🎶🎶🎶🎤🎤 Jeuri ya nini wewe?? Hukujiumba umeumbwa.... Umezidi wewe?? Kiburi chako ni bure... Mlango wa Mungu uko wazi.... Riziki napata mimi.... Nina ruzukiwa mimi.... Mungu amenistiri 🎶🎶🎶 🎤🎤
This song reminds me of my late wife who died five years ago, she would dance it in all weddings singing her heart out, beutiful song with meaningful words.
nilififika nyumbani Dar es Salaam mwaka 2016 but nilikua na masikitiko sana kwani nikakuta msiba wa bibi shakila mungu amrehemu amlaze pema peponi yeye na wote waliotutangulia Amine sikua na muda mwingi huko but never mind ishallah tutawatembelea tena dada zetu wapenzi
Ukimsikiliza Sabah salum, nenda kamsikilize nasma hamisi kidogo, Rudi umsikilize mwanahawa Ally, tulia kwa Khadija kopa, Kisha Anza safar kuelekea kwa issa matona, utakubaliana na Mimi kua Hawa ndio wenye taarab yao wengine watafute tu hela taarab zilikua hizi hakuna jasho Wala kujambajamba hovyo,,,, mashaallah mliitendea haki taarab
Sabah Salum ana sauti ya kutoa nyoka pangoni. Hutupatia tumaini kwa maisha hata kama binadamu hukazia usi , wenzao. Mashaallah!!Dr. Ogeto International
Taji hulivui hili lisha pasi,sijipe uchungu choyo hakifai, na chuki binafsi wewe mlimwengu, ukiufunga wa kwako mlango,juwa wa Mungu ukowazi saddddakta bibi Sabah unajipa kazi hutoiondosha kudra ya Mungu, haya huyawezi wajihangaisha yawache majungu sote tunakadiriwa na Mungu hatujitoshi na kitu
husikii tusi mwanzo wa wimbo mpk mwisho, anakupa ushauri na kukuonya ili ujue nafasi yako km mwanadamu, halafu anakwambia hana wasiwasi madam yuko hai mungu yu pamoja nae. Sasa sikiliza nyimbo za sikuhizi , ujumbe wa ngonongono tuuu... nyambafu kbs. congrats MAMA YETU SABAH SALUM
Yaaani hii nyimbo ni favourite yangu bt sikuwa najua imeibwa na nani wala yaitwaje...nipataaabu..mbaki leo nime type riziki hutoe wewe ndio nikaipata ....am enjoying it.......
Usijipe ujabari kuvaa joho la Mungu, haufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu,tuendako ni shubiri,mwana ndani letu fungu, Joho la mwanyezimungu,mja likufae wapi?
madhali nihai sina wasi wasi kwa riziki yangu kwa mola illahi nina langu fungu, taji hunivui hili lishapassi ewe mlimwengu ukiufunga wa kwako mlango juwa wa Mungu uwazi, nalijua wazi lilokukondesha ni bahati yangu, hayo huyawezi wajihangaisha yawache majungu, sote wakukadiriwa na mungu hatujitoshi kwa kitu, saddddakta bi sabah lovely usijipe ujabari kuvaa joho la mungu atowae ni kahari kwa matamu na machungu haufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu tuendako nishubiri mwana ndani letu fungu, joho la mwenyezi mungu mja likufae wapi heko ndugu mtanzania maneno ni saddaqta
As pertains my comments on her is that :Nyimbo hino hunidara moyo vyema na vizuri sanaaaa , actually she unleashed her God given potential (talent) well.....I look behind for her inspiration to unleash my God given talent in another area. Kudos Mama......
Aufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu Tuendapo ni shubir mwandani letu fungu Joho la Mwenyezi Mungu mja likufae wapi Oohh joho la Mwenyezi Mungu mja likufae wapi
Nami,. Namependa,;. Music; ,. Yako,. Dada;,. Niko mbali ama uko mbali yeye,'!. Walakini nitakuja,. Tanzania na utaniibia:;. Mungu mwenyenzi atupe imani.,. Thanks.