Тёмный

SNAKE BOY | ep 21 | SEASON TWO 

CLAM VEVO
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 757 тыс.
50% 1

Follow Me On Instagram
/ clamcris_
Tiktok:
/ clam_cris
Facebook:
people/CLAM-...
#Clamvevo #Vevowood #Nollywood #Bongomuvi

Развлечения

Опубликовано:

 

25 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,8 тыс.   
@Chudo_boy_Zombie
@Chudo_boy_Zombie Месяц назад
FROM USA 🇺🇲 ...Timu CLAM VEVO. tujuane kwa like please 🙏 tangu nianze kufatilia MOVIE za CLAM VEVO sijawai kua Wakwanz leo me ndo Wakwanz nawaomba jaman .. like zote za clam ziwekwe hapa pls naomba 🙏 🙏 🙏 🙏
@MaryZawadi-yg4cu
@MaryZawadi-yg4cu Месяц назад
❤❤❤❤❤
@ashuunaysam3623
@ashuunaysam3623 Месяц назад
Ó⁰ó⁰😅
@Gregoire-2006
@Gregoire-2006 Месяц назад
Daaa mwamba umeniwahi🎉🎉
@saburibwalu1654
@saburibwalu1654 Месяц назад
🇺🇸 🔥
@Chudo_boy_Zombie
@Chudo_boy_Zombie Месяц назад
@@Gregoire-2006 😃😃
@paternesonofgod
@paternesonofgod Месяц назад
Love ❤from east africa Burundi 🔥🇧🇮❤🇧🇮🔥🇧🇮munipe like
@amlnaomar9996
@amlnaomar9996 Месяц назад
Ila clam hii movie unaifanya ndefu sana.tuna subiria movie zingine kama big boss kwa hamu.❤❤
@user-oe5ze5uq8m
@user-oe5ze5uq8m Месяц назад
Mwakatobe in the best mwenye ana mukubali mwakatobe naomba like zangu kutoka kongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@abunationclassic4117
@abunationclassic4117 Месяц назад
Jamani tutoeni comments zakujenga wapi anapatia na wapo anakosea hata clam akiangalia anajifunza pia kupitia sisi na sio kuomba like tu .... movie nzuri inaelimisha ndani yake ❤
@mwabajaay4377
@mwabajaay4377 Месяц назад
Hapo umesema kwel,nmefatilia tangu season 1 , Comments zote ni kuomba likes tu, hawapendi kuchokesha akili,ntazi Yuko wapi saii na zinga nguvu alizitoa wapi tena ,kakoso ama ni yupi aligeuzwa mke mpaka saii,mafunzo yamo tele,
@eliyaraphael
@eliyaraphael Месяц назад
HIZI like wanakula au😅😅😅
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад
Kuna episode zimekupita .​@@mwabajaay4377
@EunicekwamboshOngati-cs4bx
@EunicekwamboshOngati-cs4bx Месяц назад
Umesema kweli kaka tumechoka na mambo ya kuomba omba likes kila wakati kweli wanasinya😂😂
@waltergilbert3967
@waltergilbert3967 Месяц назад
yani hawa wajinga wanaoomba likes qananikera mno
@mwankenjatv9330
@mwankenjatv9330 Месяц назад
Kama unaamini wametukosha roho na kuachia sinema ya snake boi mapema like nyingi pleasee❤❤❤
@checheskitstv
@checheskitstv Месяц назад
Follow me please guys 🇺🇬🇺🇬
@AllyRajabu-kk3lo
@AllyRajabu-kk3lo Месяц назад
😮 2:33 2:34
@CesileShabani-yr5hl
@CesileShabani-yr5hl Месяц назад
Who is the bold man and I hate him he is bold and ugly
@ThierryNdarigendere-cp1ms
@ThierryNdarigendere-cp1ms Месяц назад
Nmnn
@MwanamkuuMumbe
@MwanamkuuMumbe Месяц назад
Daa ni bomba kichizi naomba ntanzi usiicheleweshe EP ya 22 ninahamu ya kumjuwa huyo FARASI MWEUPE nawapenda wote in MOVE ❤❤❤❤
@mayeleoscarmayele874
@mayeleoscarmayele874 Месяц назад
Kwa hiyo nyie mmekuja hapa kuomba like na siyo kumpongeza clam kwa kazi aliyofanya wapumb
@IssaMangala
@IssaMangala Месяц назад
Aise uyu chef wa ubwabwa 🤣 penda sana wali mahrage iliyo pikwa na munazi 🙄heeeh kipara umbeya ume ya pandiya Dju ya Muti 😂wanayo taka Mtanzi arudishiwe nguvu zake atupo wengi wakabisa manana wengi Wana ngombaniya like tu sijuwi Wana Pata Nini waki pewa like 😢 🇨🇩from Dubaï 🇦🇪
@user-kn8mg2su7i
@user-kn8mg2su7i Месяц назад
❤❤❤
@Ivyndutaprudence-sq3xm
@Ivyndutaprudence-sq3xm Месяц назад
Everyone watching this just say a word of prayer for me
@vinniechymall9801
@vinniechymall9801 Месяц назад
Mwakatobe ni Star. Hakuna anayemfikia saivi Tanzania Nzima
@OneKeshy
@OneKeshy Месяц назад
Zinga deserves an award,yani venye anaactingi kichizi na nimkali, niukweli watu wengi wakali huwa wanabehave kama machizi hivi hivi tu unadhania mtu ni mwendawazimu anakupiga tukio unashangaa!
