Тёмный

Fix You: Sababu zinazofanya watu kusaliti mahusiano, kwanini zinatofautiana, wanaume na wanawake 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

6 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@christermapunda503
@christermapunda503 Год назад
Irene asante sana kutuletea Mwl huyu aliyejitoa maisha yake ( sacrificial giving ya elimu). Hakika huduma ya Ualimu nimeiona kazini. Huduma hii ikue sana na idumu. Great, great!
@stevensonpelegy3052
@stevensonpelegy3052 Год назад
Hakika mwalimu anaeleweka. Hata nawe Irine uko vizuri, hongera sana.
@rosemakara3592
@rosemakara3592 Год назад
Kipindi kizuri sana. Mafundisho ni ya muhimu sana sana. Mungu awabariiki watumishi wa Mungu.
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Год назад
Kipindi kitam bana mi naona awe official huyu kaka katika (Sns fix you) kwakweli anaelezea mada na zinatugusa na kutufundisha,mimi binafsi najifunza kitu na nachukua mengi kutoka kwake i appreciate asante sana ubarikiwe Irene kwakutuletea watu kama hawa ❤
@salamisindimwo303
@salamisindimwo303 Год назад
kipindi kizuri mnoooo, madini mpaaka basi...asante saana SnS, asante Kamugisha, Asante guest Mr. Timothee Kyala, I really appreciate the interview...entertainment and learning at the same time...
@dayana5513story
@dayana5513story Год назад
Tatizo wanawake wengi atupendi kusikia ukweli but that it's this man he have say all 🙌 bring him again pls
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Dada❤Leo mwalimu anashusha point kwa mpangilio huku akingiza maneno ya biblia kumjua dini ina nguvu kwa maisha ya mwanadamu❤❤sana
@knowledgetv5594
@knowledgetv5594 Год назад
Mwl Kyara, ni zaidi ya Mwl, Mungu amuinue sana, nampenda mno hekima yake namna anavyozungumza.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Huyu mkuu mlete mara zote..,amejaa madini kuliko hata manabii na wachungaji kibao. Much love teacher T❤
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Wale ni mananii fake 😂
@Danielmoyo556
@Danielmoyo556 Год назад
Huyu mzee yupo very smart in talking.😊
@daudhabona8897
@daudhabona8897 Год назад
Hiki ni kipindi Bora sana na huyu mwalimu ni mtu mzima. Nawapongeza sana sns kwa kipindi hiki. Ki ukweli ndoa yangu Ina imarika kwa mafundisho haya ni muhimu sanaa. Mbarikowe sanaa
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Год назад
Sio kwa ajili ya vijana tu ata sisi watu wazima,ni mesisimka sana Timo Mungu akutetee milele,AILIN wewe ni Mama bora sana wa kizazi iki,maswali na majibu yote nimeyapata,
@Udindigwa
@Udindigwa Год назад
Asante SANA Ujumbe Mzuri SANA
@hazimamohammed1340
@hazimamohammed1340 Год назад
Namkubali sana huyu kaka.. katulia kwenye anachokitowa mdomoni.. hii yote inaonyesha ukomavu wa busara..big up broo
@raphaelkilumanga7691
@raphaelkilumanga7691 8 месяцев назад
Napenda mafundisho kwa kuwa ni muwazi na anakupa uzoefu wake mwenyewe kitu ambacho wengi hawaongelei bali wanaficha na kuunda nadharia ambazo kimsingi hazipo
@matengamboho5098
@matengamboho5098 Год назад
Baba unaongeya mawazo yangu kabisa ❤😂 💯
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
Asante sana
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Год назад
Mungu wangu sijawai kukutana na Maneno mazito kama haya,nipo njiani kuvunja ndoa yangu,tayari yupo baraza la usukuishi la kata naomba ni ya hiyo kaja,AILIN ongera sana ,
@josephkivuyo5712
@josephkivuyo5712 Месяц назад
Mwanamke kuvua nguo wala si upendo, ni malengo yake yaliyojificha. Angetakiwa mwanamke ndiyo aelezee.
@matengamboho5098
@matengamboho5098 Год назад
Nakuelewa sana mzee wangu ❤😊
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Год назад
Pindi zuri sana full nondo jmn Hy ni zaidi ya fix u Irene ukweli kbs jmn ndoa hizi
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 5 месяцев назад
Hiyo tabia ya Colgate Mhhhh😂😂😂😂😂 watu wengi tuu hufanya hiyo.
@sarahsingombe
@sarahsingombe Год назад
Nimependa I wish one day nieleze exprience yangu but kipindi hiki kinanifunza saana ahsante dada irine
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 Год назад
Wow😊❤👌
@ernestmhilya960
@ernestmhilya960 Год назад
Smart enough
@beatricefrankngalubutu1448
@beatricefrankngalubutu1448 Год назад
Hongera sana dada Irene show inazid kukua kila siku
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
Shukrani sana
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 Год назад
💙💙""""Asante """""💙💙
@alhajikangalawe6178
@alhajikangalawe6178 Год назад
You and Joel Nanauka💪🔥
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Год назад
Space is very important kwenye ndoa aise. Saa nyingine kupumuliana kunachosha😅😅😅😅😅
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
😂😂😂
@kenedyrocky4641
@kenedyrocky4641 Год назад
Hi 👋👋👋👋 kitambo kidogo nimerudi tena kuwafuatilia.
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
Karibu tupoo
@edinambwambo4847
@edinambwambo4847 Год назад
🔥🔥🔥🔥
@angeakeza6542
@angeakeza6542 Год назад
Kipind kizur bora kiwep kilasik😂❤nc
@publicrelations4600
@publicrelations4600 Год назад
mbona hamtuletei mwendelezo wa kesi ya Dr.Nandipha.?
@AfroMedic
@AfroMedic Год назад
Huu ni ukosefu wa hela
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️。
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Год назад
tunaomba ata kw wek ziwe znapanda vdeo 3 maan wengi tunajfunza kupitia nyie
@Daniel-kg9rp
@Daniel-kg9rp Год назад
Sky tunatak redcap ya harmonaiz kwa show ya Jana kure India
@m___ck799
@m___ck799 Год назад
😂😂 eti India
Далее