Semaji lakafu nakukubali sana Naomba upambane sana kukusanya wanachama wengi tupate Ela tumarizie uwanja wetu tuwe nasisi tunacheza kwenye uwanja wetu kila michuano.
Mambo vipi msemaji letu la kavu ahmed ali vpi kuhusu faisal mtoto anatua simba au ndo hivyo tena azam wanatia ugumu fulani hivi ebu nipe majibu hapo nijue halafu vipi beki beki beki beki lameck lawi wanasemaje wana coastal wanatia ugumu fulani hivi