Kuweka bajeti maalumu kwa ajili ya kusaidia ndugu na marafiki ni nidhamu nzuri sana changamoto ikiwa umefikia ukomo wa bajeti ako ya kusaidia na ikatokea dharura ugonjwa au ajali sio rahis sana kuacha kusaidia so nashauri mbali na kuwa na bajeti maalum ni muhimu kuwa na emergency fund ya kwako personally inayojitegemea..Asanteh sana kwa somo zuri,Mungu azidi kukutunza ili tuendelee kufaidika na elimu unayotupa🙏
Somo zuri ila naona wengi wetu huomba kuliko wanaoombwa hvo ningependa utuandalie somo litakalotufundisha njia nzuri ya kuomba au tuachane na kupungua idadi ya waombaji
Mimi naona Siri zote nne ni Muhimu, ila namba Moja nimeipenda zaidi. Mambo yanayoturudisha nyuma kimaendeleo ni yale yanayofanyika bila mipango maalum, naamini kuwa na Budget maalum kutanisaidia kuepuka Matumizi yasiyo ya lazima. Ahsante
*TO BECOME SUCCESSFUL YOU NEED TO DO THE FOLLOWING*🙏🙏🙏💪💪💪💪 *● BELIEVE - while others are doubting.* *● PLAN - while others are playing* *● STUDY - while others are sleeping*. *● DECIDE - while others are delaying*. *● PREPARE - while others are daydreaming*. *● BEGIN - while others are procrastinating* *● WORK - while others are wishing* *● INVEST - while others are wasting*. *● LISTEN - while others are talking* *● SMILE - while others are frowning* *● COMMEND - while others are criticizing*. *● PERSIST - while others are quitting*. *☑️ JOIN while others are still thinking*
Nimekusoma mkuu chamuhimu nikuwa na moyo wa chuma moyo mgumu kutokuwa na uruma iliyopitiliza kuwa jasili kuwa muwazi hapo nikuwa mkweli na muwazi unajua bro mwenye uruma hana bahati na uruma hailei mwana msimamo ni muhimu bila kujali
Dah bro asante kwa somo zurii kwakwelii hiyoo ya 3[respond promptly ]ilikuwa ikinisumbua sanaa I think from now ntakuwa naujasiri wa kutoa jibu kwa mda huo huo ndan ya 24hrs
Hii clip imenisaidia sana sana kudevelop nlkuwa napata shida kumwambia mtu ukweli kwamba sitaweza kumpa kiwango anachohitaji Saivi nimeweza imenifanya niwe na furaha na akiba nzuri