Тёмный

BILIONEA WA MAPARACHICHI, SHAMBA EKA 1000, MILIONI 200 KWA MSIMU, NYUMBA, MAGARI YA KUTOSHA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 77 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 195   
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 Месяц назад
Uyu jamaa mungu amubariki sana ana roho nzuri sanaalikuja hospital wanging'ombe aliwap wagonjwa sh10000 sh10000 na mama yangu akiwemo ubarikiwe sana ndugu yangu mungu akuzidishie pale ulipo toa
@user-pl1mp5sl4k
@user-pl1mp5sl4k Месяц назад
Anaonekana tu mwwnye roho nzuri
@joshuajustustz
@joshuajustustz Месяц назад
Kila uwekezaji unalipa ila chanzo cha mafanikio ni muwekezaji mwenyewe. Amefanya kilimo cha parachichi zaidi ya miaka 10 na bado anaendelea. Usiache unachokifanya Kwa kuhisi hakina maslahi mapana. Faida ipo. Mtangulize Mungu pia jikite kwenye kuongeza elimu juu ya unachokifanya... Utanishukiru baadae
@LastKakats
@LastKakats Месяц назад
Amen
@zuhuraomary2782
@zuhuraomary2782 Месяц назад
Uko sahihi 100%
@jephonaplatinumz8475
@jephonaplatinumz8475 Месяц назад
Ata kama anauza big jii aendlee kusubiri kuna siku itamlipa?
@jakom254
@jakom254 Месяц назад
Maeneo gani
@movie.reporter
@movie.reporter Месяц назад
Ukikuza mtaji utaenda na utauza vitu vingine. Mafanikio ni mchakato wa muda mrefu kaks​@@jephonaplatinumz8475
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Месяц назад
Huyu mkulima ninamjua Sana kapambana kutoka chini mwache ale maisha ananithamu ya kazi
@PastorsTz
@PastorsTz Месяц назад
Nampenda sana huyu jamaaaa anaunyenyekevu sana,,hata ukikutana naye na ukienda kununua miche kwake utafurahi
@mussaelia8693
@mussaelia8693 Месяц назад
Mzee naweza pata mawasiliano Yako Nataman nijue nijifunze
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 Месяц назад
Uyu jamaa mungu amubariki sana ana roho nzuri sanaalikuja hospital wanging'ombe aliwap wagonjwa sh10000 sh10000 na mama yangu akiwemo ubarikiwe sana ndugu yangu mungu akuzidishie pale ulipo toa
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Месяц назад
Me Wallah nimedhamilia nitaenda kuchukua mafunzo kwa hyu Mzalendo..Barikiwa kaka
@patrickmlimbila7715
@patrickmlimbila7715 Месяц назад
kumbe na sisi tuna bilionea ok safi
@stephenmmbago4975
@stephenmmbago4975 Месяц назад
Really story is inspiring alot vijan tupambane
@LandrickXl
@LandrickXl Месяц назад
anakwambia kwa bahati nzuri wazazi hawakuwa na uwezo 😂 au hamjamskia kwasababu ana hela
@TonnyFord
@TonnyFord Месяц назад
😂
@osmanferdinand4527
@osmanferdinand4527 Месяц назад
Alikua hapendi shule kabisa
@dominiclengwavi2208
@dominiclengwavi2208 Месяц назад
Haha😂, hapo amenichekesha kweli.
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Месяц назад
Mwamba alikua hapendi umande😂😂😂😂😂
@josephlugongo6357
@josephlugongo6357 Месяц назад
Huenda angesona asinge kuwa hapo hivyo bahati nzuri yake ni kutokusoma.
