Тёмный
No video :(

REFA WA NGUMI WA KIKE/ATAJA LADHA YA MWAKINYO/WANA MAHUSIANO ?/KWANI MWAKINYO ANASEMAJE ? 

Dar24 Media
Подписаться 729 тыс.
Просмотров 81 тыс.
50% 1

#Mwakinyo #PendoNjau #TwahaKiduku

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 56   
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 3 года назад
Mwamba unajua kuhoji Maswali, uko vizuri sana. Keep It Up.
@allexmathias3593
@allexmathias3593 3 года назад
Nimemuelewa sana SOMBA
@jacksonbiswalo8360
@jacksonbiswalo8360 3 года назад
Dada nimekupenda bure.Yn una mwili uliyojengeka kimazoezi,mkono umejaa kimazoezi lkn pia una sura nzr sana mtu hawezi amini kma ww ni bondia Mmmwaaaaa.
@wizydeko1496
@wizydeko1496 3 года назад
Uyu dada alijitaidia kumtetea saana yule mbongo dhidi ya yule mmalawii jamaaamshukuru saana uyu dada Mi nampenda uyu Dada
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 3 года назад
Duu alikua bondiahuyu hongera dada
@allymwazoa6301
@allymwazoa6301 3 года назад
Refarii wa kimataifa no 1 TZ madam pendo njau
@Ram_1893
@Ram_1893 3 года назад
Mahojiano mazuri kabisa Pongezi kwenu 👊🇹🇿
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 года назад
Wewe mama umeongea la maana sana uko vzr hao wavuta bange wanamihemko ya kuona nani mbabe kati ya Twaha kiduku na Hassan mwakinyo hawajielewi kbs
@davidkwisi8231
@davidkwisi8231 3 года назад
Interviewer mzuri pia sana.. kazi nzuri kidume
@jimmymbella997
@jimmymbella997 3 года назад
Hongera Sana dada pendo, Mwana Martialarts mwenzangu❤️💪💪💪
@jamesshao538
@jamesshao538 3 года назад
Pongezi sana dada upo vizuri
@msabahmohd1776
@msabahmohd1776 3 года назад
Naomba nambayake uyo dada
@ramadanjabir1664
@ramadanjabir1664 3 года назад
Kazi nzuri Sana Somba #dar 24 ,nfikishie salam zangu za pongezi kwa pendo njau
@dengeman4814
@dengeman4814 3 года назад
Nakupenda pendo njau
@davidkwisi8231
@davidkwisi8231 3 года назад
Interviewer amefanya kazi nzuri sana
@Ram_1893
@Ram_1893 3 года назад
Chalii yuko vyema sana Anayaelewa masumbwi na bishosti nae anatoa maelezo muhimu ambayo muda mrefu nimekua nikitamani kuyasikia kwenye chombo cha habari kama hivi ili watu wajifunze kiasi maana kumekua na lawama nyingi sana kwa majaji wa mapambano ya nchini kwetu.
@davidkwisi8231
@davidkwisi8231 3 года назад
@@Ram_1893 ni kweli sana. Lakini ni kweli majaji wengi na marefarii wengi sana wanawapendelea watu wanaowapenda WAZIWAZI. Kuna hata baadhi yao ambao nikiona wanasimamia au wanahusika kwenye ujaji hua siangalii pambano. Sijui ni kwanini hawawaigi The Jackson Group. Wale wana majaji na marefa wao na ndio maana wanafanya kazi nzuri sana bila kuwa bias
@Ram_1893
@Ram_1893 3 года назад
@@davidkwisi8231 Sawasawa Sema mimi ninachokizungumzia ni ile unakuta mtu analalamika kuwa labda Mfaume kapigwa ukimuuliza kwa nini anasema alikua anapiga ngumi za tumbo tu hazina faida 🤣🤣🤣
@selemanshimbi6756
@selemanshimbi6756 3 года назад
Mpe ujumbe wangu Nampenda Sanaaa
@shabanimiraji5388
@shabanimiraji5388 3 года назад
She is Good referee...I like her...
@justokweka2340
@justokweka2340 2 года назад
Huyu upendo njau nampenda Sana
@muadhihassan4486
@muadhihassan4486 2 года назад
kweli
@awadhijumaa939
@awadhijumaa939 3 года назад
Ndugu mtazangazaj uko vzr ongeza juhud
@sadikisalumu8668
@sadikisalumu8668 3 года назад
Namkubali sana Pendo Njau
@donedaddy4561
@donedaddy4561 3 года назад
Pendo mlandiz tunakusalinu
@robertjunior9916
@robertjunior9916 3 года назад
Mwakinyo Tena 🗣️
@vitalesmgenge9365
@vitalesmgenge9365 3 года назад
Hiv jaman mwakiny anapigana lini?
@saidnassoro9562
@saidnassoro9562 2 года назад
Mbona Mwandishi unauliza vitu vya kipuuzi?
@pendael02
@pendael02 3 года назад
Nampata huyu dada, huwa tunafanya tuzi wote.
@abubakarikihanga9873
@abubakarikihanga9873 3 года назад
Nisaidieni jamani namba ya Dada pendo njau
@habibuhabibu1855
@habibuhabibu1855 3 года назад
Ila mtoto mzur
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 3 года назад
Somba nakuambia sana kwa juhudi zako
@allymambi4154
@allymambi4154 3 года назад
Waandishi mmejaa upuuzi.
@fredrickoisso9555
@fredrickoisso9555 3 года назад
Raund hii Hana pambano mwakinyo
@selemanshimbi6756
@selemanshimbi6756 3 года назад
Au Nitafutieee Link niweze Kumpataaaaa
@awadhijumaa939
@awadhijumaa939 3 года назад
Mama umeongea pwenty
@nameiztv7870
@nameiztv7870 3 года назад
😂😂😂pwenty
@sulexseif1531
@sulexseif1531 3 года назад
Sijui ngumi lkn sipigwi NA mwanamke tena kama vp nataka pambano NA huyo dada
@kulwarichard4849
@kulwarichard4849 3 года назад
Utachezea za chembe ww
@nurumushi2226
@nurumushi2226 3 года назад
Utapasuliwa Acha ujinga
@kagarukifred7372
@kagarukifred7372 3 года назад
Aaaah utatuaibisha mkuu
@kelvin8324
@kelvin8324 3 года назад
😆😄😆trust me..ukipewa huyu utatoka mbio 🏃🏿🏃🏿round one.......watch carefully her body structure "pendo tha beast"....looking good girl
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 3 года назад
Hahahaaaa!!! Wewe jamaa ni katili kweli, wataka kujimaliza mwenyewe daaah. Yaani utachezea vitasa vya shingo wewe acha kabisa
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 3 года назад
Ati rafu zawaje apo...
@shijacs23
@shijacs23 3 года назад
Taulo likitupwa na kona ya bondia anayeelemewa refa hana budi kusimamisha pambano.
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 2 года назад
Kwaio unajua kuliko Mwalimu au
@ivankakooza1765
@ivankakooza1765 Год назад
@@shadrackzablon5983 Wa bongo bwana
@yaqoobalhinai3805
@yaqoobalhinai3805 3 года назад
Tizama bodiy hilo
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 3 года назад
She's good. Super woman 💪🇹🇿.
@massoudjr6146
@massoudjr6146 3 года назад
Somba
Далее
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 7 млн
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 21 млн
MSUKUMA OG KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU
12:28
Просмотров 1,1 тыс.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 7 млн