Тёмный

RIDHIWANI AFUNGUKA: Ni kuhusu kukamatwa kwa Yusuph Manji 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 75 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 лет назад
barikiwa Sanaa mwana wa kikwete daa umemgusia manji roho imeniuma na yanga yetu
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 7 лет назад
Umeongeya point,
@peterherman4279
@peterherman4279 7 лет назад
unabusara sana kaka
@danielmwaipopo1858
@danielmwaipopo1858 7 лет назад
mh upo vzur
@fafi9092
@fafi9092 7 лет назад
Bagamoyo tanzania kuzur sana
@summanelson3718
@summanelson3718 7 лет назад
Riziwani kaongea point sana. Ndiyo maana watu walimtetea manji pamoja na tuhuma nyingi alizonazo.
@eliajonathan6090
@eliajonathan6090 7 лет назад
MUNGU AKUINUE KAKA
@stormingfoh
@stormingfoh 7 лет назад
Ridhwani..Ndugu yangu... Umeongea mambo mazito...yenye akili! Hakika unastahili Uongozi.. Wewe ni nyayo za kipenzi chetu Jakaya Kikwete! Wewe ni mzao wa CCM kweli kweli Mola Akubariki..Akujalie mema... Aminia
@marblebaswige614
@marblebaswige614 7 лет назад
StormingFo HADI huyu ana busara na hekima kama baba yake big up sana
@stormingfoh
@stormingfoh 7 лет назад
Safi
@romanomlanda7184
@romanomlanda7184 6 лет назад
kila la kheri ridhiwani
@meshacklwambano7744
@meshacklwambano7744 6 лет назад
Uko. Vizuri. Kaka. Mungu. Akuweke
@henrystanley4077
@henrystanley4077 3 года назад
Yani lazima ujiamini Sana kama hv hakika hakuna wakukutisha kbs mzee hawamjui tu alipotoka na nchi hii... hahahahahaha uliwachana vzur kbs kbs sasa habari yao imekwisha...walikua wanaongoza nchi kwa misifa tu na kuaibisha watu hadharani..walikua wanaropoka na walijawa na roho za visasi...na hili wasituharibie nchi yetu na maendeleo yake amewawahi mapema sana
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 6 месяцев назад
Point kubwa sana mkuu
@husnaaliy6158
@husnaaliy6158 3 года назад
unaongea point lkn uwongzi huupati ww mwenywe muuza madawa mzri tu
@saladaniel907
@saladaniel907 7 лет назад
mtoto WA baba yangu kikwete , umenena vema
@yasiniramadhan8391
@yasiniramadhan8391 6 лет назад
Sala Daniel isadie basi yanga
@yasiniramadhan8391
@yasiniramadhan8391 6 лет назад
Tutafutie mzamin yanga
@ShashuMihayo
@ShashuMihayo 7 лет назад
msomi ni msomi tu, mh, Rizone kaongea point, hili janga nitaratibu tu lisifananishwe na kutawanya machinga kariakoo ,
@aikadonath812
@aikadonath812 7 лет назад
Subscribe kwene RU-vid Channel yangu kupata Fursa mpya za Elimu na Ujasiriamali kila wiki.
@tereseamasawe8111
@tereseamasawe8111 7 лет назад
mi napita njia tu.
@sareheporesanadiyoupabanaj9057
kweri wwe umefata yayo ya baba wetu
@mekikileo5702
@mekikileo5702 3 года назад
LIAR
Далее
These Are Too Smooth 😮‍💨
00:57
Просмотров 5 млн
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
Просмотров 1,6 млн
HISTORIA FUPI YA YUSUPH MANJI
5:23
Просмотров 10 тыс.
Mashahidi waeleza Mahakamani Manji alivyopimwa Mkojo
9:13