Тёмный

EXCLUSIVE: VITUKO VYA MCHEKESHAJI ELIUD SAMWEL, ASIMULIA MAISHA YAKE, ELIMU NA MAHUSIANO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 104 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 151   
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 Год назад
Ila Eliud 😂😂😂ana vituko sema napenda alvyo muwazi Mungu azid kukubarik zaid ya hapo🙏🙏
@RoseGeofrey
@RoseGeofrey 21 день назад
Eliudi ana kipaji kizuri sana ukweli ni kwamba anaweza pia akakaza katika ibada akaenda mbinguni maana hata lugha yake ni nzuri hata mtoto anaweza kumsikiliza ana lugha njema sana ❤❤❤❤Mungu ampe mwisho mwema amina
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 Год назад
Jamanii muende dar na uhai pamoja na maalifa🤣🤣🤣Eliud salute kwako🙌
@petromsomba4523
@petromsomba4523 Год назад
Kuna tofauti ya kipaji Cha kuchekesha na mtu kusomea uchekeshaji ira Eliudi una kipaji Cha kuchekesha
@furahasanga2534
@furahasanga2534 Год назад
NAKUPENDA MTUMISHI WA MUNGU, UCHEKEAHAJI UPO KWENYE DAMU, NI MKWELI MUNGU AKUBARIKI SANA KAKA.
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
MAISHA BHANA,,YULE MSHINDI WA KWANZA CHEKA 2,,HAVUMI KAMA AVUMAVYO MSHND WA 2,,,KWELI JUHUDI NDO KILA KITU.
@AmosYusuph-cj6gb
@AmosYusuph-cj6gb Год назад
Kama mandonga2
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 Год назад
Kabisa eliud alistahi
@martinkagussa3406
@martinkagussa3406 Год назад
Kwani ni mkorea😅😅😅😅😅
@rashidakimaro7407
@rashidakimaro7407 Год назад
Mm mshindi wng wa kwanza alikuwa eliud
@mwljuliuskiwovele223
@mwljuliuskiwovele223 Год назад
Huyu jamaa hata kabla ya kuwa mshindi wa pili ,alipita kule Mbeya kwa kura ,maana walitakiwa wapite wawili Mungu alivyofundi sasa daah huyu ndio anavuma sana ,lakini pia aliyestahili kushinda ni Leornado kwa wakati ule sema Eliud kadiri siku zinavyozidi kwenda na style yake ya uchekeshaji ndivyo anavuozidi kuwa wa moto.
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Год назад
My home boy!! Nakukubari Mwaisa🤣🤣
@olivemwamengonakilimombeya6951
Shitindi wapo na wanyiha
@gerraldgready8051
@gerraldgready8051 Год назад
Pamoja class mate Mungu aendelee kukupigania
@sifaisack7470
@sifaisack7470 Год назад
Ziko baraka znapatkana ktk ndoa,,, huezjua huenda mafankio yako yanawezatokea baada ya kuish naee,,,, najambo zuri sana pale mkiwa pamoja ktk kushrkiana maadam tuu mkinia mamoja. Jtaid usmpoteze huyo bibie cz inaonyesha ni mwanamke bora sana kwako Eliud.... Much love wa kumyitu❤️❤️
@nemeskulaya3962
@nemeskulaya3962 11 месяцев назад
You made my day kaka Eliud, thanks!😂😂
@davidmwangama6130
@davidmwangama6130 Год назад
Best interview ever
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Год назад
Haka kajamaa kanajua anaongea ualisia wa maisha
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 месяцев назад
Big up brother Kwa Yesu rahaaa Nafurahi kusikia una Yesu
@andrewsalmo-bq4hr
