Тёмный
No video :(

SIKILIZA HISTORIA YA HAMIDU: BILIONEA ANAEMILIKI NYUMBA ZAIDI YA 120 ALIEANZA KWA KUPIKA MAANDAZI 

ZamaradiTV
Подписаться 246 тыс.
Просмотров 53 тыс.
50% 1

HUYU NI MTANZANIA WA KAWAIDA AMBAE PLAN YAKE NI KUWA NA NYUMBA 2000/ UTAPATA NAFASI YA KUONA NYUMBA HIZO ZILIZO KATIKA AINA TOFAUTI

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 141   
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 2 года назад
Mashaallaa, mwenyezi mungu akupe ubri na afya njema ili umalize hizo nyumba 1500 na uwongeze nyingine in shaa Allah
@danielkamili7093
@danielkamili7093 2 года назад
Najisikia vizur sana kuona waliofanikiwa wanapoelezea walipo toka iyo inatupa amasa zaid ya kupambana bila kukata tamaa
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 года назад
Allahu Akbar nimependa sana Wazazi wa Hamidu wakiwalazimisha Masomo ya Madrasaa BIG UP kwa Wazaaazi MASHAALLAH 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 2 года назад
Mashaallah! Hongera zake bwana Hamidu. Yaani Nyumba zipo ktk mpangilio mzuri kupita maelezo. Yaani kama Ulaya vile. Hizi Nyumba zilivyo jengwa, kama za Ulaya tu. Hongera sana kaka. Mungu azidi kukusimamia utimize ndoto yako. 🙏🏽❤️
@raheemaal-hady9328
@raheemaal-hady9328 2 года назад
Da Zama, Allaah akujaalie kheri... Hongera sana bwana Hamidu, Mungu akuzidishie kheri. What an Inspiration!
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 года назад
Asante Sana zamaradi, Asante ndugu Hamidu maisha yako Yana mengi ya kujifunza kwetu siye vijana...tunaomba part two haraka iwezekanavyo
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 года назад
Masha Allah.namuomba Mungu anijahlie nipate pesa nijenge aina hii ya nyumba za kisasa. 🤲🤲🤲
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 2 года назад
Alama ya sijda usoni maa shaa Allah,Allah akujaalie uendelee kuijenga na akhera yako.
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 года назад
Mashaallah Tabaraka Rahman,
@fatumatandika5849
@fatumatandika5849 2 года назад
Maash Allah jazakallah kheir Kwa kweli imekusaidia sana elimu ya akhera yaani madras ndio kila kitu Mungu awabariki wazazi wako .
@ummunuzhat9519
@ummunuzhat9519 2 года назад
MashaAllah tabarakaAllah kaka Mungu akuzidishie na cc mungu atupe uwezo tuje tununue
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 2 года назад
Insha Allah
@halimahalima1488
@halimahalima1488 2 года назад
inshaaAllah 👏
@ummunuzhat9519
@ummunuzhat9519 2 года назад
MwenyeziMungu akitaka kukupa hakuletei salamu, alhamdulillah
@fadhilinyengo7853
@fadhilinyengo7853 2 года назад
Mwenyezi mungu alishapanga kila mtu na chake tangu atujazaliwa ila Sisi wenyewe tunavikataa tukishaingia duniani kutokana na maisha tunayojichagulia
@kambikashama4619
@kambikashama4619 2 года назад
Mambo Ya Ulaya hayooo Mpaka Bongo Wajekuzoeaa Ila Father Katishaa Sasa Kwa Sisi Turiopata Baati Ya Kusafiri Nchi za Watuu ndo Maisha Yanatakiwa hvyo.!
@aybkham5795
@aybkham5795 2 года назад
MAA Shaa Allah , umewweza Sana big up , Barack llah
@babafemie4576
@babafemie4576 2 года назад
nzuri sana na bei ni nzuri sana hii ndio maana ya uwekezaji sasa..
@aminamfinanga8165
@aminamfinanga8165 2 года назад
Wakati w Mungu n sahihi Sana mpaka machoz ymenitoka,kweli mwanadam anaweza akaona kitu n batili ila Mungu akasema hapana , Hongera Sana Hamidu nipo nyuma yko napenda Sana nyumba tena ktk mazingira y biashara kujenga n kupangisha,Mimi pia n jiran yako w kisangara.
