Тёмный

SHILOLE APEWA KICHAMBO KIZITO NA MAMA NATASHA, KWANINI UMEACHIKA KWENYE NDOA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@mhabimina4023
@mhabimina4023 Месяц назад
Mama uko right ni laaana ya dunia kweli Ndoa zinVunjika sana 👌
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob Месяц назад
Aisee Natasha uko vizuri sana, wajukuu wanazeeka Bibi anakuwa kijana. Leo ndo nimejua Kama ni Mrs.😂
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 Месяц назад
Hongera sana mama Yvonne, nakupenda sana
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q Месяц назад
😂😂😂Mtangazaji Sutwa kweli
@rachelpeter87
@rachelpeter87 Месяц назад
Hongera rafiki yangu Natasha(Suzzy) Nimefurahi kukusikia na habari njema
@ernestgeorge8412
@ernestgeorge8412 Месяц назад
Wew mtangazaji huyo ni bibi yako mjukuu wake wa kwanza mnalingana, ila big up Mama monalisa bdo you stil young Mungu akupe maisha marefu mno
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g Месяц назад
Hiyo ni raha ya kuzaa mapema unaitwa bibi ukiwa mchnaga kabisaaa 😅😅😅
@jamilaratabu1586
@jamilaratabu1586 Месяц назад
Sasa malaumesema milaana kuwa mtu asiyekuwa sawayako vipi unampongezatena😂😂😂😂
@HappyGreenTea-fo8lz
@HappyGreenTea-fo8lz Месяц назад
❤❤❤
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Месяц назад
Mama katunza mwili wake katunza ngozi yake mashaalah tangy Enzi hizo yupo vile vile
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 Месяц назад
ndio uko sawa huyu mama yuko hivo hivo ngozi yake na mwili wake nampenda sana ❤
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Месяц назад
@@nadyasalim7956 hata mm nampenda jamani Mungu amtunze
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 Месяц назад
Nikwel ngozi yke nzuri imeglow vizur mashallah sio wke wa mama wanaojichubuwa wanakuw wekunduu
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 Месяц назад
Jiran apendi majungu❤❤
@MariamMganga-ss9mm
@MariamMganga-ss9mm Месяц назад
Baby madaha nimekuona,, your missed
@safiasaleh669
@safiasaleh669 Месяц назад
Johari Kawa mwarabu kama hajataja jina nisingemjua😅😅😅
@oyay2821
@oyay2821 29 дней назад
Age go, No children
@TinaMane
@TinaMane Месяц назад
Mchungaji natasha amesema tumrejee Mungu.
@YusufuAbas
@YusufuAbas Месяц назад
Aah kulalaaleki kumbe huyu ni msukuma?🤣
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Месяц назад
Mama monalisa❤❤❤
@wahidabakar
@wahidabakar Месяц назад
afadhali zuchu wetu ataachwa kidogo atazungumziwa shilole
@MzanzwaRamadhani
@MzanzwaRamadhani Месяц назад
Bora ata ivo kaachika tena tulingane maana nilikua naogopa nikiona mimi ni meacha sana kuliko duuh tuko pamoja shishii
@bellazara6448
@bellazara6448 Месяц назад
😂😂😂😂kabisa nilahanaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Ndoa nyingi sanaaaa zinavunjika sanaaaa hawamalizi hata miaka 2 laana ni nyingi sana Natasha kama usemavyo madhindano ni mengi hakuna anaekubali kushuka kwa mwenzie
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Месяц назад
Natasha
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Месяц назад
Vilaana vimejaa😂😂😂
@umfahad2609
@umfahad2609 Месяц назад
Shilole na Romy umri sawa. Ila Romy ni mwili tuu.
@user-kp6lz7zs1w
@user-kp6lz7zs1w Месяц назад
Nani km mama samia Akuna mama Samia oyeeeeeeeeee oyeeeeeeeee miaka mitano chukua tn mama samia suluhu ❤❤❤❤❤❤❤❤
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 Месяц назад
Wee nae umetumwa
@Mbarukuhawa
@Mbarukuhawa Месяц назад
Shilole hakuwa mkubwa kwa Rommy3D Fuatilia vizuri mwandishi.
@khadijaamur6032
@khadijaamur6032 Месяц назад
😂😂😂 masiharaaa
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Месяц назад
Nimecheka eti katoka kuuza soko kaingia kwenye filamu😂😂😂😂
@tomsijohni
@tomsijohni Месяц назад
huyu dada nikimuona nakumbuka marehemu kanumba
@TaarabChannel
@TaarabChannel Месяц назад
Hehehehe muje na kwangu mnaisapoti
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 Месяц назад
kama laana kuoa mtu mzila mbona mtume muamadi alio mtu mzima inamaana anaalaana
@htx1873
@htx1873 Месяц назад
Yani hiki kichwa cha habari cha hii video ni very sad , Hiyo title ya hii video is BIG MISLEADING, terrible for broadcasting, hakuna credibility kabisa hii online tv is STUPID na haifai kwa jamii
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Месяц назад
Wanaandika tittle according to the issues trending ndio wapate viewers
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 Месяц назад
Kwa nini mnaandika uongo 👎👎🤮🐖
@kdloon2030
@kdloon2030 Месяц назад
Watu maarufu mnasikika kwa kua mnapo anzisha mahusiano yenu,mnayaweka mitandaoni then kila mfanyacho kwenye hizo ndoa zenu mnapost,na hata zikivunjika pia hivyo hivyo!Ukipendana na msanii wa kike wa bongo movie,jiandae kuaibika kama sio leo ni kesho!
Далее
Редакция. News: 124-я неделя
52:01
Просмотров 1,8 млн
Редакция. News: 124-я неделя
52:01
Просмотров 1,8 млн