Kabla ya usajili mlisema Simba waanze upya wameletwa mnaanza ati ni wengi 11 bora muache uchambuzi mkauze bigijii mkamuuzie mchezaji mla bigijii hawezi maliza 10 ka hajala bigijii
Hao wachambuzi c ndio walikua wakisema wachezaji wa Simba ni wazee team imesajili wachezaji vijana tena wanchezea team za Taifa bdo mnapata kigugumizi milikua mtaka Simba ibakie na magarasaa
😂😂😂😂😂nyie wachambuzi ndio mnaokuja kufanya mashabiki kuzimia ovyo na kutukana viongoz wao, sbb ya hayo maneno yenu mnasifia sn kitu msicho kijua watu wana jiaminisha kupita kias kuwa wana timu nzur matokeo yake inakuja vurunda hapo sasa