Тёмный

Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 2 

YahStoneTown
Подписаться 397 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidS...
Jina halisi ni Salim Ahmed Issa, na kwa mujibu wa niloyasoma ni mjukuu wa moja ya watu maarufu mkoani Iringa ambaye alikua anatambulika kama Mtogapaafwe Kiyeyeu. Huyo alikua ni BABU wa Gabo Zigamba kabisaa ambaye binti yake Rafia Issa Kiyeyeu ndo Mama mzazi wa Gabo huyu tunayemfahamu mimi na wewe. Unaambiwa kaburi la Marehemu Mzee Mtogapaafwe lilikua na maajabu sana, ila hiyo ni khadithi ya siku nyengine. Hapa ilikua juu ya utambulisho wetu kwake na sifa zake actor hodari toka kwetu Tanzania.
Gabo si moja ya marafiki zangu ila baada ya kuonana hapa ndo urafiki wetu ulipoanzia baada ya kujua pia tunafanana kwa mambo mengi kwa kweli. Gabo ni MTENDAJI, kuongea anaongea pale anapokua huru na mazingira ila mara nyingi huwa hasemi sana bali anatenda zaidi. Toka nimemsikia mara ya kwanza mwaka 2016, kijana huyu amekua akishinda tuzo mbali mbali na kutengeneza base yake vizuri kabisa. Na ukimuuliza mtu yoyote anayefuatilia mambo ya filamu kuhusu yeye basi hakika utaskia kipaji chake kikizungumziwa pia. Tuzo mbali mbali Gabo ameziokota sana na mpaka kuna kipindi ilikua inasemekana kwamba yeye ndo ‘mrithi’ wa Marehemu Steven Kanumba kitu ambacho kinaweza ikawa motivation au viatu vikubwa sana kwa miguu yake. Swali ni je, anajua watu wanamuona huko?
Kwenye kikao chetu zaidi mimi nilitaka kumfahamu haswa, kumfahamu yeye binafsi na familia yake, nilitaka kufahamu kinachompa raha na karaha. Nilitaka kujua alianzia wapi, nilitaka kujua starehe yake, mipango yake, mitihani yake. Nilitaka kujua kuhusu jina lake, kuhusu kipaji chake, kuhusu dini na mahusiano. Kuhusu industry na ushindani wa ndani na nje na Sanaa kwa ujumla. Na nashkuru alinipa time yake na yangu matumaini humu utapata chochote kitu cha kukufunza jambo. Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 111   
@dysamarcus8462
@dysamarcus8462 4 года назад
amin amin nawaambiaeni gabo ndo RAISI WA TASNIA YA FILAMU TANZANIA nakupenda ZIGAMBA KWA AJILI YA ALLAH
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 4 года назад
🍁Napenda sana watu ambao wako "real" he is genius.... kaka Gabo shikamoo 🙏🙏🙏 nikisema nichague "interview" zangu 5 za hiki kipindi kwenye 5 bora yangu upo #Gabo na pengine kwenye top 3 yangu ukaingia. Nimependa sana ubunifu wako na uthubutu. Sikufikiria jina lako lilitoka na hayo maelezo aiseeh na limekukaa sana. #Mr_Gabon 🔥🔥🍁
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 4 года назад
Nani Amegundua Gabo Anaongea Kiswahili Cha Peke Yake 😁😁😁
@MctMct-tt4rq
@MctMct-tt4rq 4 года назад
👍
@salamasaid6905
@salamasaid6905 3 года назад
Salama ongeraaa sana umebarikiwa na Salim pia amebarikiwa ongeren sana inshaallah
@samkiria450
@samkiria450 4 года назад
Ila Salama anacheka vizuri... Maaan when she smiles it's like she opens a new World😩❤. I love you Salama Allah akuweke 🙏
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 4 года назад
U feel the same I do Yaan,, nami nasmile akichek,, Ani ht haiko n noises
@baiduhawa565
@baiduhawa565 4 года назад
Kuna watu huchoki kuwasikiliza wakiongea, Gabo kwangu ni namba moja. Love u Salama Allah barik
@omarabdallah372
@omarabdallah372 Год назад
Banaaah umeona this my second time to watch this interview
@bahajajuma5947
@bahajajuma5947 4 года назад
Salama leo umecheka saaana😍...kn watu hawachoshi kusikiliza jamani Gabo mmoja wapo....tunaendelea kujifunza!!
