Тёмный

Salama Na TID SE6 EP07 FULL SHOW|NYOTA YAKO PART 2|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
NYOTA YAKO
Khalid Mouhamed Tidy aka TID ni familia kwangu, mimi na yeye tunafahamiana zamani sana na ukabila wa Mama zetu pengine ndo ulitufanya tuwe karibu kwa kiasi hicho. Tulikua na marafiki wanaofahamiana. Sote tulikua tunaanza kazi na utafutaji tukiwa pamoja na pengine kiu na ubora wa kazi zetu ulitufanya kipindi flani twende kwenye njia tofauti. Ila kina mmoja alikua anashinda mechi zake kwenye ligi yake na kutawazwa kuwa bingwa wa mashindano kadha wa kadha.
Nadhani yeye kuwa STAR mkubwa hapa Afrika ya Mashariki kulitokana na kujielewa kwake na kuwa mvumilivu wa mambo kwa kipindi kirefu. Usikuambie yoyote kwamba TID alikua star kwa usiku mmoja au, yaani alilala na kuamka then boom, hapana. Ilibidi afanye kazi nyingi, na watu wengi na kwenye hizo kazi ndo alikutana na Boss ambaye aliona kipaji chake na akamuunganisha na mtu sahihi. Baada ya hapo kazi ikafanyika na mengine yakafuata.
Alikua mkubwa kiasi gani lakini? Alipitia mitihani gani? Na kipi anajivunia sana kwenye fani yake? Yepi majuto yake? Lowest moment kwenye maisha yake ilikua ipi? Kama huwa anapata mawazo ya kutaka siku zirudi nyuma na pengine angefanya vitu kwa utofauti? Kina nani na nani wanamaanisha nini katika maisha yake? Muziki wa nyumbani umemfanyia nini kwenye maisha yake?
Wapi alisoma? Elimu yake ni ya kiwango gani? Ukaribu wake na Mama yake? Maisha ya sasa? Misukosuko aliyopitia miaka mitatu iliyopita ambayo ilimfanya aingie matatani na vyombo vya dola na mambo mengine mengi tuliyazungumzia humu. TID ana Kaka zake ambao wako naye karibu sana. Hilo nalo tuliligusia humu. Suala la yeye kuwa trend setter na mwisho wa siku hana faida anayopata kwa miaka mingi na nini hilo humfundisha pia hatukuliacha nyuma.
Haya yalikua maongezi ya mtu na rafiki yake wa siku nyingi, humu pia nilitaka kujua kuhusu well being yake na mipango ya sasa ikiwa ni pamoja na TV show yake ambayo inamfanya awe busy na kumpa yeye nafasi ya kuwa na mashabiki wake kwa karibu zaidi. Tidy ni mcheshi, na mwenye kujielewa. Hatukuacha pia kuongelea mahusiano yake na Marehemu Albert Mangwea na maswali yaliyokua yamegubika juu ya chanzo cha kifo chake na pia yeye kama Rafiki na star, nini alijifunza.
Yangu matumaini uta enjoy, utacheka na kuelewa baadhi ya mambo ambayo ulikua unajiuliza au pengine ulikua hujui kutoka kwa mmoja wa wasanii wa Bongo Flavour ambaye amesaidia kwa kiasi kikubwa kuutambulisha mziki wetu KIMATAIFA.
