Тёмный

SIYO TYPE YANGU | MWANAMKE HUWEZI KUMTAMBULISHA NYUMBANI | YUPO UCHI | HELLO MR RIGHT 

ST BONGO TV
Подписаться 174 тыс.
Просмотров 203 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 400   
@suzanambatta1126
@suzanambatta1126 9 месяцев назад
Safi sana Mr. Right umewapa ukweli. Wajitambue
@ashuraa9079
@ashuraa9079 9 месяцев назад
Hakuenda kwa ajil ya mchumba ameenda kwa ajil ya kuwapa ukweli safi sana wao piah wanadharau sana 😂😂😂umeupiga mwingi mubaba
@danielljohn
@danielljohn 9 месяцев назад
Fantastic man kaongea ukwel bila unafiki 💯👊
@hajiyussuf-jm2ct
@hajiyussuf-jm2ct 9 месяцев назад
Kiufupi hakuwa anataka mke kaja kufikisha ujumbe tu ,Tena Alhamdulillahi mesej sent hata wengi huku tulipo tumeipenda
@dianamaganga
@dianamaganga 7 месяцев назад
Hawa me naonaga wanajiuza maana sionagi anayevaa stara wote wako waziwazi tu ,nachefukwaga😩
@Allinez678
@Allinez678 9 месяцев назад
The gentleman is very well principled,,I like it
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 9 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 huyo demu anajitetea lakini ukweli ni kwamba ,kama mwanamke kujiamini kama mzuri ni mzuri tu huna haja ya kujiweka nusu uchi,jirekebisheni
@RichMotherr
@RichMotherr 8 месяцев назад
Kwa kweli🤣🤣imemuuma mno
@mwanjaaseif5229
@mwanjaaseif5229 9 месяцев назад
Parema parema yupo vizuri sana. Hapo mnaonekana mnajiuza tu.
@mwajabujumanne9025
@mwajabujumanne9025 9 месяцев назад
Huyu mwamba ndo gentlemen 🚹 👏 🙌
@MojamojaMojamoja-lw2ph
@MojamojaMojamoja-lw2ph 9 месяцев назад
Safi kabisa muwe mnavaa vizur bora nguo hata ikubane lakn ikustir jaman nyie hamsikii vibaya
@AbdurazakiKisoma
@AbdurazakiKisoma 9 месяцев назад
Yani Leo Ndo Nmefurahi Kumwona Huyu Mr.Right 😂😂😂😂
@DanKanyange
@DanKanyange 9 месяцев назад
Safi sana Mr Light umenifurahisha sana.
@mmyshadyah5901
@mmyshadyah5901 9 месяцев назад
Kwakwel ningekua mume hapa sijaona mwamke wakumtambulisha nyumban kwanza mavaz ya uchi hongera Mr right
@lilianakeya9868
@lilianakeya9868 9 месяцев назад
Yes 👍🙌
@Zuuh4286
@Zuuh4286 9 месяцев назад
𝐔𝐤𝐨 𝐬𝐚𝐡𝐢𝐢 𝐤𝐚𝐛𝐬𝐚 😂😂😂👏
@Mr.Nyingi
@Mr.Nyingi 9 месяцев назад
Mpen Parema huyo maua yake😊😊😊😊😊
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 9 месяцев назад
😅😅😅😅😅Kweli broo,hivi vibinti vinadharau sana.umewapiga na kitu kizito.dadeki.nyani haoni kunduleeeee😅😅😅😅😅
@MwajumShaban
@MwajumShaban 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂Ila jamani kaaa
@LuciaMakarange-vb8mc
@LuciaMakarange-vb8mc 9 месяцев назад
😂😂😂😂
@samwelswea6029
@samwelswea6029 9 месяцев назад
Safi sana kaka ,ukwel utawauma Hadi hao watangazaji
@edwinamos9734
@edwinamos9734 8 месяцев назад
Hata hao wamama(watangazaji) wanajiuza na ni watu wazima kinacho waokoa camera na maker up na mavazi ya kimaraya
@LoveAron
@LoveAron 9 месяцев назад
Huyu Baba ni mkaka sanaaa 😂😂😂
@brayanjames9953
@brayanjames9953 9 месяцев назад
Sema jama. Ana jiskia sana
@fredmashauri210
@fredmashauri210 9 месяцев назад
Simp humuezi elewa
@eunicedanmichael9905
@eunicedanmichael9905 9 месяцев назад
The only gentleman so far in this season 5 The guy knows exactly what he want .. Doa sio chababa na chamama .. Love his matured nature
@FranceMsumba-lg2oc
@FranceMsumba-lg2oc 9 месяцев назад
Fact
@nancyg8664
@nancyg8664 9 месяцев назад
😂chababa
@adammwakalonge3573
@adammwakalonge3573 8 месяцев назад
hicho kimwanamke ni kikahaba inborn na hakuna namna unaweza ukakitosheleza bz hakijui kinataka nn kwenye maisha
@cutenicely4766
@cutenicely4766 7 месяцев назад
Very true Doa sio kitu cha kukimbilia
