Тёмный

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 338 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Mi na rafiki yangu huyu tumepishana zaidi ya miaka kumi na nne, wakati anazaliwa mimi nilikua nagombana na makondakta kupata nafasi kwenye chai maharagwe ya kutoka Buguruni kuelekea Posta. Ila kupishana kwetu kwa umri naamini ndo kunaufanya ushoga wetu uwe special zaidi, maana yeye akiwa ananikhadithia kinachokiki kwenye umri wake, nami nakua namuelezea challenges za unapozidi kukua na naamini hii inatufanya tuwe bora zaidi. Na ki ukweli mara nyingi yeye amekua shujaa wangu, maana kuna mengine mazito kwake yanakua mepesi tu na hunisaidia kuona mambo kwa picha tofauti. Kwa hilo namshukuru sana. Wakati mwengine wanasema umri sio kipimo cha busara, rafiki yangu huyu kupitia mengi, kwahiyo moyo wake wa ‘chuma’ unatusaidia wengi kwenye kuweza kupambana na dhurba mbali mbali.
Hapa sina haja hata ya kukuambia alipitia mitihani kiasi gani maana dunia nzima inajua, ila naweza tu kukuambia kwamba hakuna binti mwenye moyo wa utayari na ambae hana uwoga pale anapokua anasimamia lake kama Elizabeth Michael Kimemeta. Kwanza akiweka nia kwenye jambo lake lazima liwe... Atafunga, atakesha asali, ataweka akili na mawazo yake yote humo mpaka Mwenyezi Mungu amtimizie, nishashuhudia hilo sio mara moja wala mbili na naweza nikasema binafsi ameni inspire sana kwenye suala zima la funga na sala. Nani kamfundisha hayo? Kwa umri wake aliokua nao wakati matatizo mazito yalipomfika pengine usingedhani angekua binti wa dizaini hiyo. Miaka minne au mitano ambayo Alikutwa na yale matatizo ya kesi na mpaka akatumikia kifungo ni miaka ambayo ilimfaya akue sana. Ki imani na kiakili.
Kwenye kipindi hiki hakua bado tayari kuzungumzia usiku ule ulobadilisha maisha yake ila kaniahidi akiwa tayari basi atafiria kutushirikisha kwenye hayo maongezi ila inawezekana pia hiyo siku isifike, nna hisia hiyo ni kurasa ya kwenye kitabu ambayo amechagua kuiruka kwa sasa au pengine milele, na maamuzi hayo mimi na wenzangu tuliyaheshimu.
Sote tunakumbuka wakati anakua, kila kukicha yuko kwenye gazeti ila kwa sasa huyo si yule, amekua ki mwili, ki akili na hata ki sanaa pia. Mambo yake si ‘hadharani’ tena kama ilivyokua miaka ya nyuma. Sasa amekua influencer ambaye kampuni kubwa kadhaa zinamuamini yeye kuwatangazia biashara yao. Amekua Mama kwa mdogo wake Eric ambaye naye tumemuona akikua kwenye macho yetu. Mama kwa watoto wawili ambao amewakuta wakiwa wanaishi na mchumba wake nyumba moja.
Kwenye haya maongezi yetu tuligusia hilo la hao watoto, na watoto wengine, kazi, yeye kama binti ambae amekua akikutana na mawe mengi. Muonekano wake. Familia kwa upande wa Mama na Baba na mambo mengine kadhaa. Niko hapa kukutakia uangaliaji mwema wa kipindi hiki na yangu matumaini utavutiwa na jambo ambalo litakufanya ubadili maisha yako kwa uzuri zaidi. Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Развлечения

Опубликовано:

 

23 май 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 284   
@ednahabdillah9857
@ednahabdillah9857 4 года назад
Ukikutana na salama nje na kazi raha sana she is coolest dude ever,she is amazing,sitasahau siku nilikutana nae,nilimpenda zaidi,haringi wala hadharau mtu.
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Ukisikiliza watu wengi ambao wanahojiwa hapa wamepata malezi ya Mama tu bila Baba Shukran nyng ziende kwa wakina Mama wote Dunian
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Ramadhani Abdi Amina
@shanishosho911
@shanishosho911 3 года назад
Aamiin yarabbaala'lamin
@johnjoseph763
@johnjoseph763 3 года назад
Mama ni conshaz sn mbali na changamoto za family zetu
@mattyisaacchawe7227
@mattyisaacchawe7227 3 года назад
8iooooo
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 3 года назад
Sasa tuseme wababa wanazuia vipaji?