@fatehhamis6797
@fatehhamis6797 Месяц назад
Bongo movies huwa co michongo yangu lkn kwa Clam Vevo 🔥🔥🔥
@modex_0376
@modex_0376 Месяц назад
Wa kwanza Leo Kutoka kenya naomba like zenu Tafadhalii
@engineermamuuumeme
@engineermamuuumeme Месяц назад
Mashaallah allah akupe umri mrefu uzidi kutupa burudani Kutoka tanga nawapenda wote
@nyawamtenzi9472
@nyawamtenzi9472 Месяц назад
Mashallah ❤
@ThomasMsemwa-ob9im
@ThomasMsemwa-ob9im Месяц назад
😢😅 haulali bila clam
@mayeleoscarmayele874
@mayeleoscarmayele874 Месяц назад
Kwahiyo nyie hamji kumpongeza clam kwa kazi aliyofanya mnakuja kuomba like wapumbavu sana nyie
@user-kn8mg2su7i
@user-kn8mg2su7i Месяц назад
Umeona eghh
@VincentosodoSaye
@VincentosodoSaye Месяц назад
Wa kwanza leo naomba like zangu kutoka tz🇹🇿🇹🇿
@judithpendo9985
@judithpendo9985 Месяц назад
Km waaamin soon clam atakua hatari like comment please Team strong hoyeeeeeeeeee kw mara ingine tena nawawakilisha nikiwa Riyadh love you guys 🇰🇪🇸🇦💞💞💞💞💞
@Mattutu
@Mattutu Месяц назад
Hello KENYA
@judithpendo9985
@judithpendo9985 Месяц назад
@@Mattutu ❤️❤️yes hello
@Mattutu
@Mattutu Месяц назад
@@judithpendo9985 uko Kenya wap
@user-bz6bl1xo2k
@user-bz6bl1xo2k Месяц назад
Kubababake kwahyo hum ndo sehem ya kuomba like yaan nyote mnao omba like nyote ni mabwabwa kwer yaan badala ya kumpongeza CLAM VEVO Mnaomba ujinga hum like simnge mpa like clam
@PipytidaTv
@PipytidaTv Месяц назад
HAUJAWAHI KUTUANGUSHA #CLAMVEVO THE BEST..! USHAURI WANGU NAKUOMBA TAFAZALI MSAIDIE #LATIFA anaeigiza na Kicheche.. LATIFA UKIMPATA ANAJUA SANA LAKINI HUKO ALIKO ANAPOTEZWA.! CLAMVEVO SOMA HII NA UITENDEE KAZI..! MSAIDIE LATIFA AJE TIMUYAKO.!