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Развлечения

Опубликовано:

 

27 фев 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 134   
@eyshermohammed2236
@eyshermohammed2236 2 года назад
Uyu mjamaa wajukuu zake wataenjoy sana 💞
@peterlujuo1640
@peterlujuo1640 2 года назад
Naangalia almost interview zote za T.i.d he's true definition of entertainer
@salomembasha7100
@salomembasha7100 2 года назад
My best interview for 2022!! I enjoy watching TID interviews 🤣🤣🤣🔥🔥🔥🥰🥰🥰
@epiphaniaallute2726
@epiphaniaallute2726 2 года назад
Asante Salama umefanya mwaka kuanza vizuri kwa interview hii ya TID nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗🤗
@elizabetherenesti309
@elizabetherenesti309 2 года назад
Interview za TID uwa hazichoshi kuzisikiliza, utani mwingi, vichekesho, mafunzo na story za hapa na pale! uwa naenjoy kichizi........big up TOP IN DAR
@MRiki03
@MRiki03 2 года назад
T I D ni moja ya watu wanaohitaji watu wenye akiri kubwa zaidi ili kuwaelewesha wengine na Imekuwa hivo Huwezi amini huyu mtu kama ana madini but Salama did it and tumepokea
@mfaummesaid4562
@mfaummesaid4562 2 года назад
Yuko so funny huyu jamaa na ana akil ming sana
@Kobe_254
@Kobe_254 2 года назад
True TID was a big thing in Kenya early 2000s .. we really danced and sang his songs in da clubs saana.. we still have him on playlists wana wa kizazi icho…. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸👏👏👏
@saumabdallah6739
@saumabdallah6739 2 года назад
Nice San salama na TID 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@flyingpharmacyapp2191
@flyingpharmacyapp2191 2 года назад
TID IS BLESSED ....I CAN classsfy THS ONE OF TH BEST of th best FROM YAH STONE TOWN🔥🔥🔥🔥🔥
@shabanamiry1981
@shabanamiry1981 2 года назад
Nimesikia salama akisema kmmke................!!!!nani mwingine kasikia???????
@kukunimali9293
@kukunimali9293 2 года назад
Ha ha ha ha ha ha hii nadhani itakua ni show kali kuliko zote 2022 sidhani km kuna itakayoizidi hii nimenjoy sana
@sunbitekingtv809
@sunbitekingtv809 2 года назад
😂😂😂😂Kama umeskia kummake ya salama like hapa
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 2 года назад
This dude is meant to be a hero and special.
@abuuswahili
@abuuswahili 2 года назад
I'm adding this in one of my best interviews
@businesstanzania
@businesstanzania 2 года назад
Mmenimalizia Bando, Nimerudisha Nyuma Kama Mara 50 Hivi, 👉😁👈
@Eddiedillip
@Eddiedillip 2 года назад
Salama your so matured. Keep it up....
@Eddo-es7zs
@Eddo-es7zs 2 года назад
Salama nimependa hapo mwisho ulipomalizia, it is a good advice
@fahamnitwahir9249
@fahamnitwahir9249 2 года назад
Salama tuletee saigon
@fredgonga
@fredgonga 2 года назад
tid big up sana..salama muite na mheshimiwa TEMBA
@jeremiahbrazio2278
@jeremiahbrazio2278 2 года назад
Love u so murch salama, kwa maswali mazuri sana. I hope tumejifunza mengi.🙏
@ernestmmeta8251
@ernestmmeta8251 2 года назад
Aisee TID ni zaid ya comedian
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 года назад
Maskini salama nampenda sana ningeona raha angekuwa ndugu yangu wa hiyari😘
@salummussa9880
@salummussa9880 2 года назад
Top ni hatariii mungu akuweke sana we jamaa tuna enjoy maisha yako coz sijajutia bando langu
@salimdibundile4872
@salimdibundile4872 Год назад
Nimecheka sana na hii interview.. Tid is so so funny
@almah4luv
@almah4luv 2 года назад
I love this entire interview… ♥️
@c75923
@c75923 2 года назад
Daah Great Interview Great Bond, Show Ya Kijanja Sana, Entertainment While Educating, This Was Great, The Two Talented Dah Am Short Of Words, Ni Yeeiyeee! Watoto Wadogo!
@ephraimgilbert190
@ephraimgilbert190 2 года назад
Salama ur too genius,kuna swali umeiuliza hapo kwamba TID angependa kuzaliwa generation ipi
@salimdibundile4872
@salimdibundile4872 Год назад
You brought ngwea.. You stay blessed guys
@bjzee1981
@bjzee1981 2 года назад
Pengine na stress zangu nakula sana panadol 😂
@bonifacembogo5675
@bonifacembogo5675 2 года назад
Tid is a natural entertainer.
@erickkimathi5877
@erickkimathi5877 Год назад
TID is a full vibe man. Nilienjoy show.
@jaffarynkanda9786
@jaffarynkanda9786 2 года назад
I loved the interview
@advocateishengoma1088
@advocateishengoma1088 2 года назад
We ❤ you salama, it good 👍 program, interview 👏
@inocentlema5574
@inocentlema5574 2 года назад
Nyota yako was dangerous 🔥🔥🔥
@denismalcom4219
@denismalcom4219 2 года назад
Tid na salama wapo very smart up stairs....bonge is interview 🤛
@lisulilelisulile763
@lisulilelisulile763 2 года назад
Salama_ na Tid mmetisha Sana!