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz Месяц назад
Hongera sana Ubarikiwe sana nifika zawadi yako hipo usaidia jamii undelea hiyo
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Месяц назад
Mungu huwapinga wajikuzao, lakini huwapa, wanyenyekevu neema.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Месяц назад
MashaAllah 🙏🙏🙏God bless 🙌
@doglassepimack8172
@doglassepimack8172 Месяц назад
Huyu jamaa ali amin katika kidogo alicho nacho wengi wa watanzania una weza mpa project ambayo ana weza tengeneza pesa lakini Wana taka mafanikio kwa muda mfupi ni washudia wengi
@queenmilan2024
@queenmilan2024 21 день назад
HII INTERVIEW ANGEFANYA Millard ayo Tungeelewa zaidi
@kevinmary7129
@kevinmary7129 Месяц назад
Bora walikufukuza kaz za usafi maana ungekufa maskini, mungu huwa nina makusudi
@princemimi2090
@princemimi2090 27 дней назад
hii ngoma angeisimamia millard ayo tungejifunza mengi
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Месяц назад
Wale wa kutaka mafanikio ya wiki tatu kama broiler long term project hawataki.
@muniraahmed624
@muniraahmed624 Месяц назад
Hivi vichwaaa adimu Sanaa umetufunza mnoo ❤🙏🏿
@innocentgerald1889
@innocentgerald1889 Месяц назад
TRA liked your post 😁
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania Месяц назад
😂muhuni kweli wewe!
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 29 дней назад
Yes,
@E.A.C.t
@E.A.C.t Месяц назад
kila kitu kinawezekana ,amini fanya kazi na omba mungu tu
@patrickKitambo
@patrickKitambo Месяц назад
ALIFAULU KWENDA SEKONDARI LAKINI BAHATI NZURI WAZAZI HAWAKUA NA UWEZO HIVO HAKUENDELEA NA SEKONDARI!!!!!! POWERFUL MINDSET
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад
Nini hukuelewa kijana alichaguliwa kwenda secondary uwezo wa wazazi wake ulikuwa mdogo Hivyo hakufanikiwa kuendelea na masomo akaishia la saba.
@patrickKitambo
@patrickKitambo Месяц назад
@@AlhajiIssa-jb9hr hujanielewa ndugu yangu
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад
@@patrickKitambo ok sorry.
@patrickKitambo
@patrickKitambo Месяц назад
@@AlhajiIssa-jb9hrnilicho maanisha angekua ni mtu mwingine baada ya kufaulu na wazaz kushindwa kumlipia ada angelaumu wazaz angesema..... bahati mbaya wazazi hawakua na uwezo ila badala yake yeye anasema bahati nzuri wazazi hawakua na uwezo ...kwaio anamtazamo chana na ndo unamfanya afanikiwe sabab angekua mwingine angekaa kwenye hiyo hali kila mara na wala asinge ona fursa zingine bali angebak kulaumu tu wazazi kila siku
@user-yx5fs5fn4n
@user-yx5fs5fn4n 25 дней назад
Yuko sahihi ni bahati nzuri. Angeajiriwa asingefikia hatua hiyo.
@panduafricangiant4902
@panduafricangiant4902 22 дня назад
Kijana wa saizi anazani mshikaji kapata huo utajiri mwaka mmoja au miwili iliyopita tafadhali muandishi umesahau kumuuliza bwana steve time interval,downfalls kukusanya huo utajiri💪💪💪💪💪
@raiderinfos1472
@raiderinfos1472 17 дней назад
Mahojiano mazuri but mtangazaji umekosa mtaji wa maswali watu wengi wanajua kuhusu kulima na uvunaji lakini kuna changamoto sana kwenye swala la soko nani ananunua au wapi wanauza na utaratibu upoje ujaongelea kabisa.
@doreenchuwa3630
@doreenchuwa3630 Месяц назад
Ila watangazaji mnaboaga, sasa nyumba mara magari yote hayo ya nini ??? Ulizeni maswali ya msingi .
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 26 дней назад
We ni kenge
@BeatusKitwange
@BeatusKitwange Месяц назад
Ingependeza pia kujua uhakika wa soko
@kagombaEnok
@kagombaEnok Месяц назад
Safi sana CEO
@pceodhc
@pceodhc Месяц назад
Hongera sana kaka!
@melchiadepaschal3097
@melchiadepaschal3097 Месяц назад
Welldone
@user-hx9ps9nk5z
@user-hx9ps9nk5z Месяц назад
Hongera sana
@pulikisia7963
@pulikisia7963 Месяц назад
Safi sana.