@AblahmanJuma
@AblahmanJuma Месяц назад
Kila mtu na kasti yake ratifa anaweza lakini sini za mapenzi na sio uku mwache akae uko uko kwa ki heche Hawa waliokuwa umu no Moto na kwa kicheche Moto ratifa Nani mbele ya Kim vai au mshangazi
@user-lu8jk3pi1q
@user-lu8jk3pi1q Месяц назад
Sikiliza ushauri brooh Latifa anakaza
@kevinatei4892
@kevinatei4892 Месяц назад
Nawapongeza sana kwa kazi mnayofanya..... Kevin Atei kutoka Kenya..... Nowadays episodes are abit longer, heko sana kwa Hilo..... Nipee like please🙏🙏💍💍
@alexmonaria5530
@alexmonaria5530 Месяц назад
Wakwanza leo kutoka bongo kama unamkubali mwakatobe gonga like hapo
@checheskitstv
@checheskitstv Месяц назад
Follow me please guys 🇺🇬🇺🇬
@OliviaWtiness
@OliviaWtiness Месяц назад
Mimi kama mwana imaya nachelewa kuangalia lakn kama mnavyonijua sinaga tabia za umbea mkini like siwezi kutangaza😅😅😅😅😅
@matipasyaname8753
@matipasyaname8753 Месяц назад
ivi izi like munazo kazana kuziomba badala yakutoa maoni juu ya ii move. Uwa munazipeleka wapi au mm ndo sielewi🤔🤔
@priscaagabriely7241
@priscaagabriely7241 Месяц назад
Support😅😅😅😅😅
@SuleimanDilunga28
@SuleimanDilunga28 Месяц назад
Clam asaiv upo vizuri katika kuachia kazi mapema tuu kazi inatoka tofauti na Zaman ulikuwa unachelew sana salute my blood
@JordanAndrew-rr8fq
@JordanAndrew-rr8fq Месяц назад
Tujuane apa timu Clam VEVO Kwa like nyingi nyingi 🙌👊👊💪💪💪
@ThierryNdarigendere-cp1ms
@ThierryNdarigendere-cp1ms Месяц назад
❤❤❤❤
@sarahnjeri-tz8eu
@sarahnjeri-tz8eu Месяц назад
Yaani kipara alifikisha umbea 😂😂😂 mwenye hajafurahia vile Kim amekuwa kipofu gonga like 👍👍👍 Calmvevo sana hongera na wahusika wote ❤❤❤
@ashurakiaga7812
@ashurakiaga7812 Месяц назад
Kwani hizo like Zina kazi Gani jamani au Zina Pesa na mm naombeni nizipate
@Nathanael1Kambale
@Nathanael1Kambale Месяц назад
Léo nime wahiii gonga lake❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@hamidumpande5509
@hamidumpande5509 Месяц назад
Mapema sanaaaaaaa tupo hapa salute kwako vevo kaz nzuri💪💪
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад
Nilichogundua Adui mkubwa zaidi katka huu mchezo ni kipara.
@JOHAREHfilms2023
@JOHAREHfilms2023 Месяц назад
Ila Kim nae ata kama unampenda ntanzi ndo ukulupuke kufanya mambo jmn we ufungue tu vitu vya uchawi bila uoga jmn 😂 Nyieeeee,🙌 sema pole shoga angu Niko na wewe bega Kwa bega mpaka ntanzi akuowe jmn mana umepambana sana😂😂😂😂🙌🚶
@yuzzomanboy
@yuzzomanboy 25 дней назад
😂😂😂😂
@BUSHASHASWITCH
@BUSHASHASWITCH Месяц назад
Mmh from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮💥💥 tunakupenda sana CLAM VEVO
@user-fr4lj7jw9g
@user-fr4lj7jw9g Месяц назад
Oyaaaaa. Mm wakwanza Leo naombeni likes zangu hapa kutoka kenya
@mubaarakellofiy
@mubaarakellofiy Месяц назад
Clam unafeli , Tete mimba yake ishapeya wakati chifu wa himaya ya nyoka siku zake 30 hazijafika 😅😅
@user-dm6qw3qg7p
@user-dm6qw3qg7p Месяц назад
Kweli kabisa
@sajolenox3180
@sajolenox3180 Месяц назад
apo kweli amezingua
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Месяц назад
Kwanza kabisa tumshukuru Mungu kwa kutupa uzima pia kutuwezesha leo hii tunaburudishwa na kazi nzuri ya clam na gang yake#kim kiherehere kimekupa upofu😮 na bado kinasababisha madhara,poleeee
