Huyu ndio msanii no moja tz wengine Ni vindampa hawana vina hawna la maana hawana kutetea jamii Wala message kwa jamii wao Ni uchi na matusi kwenda mbele Safi ssna mkuu hongera ssna kwa kujaaliwa kipaji kikibwa na kukitumia vyema industry Ni yako hauna mpinzani
Hakuna kidampa kila masanii ana mashabiki wake unachopenda wewe si lazima kila mtu ,ata ukiimba wimbo wa matusi mwanzo mwisho wapo watakaopenda na kuona wengine hawana maana , Serikali ni lazima isimamie maadili ikijichanganya na kuacha watu wafanye watakavyo tutafika pabaya, binadamu hatufanani wapo wanaoliombea taifa Amani na wapo wanaoliombea taifa Shari. Mungu ibariki Tanzania
❤❤❤❤roma wewe ndie msanii unae tutetea apa kwetu tz wengini ni mapezi tu aki roma mungu akubariki katika maisha yako ninayo mengi moyoni ila ubarikiwe roma kipenzi cha roho amen
Dah amakweli Roma ni 🔥🔥🔥🔥🔥 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d-3kQOSW-NIh.htmlttps://ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d-3kQOSW-NIh.htmlttps://ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d-3kQOSW-NIh.htmlttps://ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d-3kQOSW-NIh.htmlttps://ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d-3kQOSW-NIh.htmlttps://ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d-3kQOSW-NIh.htmlttps://ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d-3kQOSW-NIh.htmlttps://ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d-3kQOSW-NI.html
Ukimtoa roma msanii bora ambaevmwenye ujumbe mzuri kwa jamiii na kiujumla hata viongozi ukweli unawafika pia na wanajua anachoimba roma ni kweli lakini hawa wasanii wengine ni wacheza uchi tu na hakuna nyimbo yoyote ile ya kuelemosha jamiii na nyimbo zao nyingi ndo zinaongozwa kupigwa kwenye mabaaa