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 Месяц назад
Ni kweli kwa njombe ni moja ya wakulima wakubwa, ni mpambanaji jamaa
@RamadhaniSelemani-bn1fz
@RamadhaniSelemani-bn1fz Месяц назад
Napenda kilimo
@Revelation1412.
@Revelation1412. Месяц назад
Daah, Nmejifunza mengi kwa huyu jamaa
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 Месяц назад
Hivi shamba la heka moja shilingi ngapi sahiv hapo njombe
@HapsaHaji-bg5jk
@HapsaHaji-bg5jk Месяц назад
labda msim upi mzuri kwakilimo cha viazi kwa kupata faida kubwa
@user-oo5ud3ts9b
@user-oo5ud3ts9b Месяц назад
Nemes ze Don
@josephtesha872
@josephtesha872 Месяц назад
My hoppy one day💓
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n Месяц назад
Hongera kiongozi Mungu akupe maono makubwa
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 29 дней назад
Stivini Jones Muimbila
@florenciamassawe4925
@florenciamassawe4925 Месяц назад
Ni huduma gani zinazohitajika kwenye miti ya parachichi 6:15 6:18
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 Месяц назад
Kilimo!! Jichanganye!!!!😅😅😅😅😅😅
@dorahy1579
@dorahy1579 Месяц назад
Huyu ni mfanikiwa wa Ukweli. Lakini huyo Mlokoxi Nina mashaka sana sana ktk mapesa yake.
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 26 дней назад
Nyie ndio walewale
@dorahy1579
@dorahy1579 26 дней назад
@@user-kx7ob5rx4p Akina nani? Freemasons au waizi?
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 16 дней назад
Hujui biashara ya pombe wewe
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n Месяц назад
Hongera mpambanaji tuko nyuma yako
@numbibonzo4238
@numbibonzo4238 Месяц назад
Kwa bahati nzuri Wazazi hawakua na uwezo😅
@joshuajustustz
@joshuajustustz Месяц назад
Kumbe umeisikia hiyo😂
@numbibonzo4238
@numbibonzo4238 Месяц назад
@@joshuajustustz yah kumbe kuna muda wazazi kutokua na uwezo wa kuku somesha inawzkn ikawa ni bahati nzr huenda ange soma asinge fika alipo
@joshuajustustz
@joshuajustustz Месяц назад
@@numbibonzo4238 nadhani ulimi uliteleza
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Месяц назад
Ulimi hauna mfupa jaman
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад
​@@numbibonzo4238Ndio ni nzuri Kwa upande wake na Sasa ni bilionea😂😂😂
@user-rw8yu7xt4c
@user-rw8yu7xt4c Месяц назад
Hongera sana kiongozi
@jumarajab5316
@jumarajab5316 Месяц назад
anavosimulia kama rahisi vile
@EDDY4D
@EDDY4D Месяц назад
Kama jana na leo
@johnlongoy7952
@johnlongoy7952 Месяц назад
Eheee nilikuwa natafuta kamati ya roho mbaya nimewapata 😅😅
@EDDY4D
@EDDY4D Месяц назад
Hakumanisha unavo hisi kamanisha katika kutafuta ili ufanikiwe inachukuwa mda na ndomana kasema anavoongeya kama kitu rahisi bro hiyo sio rohombaya ina taka subra naujikaze sana​@@johnlongoy7952
@doglassepimack8172
@doglassepimack8172 Месяц назад
Commitment ndio iliyo mfikisha hapo
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Месяц назад
​@@johnlongoy7952😂😂😂😂😂
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 Месяц назад
Eeet anamajiniii jmn pambana ufanikiwee usaidie ndgu zako
@gracekilacy512
@gracekilacy512 Месяц назад
Nimecheka kwa sauti
@user-lg8xu9tt3b
@user-lg8xu9tt3b Месяц назад
Everything is possible
@Jigwa61
@Jigwa61 14 дней назад
Namba ya kuwasiliana nae
@faridajuma7960
@faridajuma7960 17 дней назад
Mawasiliano yake please
@vom84
@vom84 Месяц назад
Parachichi ni hela
@sililubala8845
@sililubala8845 Месяц назад
Hongera sana kwa vile ulivyoeleza mafanikio ulioyapata mpaka sasa na uzoefu ulionao kwa masiliano zaidi kukupata wapi? au email yako Asante
@user-yl7cm2mf7e
@user-yl7cm2mf7e Месяц назад
Ushauri mzuri sana
@emmanicko1535
@emmanicko1535 Месяц назад
MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUBARIKI NA KUKUONGEZEA KAKA ANGU
@fristonactary1371
@fristonactary1371 Месяц назад
Hiyo ShortKat Kaelezea! Jichanganye SASA🤣🤣🤣
@paschalkigala6628
@paschalkigala6628 Месяц назад
Jichanganye.