@KomboSaid-fz2ky
@KomboSaid-fz2ky Месяц назад
Unyama sana tunaomkubal vevo togonge like za kutosha
@MichaelElias-jz7io
@MichaelElias-jz7io Месяц назад
Bien joué vrement much love from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nataka like 5tu
@twasckozedon9237
@twasckozedon9237 Месяц назад
Hii kazi inaenda sana sio ya leo wa kesho tupo nayo sana Alienielewa agonge like❤
@Amisi94
@Amisi94 Месяц назад
Wa mwisho leo nipe like Zangu apo tujuane vizuri kuhusu clam Vevo ❤❤❤❤
@jacksonmollel5709
@jacksonmollel5709 Месяц назад
Wakwanza kabisa nawakubali sanaaa,,,naombeni likes zngu wadauu
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 Месяц назад
mwaga makopa ya kutosha twende sawa
@mankamassawe8592
@mankamassawe8592 Месяц назад
Nyie nyie Mungu awalinde daima wote mpo kiasili zaidi na yanafanyika kweli africa nawapenda daima
@zayatuzai6500
@zayatuzai6500 Месяц назад
Hongereni mlio wahi lakin hata mim nimejikubali😅
@bblack.official-sz4tf
@bblack.official-sz4tf Месяц назад
Wakwanza ni nyingi Aya naombeñ ata mm chache from Kenya🙌
@MENGI_MENGI1
@MENGI_MENGI1 Месяц назад
Mimi wa kwanza leo nipeni like tafadhali in Korea mweusi 😅
@marygorethtemu4959
@marygorethtemu4959 Месяц назад
Mtukufu kapitia kwenye wali maharage😂😂😂😂😂
@saumumhina2225
@saumumhina2225 Месяц назад
Huyu mtukufu mwehu sana 😂😂 Abadilishwe jina kwakweli kazi ni wali maharage mpka kuvimbiwa lol
@bestkingofpoetry9882
@bestkingofpoetry9882 Месяц назад
Wa kwanza guys from buja. Naomba likes ata miya
@tiffahdangote7548
@tiffahdangote7548 Месяц назад
Mimba ya Tete imekua haraka sio kama ya maria wa jua Kali!!😂😂😂😂
@paulolupaso8054
@paulolupaso8054 Месяц назад
Daah eti Ya maria wa juakali.. 😂
@MonicaSimon-cl9cw
@MonicaSimon-cl9cw Месяц назад
😂😂😂😂😂
@MaryamKindole-cn7ct
@MaryamKindole-cn7ct Месяц назад
😂😂😂
@salehemcharo
@salehemcharo Месяц назад
😂😂😂😂
@user-zv1sd5bw9k
@user-zv1sd5bw9k Месяц назад
😅😅😅😅😅 ilonalo neno
@user-sb8mg9pz6n
@user-sb8mg9pz6n Месяц назад
Jaman naomba mwiteni Mr mwanya aje ajifunze Kwa kram na silizi yake ya "siku mbaya kazini"
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 Месяц назад
😂😂😂😂😂Kwakweli aitwe
@user-pg6jr7kp2w
@user-pg6jr7kp2w Месяц назад
Wagapi wanapenda hii nyimbo kwa snake boy 😂😂😂
@IvanoHeritier-eq9pj
@IvanoHeritier-eq9pj Месяц назад
Wa kwanza from Burundi Like zng🙏🙏🙏🙏🙏
@MangobabyApollo
@MangobabyApollo Месяц назад
Wow kazi nzuri like hata 10 basi nimewahi darasa leo
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg Месяц назад
Mtukufu bangi sana😂😂😂😂😂😂😂😂
@ApostleMartin-bq3ov
@ApostleMartin-bq3ov Месяц назад
Uku kila mtu n wakwnza ata nami nomba likes zangu...natazama nikiwa kenya
@YannickBaraka
@YannickBaraka Месяц назад
Wakwanza from DRC 🇨🇩 Clam ♥️♥️♥️♥️♥️
@moulynnyaboke-sh9vj
@moulynnyaboke-sh9vj Месяц назад
Wa mwisho kutoka 254 naomba hata mbili
@RashidHassan-gi5pe
@RashidHassan-gi5pe Месяц назад
Heshima yako Boss clam umewekeza sio kitoto 🙌
@brantongitel1334
@brantongitel1334 Месяц назад
Nmewatch since we started clam vevo ,like yangu kenya
@DIRECTORJOHN435
@DIRECTORJOHN435 Месяц назад
