Тёмный
No video :(

SPIKA amfungisha vilago MPINA afungiwa VIKAO 15 vya Bunge, Wabunge washangilia 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 151   
@SHIJAFELICIAN
@SHIJAFELICIAN Месяц назад
Bunge mpaka uwe wa kupiga makofi tu Ndiyo uwe bora ukiwa msema Kweli unaoneka adui hongera sana Mh mpina nchi yetu bunge hi dhaifu sana
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku Месяц назад
Kwakweli kidole kimoja hakivunji chawa pole mpina
@sirialemmy37
@sirialemmy37 Месяц назад
Hoja yako imeniumiza. Umeongea kutoka kwa moyo!
@amosmerama3680
@amosmerama3680 Месяц назад
Bunge za Africa ikiwemo tz, SPika anataka kuwa mungu, mpina is my hero
@yusufujemson9020
@yusufujemson9020 Месяц назад
Bunge lakifisadi sana wananchi wanateseka kazi kusema ndiyo tu mpina ni makini sana
@JumaDea
@JumaDea Месяц назад
Mbunge wangu ni mpina.
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Месяц назад
Mpina ni mtu na nusu,Mungu atamlipia sio lazima malipo yatoke kwa wanadamu
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f Месяц назад
Wabungu wa ccm jiandae kulima nyanya mwaka unaokuja.maana mnajiona mupo pekeyeni Kila kitu ndioo.sasa subilini zamu yenu.kama Amuna mashamba bas andae kukodi.ila baazi yenu wengi.mwaka ujao amtoludi bungeni.mungu awe pamoja na mpina amina.madalaka yanamwisho wake.amepta faralo sembuse nyinyi
@dicksonlusinde2830
@dicksonlusinde2830 Месяц назад
Mpinaaaa hongera na unatyfanyia kazu zur sana
@onessytiganga4722
@onessytiganga4722 Месяц назад
Waendelee kujinasibu kinafiki mpina alijua atapigwa pini akawapiga goli la mapema
@evodirudo4813
@evodirudo4813 Месяц назад
Nikweli kabisa jamaa anajuwa vizuri ccm kwahyo skujuwa spika angeficha hoja za mpina ndiyo maana unaona alisema mapema kwenye Media Ukumbuke Ndugai aliwahi kusema ukweli akafanyiwa yale
@MsafiriKadege
@MsafiriKadege Месяц назад
Daaah naumia sana yani kwasababu viongozi wanaotupigania ndo wabaya mbele ya viongozi wote mliochangIa kukandamiza mpina nimewasikoliza kwa umakini hakuna cha sheria wala nn ni chuki tu walizonazo juu ya bro mpina
@doellatv6807
@doellatv6807 Месяц назад
Bunge la kipumbavu kabisa
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Месяц назад
Hongera Mpina
@user-ry4kx9hg7o
@user-ry4kx9hg7o Месяц назад
Ee kweli hatuna bunge Tanzania, lakini nipo siku utakondoka tu.
@awadhally1052
@awadhally1052 Месяц назад
Ipo siku yao hawa nguruwe yani mtu kataja wez wa sukar ana fungiwa na wezi wanaachwa salama daaaaaa
@SELEMANIFADHILIKOMBA
@SELEMANIFADHILIKOMBA Месяц назад
Bunge limekuwa kama shule ya msingi
@musakihama7205
@musakihama7205 Месяц назад
Nilikuheshimu sana tulia,lakini kwa hili,siwezi kukutukana tu,.
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 Месяц назад
Kwa Hali hii tuwe tyr kuuzwa maana duuh
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Месяц назад
WANANCHI TUKO NA MPINA FOREVER......THE HERO.