@cutenicely4766
@cutenicely4766 7 месяцев назад
​@@adammwakalonge3573haswa hakijui maana ebu tafakari pia ww huone mavazi yenyewe kikahaba kabisa hawajui wanataka nn na ndio wamesoto hata hela hawana 😂😂😂😂😂alafu wanaringa bure kabisa
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 9 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mr right safi sana umewapiga nakitu kizito hao wadangaji
@PeterMashauri-q2g
@PeterMashauri-q2g 9 месяцев назад
Huyu kaka kasema ukweli mtupu juu ya hawa mabinti kwakweli mabinti hawa wapo uchi mnatutiya haibu yani kama makahaba jamani
@user-fz3dg2fr6bl
@user-fz3dg2fr6bl 9 месяцев назад
It's just a show dia ...from 🇰🇪
@lilianbirya
@lilianbirya 9 месяцев назад
​@@user-fz3dg2fr6blno from 🇯🇲🇯🇲
@hawababy120
@hawababy120 9 месяцев назад
Kweli kbsa
@sonnyr1899
@sonnyr1899 9 месяцев назад
@@user-fz3dg2fr6bl Bongo neno show limaana nzito full stop
@Eddyx21
@Eddyx21 9 месяцев назад
Pumzika ndugu yangu umechoka,,,tembea uonee,,hao hawapo uchi,,
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 9 месяцев назад
ni kweli mr right ninkipindo amvacho kinatia fursa kwa wadada na wakaka ,,,lakini kwenye mavazi mnawavisha uchi sana ukivaaa kiheshima mbona mnaonekana embu zingatie hilo waaandaaji,,,,,,km maigizo za bongo movies zaman walikuwa wakivaaa uchi sana lkn sasa hivi ni kiheshima na movie zinapendwa vile vile tuzingatie mavazi kwa hawa mabinti
@LucasKiganja
@LucasKiganja 9 месяцев назад
Huyu ni mwamba kweli kweli alifikiri kuwa kila mwanaume anashawishika na mitego ya kwenye bar
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 9 месяцев назад
Ilahiyo Ilishajionesha Sana Kuwa Hafai Hapo Hopa Hapo Juuu Alitosha... Namshakuru Mr.Alitowa Jibu Zuri Kwa Schana Maana Hawajuwi Kwamba Wao Wamekosa Hadhi Mpaka Sasa Wapigwa Mnada Kama Mbuzi N.K..???????
@edwinamos9734
@edwinamos9734 8 месяцев назад
Good 👍
@joycehaule9717
@joycehaule9717 9 месяцев назад
Hahahahahaha leo mmepata wakuwakomesha mana mnawakomeshaga wanaume oooh Sio type yangu hahahahhaa leo mmeipata haswaaa wanawake mnawanyambuaga wanaume leo mmekomeshwajee hahahhaa huyo atakua aliwanywea pombe ili akioanda awachambee hakua hata na shida yamke mumeipata fresh leo warembo na vijinguo vyenu
@RICHARDDOTTO-l8i
@RICHARDDOTTO-l8i 9 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉boss umetisha kosea vyote sio mke wa kuishinae mm mwenyew hapo sion mwanamke wa kuwalea wotot
@shangweyussuf640
@shangweyussuf640 9 месяцев назад
Mwanaume atakayemchagua Dyana ana kazi nzito sana
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 9 месяцев назад
Mim binafsi nimemuelewa mr light unapo enda kuo jua utamuoa mwalimu wa watoto wako na jamii inayo kuzunguka nawashauri na vijana wengne jitahidi sana. Kutafta sana kusudi la Mungu kwenye kuoa kwenu
@RickshabyVlogs
@RickshabyVlogs 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😅😅🤣😅🤣🤣🤣 KAKA WEWE N ZAID YA MWANA HIP HOP. Rule no 3 never blandish a girl 😂
@AnthonyEndrick
@AnthonyEndrick 9 месяцев назад
😂😂😂
@GenovevarKavikule-it2wc
@GenovevarKavikule-it2wc 8 месяцев назад
Umenifurahisha Mr right umetoa funzo zuri kabsa
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 8 месяцев назад
Hahahahaaaà huyu mwamba kanikumbusha marehemu baba mkubwa Aron, mzee wangu wa principal....... 😂😂😂😂😂😂
@kituhilel.j9747
@kituhilel.j9747 8 месяцев назад
Nimekuelewa sana bro,hakuna mke hapo labda kwa matumizi ya muda mfupi,Machangu wamepigwa na kitu kizito😂😂😂😂
@edwinamos9734
@edwinamos9734 8 месяцев назад
Umetisha brother.