@andrewsalmo-bq4hr Год назад
Jamaa anajua sana💯
@user-ix2id4oz9p
@user-ix2id4oz9p 5 месяцев назад
kumuhoji eliud raha sana huku nafanya kazi na huku unaongeza ck za kuishi kwa kucheka😂
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 Год назад
Eliudi anaongea ukweli sana ila anavyojibu sasa anajibu kiuchekeshaji 🤣
@messaabbas739
@messaabbas739 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,,afu upo serious ajaab 🙆🤣🤣🤣🤣🤣
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 Год назад
Eti kipindi kile 2015 IT ilikuwa inalipa nikasoma IT
@user-zo6ki3dp2b
@user-zo6ki3dp2b 3 месяца назад
😂😂😂😂
@naimasuleiman6489
@naimasuleiman6489 Год назад
😂😂😂😂yani huyu anacomedy yke ya tafauti
@farajakivuyo9389
@farajakivuyo9389 Год назад
Eliud samweli 💯💯💯
@abdulwahidsuleiman
@abdulwahidsuleiman Год назад
Aliud yup smart for some how
@dianerditto
@dianerditto Год назад
Hii ni interview lakn nacheka kama nasikiliza cheka tu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Год назад
Sisi sio watoto wa Mungu. Sisi ni watu wa Mungu. Mungu hazai hadi awe na watoto. Mungu Hana mikono. Kupata haina uhusiano na Mungu
@mama_mlezi7744
@mama_mlezi7744 Год назад
Mungu Ni baba,,na sisi Ni Wana wake "watoto"
@MuzoallianceMuzoglobal
@MuzoallianceMuzoglobal Год назад
Eleud unatixha tukupe mauwa yako🌹🌹🥀🥀
@kautharramadhan5918
@kautharramadhan5918 Год назад
😂😂😂 nakukubali sana💪
@dkdinno
@dkdinno Год назад
Maaa big Brother Kila dakika Kila sekunde Kila siku anaongea about life lahapa dar big Brother tunajifunza mengi kwako na unatusanua Mengi nakupigia soon ngoja tuongee vzr na Hom Boy V van boy
@olivemwamengonakilimombeya6951
🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu jaamaaa et ngoja nikuonyeshe ,maishaa haya ,feli ujue ukwel wa maishaa
@mkombozsanga
@mkombozsanga Год назад
😂😂
@NaybenBen-fg9rq
@NaybenBen-fg9rq Год назад
Napenda sana huyu kaka anavyoongea ukweli
@agathamatambula538
@agathamatambula538 Год назад
Dah eliud kboko 😂😂😅
@meckmecktz3228
@meckmecktz3228 Год назад
Nimefarijika sana kusikia vichekesho vyako
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 Год назад
Alikuwa mweus mpaka ajioni akijitafuta 😅😅😅
@SamwelMyoya-dk6si
@SamwelMyoya-dk6si 9 месяцев назад
Daah kila kitu kinawezekakana kwa yesu
@patriciakalinga9176
@patriciakalinga9176 Год назад
Nimependa alivo jieleza,kwa hekima
@martinkagussa3406
@martinkagussa3406 Год назад
Anaangalia video 😅😅😅😂😂😊
@faustinimasisi8792
@faustinimasisi8792 Год назад
Watu wanatoka mbali sana
@johnbupamba
@johnbupamba 3 месяца назад
Blessed sana
@NiceBiscuit-qo4dq
@NiceBiscuit-qo4dq Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eliud bna we kibok duuuh ahaahhahaahaahahahahahahah ach nichke mie 😂😂😂😂😂 ❤
@rehemakichukwi1123
@rehemakichukwi1123 8 месяцев назад
Eliud wewe umejaaliwa
@bibip9181
@bibip9181 Год назад
Eliudi umetakata kweli umejua kuoga maji ya da!