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 4 года назад
Imekua fupi yaan
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 3 года назад
Kaka Gabon uko vizuri nakukubali sana Zigamba unajuwa wemkali kama nawewe wakumbali gonga like yako apo chini😜😍😘🎥😍
@fathumramadhan7567
@fathumramadhan7567 3 года назад
A. Alaykum warahmatullah wabarakat mambo vp salama nimependa sana mazungumzo we na Gabo nime ijoy na kucheka
@officialvassa9023
@officialvassa9023 4 года назад
Naomba kaka Gabo arudi Tena jamani mbona bado hajamalizaaa.. "kazi nzuri"
@allykaranja4398
@allykaranja4398 4 года назад
Salama please rudia interview na gabo haja maliza, it seems bdo ana mengi sana
@samkiria450
@samkiria450 4 года назад
Interview ya pili kuielewa sana ya ki-genius sana Baada ya ile ya Jokate Mwegelo ni hii ya zigamba zigambani 🔥🙌
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 4 года назад
Mashallah nimeipenda stori hiiiya Gabozigamba wapo wengi hiii imo kwenye hesabu yangu mashallah
@iky183
@iky183 4 года назад
11.04..mzungu:what's your plan Gabo:this skin no plann😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂my all time favorite actor
@yassinkassim5241
@yassinkassim5241 4 года назад
Hahaha
@ashasiaga3197
@ashasiaga3197 4 года назад
MashAllah Gabo mungu azid kukuongoza ila hiyo story ya kaka yako daah imeniumiza sana
@ibrahimkambi9288
@ibrahimkambi9288 4 года назад
Kuna baadhi ya watu huwa wanateka kipindi gabo your the one.
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 года назад
This skin does no plan 🤣🤣🤣🤣🤣 gabo kumbe uko very fanny nimekupenda bure ❤
@josephmeratah9230
@josephmeratah9230 4 года назад
Salama na #Gabo#Darassa zinaingia kwenye top 5 yangu
@kijangapeter5135
@kijangapeter5135 4 года назад
Kabisaaa, ya Darasa ilikuwa noma sanaa, akifuatia Jide
@firdausyalhaji5569
@firdausyalhaji5569 3 года назад
Pleas hii interview irudiwe..Gabo still have a lot of things to say
@mohamedsalum3112
@mohamedsalum3112 3 года назад
......the BEST INTERVIEW EVER.....THIS GUY IS GENIUS AND IT SEEMS LIKE HE DIDN'T FINISH , HE HAS A LOT TO TALK ABOUT...... PLEASE SALAMA , WE NEED ANOTHER ONE 🙏🙏🙏🙏
@onzeekankuli7621
@onzeekankuli7621 4 года назад
Thenks my sister salama.tumeku miss Sana kwavipindi vyako uku Australia Halah.mungu akuzidishie
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 4 года назад
Nimecheka mpaka machozi yana nitoka dah, huyu Gwalu noma 😂😂😂😂
@shadyamuksin5043
@shadyamuksin5043 4 года назад
naiona bongo move itarud jomon gabu fanya mambo tuekee ata you tubu kaz zako sisi mashabiki zako tupo 😍😍
@MctMct-tt4rq
@MctMct-tt4rq 4 года назад
KATIKA INTVYUU KIBOKO SALAMA HII 2020 IMEUWA TURUDISHIE TENA GABO KWENYE INTAVYUU HUYU MTU MTAMU KWELI HUCHOKI KUMSKILIZA😅😅😅😅
@babayoria9181
@babayoria9181 4 года назад
namkubali sana huyu mchizi gabo zigamba nimefurahi alivyosema ukweli kua anakula kitu cha jamaica
@jitupatel2192
@jitupatel2192 4 года назад
The best interview 2020..Gabo ur going to be my role modol...kip it up
@wildatmsellem7531
@wildatmsellem7531 4 года назад
Interview nzuri sana
@kijangapeter5135
@kijangapeter5135 4 года назад
Hahaha huyu mwamba kweli noma aisee,,eti wazee mnanijadili?,😂😂
@babayoria9181
@babayoria9181 4 года назад
big up yahStone Town salama unafanya poa sana
@miminaafya3585
@miminaafya3585 4 года назад
Salamaaa I wishi umrudieee makochalii aiseeeee anavituuu vingiii sana vya kujifunzaaaaa
@farhatseif3041
@farhatseif3041 4 года назад
Waoooo I like this conversation
@sherrysalim50
@sherrysalim50 4 года назад
Interview tamuuuuuuuuuuuuu sanaaaaa🥰