@teddyklex6618
@teddyklex6618 4 года назад
Hongera sana Salama kwa Kiswahili fasaha;umekuwa kinara kwenye matumizi mazuri ya lugha ya Kiswahili;huchanganyi lugha kama wageni wako hawawezi kuongea sentesi tatu Bila kuweka maneno ya Kiingereza
@shanishosho911
@shanishosho911 3 года назад
Naam
@tusadaniel9962
@tusadaniel9962 4 года назад
This Beautiful Girl is Bright👌🏾👌🏾👌🏾🙌🏾🙌🏾👏🏾 I admire her even more, the way she answers all of these tricky and interesting questions .... it’s excellent👌🏾👌🏾👌🏾 Salama Kipindi Chako kizuri Sana So educative So professional💪🏾👌🏾👏🏾
@kentychristine8539
@kentychristine8539 4 года назад
I love salama she is so real.. She is so Mature.. She is just the realest person in this game of hers... Jus love it..
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 года назад
Kwenye hii interview Lulu yuko huru na amejiachia sana km ahojiwi vile..Nice interview job well done👍🙌
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 4 года назад
Lulu uko young aga but intelligent and humble and beautiful a very talented young woman 👩 beautiful God bless 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 года назад
Da salama una jua kuhoji hadi raha, wewe na mboni show na waelewa sana
@simp1eone
@simp1eone 3 года назад
As a Ghanaian i always said my favorite ane BEST INTERVIEWERs were from South Africa.But no, Today i change my mind. My BEST FEMALE AFRICAN INTERVIEWER is SALAMA from Tanzania. Hands down The best. Pay attention to her interviewing skills. She is absolutely fantastic and gets the most out of you without you even realising it. She makes you feel so comfortable like you are chatting in your living room
@asiamaulidy7828
@asiamaulidy7828 4 года назад
Honestly this girl is got an excellence mind
@tulahelisha4563
@tulahelisha4563 4 года назад
Km nisicomment lkn siwez.. Nampenda Lulu since day 1 namuona. Salama siku day one mm nakuona. Note: sio laiv jmn kwa tv.. Nawapenda sana jmn and Mungu awatie nguvu
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Elizabeth nimependa Majibu Yako,Na Jinsi Ulivyo,Unavyo Ongea,Salama Hongereni sana.
@hajicayta5755
@hajicayta5755 4 года назад
Unakili nyingi Sana Lulu Unajitambua sana!!!
@Mali-wo3ys
@Mali-wo3ys 4 года назад
Salama You are one hell of an interviewer, you make your guests feel at ease 👏🏽 and open to share whichever topic you choose to talk about without offending them
@FranklinMtei
@FranklinMtei 3 года назад
These two girls are brilliant in its real sense!
@julytito3891
@julytito3891 4 года назад
Yaan mm ndo nimemjua huyu dada uahalisia wake jmn maan nilikuwa namwona kama mkorofi kule kwenye BSS maan alikuwa anatimbwili huko balaa ,,,ila uhalisia wake ndo nimeuona huku kwenye kazi zake za utangazaji ,,kweli uko vzr nanafatilia sana vipindi vyako San
@mosesbusanya3528
@mosesbusanya3528 4 года назад
Mtoto mzuri akili nzuri..hta mm ningetangaza ndoa
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 года назад
Salama tuletee Aboubakari Sadick (kwa fujo Dj), tusikilize stories za bongo flavour oldies au Dj yoyote wa zama hizo.
