@@nicholausmbilinyi3587 Uhakika sana mwanangu Jana Amesimama TU katuacha Mbavu Balaa Ila jamaa Anaweza kinoma Kwa Jana hakuna Aliye pata Usingizi hata kidogo tulitamani Hadi majogooo Aisee Cheka TU ni Nzur mno inaondoa au kupunguza STRESS
Ndo tulivyo hatuwez kusapot vya kwetu yan wewe tu ndo unaonekana mchawi na roho mbaya nakushauri kavue nguo ubungo ili uwe maarufu maana unaona wenzako wanafaidi au inawezekana steve anakupigia dem wako na hio ni kweli we kuna mtu akaitwa komba