@ahmedkitandu8403
@ahmedkitandu8403 Месяц назад
Ivi kwann darasa la 7 ndo watu ambao wamefanikiwa kmaisha ndo matajiri kuliko waliofka vyuoni??
@IbrahimunyandaDanieli
@IbrahimunyandaDanieli Месяц назад
Wamebweteka na elimu zao
@aminakasim1198
@aminakasim1198 27 дней назад
😂😂😂😂😂
@Laizer3
@Laizer3 Месяц назад
Ivi kwanini watu walioishia la 7 wanawazidi utajiri wasomi wa vyuo vikuuu?
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Месяц назад
Lakini pia hao waloishia la 7 wanazingatia kwa uaminifu mkubwa na kwa umakini sana ushauri wa wasomi,, ndomana wanafanikiwa, tofauti na wasomi, wao wanatabia ya kudharau. Ndo maana wasomi wengi hawafanikiwi.
@joshuajustustz
@joshuajustustz Месяц назад
NIDHAMU
@kachorionlinetv497
@kachorionlinetv497 Месяц назад
Wasomi Wengi hawataki Kujishusha na Kuanzia Chini Kufanya Kazi Ndogo Ndogo Lakini aliemaliza la 7 hasubiri Bali anaanzia Popote...
@franklyn7439
@franklyn7439 Месяц назад
Kati ya wasomi na wasiosoma matajiri wengi ni wasomi. Story za matajiri wasiosoma zinavutia zaidi ndio maana ni maarufu. Msomi akiwa tajiri watu hawastuki
@G-JMK69
@G-JMK69 Месяц назад
Risk taking ability
@mussaelia8693
@mussaelia8693 Месяц назад
Natamani nipate mawasiliano yake
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 14 дней назад
TRA sent you a friend request
@habyhabib7538
@habyhabib7538 Месяц назад
Ukishakua muandishi jitahidi unapofanya uchunguzi hakikisha taarfa ziwe sahihi Sio kupotosha wananchi Inakera sana kupotosha jamiiii
@MoviesAde
@MoviesAde Месяц назад
Sasa kampotosha nani??? Anae hojiwa it’s true ana shamba na nimkulima, yeye anauliza tu maswali na mkulima anajibu, kapotosha nini sasa?? Acha makasiriko na jaribu kujifunza huku ukiweka positivity in things, Dah! Comment yako ya roho mbaya sana
@habyhabib7538
@habyhabib7538 Месяц назад
@@MoviesAde Nenda saloon urudi u comment!acha manung'uniko au unataka utumiwe maparachichi ??ulitoka kwa laisa haya umehamua ktk maparachichi,sio lazima kila mahal u comment!tuliza kizaga hapo
@RoseMkupala-xw7jo
@RoseMkupala-xw7jo Месяц назад
Hongera sana kaka,mi natamani kulima parachichi ila sina utaramu nitakupataje naomba namba yako,tafathali
@benedictmfoi3680
@benedictmfoi3680 Месяц назад
Nenda njombe katembelee mashamba ujifunze
@BalengaTanda-fz4cl
@BalengaTanda-fz4cl Месяц назад
😂😂namba ya billionaire ya nini jaman
@hasirazahoro4938
@hasirazahoro4938 Месяц назад
Halafu anatokea mvivu mmoja anamuita mchawi
@kephathicke9452
@kephathicke9452 Месяц назад
kuna hawa wa lasaba'A af kuna nyie wa chuo kusubiria kuajiriwa mpate 10M kwa mwezi
@NeemaShababi-nu8dr
@NeemaShababi-nu8dr Месяц назад
Vipi kuhusu mbengu
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Месяц назад
naomba namba yake
@mariakabonge
@mariakabonge Месяц назад
Please milad naomba nitumie number zake
@asmahozza8468
@asmahozza8468 Месяц назад
Tunapataje mawasiliano yake
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Месяц назад
KAKA STEVEN MBONA SISI WENZENU TUNAUZA KWA HASARA?WENZETU MNAUZAJE MPAKA MNANUFAIKA HIVYO?