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 Год назад
💪💪💪💪
@diipesa
@diipesa Год назад
Hii iludiweee 🙏🏿
@JofuJoel-wy7sc
@JofuJoel-wy7sc Год назад
nimecheka sana
@raginarhobi2453
@raginarhobi2453 Год назад
😂😂😂eliud Sanam lako lijengwe pale postal
@AngelicBen-je7gx
@AngelicBen-je7gx Год назад
Hahaaa we kak mungu akubaliki😂😂
@user-sb4fj9iq6f
@user-sb4fj9iq6f 4 месяца назад
🙏🙏🙏
@dorothelimhoo5440
@dorothelimhoo5440 Год назад
Watakulazimisha wakuue mwaisaa😂😂😂😂😂
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Год назад
Jamani Vido Uyo kaka Nikiwonaga ❤❤❤ Moyo wangu Unatapata kama bata🦆kameza pumba kavu🎤plz Ufikishiye Ujumbe wangu 🧘
@rachelkingdom-rg4vl
@rachelkingdom-rg4vl Год назад
Naomba no yako
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Год назад
@@rachelkingdom-rg4vl Ndg yangu sijakuelewa🤷
@BerthaModest
@BerthaModest 9 месяцев назад
😂😂afu anaongea kama atakib🙌
@Brayban
@Brayban Год назад
Vidox hauna furaha na hii interview, kabisa
@emmanuelstephens1891
@emmanuelstephens1891 Год назад
Hacheki hata kidogo,,,hata smile asee!
@saidsalim851
@saidsalim851 Год назад
Kumbe kuishi Dar ni neema 😂😂😂😂
@EveMeela
@EveMeela 25 дней назад
Mbavu zinauma salute kaka😂😂
@zuberijuma7366
@zuberijuma7366 Год назад
Ni GRADE tuuuuu😂😂😂😂
@ChristinaKabisi
@ChristinaKabisi 5 месяцев назад
Kwa kweli Mungu aendelee kukuinua ni mkweli sana yani anavyoongea tu ni burudani sana😂😂😂😂
@dafemadafema1365
@dafemadafema1365 Год назад
Mwaisa bhna
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 Год назад
Eliud unanichekesha 😂😂😂😂
@aminamnzava4757
@aminamnzava4757 Год назад
Eti Mungu amenitoa gizani
@neema.samuelneemasamuel2525
😂😂😂😂😂
@user-sb4fj9iq6f
@user-sb4fj9iq6f 4 месяца назад
❤❤🙏🙏🙏🙏
@oliveroden9638
@oliveroden9638 Год назад
Vido ❤️
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 месяцев назад
Ila eliud kipaji kwakweli Hatumii nguvu ujue😂😂
@barakaswillah635
@barakaswillah635 Год назад
Nakubali Sana Eliud hhahah
@hollonkuba8174
@hollonkuba8174 Год назад
😅😅😅😅😅😅
@InnocentLeonard-gy1mn
@InnocentLeonard-gy1mn 4 месяца назад
Kusema ukweli ukiwa kwa yesu Raha Sana
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 Год назад
Vido Happy Easter kwako❤🙏
@issahantha9022
@issahantha9022 Год назад
Hii
@fadhiliandrew2186
@fadhiliandrew2186 Год назад
Hi
@fadhiliandrew2186
@fadhiliandrew2186 Год назад
Habar
@NyumbaniHabariMedia
@NyumbaniHabariMedia Год назад
Hesabu😂😂😂
@lucydelina1749
@lucydelina1749 Год назад
Eliud njoo huku kuna ndug yako
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 Год назад
Et uwez kujuta daktari mweusi
@salimmseza9588
@salimmseza9588 Год назад
Umetakata sana
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Год назад
Tumetoboa hadi zanzibar😂😂😂😂
@ruthaizeah-hd7pf
@ruthaizeah-hd7pf Год назад
Et mweusi🤣🤣🤣🤣🤣Ila we mkaka
@AmosYusuph-cj6gb
@AmosYusuph-cj6gb Год назад
Unaogea maziwa
@saidmatikiti1566
@saidmatikiti1566 Год назад
Safi sana
@dorothelimhoo5440
@dorothelimhoo5440 Год назад