@Salimfulla
@Salimfulla 4 года назад
wazo zuri sana
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 года назад
@Zawadi Issa nadhan bado yupo Radio One
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 года назад
@@Salimfulla Shukrani sana
@brosataasisi4629
@brosataasisi4629 4 года назад
Yupo Radio One bado
@mwannerajabu8688
@mwannerajabu8688 4 года назад
Mtoto anaongea huyu hamezi mate 🙌ila nakupenda tu shikana Wang unajibu mwaswal classic 👏👏
@mwanrique
@mwanrique 4 года назад
OMG I just loved Shikana for how she is so real with her food game, yaani she don't play kabisa eti "mmhh yani nimechangamka" after the basket mwambapori mama came through
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Nb: kama unaona hauwezi kupata msaada kaa kimya🤚🏽..... watu wengi wanapenda kusikia wanachotaka kusikia kama unahisi ukitolea kiti ufafanuzi kwa watu /mtu ambae unajua kabisa hakuna msaada/badiliko lolote KAA KIMYA LET THEM TALK....! Ahsante lulu
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 4 года назад
Si lazima usaidiwe ila waweza ukasaidia wengine
@maryflorenceinvestment7532
@maryflorenceinvestment7532 4 года назад
Siamini ht mm kuw watu wanataka kusikia kW lengo ,kukusaidia, very fact km nawe umesikia hk chakula cha ubongo gonga like hap
@fatumasuleymanashurambinda6880
@fatumasuleymanashurambinda6880 3 года назад
Lulu elizabeth michael nii msanii pekee ka karibishwa kwenye entarvue tatu ya salama ;wema sepetu na joni joo😊😊😊😊😊
@zaitunabdala8170
@zaitunabdala8170 4 года назад
Lulu uko vizuri kwenye kujibu maswari
@MariamsLifestyle
@MariamsLifestyle 3 года назад
Lulu amebadilika sana..no more dramas she's so mature
@siamaria8959
@siamaria8959 4 года назад
6:16 to 6:57 nimejifunza kitu hapo...Shikana You Rock😍😍😍😍😍
@mimystellaniyimbabazi2392
@mimystellaniyimbabazi2392 3 года назад
Elisabeth u're real intelligent, mature ...👌
@chany9950
@chany9950 4 года назад
Lulu mbona nakupenda sana jmn
@fadyanassor6934
@fadyanassor6934 4 года назад
waiting
@ninabrenda8957
@ninabrenda8957 4 года назад
LULU YOU CAME TO PREACH
@AfiSoul103
@AfiSoul103 4 года назад
Nzuri sana interview ...hii lulu she's special girl any man can fall.. salama lulu love all..🤗
@neemamwalimu9335
@neemamwalimu9335 4 года назад
Mzuri
@laurenciahilgard7656
@laurenciahilgard7656 4 года назад
Wow!! New Salama. Amazing
@ancillabura1457
@ancillabura1457 4 года назад
Smart Lulu.
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 4 года назад
Salama you're the best
@lareineminah1353
@lareineminah1353 4 года назад
Lulu kapewa chakula cha bei Sanaa😋😋😋😋 alivyo changamkiyaa chakula ss hadiii rahaaa
@halemmmbarak16
@halemmmbarak16 4 года назад
Very intresting talk from u guys. Bravo Al Jabir
@rennyjoseph7258
@rennyjoseph7258 4 года назад
Salama....we need Cash Madame plzzz
@ireneflorence2232
@ireneflorence2232 4 года назад
I jas love her😘
@eppiemodest
@eppiemodest 4 года назад
Kweli umekuwa kwa kila nyanza maana majibu yako yananifanya nikuamini kuwa umekuwa. Very perfect your answers are.
@jamaljimmy
@jamaljimmy 4 года назад
Mashllh very nice interview...salama your good keep going
@rhodalucas7913
@rhodalucas7913 4 года назад
Always perfect gal l kumoyo u believe me dat ur going to make a wide change to fill de gaps abazo u were in jail dear Sir God be wid u
@ritasimon1329
@ritasimon1329 4 года назад
I have learnt a lot through this interview
@annaamos328
@annaamos328 4 года назад
Ayee my fav presenter of all time, cjawah juta kutazma show zko... God blec u Salma
@zakstv7368
@zakstv7368 4 года назад
Jamani nampenda salama, salama I love you 🌹
@bwaxlady688
@bwaxlady688 4 года назад
Alwayz 🥰🥰
@juliennempawenimana2049
@juliennempawenimana2049 4 года назад
Umuuliza swali nzuri kuhusu patrick wamuna asante akawa kimya sana
@khamissshaban4016
@khamissshaban4016 4 года назад
Love salama
@eliasbiya9367
@eliasbiya9367 4 года назад
we are waiting
@juliennempawenimana2049
@juliennempawenimana2049 4 года назад
Asante kumuleta lulu
@prettymaria9876
@prettymaria9876 4 года назад
Ila Salama😃
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 года назад
Wow! Nice Interview.... Lulu jamani your matured enough, 💛💚💙
@simp1eone
@simp1eone 3 года назад
