@BILALIMSANGI-kw2ki 25 дней назад
Sema sky umeleta madiliko kwenye tasnia ya Habari channel yako inaupekee fulani iv tofauti nanyingine
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 25 дней назад
Asante sana Bilal
@VipodoziKariakoo
@VipodoziKariakoo 25 дней назад
SNS to the world, i love you guys.
@issabaraka2404
@issabaraka2404 25 дней назад
Ni kweli kabisa mimi mwenyewe nawakubali sana kutoka Canada🇨🇦 Pia na wasafi tu, ila wasafi ni kwasababu ya Diamondplatnumz
@saidyabdalla7410
@saidyabdalla7410 25 дней назад
Tunakutak wew sky
@MagomaPato
@MagomaPato 11 часов назад
Diamond Noma licha ya uchawi wa Harmonize...Harmonize ni laana kwenye sanaa yetu🇹🇿😁😁😁
@BILALIMSANGI-kw2ki
@BILALIMSANGI-kw2ki 25 дней назад
Hahaaaa huyo jamaa mwenye rosali ndo anaetupa newz za mastaa mbali mbali duniani
@johnnchora3215
@johnnchora3215 25 дней назад
Kwer
@catherinemwanga6227
@catherinemwanga6227 18 дней назад
Halafu anasauti unique sana😊
@Mcsceo
@Mcsceo 25 дней назад
Main presenter aliyefungua aache ujanja ujanja wa radio hapo sio radio hapo ni SNS aje na identity yake lakini aendane na team nzima ya Sns aaache zile aaaaaaaah sijuiiii no anatakiwa aende straight sio aaaah u knoooow swag za nini bro ww need good flow and content presenter ukinza aaaaaaah nakuona huna content kichwani asikarike aichukue hii comment itamjenga zaidi me ni familia wa Sns since Day 1..
@barakamkumba254
@barakamkumba254 25 дней назад
kalii sanaaaaaa😂😂 wazungu watatuulia mond wetu wanampate beat za kulia kama msiba😊😅😂
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk 25 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@FREDYChirongo
@FREDYChirongo 25 дней назад
❤❤❤❤
@goldenteotv9118
@goldenteotv9118 25 дней назад
Nanukuu. ( Kwa sisi watanzania impact tutakayoipata ni kwa diamond platnumz kuwa Ametokea Nchin tanzania, lakn nasikitika sababu mziki unaotrend ni wa (Africa kusini) Amapiano. ( This is the main point kwa interview yote. Tujiulize mziki wa bongo flavor kwa nchi kama Amarica zitatrend lini?
@abdulwaheedsheikh8015
@abdulwaheedsheikh8015 25 дней назад
Bongo flava halisi ni ipi? Marimbe ao Ngoma za usukumani? Hapana . Ao ni taarabu ? Kwa kifupi , bongo flava ni nyimbo yoyote ya kiswahili ila kuhusu beat Kuna zouk , reggae, hipap,r n b,ragga, blues, rumba, salsa,zooote zimeibwa HAPA bongo Hadi bongo bangra so muziki ni international
@JosephEmmanuel-eb7gj
@JosephEmmanuel-eb7gj 25 дней назад
Kwan hip hop ni mziki wa tanzania na msilazimishe aina flan ya mziki iprndwe
@BigZhumbe
@BigZhumbe 25 дней назад
Umesahau wimbo wa Quarantine wa Wasafi umefanya Vizuri nchi kibao
@ramayonline2281
@ramayonline2281 25 дней назад
Unaujua wimbo wa Davido unaoitwa UNAVAILABLE????ni Afrobeat au n Amapiano..!!!??
@ATM_FAMIL
@ATM_FAMIL 25 дней назад
BONGO FLEVA YENYEWE ILI MIX NGOMA ZA KIMAREKANI
@MamboSuper
@MamboSuper 25 дней назад
yani sisi wa shabiki zenu mulishagewukiya upande wapili sky acani kimupa mutu sifa Hana bado sana ila nawona nawona mwaka uyu munamupa grammy bila ivo sky mutawumbuka nawambiya
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 25 дней назад
Ndo mwenye muziki wake bongo..wengine mnafuata
@princeaki2029
@princeaki2029 25 дней назад
Hawafati bdo wanajitafuta hawna strategies
@user-rb8uf6oq7w
@user-rb8uf6oq7w 25 дней назад
Sns itakuwa ni chombo kimoja Cha habari kikubwa na chenye kuaminika na kufuatiliwa watu wengi sana. Binafsi habari ninazithibirisha zikiripotiwa na Millard na sns, nikiona hawa wawili naipitisha kitu ambacho mwanzo nilikua naamini kwa Millard pekeyake
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 25 дней назад
Komosava ndio hali ya mjini
@Bless215
@Bless215 25 дней назад
Komasava recap nilikua naitamani kwl ila huyu jamaa kava nyeup anatish
@josephkiwale374
@josephkiwale374 25 дней назад
Hao nao amewalipa??wabongo acheni uduanzi😆😆
@kizdady2544
@kizdady2544 25 дней назад
Ukalamkadze 😂😂
@marleshjimmy1972
@marleshjimmy1972 25 дней назад
Mapungufu yapo Diamond hajasema “SIMBA LA MASIMBA DANGOTE”😅😅😔😔
@STEVEN-f6g
@STEVEN-f6g 25 дней назад
Tunahitaji Sports sio siasa na muziki tuuu na SPORTS..
@MamboSuper
@MamboSuper 25 дней назад
mumekuwa mumekawiya nawapa 3 weeks ndawuliza masava imefany nini
@Mcsceo
@Mcsceo 25 дней назад
Wanyakyusa wanasalimiana ughonile krizz unaniwibisha hata kama wa mjini vipi huwezi sahau sslamu mzee wangu
@BigZhumbe
@BigZhumbe 25 дней назад
Ughonile si ni salamu ya asubuhi? Ukiachana na salamu za muda mnasalimianaje
@kalistuschaula
@kalistuschaula 25 дней назад
me njombe mulamwihe au zya lukela
Далее
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 129 тыс.
Darassa feat Marioo - News (Visualiser)
3:26
Просмотров 591 тыс.