Anafahamika kama mfalme wa uchekeshaji wa jukwaani akiwa amewafungulia dunia vijana wengi. Coy Mzungu anazifungua kurasa za Shajara yake kwa Babbie Kabae #ShajaraCloudsTV
Daaaaaaa aise nimeumia sana na hii story yallab naomba unijalie uhai mrefu nilee watoto wangu ASANTE SANA NIMEJIFUNZA KITU HAPA JAMN HAPO KWENYE STORY YA KUMCHUKUA UYO MTOTO WA MTAAN NA KUMLEA DAAA NIMEJIFUNZA KITU AISE AUNA MAISHA MAZULI LAKIN UMEAMUA KUJITILEA KWAKUWA WEWE PIA UMEPITIA HAYO MAISHA YA MTAAN
Kitu ambacho mnazingua ni kutoweka namba za mahojiono kwamba mmeanzia wapi mnaenda wap ? Nyuma mlikuwa mnaweka part 1 hadi part labda 3 ama 4 saivi mnatuchanganya
Ila wazazi mnaoachana mmoja unachukua watoto kwa nguvu ili kumkomoa mwenzako na bado hauwalei watoto ipasavyo😭😭😭 Mungu awakemee,mmetufanya tumeshindwa kufikia ndoto zetu kwa wakati,tumeumizwa sana huko mtaani tukiwa tunatafuta tonge tu😭😭😭😭 Naamini Mungu analipa mwenyewe awalipe hata kama mmefariki😭😭 Coy Keep it up Mungu si maanandamu. Ma afisa ustawi mnaogawa watoto wa wenzenu bila kufuata haki kwa kupewa chochote na baba😭
Ila wazazi mnaoachana mmoja unachukua watoto kwa nguvu ili kumkomoa mwenzako na bado hauwalei watoto ipasavyo😭😭😭 Mungu awakemee,mmetufanya tumeshindwa kufikia ndoto zetu kwa wakati,tumeumizwa sana huko mtaani tukiwa tunatafuta tonge tu😭😭😭😭 Naamini Mungu analipa mwenyewe awalipe hata kama mmefariki😭😭 Coy Keep it up Mungu si maanandamu
Ila wabibi wazaa baba sijui kwanini huwaga hawana mapenz na wajukuu wa watoto wao wakiume 😭😭😭😭 eeeeh mwenyezi Mungu nifanye kuwa bibi mwema endapo nitapata kibali cha kuishi😢