@AloisMosha-uv2fu
@AloisMosha-uv2fu Месяц назад
Mpina oyeeeeee
@ibrahimfassa1075
@ibrahimfassa1075 Месяц назад
Spika tumeona umemwajibisha mpina sawa umeshinda , lakini kama n mzalendo nawewe tunataka tuone sasa unafanyia kazi ripoti ya mpina tuone majibu yako tukujue kama upendi ufisadi au ni kama ndugai tu nawewe mana mh sita ndo aliliweza bunge hilo lkini wote nyie mnaficha mambo sana sasa sjui kam mh rais ndo mwendo wake nayeye au raha ngoja tuone ripoti hyo ikifanyiwa kazi
@onessytiganga4722
@onessytiganga4722 Месяц назад
Tz mkweli ni msariti na maoni ya Bunge ni mkakati juu ya muhusika
@anosiata8242
@anosiata8242 Месяц назад
Mbunge anajielewa mpina . Ndiye anajua kitu gani kilimupeleka bungeni.
@ukumbushoadam5691
@ukumbushoadam5691 Месяц назад
Mwenye namba ya Mpinaa naomba Nimpe hata mkono wa shukrani kwa kuwa mzalendo
@user-fl8jf5zn9j
@user-fl8jf5zn9j Месяц назад
Tz. Nchi ya ajabu sana!!!!! ila kauli ni moja tu, ONE LOVE mh.MPINA. NEVER GIVE UP.
@eliakisinga5360
@eliakisinga5360 Месяц назад
Utafikili watoto
@frankkway5283
@frankkway5283 Месяц назад
Mpina ni champion kwa wananchi, huo ni uonevu tu
@elimikasasa643
@elimikasasa643 Месяц назад
Mpina nakushauri utulie tu, pole
@robertigohe7477
@robertigohe7477 Месяц назад
Hakika ni vigumu mtu mkweli kukubalika,hata wabunge kufikia kushangilia!!!
@user-ep2cm5xo3k
@user-ep2cm5xo3k Месяц назад
Mambo ya upuus kabisa hakuna haki.
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk Месяц назад
HONGERA MPINA WANASHANGILIA UGALI WATATUKUTA SI MWAKANI TU HAPO NA SISI TUTAWAZOMEA
@castorymhoja6050
@castorymhoja6050 Месяц назад
Yafanyeni TU ipo siku mtaangukia pua niliipenda Sana ccm Ila ilishanitoa jiani poleni Sana hizo ndiyo mtakuja kujutia.
@user-ez7lk3it5s
@user-ez7lk3it5s Месяц назад
Kumbe.nawao.hawapendani.mungu.wangu.inusuru.taifa.retu
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k Месяц назад
Hakuna bunge la oviyo Kama hiri tangu tuppate uhuru ccm ukisema ukweri unachukiwa
@ukumbushoadam5691
@ukumbushoadam5691 Месяц назад
Mpina ni Mwamba Hodari
@bakarimkwizu4335
@bakarimkwizu4335 Месяц назад
Mpina acha kusikiliza mishabiki mijinga utajipoteza
@kingndinyo9764
@kingndinyo9764 Месяц назад
Mpina gombania uraisi unakula mitaani huku kwa sisiwalala hoi hao kila kitu wanapiga makofi2 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 Месяц назад
Aliye wajibishwa ni Mpina mmoja wa Bungeni. Bado kuna Mpina Wengi huku Mitaani. Wakati wabunge wanamyooshea kidole Mh Mpina. Wananchi wanakosa huduma Kwa Mgomo wa Wafanyabiashara na hakuna Mbuge aliyeguswa na hilo Kama ni Jambo la Dharula lijadiliwe Bungeni.