@Remmy_Remmah
@Remmy_Remmah 2 года назад
11:11 I felt 💔💔🥺soo sad, you are a true legend.🇰🇪 we love you always ❤ 💖
@dr.hermankessy
@dr.hermankessy 2 года назад
The first to comment...wooow
@Moochalah
@Moochalah 2 года назад
I real enjoy everything from you TID mnyama
@tildahongkong6086
@tildahongkong6086 2 года назад
Ahahaha nimecheka sanaaa TID ni comedian 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salaita2829
@salaita2829 Год назад
Dah TID siku moja kinondoni itaujuwa umuhimu wako,hukupaswa kabisa kuzaliwa stereo watu wanakuchukulia powa ila wee ni bonge la madini unaakili nyingi sana,watoto wadooogooooo.
@moricemizambwa8125
@moricemizambwa8125 2 года назад
Yah Best interview ever for 2022...
@FikiriChuma
@FikiriChuma 2 месяца назад
Oooh my God!!!!!!! Huyo jamaa mkali saaaaana
@maryshirima1234
@maryshirima1234 2 года назад
Nakuelewa TID maana upo real... keep it up!
@manaldoowusu1598
@manaldoowusu1598 2 года назад
Tid de man along side Salama we love you all
@allydamas3832
@allydamas3832 2 года назад
tid hakutakiwa kuwa bongo angetakiwa kuwa mbeleeeee 😂👌🏿👌 he is really
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 2 года назад
Tid mnyama! Huboi kwenye interview! Nimecheka Sana!
@arnoldmbuya1579
@arnoldmbuya1579 Год назад
Still Top In Dar.. Best Artist/Entertainer. Keep Shinning brother
@elbarrey3305
@elbarrey3305 2 года назад
Alot i have got from you TID 😊😊 Like the death of albat mangwes is still in contraductional situation 😡😡😡
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 2 года назад
Nimechoka Sana😂🤣😂💕❤️Nice Bringing Him Yuko poa sana 🙌🏾❤️🇰🇪❤️🙌🏾
@user-db7dw4ml8p
@user-db7dw4ml8p Год назад
My favorite artist Top in Dar
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 года назад
To be honest I like you music brother,like the song wewe na jd understanding ooooooh ni hatari sana ule wimbo
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 года назад
Big up sana guys....💪
@davidelijahlaiser4064
@davidelijahlaiser4064 2 года назад
Tid mzee wa kupenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wananiuuuaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@annamichael1433
@annamichael1433 2 года назад
Top indar 😅🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣maniner kiboko watoto wadogooooo
@butoyiamidou3022
@butoyiamidou3022 2 года назад
I like it chin up my sisi.
@ohadyanderson4851
@ohadyanderson4851 2 года назад
Salama siku moja umuhoji jesca tumuone sura
@happyhance5522
@happyhance5522 2 года назад
love this ...... ni yeye
@geeva99
@geeva99 2 года назад
😂😂😂😂mchongo wa taikondo nimekubali 🙌🏾
@bushiryulaya1843
@bushiryulaya1843 Год назад
Nime enjoy sana hii show
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 года назад
Daaah nimecheka saana😂😂😂😂😂😂
@shardalove1159
@shardalove1159 2 года назад
Ni yeye,,,mnyama 🔥🔥🔥🔥
@user-di1yp4vf6t
@user-di1yp4vf6t 2 года назад
TID deserves more work.
