Тёмный

MCH HANANJA ATOA SOMO KWA GEN Z WA KENYA, MUNGU HAPENDI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 8 дней назад
Wacha mzee nikujuze jambo huyu mtu alipo ingia mamlakani kwanza aliondoa kazi kwa vijana pesa za wazee mlo shuleni kwa wasionjiweza huduma hospitalini acha zifurugha yani amehalimbu kila kitu na tusisahau amepeleka watoto wetu haiti kwahiyo hatumchukii bule huku maisha nikusononeka tu
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 3 дня назад
Ndiyo hicho alichosema Wananch wameona Tofauti na walichotegemea
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 3 дня назад
Mchungaji uko vizuri kuliko hawa watafiti wa kusoma vitabu na kuandika tafiti "mwotesho". Hili ni somo zuri kwa Wah Wabunge. Huu ndio ukweli. Viongozi dini na serikali na wazazi wasikilize hii kwa makini.
@user-fr3yx7ot9v
@user-fr3yx7ot9v 8 часов назад
Mzee be blessed so much, you have been good advisor.
@ombengoranga5589
@ombengoranga5589 День назад
Kama huna busara huwezi mwelewa huyu mzee lakini kuna vitu vingi vya kujifunza hapa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 дней назад
Wale watu wamesema wenyewe kuwa hawana cha kupoteza😢.Hawajali kabisa. NI KW E LI .Wamekata tamaa😢
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 3 дня назад
"Maendeleo watu na maendeleo vitu viende pamoja. Mwenyenjaa hana sheria hana akili. Watu potelea mbali hawana habari, hawana la kupoteza."
@user-me5xj1cp2e
@user-me5xj1cp2e 6 дней назад
Magufuli alibadilisha kwa mda gani wachungaji semeni
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 дня назад
Wakosa wote. Hela ziko wapi! Mungu saidia tune na uwezo WA kufanya kazi asifanya kazi na asile.
@migerajacob581
@migerajacob581 21 минуту назад
Mzee kaongea points,,serikari za Africa Zina fikir maendeleo ya vitu huku,watu wao Wana kufa na njaa,,,
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 3 дня назад
"Utamaduni wa mazungumzano kuanzia ngazi ya familia. Walioko juu wawasikilize walioko chini na wachininwawaheshimu walioko juu wasiwapuuze walioko chini na wachini wasipuuze walioko juu. Tusipuuzane Watz. Tuipende nchi yetu kwa amani."
@collinsowuor6981
@collinsowuor6981 7 дней назад
Kweli kabisa, wakenya ujumbe mzuri kwenu nyinyi
@bahatisilvesta
@bahatisilvesta 8 дней назад
big point
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 8 дней назад
Tatz waliojuu Hawana utamaduni wa kuwackiliza walio chini wkt ndio ndio waliowaweka apo juu kwa kura na ridhaa zao lkn wakipata huwasahau na mara nyingi walilalamika solution huwa kuwachapa viboko na kuwanyamazisha.
@salimamry9432
@salimamry9432 2 дня назад
Mchungaji maneno yako mengi huwa yana hikima.
@user-tr2mf3hp5s
@user-tr2mf3hp5s День назад
Kuna kipindi nilipitia iyo Hali ya sonona ila kwa Sasa namshukulu nimepata Neema ya Mungu ni mjasilia Mali na nimelidhika na maisha yng
@zulekhasaeed6046
@zulekhasaeed6046 6 дней назад
Wewe huijui kenya hatukuelewi
@nurusaid4698
@nurusaid4698 4 часа назад
Mi Cwezi Poteza Mda Ni Kasikiza Pasta Ata Cku Moja 😂😂😂😂😂Wacha Tuuwane Ila Tunajuwa Tunacho Kifanya
@feswal22
@feswal22 5 дней назад
Kutojua haki yako kama mwananchi ni vbaya,, this round tutawafinya lazma Kila mtu awe na haki sawa 🇰🇪🇰🇪 uongozi wa kidicteta hatutaki
@user-uy3uk2ul5b
@user-uy3uk2ul5b 7 дней назад
Unapopandisha Kodi razima uwandae miundombinu ya maksin ya Ali ya chini, ili asije kuraramika km wakenya.
@user-em3qx3de7z
@user-em3qx3de7z 8 дней назад
Kwel kabisa mchungaji yaan ni ukwel mtupu
@baloz8974
@baloz8974 День назад
Urefu waGenz kiurefu ni Generations Z
@jenifferwanjira6124
@jenifferwanjira6124 23 часа назад
❤❤❤
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 3 дня назад
Matarajio ya waliokuweka ktk uongozi yasipotimia shida. Je wanani walimweka nani ktk uongozi na matarajio yao nini? Taabu.
@ngwenoh.e9725
@ngwenoh.e9725 6 дней назад
What is he talking about? There's no politics there,it's governance,accountability,curb wastage
@raphaeloloo9641
@raphaeloloo9641 6 дней назад
Kuja Kenya tukusalimie
@baloz8974
@baloz8974 День назад
😂😂😂😂😂 asalimiwe atie akili
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 дней назад
Ushabiki ni balaa ,tuongee ba siyo vurugu😮
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 8 дней назад
True
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 8 дней назад
Nimekuelewa mzee wengi hatujui km Kuna maendeleo vitu na Maendeleo watu kwaiyo kinachofanyika ni kuleta Maendeleo vitu tyu bila kujali Maendeleo watu ni muhm zaidi kwasabb ni rahc Maendeleo watu kuleta Maendeleo vitu lkn una una soko lkn huna uwezo wa kuweka bidhaa.
@anosiata8242
@anosiata8242 7 дней назад
Nimecheka eti watanzania ni nautical😀😀😀
@PhestoKamsangia-nz2xx
@PhestoKamsangia-nz2xx 5 дней назад
Huyu mze anafaa kuwa bunge kabisa
@theheraldbroadcastingnetwo4836
Hakuna kundi la kisiasa....
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 6 дней назад
Hakika
@dukeongori9067
@dukeongori9067 8 дней назад
Bro wa suti
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 дней назад
Ba b a waambie wa n asiasa wa Tanzania pia waanze kujitambua vinginevyo mwakani ni hayo hayo ya Kenya.Sasa tatizo la Tanzania elimu ndogo sana,kwa vijana hata baadhi ya wanasiasa😢😢 Kitakuwa kisanga wajinga watupu kupambana😢😢
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 дней назад
Watu wanategemea kuajiriwa tu.colonilism after effects Vijana wajifunze kujiajiri na siyo kuwategemea wabunge😢😢
@ezekielmwakalindile1922
@ezekielmwakalindile1922 4 дня назад
Usichukulie powa kujiajiri lazima selikari itengeneze mazingira ili wananchi wake waweze kujiajiri.Nchi nyingi hazina iyo mifumo ndio maana watu wengi wanakuwa jobless
@douglaswawire9885
@douglaswawire9885 5 дней назад
Come and stay in Kenya for only only month,,,,you will go back to your country,,,you don't know how people feel
Далее
UTAPENDA MAPOKEZI YA MCH HANANJA MAREKANI
23:03
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
Просмотров 827 тыс.
My Puzzle Robot is 200x Faster Than a Human
21:21
Просмотров 3,3 млн
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
Просмотров 18 млн
Nyayo za Mwai Kibaki
3:43
Просмотров 57 тыс.
STIVE NYERERE AONGEA KIKOREA UTACHEKA UFE.
27:29
Просмотров 2,6 тыс.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Просмотров 49 тыс.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00