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
Mungu akujalie na wngne wafate nyayo zako muwe wengi bongo❤️ nmependa alivyowazia kujenga fance nusu kwasabb ya hewa na ndomana nyumba nying za bongo jotoo Sana tofaut na nchi za wnztu
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 года назад
Mashallah hongera sana hamidu mashallah
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 года назад
Masha Allah..Allah akuhifadhi
@kyaro5945
@kyaro5945 2 года назад
Amidu you are legend love
@sumisumi8181
@sumisumi8181 2 года назад
Interview zuri mno ila Da zama in shaa Allah msauri anndike kitabu wala mpe wazo hilo in shaa Allah nilifwatilia tangu anapo hanza nyumba zile 6 kutoka North Dakota USA
@ummuqaasim5227
@ummuqaasim5227 2 года назад
Waoooooh maashaallah maashaallah maashaallah
@rukiamwinyihija7849
@rukiamwinyihija7849 2 года назад
MashaAllahh,mungu aendelee kumbariki ,nasi pia tubarikiwe.Amiin
@innocentkimisha
@innocentkimisha 2 года назад
Nice interview dada Zama. Kindly consider kuendelea kupunguza mwangwi studio. Bado kuna echo kwenye videos. Blessings
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Hongera sana ndugu.Ubarikiwe
@aishaomary4498
@aishaomary4498 2 года назад
Mashaallah tabarakallah we ni mwaume broo
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 года назад
Mashaallah sana2 Allah amzdishie inshaallah kher
@halimamohammed6410
@halimamohammed6410 2 года назад
Boss wng Hamidu Allah akufungulie zaid ya hapo .inshaallah
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 года назад
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 2 года назад
Dah maisha haya ukipambana unaweza
@DorisM255
@DorisM255 2 года назад
Kuna kitu kikubwa nimejifunza kutoka kwa Hamidu 📌🙏
@lucasnyerere4295
@lucasnyerere4295 2 года назад
Very inspiring n educative..Big up kwenu
@clementinakalinga8088
@clementinakalinga8088 2 года назад
Hongera bosi wangu,tunakukumbuka sana kwa upendo ulotupa,bila kusahau nauli na cm ulizotupatia za bure ni mabosi wachache wenye moyo huo
@imanmohamed7632
@imanmohamed7632 2 года назад
MashaAllah TabarakkahAllah
@isaacmwaipopo
@isaacmwaipopo 2 года назад
Mungu mwema. Tujitume na kufanya kazi sana.
@queenwesthilson6009
@queenwesthilson6009 2 года назад
Wouw nimefurah utadhani ni mim Allah azid kumfanyia wepesi nimejifunza kitu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Nyumba nzuri mazingira mazuri yanavutia na bei yake pia nzuri
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 2 года назад
Sijapenda zama mpaka sasa ivi kweli hutaki kuaachia part 2🙏🙌💛
@hiroshiomondi1
@hiroshiomondi1 2 года назад
hello, kwanza pongezi kwa kazi nzuri. pili, (niruhusu niongee kwa kingereza) i am a 3D artist and i would like to help in making 3D houses of Hamidu city so that it can be very easy for people to have very nice view of them. i will make them exactly the way they are, the way you will decide either single houses with all the things inside or even the whole city. Asanteni sana kwa kusoma. This applies to all people here, you can even tell me to design your dream house or home. thanks
@koletajeanne8824
@koletajeanne8824 2 года назад
Hi cam decide my house 4 bedroom bath 2/1
@hiroshiomondi1
@hiroshiomondi1 2 года назад
@@koletajeanne8824 yes
@TheNdaki
@TheNdaki 2 года назад
Share your email plse.
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 2 года назад
You should put your contact information in here, just in case someone wants to contact you. Including myself! 🙏🏽❤️
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
Hongeraa Sanaa Mungu akujalie zaid na usikate tamaa
@mariambeautysonghuseni9549
@mariambeautysonghuseni9549 2 года назад
big up hamidu you have struggled alot
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 года назад
Masha Allah...Hamidu mungu akubariki
@KIMSwahili
@KIMSwahili Месяц назад
Masha'Allah
@aselina5862
@aselina5862 2 года назад
Timu gulf nyumba hizooo changamkeni🤗
@tausilifestyle795
@tausilifestyle795 2 года назад
Masha Allah 😍😍
@user-it5wz6je5y
@user-it5wz6je5y 2 года назад
Mashaallah
@DorisM255
@DorisM255 2 года назад
Waiting for part 2 😁
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 2 года назад
Masha Allah
@mselimsuya6952
@mselimsuya6952 6 месяцев назад
Great
@prettyh7509
@prettyh7509 2 года назад
Mashallah 💕tujengeeni na za mil 30 jamani wengine kipato kidogo
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
Kabsaaa
@kondoatown8765
@kondoatown8765 2 года назад
Kesho ndo naanza rasmi kupika maandazi , Sambusa bado Sana ntachelewa aisee !!
