Тёмный

RPC acharuka mbele ya MAKONDA Kigoma, bila woga awachana makavu.... 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@mwanabucheyeki226
@mwanabucheyeki226 8 месяцев назад
RPC uko Sahihi sana.
@abuujihad8411
@abuujihad8411 8 месяцев назад
big up rpc unajiamini sana napenda polisi kma hawa
@JANEBGOYA
@JANEBGOYA 8 месяцев назад
Mwenezi uko vizuri UNAONGEA kwa hekima
@KitejaMwangi
@KitejaMwangi 6 месяцев назад
Ni kweli Sheria ifatwe
@constantinochalle856
@constantinochalle856 8 месяцев назад
Good boss umeelezea vizuri sana wameelewa
@JoshuaMatagane-cb2cj
@JoshuaMatagane-cb2cj 8 месяцев назад
RPC anajielewa sana
@ramadhanmzee7113
@ramadhanmzee7113 8 месяцев назад
Daaah Rpc katema nyongooo
@azizimtege
@azizimtege 8 месяцев назад
Ghafla naichukia kigoma yaaani wanaendekeza sana Imani za kichawi
@deodatusmagagura6793
@deodatusmagagura6793 8 месяцев назад
Kigoma mnamwihitaji YESU Kristo. Okokeni. Ni aibu sana
@KitejaMwangi
@KitejaMwangi 6 месяцев назад
Ukweli ufatwe
@alexsimon5576
@alexsimon5576 8 месяцев назад
Big UP SANA RPC,komesha kabisa hii kitu,inavuruga sana ndugu, wananchi wengi ni wajinga hivyo wafuate sheria kwa nguvu
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999 8 месяцев назад
Yuko vizuri
@bakariibrahim8971
@bakariibrahim8971 4 месяца назад
Wewe ni kiongozi sahihi unaestahiki kuiongoza NCHI
@siamollel6051
@siamollel6051 8 месяцев назад
Wanaelimwishwa wanazoea,,likiwakuta jambo watajuta
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 8 месяцев назад
Kumbe kigoma wanapenda uchawi, daaaaah shkamoo kigoma
@BenardSambilo
@BenardSambilo 8 месяцев назад
Hao wanafichua wachawi ni bora waendelee kuwepo
@Mosesndahani
@Mosesndahani 8 месяцев назад
Hii imeonyesha wazi kwamba Police wote ni CCM RPC kujibu maswali ambayo ni waziri wa ndani.
@ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl
@ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl 8 месяцев назад
RPC anaijua Kaz yake ipasavyo
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 8 месяцев назад
Ndio maana mnaitwa polisi ccm
@anthonytido
@anthonytido 8 месяцев назад
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 8 месяцев назад
Hawa watu niwashirikina kweli
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 8 месяцев назад
CHECK HAPO NI KINA MAMA TU NA IMANI HABA ZENU PUMBAF SANA
@BakariKibauri-qh7gf
@BakariKibauri-qh7gf 8 месяцев назад
Wachawi wanafurahia kisenge😂😂😂😂
@FrankElias-u9i
@FrankElias-u9i 8 месяцев назад
Sasa kuna maana ghan ya kutoka uko nakujakuwasikiliza wananch ilo suala la wachaw nyie hamlijui kwasababu hamjakaa uswailini nyie lakin uchaw upo
@alexsimon5576
@alexsimon5576 8 месяцев назад
Kuna watu wameuawa kwa jili ya huu wendawazinu,mbaya zaidi usipofungamana nao nawe unaitwa mchawi
@JaneLayson-v3p
@JaneLayson-v3p 8 месяцев назад
RPC umeenda hapo mkutano wa chama kutafuta nn, huyo sio boss wako
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 8 месяцев назад
Mmh mikutano si inalindwa jamani angekuwa mwanajeshi hapo tungeshangaa ila polisi hata mbowe angeenda angekuwepo pia.
@JaneLayson-v3p
@JaneLayson-v3p 8 месяцев назад
@@isaacmwaseba9972 kutoa ulinzi sawa ila sio kushuriki kama mjumbe jukwaa kuu. Na hapaswi kumuita mwenezi mheshimiwa, hii inafanya vyama pinzan kuona jeshi linapokea maelekezo ya chama, haiko sawa brother
@avogadroskasembe4841
@avogadroskasembe4841 8 месяцев назад
Ni vyema kuuliza kabla hujatoa hoja sehem yyte unayoona mkusanyiko mpira mkutano, au makongamano yyte maandamano police lazima awepo bila kujali cheo chake wala madaraka yake majukum tu ndio yatatofautiana kwamba huwezi mkuta RPC kashika Ak47 akiwa analinda
@JaneLayson-v3p
@JaneLayson-v3p 8 месяцев назад
@@isaacmwaseba9972 RPC halindi mkutano, askari wake wadogo wanazunguka huko tena kwenye outlayer
@JaneLayson-v3p
@JaneLayson-v3p 8 месяцев назад
@@avogadroskasembe4841 brother naelewa hayo yote lakin my point ni kwamba RPC hapaswi kuwa miongon mwa wajumbe wa mkutano bali anakuwa msimamiz wa usalama kupitia askari wake. Ushaona mikutano mingine au mihadhara ya kisiasa na kidin ukitoa ccm RPC anahutubia???
Далее
Kũmuramura magathĩti 16/10/2024
47:41
Просмотров 3,7 тыс.
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Просмотров 2,9 млн