Yaani watu wa humu ndani wanavituko kweli mtu anakataa hana umri huo utasema aliyemzaa ni yeye,,basi kama mnacheti chake cha kuzaliwa onyesheni mana mnapingana na mwenyewe kanakwamba nyie ndo mnamjua vizuri,,mnabohaa jamani khaaa...Happy birthday shishi baby miaka kama yote yenye baraka na mafanikio tele,,,enjoy your day my dear....
@@eliyajeremia1447 hahahahaha 😆 😂 alafu hawa wasaniii bhana wote waongo mimi nasoma darasa la tatu nimemsikia wema miss nawasikia wakina ailine wakina ant saiv nina thelathin na upuuzi huko eti wana 28 mara 33 mar 34 hyo anty saiv 41 shishi 39 ailini 39 au 40 pumbafuuu
Kwakweli wasanii mnapenda kuongea maneno kisha mnasahau kwenye shunghuri ya Irine uwoya mwaka juzi ulisema wewe na Irine uwoya mmezaliwa mwezi mmoja na mkasema mna miaka 34 Sasa hiyo miaka 34 tangu mwaka juzi mpka aleo hiyo hiyo? Na huyo Irine uwoya ndio kadanganya kabisaaa eti 32 sijui 33 msiseme uongo bhana saivi shishi utakuwa na 36 pamoja na huyo Irine uwoya
Ndio mana wanaamuaga kudanganya kweli coz hata wakisema ukweli hamuwaamini. Uyo mwanae wa kwanza alimzaa akiwa na miaka 14 alisema baada ya kubakwa na bamtoto kichakani