Nimefika tena namba mbili nahomba like kwaleo N🎉aandika vizuri nahomba timu Kim tujuane apa
@DERIZOBOY
@DERIZOBOY Месяц назад
Very nice 😂😂🎉🎉🎉
@Everyone558
@Everyone558 Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉tunakubali
@FORCEFBFERDAY
@FORCEFBFERDAY Месяц назад
❤😂😂😂😂😂😂😂😂
@WanguLove
@WanguLove Месяц назад
❤❤❤❤❤😊😊
@DIRECTORJOHN435
@DIRECTORJOHN435 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@acrazo3721
@acrazo3721 Месяц назад
Wakwanza wote mupewe maua yenu kumbe ni kaz kuwa wa keanza😂
@emmanuel-jl5td
@emmanuel-jl5td Месяц назад
Sijue kwanini wanaimaya hamu adibishe kipara, kiukwele kipara mimi nimemuchoka
@Prince23404
@Prince23404 Месяц назад
Story inazidi kuwa tamu 😊
@bmpiscoboy5674
@bmpiscoboy5674 Месяц назад
Nipe mauwa yangu mimi ni shabiki toka Congo 🇨🇩
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq Месяц назад
Huu mchezo hauna faida km kipara hatouliwa na pia me nime hic K2 huenda zumba ndo kam'baka kim😢😢
@zomasamweli
@zomasamweli Месяц назад
Hata nahc hivyo juu ya Kim
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq Месяц назад
@@zomasamweli bg up
@user-dm6qw3qg7p
@user-dm6qw3qg7p Месяц назад
Itakuw maan anaupwiru wa mda mrefu
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq Месяц назад
@@user-dm6qw3qg7p 🤣🤣🤣Toto jinga sana ww
@DianaJacob-on4rq
@DianaJacob-on4rq Месяц назад
😅😅😅😅 bhana mi nimewamiss wale vikaragosi wa nziga season one wakipita kwenye nyumba kukagua wanaingia kama upepo😅😂😂😂
@user-chaliboy
@user-chaliboy Месяц назад
Timu clam vevo oyeeeee
@JumaEmmanueliy
@JumaEmmanueliy Месяц назад
Jamani me wapili leo nipeni likes zangu❤❤❤
@user-nz3du9mh3j
@user-nz3du9mh3j Месяц назад
Wanao mkubali clam vevo nipe like zangu ❤❤❤
@user-oe4eq6xo9d
@user-oe4eq6xo9d Месяц назад
I love this video just like I love this movie so much like sa clam vevo
@fiesta707
@fiesta707 Месяц назад
Wakwanza from Burundi naombeni likes zangu.
@melkizedeckmeckmapesatz471
@melkizedeckmeckmapesatz471 Месяц назад
LEO NIMEKUWA WA KWANZA ALOOO PIGA LIKE APA 😂😂😂😂🫴
@sarahrashidabdallah3109
@sarahrashidabdallah3109 Месяц назад
😅😅😅
@LilmmyCrazyfficial
@LilmmyCrazyfficial Месяц назад
Wa Kwanza Mimi Leo ❤❤❤😂😂😂
@yozeeekithuki-yw6td
@yozeeekithuki-yw6td Месяц назад
Ni venye sikuwa rada
@HabonimanaEmmanuel-er1eg
@HabonimanaEmmanuel-er1eg Месяц назад
Kazi ni nzuri sana mimi kama mfuatiliaji wa season hii ningependa kuwapongeza kwa kazi hii
@Tabiatz
@Tabiatz Месяц назад
Kazi nzuri Sana napenda kumuona mtukufu namkewe kurusum ❤❤nawapenda sanaa
@KiweEmmanuel-ot9zg
@KiweEmmanuel-ot9zg Месяц назад
C aki walai mko n haraka aya bac wa mwisho msininyime like frome Kenya 😢
@technicallytips255
@technicallytips255 Месяц назад
leo wa kwanza ✊🏾✊🏾✊🏾❤❤❤ guys mnipe hongela zangu kwa likes tu
@mariethajoseph6538
@mariethajoseph6538 Месяц назад
Ukweli tuseme sasa hvi@CLAM VEVO yuko vizur kwanz kitu kinakuja kwa wakat afu pia ni 🔥🔥🔥 ani tangu ep ianzee hongera kwen nyote washiriki mmeweza
@user-lo6sy9zz2f
@user-lo6sy9zz2f Месяц назад
Apo zumba ndo amembaka Kim alafu akaenda zake kuoga 😂😂Ila hyo Kipara umbea nikaz ndo hawez kuacha ju a nalipwa kuku 😂😂😂love ❤❤from Kenya
@user-qr8zn8uk5c