@DianaElisha-v5r
@DianaElisha-v5r 9 месяцев назад
Hawezi kuwa na kauli zuri huyo ndo panema wa dar hii 😂😂😂
@zubedamae-ro1jx
@zubedamae-ro1jx 9 месяцев назад
Watching from same where else here 😂😂😂mr Right your Right 👍🏼👍🏼👍🏼😂😂😂
@vaicute
@vaicute 8 месяцев назад
hiii Kali ya mwaka
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 9 месяцев назад
Huyu mwamba inaonesha vitasa ni hapa na hapa, ana itikadi za kidingi sana 😂😂😂
@salomevenance9555
@salomevenance9555 7 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅jmn why lkn
@DianaElisha-v5r
@DianaElisha-v5r 9 месяцев назад
Jamani panema hahaha kaka garab mmmh umenifanya Leo anatafuta mchumba Hadi huko kwako daah😂😂
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 9 месяцев назад
Sema waMEVAA UCHI SANA JAMANI 😢😢😢😢
@aurorahmo3702
@aurorahmo3702 7 месяцев назад
Woyooooo kwa Mr rights akeeeee.....kaongea point
@tuesmbega8111
@tuesmbega8111 9 месяцев назад
Hawa wadada hawafai kuwa wake sababu ni wabishi halafu wanajiona wazur jamaa inawezekana amekuka kuwaweka sawa katika mr right kuwe na muda wa hao wadada kukaa wamekuja kuuza sura tu wanamashauzi sana nikwel hapo hamna mke.
@mkemiaelias6009
@mkemiaelias6009 9 месяцев назад
Mwamba umetishs sana
@SalumMusafiri
@SalumMusafiri 8 месяцев назад
Mr right his right kabisa hao wanawake kuko familiy haziwezi kuwakubali kwa ajili ya mavazi yao
@josephdaimajuma8282
@josephdaimajuma8282 7 месяцев назад
Safi Sana mwamba
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 9 месяцев назад
Mwanamke ambaye angekubali kuwa na huyu jamaa angekua anachezea kichapo daily. Jamaa yupo serious sana😂😂
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 9 месяцев назад
🤣🤣🤣 hii imeenda
@suzanambatta1126
@suzanambatta1126 9 месяцев назад
Mr. Right yupo sawa kabisa amesema ukweli
@NeemaLwoga-s4c
@NeemaLwoga-s4c 9 месяцев назад
Kwakweli anaonyesha ni mkali sana alafu anazarau sasa Mimi ivi nilivyokuwa jeuri tungewwzana kwelii akwendeeee pumbavu zake kwanza mijitu kamaiyo Ata siipendagi ety dear x anampigia cm anataka kurudi muongo uyo mbaba atakuwa ameachwa na mkewe kwajiri ya tabia zake mfyuuuu😏
@SarahKigogo
@SarahKigogo 3 месяца назад
Kwer kaka
@alexanderjoseph5753
@alexanderjoseph5753 8 месяцев назад
We kaka nimekupenda sana na ukweli wako we ndo best
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 8 месяцев назад
Safi sana kaka umewapa ukweli wamezidi mno kukaaa uchi kwan ukivaa stara ndio hupati mme au waende mbele huko hasaaa huyo dayana na mashauzi yake asubirie wahuni wenzake
@sikitunathing9429
@sikitunathing9429 9 месяцев назад
Umefamua vizuri kuwakosowa, wanava vibaya sana
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 9 месяцев назад
Mr. Right yuko vizur. Amekuja kuwafunza kuvaa vizury
@ziporaa8570
@ziporaa8570 9 месяцев назад
Kabisaa
@manuelraulchimangande
@manuelraulchimangande 9 месяцев назад
Mr right 👍.Dayna na wenzake hawana LOLOTE 😂.Nipo upande wako Mr right 👍 from Mozambique PALMA.