Grade 1😂😂😂😂
@Emanuelpaskal-bd9tw
@Emanuelpaskal-bd9tw Год назад
huyu vido angemhoji zumaridi angepigwa vibao vingi
@kavisheonline2418
@kavisheonline2418 4 месяца назад
Eliud fala sana
@Sonny733
@Sonny733 Год назад
Eliud bwanaa 😂😂😂
@luluray2115
@luluray2115 18 дней назад
Home boy
@bahatiamiri1112
@bahatiamiri1112 Год назад
Bug up Eliud
@mhifadhi797
@mhifadhi797 Год назад
Huyu mwamba jiniaz
@pmoshy2466
@pmoshy2466 Год назад
Ka sentensi kafupi😅😅
@batul95
@batul95 Год назад
Hakuna kuuliza kwa nini yani ni "USIZINI"😂😂😂
@matunzojr4862
@matunzojr4862 Год назад
we jamaa vido unahoj kwaajil yako au mashabiki maana unaongeaga polepole ata maswali yako hayasikiki acha kuongea kirembo sheikh
@user-eu3ed2uy6b
@user-eu3ed2uy6b 5 месяцев назад
Hahahahahahahaha usiwe nae kwan we n nan na maandiko yameagiza baba
@jumakibo6150
@jumakibo6150 5 месяцев назад
😂😂😂😂 eliud
@mwalimuwakiingereza241
@mwalimuwakiingereza241 Год назад
😂😂😂😂🙌🙌
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
Ila Eliudi 😂😂😂😂😂😂😂
@TamalyMichael
@TamalyMichael 4 дня назад
Et biscuit 3000😂😂😂
@user-eu3ed2uy6b
@user-eu3ed2uy6b 5 месяцев назад
Vidox anacheka daaaaaah,,, eliud ni kukimbia mafarakanoo
@user-eu3ed2uy6b
@user-eu3ed2uy6b 5 месяцев назад
Hahahahahahahaha
@user-eu3ed2uy6b
@user-eu3ed2uy6b 5 месяцев назад
Weeeee mwakasege tupo ukoooo
@user-eu3ed2uy6b
@user-eu3ed2uy6b 5 месяцев назад
Ety yanakaaga sehemu weee eliud weeeeee
@user-eu3ed2uy6b
@user-eu3ed2uy6b 5 месяцев назад
Wanyakyusaa na wakingaaaaaaa😂😂😂 Tunajijuaaa,,, hatuweziiii kutunza pesaa mpaka wawepoo wakingaaaaaa
@safiansuru7808
@safiansuru7808 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂
@mkombozsanga
@mkombozsanga Год назад
😂
@rachelkingdom-rg4vl
@rachelkingdom-rg4vl Год назад
Nina shida na no yako naipataje
@luseshelomwangole2408
@luseshelomwangole2408 Год назад
😅😅😅😅 daaah
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 месяцев назад
Wakinga ni bness oriented,kina vunja bei Km wachaga,
@nayomi6498
@nayomi6498 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@evasilaa9064
@evasilaa9064 Год назад
😆😆😆
@penuelmwasalyanda
@penuelmwasalyanda Год назад
😂😂😂😂 cocobeach
@PauloSanga-xe9ss
@PauloSanga-xe9ss Год назад
Vzr kaka
@ERASTOMUSSA
@ERASTOMUSSA Год назад
pasua kichwa😅
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Funnyclip2321
@Funnyclip2321 Год назад
Eti ametakata 😂😂
@devaxtz
@devaxtz Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@aminamoody5865
@aminamoody5865 5 месяцев назад
😅😅😅😅 unajibu kama utani
@HermanTito
@HermanTito 3 месяца назад
Mungu kanitoa gizani😂😂😂😂
@beatricekemirembekiwanuka7768
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Далее
СДЕЛАЛА БРЕКЕТЫ ДОМА
01:01
Просмотров 1,3 млн
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 13 млн
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Просмотров 93 тыс.
Shajara ya Coy Mzungu | Afungua Kurasa za Maisha Yake
57:52
СДЕЛАЛА БРЕКЕТЫ ДОМА
01:01
Просмотров 1,3 млн