Тёмный

SHABIKI WA YANGA ABANANISHWA ASHINDWA KUJIBU MASWALI HAYA KUTOKA KWA SHABIKI WA SIMBA 

Mpenja TV
Подписаться 531 тыс.
Просмотров 4,3 тыс.
50% 1

Mashabiki wa soka nchini Tanzania @allyyanga pamoja na @mzeewasalute wamefanya mahojiano na Mpenja TV, na kutambiana kuhusiana na usajili uliofanywa na vilabu vyao huku wakidai kila mmoja anamatumaini na timu yake.

Спорт

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Jibu swali
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma Месяц назад
Wenye SIMBA yetu tumelud tena dalili mputa na wengine tumelud SIMBA NGUVU MOJA 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂😂😂😂
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 Месяц назад
MZEE wa Saluti Simba na Mazembe nani bora Africa
@JamesHonore88
@JamesHonore88 Месяц назад
Mtu asieenda uwanjani kwa buku anawezaje kuwa na hoja??
@alexashta515
@alexashta515 Месяц назад
Mwana Yanga Hana Point Anabwatuka Tuu Ilimradi Aonekane Kwenye Camera
@charleshenrydembe5633
@charleshenrydembe5633 Месяц назад
point zake utazielewa siku za mbeleni😅
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Makoro hamna mafanikio
@rogermabirwa
@rogermabirwa Месяц назад
Hivi mpeja mnaoji kupata views tu au huyo nao masaluti heti shabiki wampira au shabiki😂maandazi
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu Месяц назад
Tatizo la mashabiki wa yanga huwa awajuagi kuongelea mpira wao huwa ni wabwatukaji awaongeagi point honahapo mtu anashindwa kujieleza anahikalia kupiga mziki wameacha kutembea na magazeti kama wahuza chapati leo wameamia kwenye viredio kama wahuzadawa za mbu.
@johnnyambuya8671
@johnnyambuya8671 Месяц назад
Kuandika Kiswahili fasaha tu kumekushinda, sasa huo mpira unaohitaji akili utauweza kweli.
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 Месяц назад
kwasababu hawajaenda shule japo madarasa matatu wameishia jangwani kuvuta bangi ndyo maana
@amanmarco5891
@amanmarco5891 Месяц назад
Dogo france badae uje bandan co kwa kuhoji huko
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Bado hujajibu ww makoro
@user-id5oc7hm4n
@user-id5oc7hm4n Месяц назад
Dampu fc
Далее
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 18 млн