@nasri.27jr25
@nasri.27jr25 2 года назад
Best interview in 2022
@gladnesskimati
@gladnesskimati 2 года назад
Nimecheka sana leo
@user-di1yp4vf6t
@user-di1yp4vf6t 2 года назад
Real Guy. A lot of potential lost. TID. Maskini anajua ila kaaachwa Pekeyake
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 2 года назад
Ni yeye mnyama.. interview so supa
@issambwana4802
@issambwana4802 2 года назад
Napenda interview zake huyu jamaa kichizi
@mpajimungu5707
@mpajimungu5707 3 месяца назад
Mahojiano mazuri mno, Tid ni kichwa sana
@antidabanyikwa3259
@antidabanyikwa3259 Год назад
Oooh my God nachekaaaa🤣🤣🤣🤣🤣 T.I.D katisha
@mwl.mussashekinyashi2088
@mwl.mussashekinyashi2088 3 месяца назад
this guy ni another level
@osmanmtambo9918
@osmanmtambo9918 2 года назад
SALAMA na Kubari kazi zako
@bonifacewiliam4695
@bonifacewiliam4695 2 года назад
Nzuri sanaaa
@dr.hermankessy
@dr.hermankessy 2 года назад
I appreciate him
@enockmwilongo5771
@enockmwilongo5771 2 года назад
Hiiiiii kali hivi sasa iyo ya chid benz je nayo itatisha sana hebu mchekini benz bax
@alsonsemoka5019
@alsonsemoka5019 2 года назад
Tid mnyama
@mrmelody255
@mrmelody255 2 года назад
My brother is taking... watoto wadogo...😂😂😂
@jumaamanghi8764
@jumaamanghi8764 2 года назад
Umeongea kwa hisia sana hii inshu ya drugs hadi nimeumia
@nassprincetz
@nassprincetz 2 года назад
i love jessica❤️
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@zeyamar1655
@zeyamar1655 Год назад
TID is so real.....
@lisaseck.5974
@lisaseck.5974 Месяц назад
😅😅😅😅😅😅😅 TID You're Amazing
@salmashahbal2424
@salmashahbal2424 2 года назад
Hahaha nataman umuite Tena bwana😆😆😆😆😆😆😆😆😆nimecheka sana Kama ninja😆
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Leo Nimecheka eti kaingia na mlango, *TID* wewe kichaa 😂😂😂😂😀😀😀😀
@maryshirima1234
@maryshirima1234 2 года назад
Namsubiri Chid Mabenz...😂😂😂
@michaelsikapundwa4955
@michaelsikapundwa4955 8 месяцев назад
Jabir nimependa kumpata huyu mtu, najua kingereza kitakuwa kingi sana😂😂😂😂
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 2 года назад
Taikondoo ukafumaniwaa
@nourvuitton2325
@nourvuitton2325 2 года назад
❤️❤️❤️
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 Год назад
Ila T.I.D 😂😂😂😂😂😂😂
@nicki1885
@nicki1885 2 года назад
😂😂😂♥️♥️♥️Love it
@iconskytz
@iconskytz 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 this is awesome
@shukurukitamuka6829
@shukurukitamuka6829 Год назад
Salama ifike kipindi na wewe wakuoji kwa kuwa tuna misa kujuwa yakwako yanyuma kwangu nanyo kuona unamengi ya kitaa
@christianshayo1797
@christianshayo1797 Год назад
TID utunduu mwingiii sanaaaa
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 3 месяца назад
Who is this guy 🤷🏿‍♂️? 😂😂😂😂 Ni bodaboda why passing around my interview I hate youuuuuu 🙌🏻🤣
@michaelsikapundwa4955
@michaelsikapundwa4955 8 месяцев назад
madongo ndio njia ya kutokea, me niko nje kwajir hiyo mana yalinipa hasira😅😅
@dianamdaku9802
@dianamdaku9802 2 года назад
😂😂😂nimecheka mpak nimepaliwa
@0fficialsoni
@0fficialsoni 2 года назад
Bro anaupiga mwingi sana!
@nassprincetz
@nassprincetz 2 года назад
huu R.I.P NGWAIR
@mustafachaurembo9169
@mustafachaurembo9169 2 года назад
TID ni mcheshi sana
@joharikasanda4476
@joharikasanda4476 2 года назад
L O L♥️
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Год назад
TID kwa lugha ni mzima sana uko saw jombaaaaa
Далее
Salama Na SPESHOZ Ep 33 | BOBBIN Part 1
34:30
Просмотров 52 тыс.
This or That 🛍️
00:52
Просмотров 6 млн
TID : WEMA SEPETU / ANANUKA MDOMO
33:37
Просмотров 305 тыс.
TID - Nyota (Official Video)
4:59
Просмотров 2,2 млн
Salama Na Madee Ep 18 | MPAKA MSHALE Part 1
40:33
Просмотров 67 тыс.