@awadhally1052
@awadhally1052 Месяц назад
Kwel kabisaa
@user-dq1ss2uq6u
@user-dq1ss2uq6u Месяц назад
Hatukubali mambo yanayoendelea bungen kwel tatizo wote ni ccm au
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Mnatetea kisa msomali 😅 mafisadi. Hawataki kukosolewa
@awadhally1052
@awadhally1052 Месяц назад
Yaan msomali kaibaa lkn anafungiwa mpinaa
@imanimahundi8293
@imanimahundi8293 Месяц назад
Speaker kawasikiliza mashabiki,angali yeye ni refa. Nilitegemea yeye utashi wake.sote niwatanzania
@evodirudo4813
@evodirudo4813 Месяц назад
Makonda alisema mtandao wa mafisadi ni mkubwa na wanaumoja Sana ukimgusa mmoja waooo.. Sie kama wananchi tupo pamoja sana kiongoz mzalendo wetu mpina, Mungu akulinde
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Месяц назад
MIMI NASHANGAA SANA MTU MKWELI HAKUBALIKI HII NI AJABU KABISA. NA NDIO MAANA WAAFRIKA TUNADANGANYWA KWAMBA YESU NI MZUNGU NA SISI TUNAKUBALI TU! AFRICA IS A WONDERFUL CONTINENT.
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 Месяц назад
Wazee WA ndio lazima Waseem ndioooo hawana uzalendo😅
@user-fx3xj3on5j
@user-fx3xj3on5j Месяц назад
Mwabukusi ulisema mpina kwa jinsi alivyoonyesha uzalendo, wakimfukuza Bunge , sisi tusimame naye kumlipa muda wote akitumikia azabu. Tunakuomba maelekezo.
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Месяц назад
Mpina yy siyo chawa na hataki kuyumba yumba ananyooka tu ndo maana anachukiwa
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 Месяц назад
Do we actually need a Bunge? Lililojaa wapumbafu kama hawa? Eti ni Drs????? Phd hizo walipataje? KWa kukulana???????
@justusngonyani165
@justusngonyani165 Месяц назад
Mpina ameadhibiwa kwa ukweli.Nchi imeadhibiwa kwa kupigwa kwake Mpina.Mungu pekee ndiyo wa milele.Wananchi ni bora kumwombea Mpina kuliko kuliombea bunge.
@user-ok6lv3je4b
@user-ok6lv3je4b Месяц назад
Watu wangu wameangamia kwa kukosa maharifa
@PetroSewando-wu9jz
@PetroSewando-wu9jz Месяц назад
Huko mmejaa unafiki kikubwa ni kusubir muda ufike
@MsafiriKadege
@MsafiriKadege Месяц назад
Spika wetu Arushadi shule hakuna anachojua kabisa
@user-xh7kh5xd6o
@user-xh7kh5xd6o Месяц назад
Ushenzi huu
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Месяц назад
Kuna haja ya kutokuwa na bunge moja. Mkoa unapaswa kuwa na bunge lake. Ili uwakililishe uadilifu wa mkoa pia. Pia Shinyanga hatuna wabunge. Mbuge wetu mpendwa mmemtoa bungeani alipaswa kubaki kwenye bunge la mkoa.. ili muendeleee na bunge lenu huko Dodoma.. la kutete hoja zenu mnazopenda kusikia
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 Месяц назад
Ila mpina bado ni mtetezi wa wanyonge. Basi TU kwakuwa Kila mmoja anataka apigiwe makofi ya hongera hata kama anaharibu.
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 Месяц назад
Bashe nadhani moyoni anaumia sana Kwa kilichotokea maana hakutegemea
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 Месяц назад
Dah November mbona mda mrefu hivo champion mpina usife moyo
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk Месяц назад
Waziri mstaafu huyo.. Anafanyiwa hivyo he weee usiyekuwa hats na ubaloxi Wa nyumba kumi
@MsafiriKadege
@MsafiriKadege Месяц назад
Bunge letu halina maarifa kabisa yani ukipiga makofi ndo una maarifa brother nenda kapumzike tutarudi na ushahidi wa kutosha sheria zenu hizo mlizotunga katika vitabu vyenu ni hakuna kitu kabisa yani
@jonasimwanzi
@jonasimwanzi 10 дней назад
Kuna kitu kinacho endelea kwa awa viongizi maaana sikuisi awaelewani mh tz amukeni kweli jamani et mtu kama spika munamchaguwa tena kwa mateso aya
@frbm1729
@frbm1729 Месяц назад
Mpina is a Hero
@helentelemla5623
@helentelemla5623 Месяц назад
Najiulza kama kuna watu waliiba kwenye riport ya CAG na bunge halijatoa adhabu hata moja.Je ni kweli kabisaa kuwa mpina ndio ana makosa kuliko wengine?Wapambanaji hawachoki atarudi
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk Месяц назад
Hivi uspika ndio huu.. Mbona hata Mimi siutaki
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Месяц назад
Hili bunge tungelipeleka Kenya ili wapewe kichapo kwanza ndo watakuwa na akili timamu.
