Dah! Nimempenda sana Shishi Baby kwa kuwa real na kuwapeleka wenzake mpaka home manake wasanii wetu wengi wanapenda maisha fake tofauti na alichoonyesha Shishi baby. Much respect kwake
+SIR BOSCO 😂😂😂 alimuuliza young killer akazingua kusema kweli.ikabidi amwambie unapaka nachokipaka mie😁 kwakweli ukijiamini utaishi kwa amani sana kwenye hii dunia.maana hata alivyomchangamkia Nuh si km wengi tulivyodhani mwisho wa mapenzi si uadui
sijui nieleze vip jinsi ninavyo kupenda shilole wanadada wengi wanaficha masingila ya kwa lakini wee auko ivyo hongera my mswahi lakini una roho ya kizungu mungu akusimamie kwa kila ukifanyacho
She did a wonderful thing, yani hadi natamani kulia she bring a bongo flever home she made a history kwawana Igunga, Its so amaizing respect kwako SHILOLE
Kwenyu ni kwenyu hata kama kibandani huezi sikilia aibu hata wazazi wawe aje huezi waficha.Hongera sana shishi mabadiliko ni mwanadamu hufanya mutumainie mungu utabadili nyumbani😍😍😍
MashaAllah Shishi Bby Mungu akuzidishie tena na tena Amani na barka kwenye maisha yako maana wengi wasani sivirahisi kufanya kitu kama hicho mamy Wallah Allah akuzidishie huna majivuno😍😍😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera Shishi kwa kuwa na courage lakini nakushauri ufikiri mara mbili huko nyumbani ukipeleka milioni 10 tu unabadilsha kila kitu maisha yanakuwa bora sana Duh... kweli maisha si kama tunavyo yaona jitahidi dada ake hiyo hali ya nyumbani inatisha.
Suhail Al Bastaki kwani kwa dadake ndio hawezi kutuma hizo 10millioni!?huyo dadake saa iyi ndiye mamake,sababu ndiye kamlea,mama yawo mzazi alifariki Shishi bado mdogo akiwa na miaka misaba(she was 7years old ),hapo ndipo kwao tu.
Shilole huwa unani bowa sna ila kwa hili ss nakupenda sna tena wewe ni msanii unae paswa kuigwa kwa hicho ulicho kifanya ushauri wangu kwako ni kwamba fanya kazi kama sehemu ya maisha yako naimani utafika mbali sna ongera sanaaaaaaaaaaa
respect to shishi coz ame show real life ya watanzania n were they came frm. wasanii igeni mfano mzuri toka kwa shilole ka show upendo kuwachukua na kuwapeleka kwa aliko tokea respect kwa hilo. wangekua wengne cjui ingekuaje.. appreciate u shishi
Katika vitu ambavyo nimeshangaa ni upendo wa ajabu sana alioufanya shilole na kudhihirisha nyumbani ni nyumbani hata kama pako vipi wengi sana hawawezagi hili jambo big up my ccter
Real life is good for you guys shishi is doing well.nuhu you have a few days to come up with shish coz u see if you want and you can get it if you like.look around life goes on.
Daaah Dada shishi mm comment zimeisha maaana zote Wamesha maliza waliokuwa Wakwanza but msisitizo aumkazo nikujenga home basi nimemaliza Nc Dada shishi 😍 love u mingimingi!!
Safi sana Shishi kwa ulichokifanya... Umeonesha tofauti yako na wasanii wengine ambao wanapaonea aibu kwao na kupatelekeza.... In short nimependa saaaaana ulichokifanya;