@user-qr8zn8uk5c Месяц назад
Wa kwanza clam mimi from Rwanda nakuamini
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 Месяц назад
Duu jaman watu wanawah😂😂 nilijua mimi ndowakwanza
@Melvy-kb3lc
@Melvy-kb3lc Месяц назад
Much love from 🇰🇪 watching from 🇸🇦 congratulations 🥳 kwa kazi nzuri 💜❤️‍🔥❤️‍🔥
@nickluca1512
@nickluca1512 Месяц назад
Mwakatobe ananogeshaa sanaa muviii❤❤😅😅
@SummaiyaKassim-zv5nt
@SummaiyaKassim-zv5nt Месяц назад
Mwasi ww ni jasiri. Clam hongera kwa kazi nzuri
@FibiDeus-no5tm
@FibiDeus-no5tm Месяц назад
Na mm nmewai jaman naombeni like zangu
@SammyNjorogeVisionary
@SammyNjorogeVisionary Месяц назад
PALE AMBAPO MLIKOSEA ni kuonyesha kuwa chifu wa himaya ya nyoka hajamaliza siku 30 ilhali msichana aliye na mimba ya zinga inakuwa kwa haraka, haya hayaonyeshi muingiliano wa mambo
@DianaNelson-zz8ol
@DianaNelson-zz8ol Месяц назад
Mimba ya ndete inakua haraka Kwakua ni ya kichawi
@Henryvegan96
@Henryvegan96 27 дней назад
Kuna utofauti pia kati ya siku za kishilikina na siku zetu za kibinaadam at some point... Ila hongera kwa kuwa na jicho la kitaalam maan si rahis kwa mtazamaj wa kawaid kujua hiv vitu
@ShadiaHassani
@ShadiaHassani Месяц назад
Wanaweza mpk Sy pw ❤❤❤❤
@AlphonceMsuya-qi8dw
@AlphonceMsuya-qi8dw Месяц назад
Kaz nzuri
@sultancornel7897
@sultancornel7897 Месяц назад
Nyie watu, hadi hamwezi acha niwe wa kwanza japo siku moja 😂😂
@user-rr4sq6mu8g
@user-rr4sq6mu8g Месяц назад
Nimechelewa kidogo wa 10 jmn naombeni like zangu jmn ❤❤❤❤😂😂😂
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 Месяц назад
Wangapi wanaamini mtufu amekuja kuuwa kabisaaaaa😊😊🤣🤣🤣🤣
@OmaryNyagary-dp1xn
@OmaryNyagary-dp1xn Месяц назад
Nipewe mauwa yang leo mm ni namba 1
@MwanahamisSeifu
@MwanahamisSeifu Месяц назад
Kwa mala ya kwanza Leo nimewai team vevo tuenjoy na snake boy😘😘sio kila siku kuomba like
@Daniel_kimambo
@Daniel_kimambo Месяц назад
Yaanimie nimeipenda hili lingoma linalopigwa Hadi nasikia raha
@user-uh6ux5ei6l
@user-uh6ux5ei6l Месяц назад
From zenj❤❤❤kaz nzuri🎉🎉
@OFFICIAL_YUSO
@OFFICIAL_YUSO Месяц назад
Best series in East Africa support from Clam 🎉🎉🎉 never lost time to watch this film
@Rohosaficarefoundation
@Rohosaficarefoundation Месяц назад
Nice . WA kwanza naomba likes zangu
@dimpohzbekah-co5vh
@dimpohzbekah-co5vh Месяц назад
Naomba namba ya mwasi😂😂😂nataka kumuoa
@kassimkundi8963
@kassimkundi8963 Месяц назад
Wakawza naombeni like zangu
@Ridhiwani617
@Ridhiwani617 Месяц назад
Zinakusaidia nn hizo like kama sio ujinga
Далее
SNAKE BOY | ep 22 | SEASON TWO
46:12
Просмотров 877 тыс.
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
ГРАБИТЕЛЬ ИСПУГАЛСЯ МАМЫ
00:37
Просмотров 83 тыс.
КРУТОЙ ФОКУС С ШАРАМИ
00:35
Просмотров 313 тыс.
SNAKE BOY | ep 20 | SEASON TWO
30:18
Просмотров 674 тыс.
PLAN B _ Episode 3
35:19
Просмотров 99 тыс.
SNAKE BOY | ep 23 | SEASON TWO
50:01
Просмотров 776 тыс.
MTOTO WAKICHAWI
8:02
Просмотров 1,2 млн
PILIPILI (Ep 01)
13:02
Просмотров 247 тыс.
SHETANI |Ep 1|
23:30
Просмотров 265 тыс.
SNAKE BOY | ep 26 | SEASON TWO
35:19
Просмотров 571 тыс.
Попрошайка на BMW😅 #shorts
0:42
Просмотров 2,1 млн
Magician turns his Hair into Animal 😳
0:37
Просмотров 14 млн