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 года назад
Mungu akubarikie
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
Ujaaliwe kwakwel biashara yyte ya msosi ni nzur
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Awesome 🙄nime jifunza no kukataa tamaaa
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 года назад
Yeah kwenye life bidi na Allah ndio kila k2 kwetu cc binadamu
@jubilatemanase9050
@jubilatemanase9050 2 года назад
Huyo Mkuu wa kituo atakuwa na heri ktk dunia na akhera
@nayomi6498
@nayomi6498 2 года назад
Waiting for part two
@selemanimsofe7321
@selemanimsofe7321 2 года назад
Wapare tuko vzr hongera faza
@selemanimsofe7321
@selemanimsofe7321 2 года назад
Hapo uliposema mtu anajenga fensi mpaka unazuia nyumba haionekani
@carrenbenson2111
@carrenbenson2111 2 года назад
Kaka hamidu hongera Sana ndugu yangu magreth w mvungi
@itNeza
@itNeza 2 года назад
Wow Hamidu Pongezi nyingi Sana. ❤️
@DorisM255
@DorisM255 2 года назад
Nyumbani nzuriii jamani 🔥🔥
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 2 года назад
Hata mimi nataka hivyo yaani nataka sana kuwa na re estate yangu na naamini nitafanikiwa tu
@kituhilel.j9747
@kituhilel.j9747 2 года назад
Bigup bro
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 года назад
Story amizing
@nicholassimon3054
@nicholassimon3054 5 месяцев назад
natamani vile vile umtafute mtu anaitwa venny, yupo dodoma nae ana project kama hizi za hamidu, nadhani nae ana interesting stories to tell
@nasmamambi9082
@nasmamambi9082 Год назад
💕❤❤❤
@emmanueljoseph3815
@emmanueljoseph3815 2 года назад
Nimejifunza kitu ktk history yako bro akuna kitu rahisi ishu ni mapambano
@rukiachamani1101
@rukiachamani1101 2 года назад
Tunaomba utufungulie njia, Sis ni majirani wako. Zama naomba ufikishe kilio chetu.
@mannabu9333
@mannabu9333 2 года назад
Daah kulipa kidogo kidogo unaweza au?
@mochepa9191
@mochepa9191 2 года назад
Tunaomba amalizie historia yake
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Tunataka part 2 please
@tastedigital
@tastedigital 2 года назад
Hiyo part two iko wapi??
@patrickKitambo
@patrickKitambo 2 года назад
siku moja ntakua na hojiwa hivi alaf ex wangu atakua anaangalia na kujuta nafasi aliyo poteza
@mmn7480
@mmn7480 2 года назад
Ata mm maana apa saiv nagenge na duka la vyakura nais zama ataniita nifanye intvew
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 года назад
😂😂😂
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
🤦😂😂😂😂😂
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
@@mmn7480 😂😂😂😂😂
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
Tunawasubilia jaman loh mmeniacha hoi
@selemanimsofe7321
@selemanimsofe7321 2 года назад
walio ishia darasa la 7 wengi waliojituma walifanikiwa sana ndio wameajiri wasomi
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 года назад
Ndo mipango ya mola hiyo
@zaydamchere2771
@zaydamchere2771 2 года назад
Tunaomba na dodoma jamn
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
😂😂😂😂💦 Ila watu wana masihara jamani Nyumba milion mia 20 😳😳🙄🙄 MUNGU WANGU ILA ZURI SANA MMOJA AJITOKEZE TUCHANGE TUKANUMUWE BASI Hapo ndo itabidi nikae Omani miaka mingapi sijui 😂💦😂🤔dah maisha aya
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Tuchange tuu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Kukaa miaka 20
@semenimohamed8156
@semenimohamed8156 2 года назад
Sasa hio ya kuchsnga si Bora ujenge yako mwenyew
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
@@semenimohamed8156 kwhy tukijenga zetu wenyw itakuwa Hamidu city
@jamesshao538
@jamesshao538 2 года назад
Ucjali upo sehemu.gani Oman ,mm nipo Oman pia
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 2 года назад
Party two
@allandavid752
@allandavid752 6 месяцев назад
Anaulizwa swali anasema alijenga watanzania wamuelewe akajenga moja akaona hawatamuelewa...akajenga nyingine...kwahiyo alijenga kwa sababu ya watu?? Aeleze kibunda cha kuanzia😅😅😅😅
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 месяца назад
Yaan hasemi hela katoa wp ila jmn
@ummuqaasim5227
@ummuqaasim5227 2 года назад
Tuna omba sehemu ya pili dada Zama maana nimenoga imenoga mpaka imenoga tena
@josephomuto3240
@josephomuto3240 2 года назад
Sio Tanzania pekee. Tunatazama ZamaradiTV tukiwa Kenya pia.