@FranceMsumba-lg2oc
@FranceMsumba-lg2oc 9 месяцев назад
😂😂
@ZachariaYohana-nw3xe
@ZachariaYohana-nw3xe 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂madevu kanikosolea watu jmn but good point
@sikitunathing9429
@sikitunathing9429 9 месяцев назад
Kweli kabisa papa
@williamjoakim304
@williamjoakim304 8 месяцев назад
Palama upo vizuri sana
@zungukessy7127
@zungukessy7127 9 месяцев назад
Upo sawa kk
@sharifu-story4644
@sharifu-story4644 5 месяцев назад
Sasa Dem mwenyewe kope kama mchicha poli anapingana na ukweli😅😅
@BethiGody
@BethiGody 8 месяцев назад
Jamaa kaja kufukisha ujumbe maan vidad apo vimezidi yaan vinazan kuvaa uchi ndio kupata mwanamme 😂😂😂
@aud548
@aud548 9 месяцев назад
Hili jamaa ni liigizaji ...kwani hamjawahi kuliona kwenye tamthilia uko za kibongo😂😂😂😂
@abdibilali4186
@abdibilali4186 9 месяцев назад
Anaitwa madevu
@aud548
@aud548 9 месяцев назад
@@abdibilali4186 hapana
@GracieTyno
@GracieTyno 8 месяцев назад
@@abdibilali4186Sio madevu huyo umemfananisha
@BenaPerfect
@BenaPerfect 9 месяцев назад
Mr Right amekula hela yangu 😊😊😊😊😊
@fredmashauri210
@fredmashauri210 9 месяцев назад
Kiufupi Mr right ni real men hasimp kama wenigne nameongea fact Beta male hawatamuelewa kabisaa ila mabinti ukwelii wanaujuwa jaamaa ni real men
@perfectwildtrips3396
@perfectwildtrips3396 8 месяцев назад
Yaani tumefikia huku😂 Mungu tusaidie
@mariampeter6258
@mariampeter6258 9 месяцев назад
Kabisa wamevaa tu cloptop,,mapaja njeee😂😂😂 alafu unategemea uwe wife material 🤣🤣🤣🤣
@lilianakeya9868
@lilianakeya9868 8 месяцев назад
Imagine 😅😅
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 9 месяцев назад
Katisha Sana Mr right 🤣🤣🤣🤣🤣
@RobsonWisdom
@RobsonWisdom 9 месяцев назад
Huyu yupo kaka mm sipendiii ujinga kwenye seriously issues 😂😂😂😂😂😂you want nimeipendaa iyoooooo
@salomevenance9555
@salomevenance9555 7 месяцев назад
Huyu Mbaba 😢😢😢😢😢jmn katishaaa😂😂😂😂
@IpyanaThomas-ye8pk
@IpyanaThomas-ye8pk 7 месяцев назад
Dayana me nampenda sana ❤
@ZachariaYohana-nw3xe
@ZachariaYohana-nw3xe 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂Mmejutakumleta hapo
@vailethThabith-w1x
@vailethThabith-w1x 8 месяцев назад
Kweli
@thetrends472
@thetrends472 9 месяцев назад
Mmh hivi mwanamke wa kujistiri atakaa hapo anajinadi? na yeye angeijua stara angeenda hapo kutafuta mwanamke? Pipa na mfuniko
@Nailaty564
@Nailaty564 9 месяцев назад
Kaja kuwafunza tu huyo ana mke na watoto
@MwajumShaban
@MwajumShaban 9 месяцев назад
Eliza shog vina kulud kuchagua sana😂😂😂😂😂😂
@joshuapondo3280
@joshuapondo3280 9 месяцев назад
Mabinti wanaringa sana ..Aise uyo dada mweupe ndio usiseme
@JosephDololo
@JosephDololo 8 месяцев назад
Hii ilikuwa 🔥🔥🔥🔥
@ZachariaYohana-nw3xe
@ZachariaYohana-nw3xe 4 месяца назад
😂nikadhan n madevu wa jua kali
@siamnyone8403
@siamnyone8403 7 месяцев назад
😂😂😂😂nimecheka jamaan
@HamidaUlanga
@HamidaUlanga 7 месяцев назад
kaongea point tu
@SashaOscar
@SashaOscar 9 месяцев назад
In short show imevamiwa leo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SharifuHatibu