@user-ok6lv3je4b
@user-ok6lv3je4b Месяц назад
Balikiwa ukitaka Mali kaifate shambani
@sheikhfadhilaljahdhamy6751
@sheikhfadhilaljahdhamy6751 Месяц назад
Shamba limeweza kufanya billionare
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Месяц назад
Ulaya na marekani mkulima ni Tajiri huku kwetu tu ndo kinyume
@BARAKA-ns3jv
@BARAKA-ns3jv Месяц назад
Asante Kwa kumuelimisha. Huyo
@birianination7097
@birianination7097 Месяц назад
​@@FahadAbubakari mbona huku wapo wengi tuu!
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Месяц назад
@@birianination7097 ila c wengi
@hamisathuman-ef2ug
@hamisathuman-ef2ug Месяц назад
Usitoe namba zako mabinti washakutamani
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 26 дней назад
Mbuzi wewe
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 Месяц назад
Nina shamba la miti nauza lina eka 10 lipo ukange, Lupila makete..
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 Месяц назад
Kila Biashara inalipa ukihadithiwa!!!😂😂😂😂
@lakasid3860
@lakasid3860 Месяц назад
Mbona yeye imemlipa? Issue sio kuhadithiwa issue ni kuingia shambani nakuanza ifanya
@user-it7sw9ii5c
@user-it7sw9ii5c 20 дней назад
😂😅
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Месяц назад
Ekari 100 siyo mchezo
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Месяц назад
1000
@mariakabonge
@mariakabonge Месяц назад
Au naweza kukupigia wewe au ripotar wako please nikonecti na huyo ndugu me pia nimenunua shamba huko, please nisaidie
@husaynjibreel3605
@husaynjibreel3605 20 дней назад
Niko apa hii inawezekana sana
@user-ku4xq4nd9v
@user-ku4xq4nd9v Месяц назад
Kuna miche ile ya sh 20,000/ ni mizuri sana ni miezi nane unavuna nilinunua kwake Nemes
@samirhumud7408
@samirhumud7408 Месяц назад
Ndugu umepanda sehemu gani?
@emmanuelmwajombe831
@emmanuelmwajombe831 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-ku4xq4nd9v
@user-ku4xq4nd9v Месяц назад
@@samirhumud7408 Iringa
@MarthaMgaya-zo4bi
@MarthaMgaya-zo4bi Месяц назад
😂😂​@@samirhumud7408
@mohamedaden8483
@mohamedaden8483 Месяц назад
Maparachichi hayahaya ninayoyajua mimi?
@siamnyone8403
@siamnyone8403 26 дней назад
😂😂😂😂we si kazaramooo parachch utalijulia wap
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Месяц назад
Ukiitaka pesa ya parachichi ni lazima uingie front kama hivyo. Kaa porini fuatilia kila hatua ya ukuaji wa miche, hadi utakapotoka baada ya miaka mi 3... vinginevyo hiki kilimo hakitaki simu...
@PeterMinde-y3b
@PeterMinde-y3b 27 дней назад
Hiyo ni point kaka, tuache kilimo cha remote
@afrodailytv4335
@afrodailytv4335 15 дней назад
Hivi sehem kama arusha magugu unaweza kulima zao gani?
