Тёмный
No video :(

Sengerema waiomba Serikali kumlipa Songoro akamilishe ujenzi wa vivuko 

UTV Tanzania
Подписаться 74 тыс.
Просмотров 35
50% 1

Wakati ujenzi wa vivuko vitano vinavyojengwa na Serikali ili kutoa huduma kwenye ziwa Victoria mkoani Mwanza ukisuasua kutokana na Mkandarasi Songoro Marine kucheleweshewa malipo ya shilingi bilioni l.11, baadhi ya wanufaika wa wilayani Sengerema wameiomba Serikali kulipa deni hilo ili kukamilisha ujenzi na kuwaondolea adha ya usafiri katika ziwa hilo.
@official_jennifersumi
#azamnewsupdates

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
Просмотров 23 тыс.