@SharifuHatibu 3 месяца назад
Mimi mwenyewe sijamuelewa
@eliakalenga367
@eliakalenga367 7 месяцев назад
Panema panema mshenz san et siwez peleka nyumbn mwanamke wa iv bro i know you we all from mwanayamala u like totos balaaa
@seifmohamedi9298
@seifmohamedi9298 9 месяцев назад
Mmwera mmoja hv wa moto
@richbanksmshigati3327
@richbanksmshigati3327 9 месяцев назад
Safi sana master madem ukiwapa ukweli hawataki kbsa
@iamiconboy
@iamiconboy 7 месяцев назад
Dah umepiga penyewe mr right😅😅😅😅
@hajiyussuf-jm2ct
@hajiyussuf-jm2ct 9 месяцев назад
Yaani baba upo sawa ,nimependaaaaa
@stumaisanga9519
@stumaisanga9519 8 месяцев назад
Well said.....😊😊
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 9 месяцев назад
Kweli nyani aoni kundule
@DerickRinwa
@DerickRinwa 9 месяцев назад
Hyu Dayna anafaa kwa matumizi ya kitandan na kuwaoshea washikaji kitaa kuwa dem wako ana kitako na kishep😂😂 ila hafai hta %0 kuwa mke
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 9 месяцев назад
Ila wanaume mnajuaga nani unaoa na nan huoi
@DerickRinwa
@DerickRinwa 9 месяцев назад
@maryamconstantine1230 yes tunajuaga mda wa kudate for show off uzur shep na matako ni kigezo cha kwanza ila wakat wa kutafta mke tabia ndo kigezo cha kwanza.... uzur shape na matako ni kigezo cha mwisho😀😀
@mckingu4004
@mckingu4004 7 месяцев назад
The man is logical 😂😂
@omarsakwa-zs2zy
@omarsakwa-zs2zy 9 месяцев назад
Lulu diva,you're so charming, watching from santorine Greece 🇬🇷
@quanthug9517
@quanthug9517 9 месяцев назад
Are you really from Greece ?
@GiftAbduly
@GiftAbduly 9 месяцев назад
Huja zarauliwa umeambiwa ukweli😂😂 sema mr light alikuja apo kishar shar
@yusuphshitabo9813
@yusuphshitabo9813 7 месяцев назад
Sema mdada kapaniki
@RobsonWisdom
@RobsonWisdom 9 месяцев назад
Saiz wanawake wanajiuza kweupeeeee aweeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂 Haujuiiiiiiii 😂😂😂😂😂
@mziwandamziwanda
@mziwandamziwanda 9 месяцев назад
😂😂😂😂Nakufa
@Helifrola
@Helifrola 8 месяцев назад
Very nice
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 9 месяцев назад
Mjifunze kujistiri😂mana mzee baba kawazalilisha kinoma 😂😂😂
@christineneema3008
@christineneema3008 9 месяцев назад
Mwamba umenifrahisha mno 😂😂😂😂😂
@WinifridaKifunda
@WinifridaKifunda 7 месяцев назад
Kaka amesema ukweriiiiiii , mesej cent
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 7 месяцев назад
Kawa chamba saf sana Wapo uchi
@mwakwelisaid3152
@mwakwelisaid3152 8 месяцев назад
Safi sana mr right
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 8 месяцев назад
Makofi kwa Mr right😂😂😂
@VuwaiVuwai-eb2zy
@VuwaiVuwai-eb2zy 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂 mr right katisha
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 8 месяцев назад
Hiyo ni njia mpya ya kuuza watu bila wao kujua km wanauzwa
@AnthonyEndrick
@AnthonyEndrick 9 месяцев назад
Noma sana uyu mwamba
@khalifa_mkakile
@khalifa_mkakile 8 месяцев назад
Mr right yupo right kabisa
Далее
BSS 2023 SN 14   EPISODE 03 MBEYA
1:10:09
Просмотров 101 тыс.