@knifensharper2725
@knifensharper2725 4 года назад
Salim maashàallah
@anisayahya5018
@anisayahya5018 4 года назад
Big up gabo nakukubali 100% let them say
@rajabuchimbwahi9535
@rajabuchimbwahi9535 3 года назад
Nakukubali xana Gabooo
@allantmusic5988
@allantmusic5988 4 года назад
Namkubali sana gabo
@innocentsimika1937
@innocentsimika1937 3 года назад
Dah! Salama rudia na huyu fundi plz.... nimeenjoy mnooo
@akidambashiri7578
@akidambashiri7578 3 года назад
Kaka allah akufikishe kwenye malengo yako yote ya kher in shaa allah unajua sana
@edwinmbugua7738
@edwinmbugua7738 4 года назад
Gabo welcome to +254
@annemakaka210
@annemakaka210 3 года назад
Big up saaana Gabo. Aisee wewe ni pande la raia. Binafsi nakukubali from +254
@nyakwesimusa1683
@nyakwesimusa1683 4 года назад
What a fine show✍
@octoojay8261
@octoojay8261 4 года назад
Sauti kama Nenga hivi mwana namkubali sana na wish one day ntafanya nae kazi
@queenwesthilson6009
@queenwesthilson6009 4 года назад
Nimefurah sn na kipnd nime enjoy
@dysamarcus8462
@dysamarcus8462 4 года назад
GABO ZIGAMBA NA SALAMA mmejua kunifurahisha
@rehemanguli5887
@rehemanguli5887 4 года назад
Love u salama💓💖
@hassannyangasa8687
@hassannyangasa8687 4 года назад
Nimekubali sana ...salute kwako salama na gabo
@naamanhaji4913
@naamanhaji4913 4 года назад
Gabo big up same to you salama
@didahbebe3866
@didahbebe3866 2 года назад
Namkubali sana jamaa
@naheyaadam9191
@naheyaadam9191 4 года назад
💯✅
@dottnatt7110
@dottnatt7110 4 года назад
Salama msosi unapoa wallah😋
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Mambo ya albadil hayanaga utani..... Ndo maana hata ukitaka kufanya hivyo unaambiwa ufikirie mara mbili mbili maana ikienda Imeenda kurudi haiwezi 🙌🏽
@juniormushi8178
@juniormushi8178 4 года назад
Daaah mbn imekuwa fupi sanaa madam salama
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 4 года назад
Gabo is gud
@bizimanasaid7678
@bizimanasaid7678 4 года назад
Mm nampenda saana da salama jaman alivyo tuuuuu yakupasa umpendee ntamchukia mwanaume atakae mkera kma ameolewa lakn kma bado mungu akupe mmee mwenye fikraa kma za gabo kwa mwanamkee
@dianasimon1221
@dianasimon1221 4 года назад
Mm namkubali saaana gabo
@lakimdiu2547
@lakimdiu2547 4 года назад
Nakupenda gabo wangu na salama wangu😍
@yustinageorge1771
@yustinageorge1771 4 года назад
Nimefulahi intaviwee
@khaykaw
@khaykaw 4 года назад
The words anatumia dis man👌
@mwananimezipendaasantxaana1516
@mwananimezipendaasantxaana1516 3 года назад
Big up xaaan gabo nakukubalii xaaan🔥🔥🔥🙏🙏
@bizimanasaid7678
@bizimanasaid7678 4 года назад
Tunamtaka rammy galess msomaliii salama tusaidie huyo mtuuu maana wengine sio fans wa miziki Ila bongo movie tumo kwahio wainjoy saaana tukiwapata watu kma hawa
@ibrahimkambi9288
@ibrahimkambi9288 4 года назад
The show is GUD
@mshingaboy
@mshingaboy 4 года назад
SALAMA AKITUA #DIAMOND PLATNUMZ itanoga sanaaa
@baslomsalim6604
@baslomsalim6604 3 года назад
Can i get linked to gabo plz... Ihv amazing script 4him
@farhatseif3041
@farhatseif3041 4 года назад
Dada salama na gabo mmetisha sana
@FridaySelemani
@FridaySelemani Год назад
Ww wa moto sn
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 4 года назад
Gabo love u
@andrewjulius2306
@andrewjulius2306 Год назад
Interview flani hivi imesimama sana
@abdulfirst_pilot
@abdulfirst_pilot 3 года назад
Japo kuwa utaishi miaka mingi ujuwe huto ishi miaka yote
@omarabdallah372
@omarabdallah372 2 года назад
😂😂😂😂😂😂 Gabo Bana wallahy u the best
@halemmmbarak16
@halemmmbarak16 4 года назад
Bravo Gabo Ur a gud speaker.
