Metal Combat asante sana. Huu wimbo wakati nipo mdogo mama zangu wadogo walikuwa wakiupenda sana. Nikaupenda toka wakati huo. Juzijuzi nilipousikia nikaufuatilia nikaupata hapa. Cha ajabu naona muimbaji sio wa miaka ile. Kumbe ni Culture!! Kautendea haki
🎼🎧🎤🎼📢nimemuamini ni wangu mlezi anaenilea,wangu wa moyoni tena namuenzi namnyenyekea,nakula yamini pendo sigeuzi nimesafi nia,...uovu asilani kwa wangu mpenzi sitomtendea🎶🎧🎼🎤
Kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda Sina waswas wa kuyapoteza niliyo yaunda Natowa nafasi kwa anaeweza aje kunishinda Ameshanihisi kwake napendeza ndio kanipendaa Aliponitaka ili niwe wake sikumuhofia Sikuwa na shaka hilo ombi lake nimelipokea Sikubabaika tangu anaitake nimesafi nia Sitobadilika naipata kwake raha ya dunia Mapenzi adhimu yasiyo mithali yameniingia Tena nimatamu kuliko asali nayafurahiya Wanaonilaumu potelea mbali leo nawambia Sitojizulumu kwa wangu mpenzi nikaangamia...
🎤🎧🎶🎵🎼🎸mapenzi adhimu yasiyomithali yameniingia,tena ni matamu kuliko asali nayafurahia....wanonilaumu potelea mbali leo na wambia.sitojidhulumu kwa wangu mpenzi nikaangamia🎼🎶🎵🎧🎤
Toka awe wangu na me niwe wake kiguna njia mala mje kwangu mala mwende kwake fitina kutia ili pendo langu kwake liondoke mmedhamilia yabaki machungu kisha mtucheke na kuadithia kama nirahisi ungeliyaanza ili kuyatenda sina wasiwasi kwake napendeza ndio kanipenda natoa nafasi kwa anaeweza aje kunishinda
Siyo kwa uzur.uhuu wimbo unaimbwa adi furaha inapitiliza inakuwa majonzi nakupenda sana mama angu kiukwe umetisha WAP mama naila kati ya kiwalan.pambe tyuuuuu Mtafanya nn pendo letyu la wawili nye lawausu nn. Uachiiiiiiiiiiii
natoa nafassi kwa atayeweza aje kunishinda. sikubabaika tangu anitake sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda, tena ni mataumu kuliko asali; nayafurahia wanonilaumu potelea mbali, sitijidhulumu kwa wangu mpenzi nikaangamia, maneno matamuuuuuuuuuuuuu.
Kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda Sina wasiwasi wa kuyapoteza niliyo yaunda Natoa nafasi kwa anayeweza aje kunishinda Ameshanihisi kwake napendeza ndio kanipenda
🎤aliponitaka ili niwe wake sikumuhofia,sikua na shaka hilo ombi lake nimelipokea,sikubabaika tangu anitake nimeshatulia,sitobadilika naipata kwake raha ya dunia🎶