@raymondmaotela8992
@raymondmaotela8992 5 месяцев назад
Naomba contact kuusu kununua nyumba
@chichi-gp4ss
@chichi-gp4ss 2 года назад
💡💡💡💡💡💡
@mariambeautysonghuseni9549
@mariambeautysonghuseni9549 2 года назад
l want one house
@mariambeautysonghuseni9549
@mariambeautysonghuseni9549 2 года назад
l also need ahouse
@mariambeautysonghuseni9549
@mariambeautysonghuseni9549 2 года назад
zamarad namba simu
@sylviemugeni1887
@sylviemugeni1887 2 года назад
zama Naomba maelezo kwa izi myumba
@pundetv6144
@pundetv6144 2 года назад
Iendelee
@robertringi6434
@robertringi6434 2 года назад
story ilinoga daaa imenikata stim
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 года назад
Zama unazingua siku ya tatu hakuna part two?
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 2 года назад
Hii biashara nyumba imetajirisha matajiri wengi Sana nchi za wenzetu Yani unajenga Kwa gharama ndogo Ila kadiri muda na miaka inavyo enda thamani ya nyumba inazidi kupanda kwasababu maisha yanabadilika na gharama za ujenzi na viwanja zinaongezeka so Jamaa atakuja kuuza Kwa faida maradufu na kuwa billionaire Kwa miaka ya mbeleni kuliko alivyo Sasa Yani hii nikama crypto vile🙌🙌😁
@vickydan2869
@vickydan2869 2 года назад
C mpaka sasa anauza hapangishi
@abdallahgroupltd
@abdallahgroupltd 2 года назад
Habari za asubuhi nyumba Hamidu city bado zipo?
@halimahamis1608
@halimahamis1608 2 года назад
Hizi nyumba zinauzwa au ni kupangisha tu?
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Zinauzwa
@margrethsalvatory1359
@margrethsalvatory1359 2 года назад
Zinauzwa
@jamesshao538
@jamesshao538 2 года назад
Zinauzwa pia
@kivurugepub8105
@kivurugepub8105 2 года назад
Hio part two vip? What the logic of holding it
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 2 года назад
Swali zur
@mmakiluly
@mmakiluly 2 года назад
Sasa si uachie hio part two jamani. Yani sisi tunafatilia kazi zako ila wewe hutujali unakua mbinafsi. Zama hatuendi hivyo
@eipro_
@eipro_ 2 года назад
Tutafuteni pesa
@ernestfelix8596
@ernestfelix8596 2 года назад
Mwanaume uyu
@tausimaulid312
@tausimaulid312 2 года назад
nilikuwa nasubili kwa ham i
@mwanaidimuhindi6671
@mwanaidimuhindi6671 2 года назад
Ilikua naisubiri hii
@sylviemugeni1887
@sylviemugeni1887 2 года назад
Inawezekana kwamutu wa inje? kama watu wanaidhi ulaya?
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 2 года назад
Muendelezo
@solangekubota9487
@solangekubota9487 2 года назад
Ni ngapi kwa dollars?
@jamesshao538
@jamesshao538 2 года назад
Ni karibu dollar elfu 65
@solangekubota9487
@solangekubota9487 2 года назад
@@jamesshao538 asante ndugu
@robertmutai2001
@robertmutai2001 2 года назад
mbona wakati unafanya introduction unaanza kwa kuwasalimia watanzania pekee ilhali tuko hata na sisi wakenya mashabiki zako wa kitambo hata wakati ulikua cluods.
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 2 года назад
Zipo wapi hizi.?
@RioIpo
@RioIpo 2 года назад
Kigamboni
@nayomi6498
@nayomi6498 2 года назад
Firstttttt💃
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 2 года назад
Nimewahi fika pale Mikwambe. Sikumwelewa vizuri. Ila Jamaa kweli kadhamiria
@yahayaali7970
@yahayaali7970 2 года назад
Mashaallah
Далее
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 2,7 млн
Construction site video BEST.99
01:00
Просмотров 349 тыс.
HISTORIA YA MILLARD AYO NA SIRI YA MAFANIKIO YAKE.
52:04
Breaking Boundaries: Hamidu City Park (Documentary)
10:05
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 2,7 млн