@Iamscoobyjr
@Iamscoobyjr 15 дней назад
Karanga & mchele nafkiri na vitunguu vinafanya poa hapo
@afrodailytv4335
@afrodailytv4335 15 дней назад
@@Iamscoobyjr vitunguu vinafanya vizuri sokoni nianze kufanya research?
@G-JMK69
@G-JMK69 Месяц назад
Risk taking Wengi ambao hawajasoma sana, huwa hawahitaji mahesabu mengi ili kufanya jambo, hufanya kwa imani tu, ndio maana wanatajirika. Msomi anataka afanye kwanza mahesabu meeeengi aone kama kuna faida ndipo achukue hatua. At the end anapoteza nguvu ya kuanza. Hongera sana mkuu. 🤝
@saidkhalfan8207
@saidkhalfan8207 Месяц назад
Fact
@ChoroTesla
@ChoroTesla Месяц назад
malo bila daftari hupotea bila habari km hvy basi kampuni zote zingekua zinaamrishwa tu fany hv fanya vile
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Месяц назад
Tunaomba number jamani
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 Месяц назад
Ili iwaje Bi Salma si umeolewa ww?
@giftchristianmeela1409
@giftchristianmeela1409 Месяц назад
Wakenya wakiona hii wanahamia huko njombe 😅
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 Месяц назад
Wahamie mara ngapi?
@salitosofo5561
@salitosofo5561 Месяц назад
Awagonje tra sasa
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Месяц назад
Hiyo ni mali ya shamba wewe tra waende wapi
@user-fv7ri6mw2n
@user-fv7ri6mw2n Месяц назад
True.watamtembelea.
@kananiomwamirwenyagira8374
@kananiomwamirwenyagira8374 Месяц назад
Mazao ya kilimo hayana kodi😂😂jiongeze ninushuru wa mazao tu..zile buku buku
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 Месяц назад
Ushuru masokoni hapo shamba tra hawaendi
@erickagwe8841
@erickagwe8841 Месяц назад
Huyo ni milionea au bilionea? Jamani tofautisheni B na M.
@RutaRubedi
@RutaRubedi Месяц назад
Faida ya kuvuna mara moja ni 200ml, akivuna mara tano tu tayari ni bilionea
@lakasid3860
@lakasid3860 Месяц назад
​@@RutaRubedikibongo bongo atakuwa ni Billionaire ila kidunia atakuwa millionaire
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 Месяц назад
Mchawi tu
@jimodefighter
@jimodefighter Месяц назад
acha ufara co Kila ki2 uchaw
@FridayMwassa
@FridayMwassa Месяц назад
Ndiyo maana umekuwa masikini wa kutupwa kwasababu tu ya kuamini uchawi
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 Месяц назад
Ndoto yangu ni kuwa bilionea wa kilimo cha Chinese,,,Nipo hapa nasaka mtaji.
@RutaRubedi
@RutaRubedi Месяц назад
Mungu ni mwema utafanikiwa
@PeterMinde-y3b
@PeterMinde-y3b 27 дней назад
Acha ukenge kijana, labda ukalime hiyo chinese China 🤪😜
@siamnyone8403
@siamnyone8403 26 дней назад
😂😂😂😂😂
@Sarah_gerald
@Sarah_gerald 17 дней назад
Amiin
@afrodailytv4335
@afrodailytv4335 15 дней назад
Una masoko?
@jewtv1732
@jewtv1732 Месяц назад
NAMJUA HUYO JAMAA ANA MAJINI KINOMA
@SaidShemkieti
@SaidShemkieti Месяц назад
Majini au madini ?
@ikokijuma-zv7wd
@ikokijuma-zv7wd Месяц назад
Acha usenge we unamangap
@colletatesha5265
@colletatesha5265 Месяц назад
Aisee ukiskia wachawi ndio uyu anaemsema mwenzie ana majini
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl Месяц назад
Hata mimi nakujuwa wewe. Wewe ndio JINI lake kuu
@jamesnyamila2165
@jamesnyamila2165 Месяц назад
Tafuta na wewe hayo majini
Далее
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 236 тыс.