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Mh Tulia Umeamua kumtimua mpina OK tunaomba ulifanyie uchunguzi kuhusu Taarifa za Bashe.
@allanmtuwa7471
@allanmtuwa7471 Месяц назад
NI wkt sàsa wa kuwaajibisha wabunge wachumia tumbo wasiowajali wananchi waliowapeleka pale mjengoni. Wake up Tz
@yusufujemson9020
@yusufujemson9020 Месяц назад
Hapo wanasubiri uchaguzi waje waanze kuiba kura
@user-oc1jm5zn6g
@user-oc1jm5zn6g Месяц назад
Sipika unazingua mnoo.siioni PHD yako
@ibrahmatage
@ibrahmatage Месяц назад
Utaiona wapi kama Spika huijui unajua Sipika
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂​@@ibrahmatage
@lucianakweyunga8187
@lucianakweyunga8187 Месяц назад
Nawashangaa mnao shangaa
@frankmosha8069
@frankmosha8069 Месяц назад
Ameonewa kwani alitoa hoja nzuri na yenye mashiko lakini kamati ya maadili ya bunge la jamuhuri ya muungano wa TANZANIA na baadhi ya wabunge wachache wameamua kusema mpina atolewe nnje siyo haki mpina akate rufaa
@doellatv6807
@doellatv6807 Месяц назад
Mnatisha watu sana
@user-nm7hl5iw5n
@user-nm7hl5iw5n Месяц назад
Kaonewaa sanaa
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 Месяц назад
Adhabu kubwa sana hii
@andreandula4755
@andreandula4755 Месяц назад
Hiv yule aliyesema Bunge hili Zaifu Alikosea nn
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 Месяц назад
Bunge la Tanzania siyo bunge kk unaloweza kumsaidia mtanzania
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Месяц назад
Ndoa zInakosa uaminifu sembeuse mkusanyiko. Tunataka jaji sio spiker. Na sheria za mbunge zinatakiwa mabadiliko. Nizazuia maendelea na shkutuma
@topesafi9742
@topesafi9742 Месяц назад
Mpina ni wa ccm au wa upinzani? Mbona kama sielewi.
@user-tc9vi3ow3n
@user-tc9vi3ow3n Месяц назад
Tatizo serikali ya ccm unatakiwa usiwe mkweli,pr,asadi leo yupo wapi,leo mpina,bunge ni dhaif sana
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 Месяц назад
Nitaweka cherehe siku Ccm ikianguja😢
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 Месяц назад
Mimi napita tu
@sundaydaudi7541
@sundaydaudi7541 Месяц назад
kuadabisha wenzenu tu kutetea kero za wananchi wala
@GasperSteven-ob2pz
@GasperSteven-ob2pz Месяц назад
Mbona hamjaongelea makampuni yaliopigaaaa Dili ? Mnatuelezea juu juuuu vp Kodi zilizokwepa mpina Alison ziongea na wafanya biashara wakubwaaaaa
@sallyshakusally3592
@sallyshakusally3592 Месяц назад
Sasa angechaguliwa mwingine ili wananchi waendelee kupata uwakilishi
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Месяц назад
Tuwaombee wabunge wote bira kuwabagua ili waheshimiane na wajenge nyumba moja siyo kwa hila na chuki.