@husseinwemmar6217
@husseinwemmar6217 2 года назад
Why did I have to watch this in 2022?
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 года назад
Jamani sikufaham kasema nini hapo kuhusu halibadili? 🤔
@fatumahassan4476
@fatumahassan4476 3 года назад
Duuuu this is smart interview
@binfoumame7938
@binfoumame7938 4 года назад
Salama imenoga shoo imenoga
@mwasitiiddy7425
@mwasitiiddy7425 4 года назад
Yuko real sana gabo
@rehemanguli5887
@rehemanguli5887 4 года назад
Good show
@amanimushi4052
@amanimushi4052 4 года назад
Gabo zigamba ✊
@hamispeter9043
@hamispeter9043 4 года назад
rafiki wa king na Samatta
@pendondossy2158
@pendondossy2158 4 года назад
Gabo uko vzr shikamooo🙄🙄🙄🙄🙄
@babubabz4507
@babubabz4507 4 года назад
Wallahy huyu jaama yani unacheka kma chizi ukimsikia uko sawa
@lizziesylivester3159
@lizziesylivester3159 4 года назад
Gabo 100%
@marymsemo3801
@marymsemo3801 4 года назад
Salamaaaaa
@nadhraabdulaziz9193
@nadhraabdulaziz9193 3 года назад
Intaviyuu fupi sanaaa wallah
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 года назад
Salama tunamtaka king Kiba pls
@pendomasawe5477
@pendomasawe5477 4 года назад
Haaaaaaaah
@kisasarob751
@kisasarob751 4 года назад
Haha watu wa mpepe utawajua tu....
@abdallahomari9860
@abdallahomari9860 4 года назад
Gabo kama Pusha
@Abu_Arshad23
@Abu_Arshad23 4 года назад
Umetubania show imekua fupi sana
@robytechnicalservise
@robytechnicalservise 3 года назад
Gabo vs salam more ipticiate
@hafsamaulid1256
@hafsamaulid1256 4 года назад
Jamani mbona imekuwa fupi
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 4 года назад
Kwenye utamu Zaid ndo kumeisha jaman
@yassinkassim5241
@yassinkassim5241 4 года назад
Eti unakuw mkenya ghafla 🤣😂🤣😂🤣
@sarahedward539
@sarahedward539 4 года назад
Kipindi kiko pouwa
@mammyquetkiba9672
@mammyquetkiba9672 4 года назад
Gabon
@fatmahussein3876
@fatmahussein3876 4 года назад
Jamani gabo niowe wa pili bc
@bahajajuma5947
@bahajajuma5947 4 года назад
🤣🤣🤣🤣...wanaume km hawa wapo wachache😍
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 4 года назад
Sanaaa 💞💞
@aliqueenirakoze6112
@aliqueenirakoze6112 4 года назад
Nami watatu 😀
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 4 года назад
Hahahaaa
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 4 года назад
Eti kipingu umemkumbuka eeh mwalm wako wa English na michezo
@bellabakera
@bellabakera 4 года назад
Salama uweunaleta watu kama hawa sio wakina ladyjadee wananyodo kila kitu siwezi ongelea.
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 4 года назад
Kwer kabisa
@lotinyumba1573
@lotinyumba1573 4 года назад
Gabo umetisha big up brooo
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 4 года назад
😂😂😂😂
Далее
Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1
41:27
Просмотров 476 тыс.
Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 1
35:07
Просмотров 140 тыс.
НЕ БУДИТЕ КОТЯТ#cat
00:21
Просмотров 958 тыс.
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
MIAKA 5 YA TIFFANY STORE NDANI YA NDOA NA GABO ZIGAMBA
22:09
Salama Na Seba Ep 27 | MKURUGENZI Part 1
33:42
Просмотров 57 тыс.