Тёмный

SGR YAWAKOSHA ABIRIA, WAFURAHIA HUDUMA ZA KWENYE TRENI 

TRC RELI TV
Подписаться 79 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

NI SIKU YA PILI

Опубликовано:

 

14 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@athumaniabdi4122
@athumaniabdi4122 Месяц назад
Mungu endelea kuibariki Tanzania🎉
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Месяц назад
Shida barabara za kuingia station morogoro ni mbovu sana. Hivi Tanroad mpaka mradi unakamilika hamkuwaza jinsi ya watu kufika station.
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Месяц назад
TARURA, sio TANROADS
@magorymara5515
@magorymara5515 Месяц назад
Ndo maana mkaitwa Dania ya tatu kutokana na fikra zinabishana na maendeleo serikali ni moja kwanini wasijenge hizo barabara
@mosesfrancois752
@mosesfrancois752 Месяц назад
Hili linaenda vizuri maoni ya Watanzania unaona kabisa sio ya kinafki
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Месяц назад
Watu wa mbeya pandieni dodoma itawafaa zaidi
@rajabuJumapili
@rajabuJumapili Месяц назад
AKUMBUKWE MTOTO WA CHATO
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 Месяц назад
MAGUFULI OYEEEEEEEEEE
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Месяц назад
Jambo zuri sana
@Kabwela776
@Kabwela776 Месяц назад
Kuwe na jela humo maana wengine wataanza uchafu kunya pembeni kuchafua seat kushika matako hao wahudumu Na msiuze mayai na wasio oga hamna kupanda treni pombe msiuze !
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Месяц назад
Tunaomba usafi. Marekebisho yafanuike kwa wakati. Siyo siti inachanika mpaka godoro inaonekana. Kama tumeanza quality tuendelee na hiyo quality. Maana watalii wengi wanapenda train . Tutunze vifaa vyetu na abiria tunzeni siti acheni kuchora chora. Kuwepo na ustarabu.
@EdwinShetuli
@EdwinShetuli Месяц назад
Nashauli ilikuondoa msongamano apo stesheni ya treni ya mwendokasi mfungue office baadhi yasehemu kama msamvu ,mjini
@anthonygikuri
@anthonygikuri Месяц назад
Hongereni!!! Je baada ya majaribio huduma itaendelea kuwa ya viwango? 😂 Tunapenda kula jojo na tukimaliza tunabandika kila sehemu😢
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct Месяц назад
yaani huyo mwenye jojo ukimkamata hata wewe chapa viboko....hatuna jinsi maana wengine hawataki kubadilika basi wabadilike kwa nguvu
@abelg2488
@abelg2488 Месяц назад
@@UnitedAfrica-uw9ct😂😂bonge la point. Basi hata makosi yatembee kwa yule asiyetaka kuzingatia Ustarabu ustarabu unadhifu unadhifu muhimu mno mno
@mbwizax87
@mbwizax87 Месяц назад
Beer zipo?
Далее
Наташа Кампуш. 3096 дней в плену.
00:58
The lightweights ended Round One with a BANG 💪
00:10
My other passion
3:11
Просмотров 80
#SGR: TRENI YA UMEME TANZANIA   (Film)
23:56
Просмотров 1,5 тыс.
How Private Equity Drove America's Car Wash Obsession
7:04
"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"
8:33
Просмотров 12 тыс.