@alexkatama4341
@alexkatama4341 Месяц назад
Mh. Mpina huu ni muda wa kuwa karibu na wapiga kura wako mpange mipango kusaidia jimbo lenu
@francisjohanes3027
@francisjohanes3027 Месяц назад
Binafsi huyu spika hapana ameshiriki kwa asilimia mia kuuza bandari lei tunashuhudia haya ya sukari na Mpina ila kun siku Mungu atajibu
@ChristopherGrevas-gl6xy
@ChristopherGrevas-gl6xy Месяц назад
ninacho Amini mpina anasakamwa si kwa hoja hiyo na watanzania wengi hawafahamu ni kuwa mpina anasakamwa kwa sababu alisema kifo cha makufuri kichunguzwe,na kutoka hapo kikosi cha mauaji ya raisi wetu kilianza mkakati ya kumumaliza makufuri,na kwakuwa wamesha jieneza kwenye mamlaka na hivyo ndiyo mana hayo yanatokea,lakini mungu yupo na atatuvusha kwenye mzingo mzito huu wa wahuni wachache zindi ya nchi yetu
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 Месяц назад
Sasa posho za vikao ataendelea kupokea au inakuaje hapo, msaada kidogo.
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 Месяц назад
Haawa ndio kazi tulio watuma
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Месяц назад
BUNGE LINAHITAJI TUKIOMBEE SANA ILI WABUNGE WAMJUE MUNGU NA KUACHA CHUKI, JAZIBA NA WIVU, BUNGE LETU LIKO KISHABIKI SANA BADALA YA KUWA BUNGE LA MASLAHI KWA TAIFA.
@VitalisMmassi-oh4jb
@VitalisMmassi-oh4jb Месяц назад
Bunge la ajabu sana
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Месяц назад
Mpina ameshaonekana shujaa hadi dakika hii ,tatzo la Tz ukiwa mkweli ,mfatiliaji bas wewe ni mbaya
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Месяц назад
Anaitwa Hon .Luhaga Mpina a.k.a 47 ,simama katk kile unachoamini,hata kama wengi hawako nawe
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 Месяц назад
Nyie pigeni makofi tuu safari hii sisi watanzania tushawajua nyie vilaza mpina wewe ni shujaaa wetu sio hao viraza
@romanambelle6356
@romanambelle6356 Месяц назад
Hadi inatisha
@zunyagapeter4647
@zunyagapeter4647 Месяц назад
Hakuna kitu hapo mm Niko na mpina mpk kufa
@reahwillisonmwasenga7805
@reahwillisonmwasenga7805 Месяц назад
Aisee mungu anawaona kwa hili
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp Месяц назад
Wananchi wa jimbo lake nao wameadhibiwa kwa kukosa uwakilishi. Duh
@hamisathuman9762
@hamisathuman9762 Месяц назад
MPina pumbavu kweli 😂😂😂😂
@mmassfashion963
@mmassfashion963 Месяц назад
mpumbavu kivp alisema alichokuwa anakijuwa na kukiamini
@kwisa4899
@kwisa4899 Месяц назад
kwanini ?
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Месяц назад
Bashe naona kababaika
@elishadodi8787
@elishadodi8787 Месяц назад
Kumfungia mwakilishi wa wananchi, mnamuadhibu mtu au mnaadhibu aliowawakilisha? Hii nchi, waovu ndiyo wanaotetewa na wema na wanaotetea wananchi ndiyo wanaokaangwa.
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 Месяц назад
Kaka Mpina rudi jimboni upige kazi kisawa sawa sisi Watanzania ndivyo tulivyo chuki choyo na kupenda kuabudiwa ndio asili yetu Mungu yupo nawe corrupt na mabwanyenye ni wengi
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Месяц назад
Waliochangia karibu wote darasa la saba ndiyo nikashangaa why?
Далее