Tangu Nina umri wamiaka flani apo nyuma hadi sasa nammiss sana kiukweli kifo chake kimenigusa hanijui kanumba hanielewi ila me namuelewa kupitia filam ila namkubali sana kanumba ila ktk kazi ya Allah hakuna chakulalamika tumtakie kila lakheri ila ktk filam zake Alioecti nawale kina jenifar dah nilipenda sana ile filamu nandio nilimpenda sana steven kwasbb anaect kupitia mazingira halisi anajua na anatumia akili na marifa yahali yajuu kutengeza kituh cha maana zaidi .jenifar na yule mwenzako mmemsahau jina nikiwaona hukumbuka sana ile filam r.i.p Steven kanumba mama kanumba vuta subra Allah yupo nawew kufa amekiumba Allah kwetu pia asiwe mnyonge mama kanumba nihali yakawaida kwa kila binadamu kufa
Nakupenda Bure.. yaan ulikuwa unaweza.. Mungu alikutiniku kipaji kaka angu.! Upendo Kwa watu, busara katk kuongea.., duh! Very kind of u Steve., May u continue resting in eternal peace.🙏
Kanumba ulikuwa mtu wa maana sana na WA manufaa katika katika jamii ila yote Mungu ndio anajua endelea kupumzika kwa amani ila ulizikwa na bongo movie hakuna movie ambayo hupata furaha tele kama sio zako😭😭😭😭