salama you subtitled the Part 2 - please can you do same for part 1. I will truly appreciate it and it will reach a wider audience
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 4 года назад
salama mzuriii👌
@nancyfrancis5251
@nancyfrancis5251 4 года назад
aliyopitia eliza...yamemfanya ajifunze mengi sana..in short maisha yame mfunza
@101_Didas
@101_Didas 4 года назад
Salama ikifika December nitakuwa nshakuletea subscriber milioni , keep it up
@guyoibrahim3100
@guyoibrahim3100 4 года назад
Masha Allah Lulu ako sawa
@noleenkorir9496
@noleenkorir9496 4 года назад
I love her😍😘
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 4 года назад
Jamn Lulu ulivyochangamkia hyo msosi😋😋😋 Salama jmn unaita wasanii tuu hapo...tuite na ssi wakawaida hyo msosi twatokwa mate jmn khaah
@G.S985
@G.S985 4 года назад
Nakupenda Lulu mpaka basi.😍😍😍
@biddeux9967
@biddeux9967 4 года назад
Jipige nyungu kwnz boya wewe
@dianamsangawale9925
@dianamsangawale9925 4 года назад
Salama nakupenda huwa nakufananisha na Simon wa kwenye American got talents, upo so real nakupenda sana
@blessedtillah
@blessedtillah 4 года назад
She is Descent and Loyal
@just.elhadji__7148
@just.elhadji__7148 4 года назад
J'adore le clip....fatasiqués les deux!!!😘💙✔
@graceessore656
@graceessore656 2 года назад
exactement 👌
@maryflorenceinvestment7532
@maryflorenceinvestment7532 4 года назад
Ajionavyo MTU moyoni mwke ndvy alivyo
@oscarmalogo610
@oscarmalogo610 4 года назад
All inspiring🔥 blast blast💥
@rutheric1030
@rutheric1030 4 года назад
Cheka ya lulu tu..🙌🏾😄lively
@lainesimfyagisi7437
@lainesimfyagisi7437 4 года назад
Salama mwenyew nakubali sana
@mwajumakhalifa6426
@mwajumakhalifa6426 4 года назад
Salama nakupenda sn
@victoria5839
@victoria5839 4 года назад
Salama too much matangazo jamani 🙌🙌
@rithamsacky4655
@rithamsacky4655 4 года назад
Yaan nakupendaga salama hukosei....
@brownbryson9293
@brownbryson9293 4 года назад
Always beautiful girl likes food 😍 i love this woman
@fellygal5414
@fellygal5414 4 года назад
Nice interview
@nurumwangoka7424
@nurumwangoka7424 4 года назад
Love you Lulu
@brownbryson9293
@brownbryson9293 4 года назад
My number one fav woman she’s very beautiful fashooooooo she’s cute asew this woman
@bertherdaniel3099
@bertherdaniel3099 4 года назад
I love you salama
@lizzybethgablier4458
@lizzybethgablier4458 4 года назад
Love u wajina wangu Elizabeth
@queenlinda255
@queenlinda255 4 года назад
Mdogo sana 25
@somalytyre8644
@somalytyre8644 4 года назад
Safi sana
@samirarashid8186
@samirarashid8186 4 года назад
Nakupenda sana Salama 🥰🥰🥰😘😘
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 года назад
Sio kwa kias kikubwa watz tunaendeshwa na mitandao.ni dunia nzima sasa.mbon wametuweza wazungu.lulu uko too charming 🤣🤣
@alhassanbinarafa6520
@alhassanbinarafa6520 4 года назад
Habibyy skuiz husemi stone town kama ile ya zanzibar. Yaani zanzibar huitaji kwenye kipindi.
@tabithasangasanga269
@tabithasangasanga269 4 года назад
Anaakili sana binti
@emmahKK2024
@emmahKK2024 4 года назад
Hii interview nzuri saana
@dianakalagho5383
@dianakalagho5383 3 года назад
Ukopow kabisa Mama salama interview yako ikopow sana 💖 👌👌
@kalistimarley1924
@kalistimarley1924 4 года назад
Kanumba alimkuza Huyu mtoto kipindi hicho anampenda Justin Bieber 😂😂
@jacklinewilson2219
@jacklinewilson2219 4 года назад
I really like all of u...
@eslyshaely
@eslyshaely 3 года назад
lulu... girl u are smart #respect
@josephnchungila4017
@josephnchungila4017 4 года назад
Lulu ameongea kitu kikubwa sana aise kakua mpka kifkra , ....
@fantastictvtz
@fantastictvtz 4 года назад
Salama ur gud presenter I love u
@happyluena3214
@happyluena3214 4 года назад
Nimesubiria sana hii interview
@jescangwaya9885
@jescangwaya9885 4 года назад
Happy Luena me pia kwakweli.
@godassclaude1513
@godassclaude1513 4 года назад
This woman is so smart
@erickmweta8215
@erickmweta8215 4 года назад
Dynamite interview
@officiallee271
@officiallee271 4 года назад
Lulu❤️❤️
@irenepreciousy7365
@irenepreciousy7365 4 года назад
bigup girl 💪ur too smart
@ramlaamiri9718
@ramlaamiri9718 4 года назад
Yah stone town
@wairimu9113
@wairimu9113 4 года назад
Two smart women
@robiemniko9507
@robiemniko9507 4 года назад
I adore you
@mariarogath8743
@mariarogath8743 4 года назад
lulu yupo very talented 😍😍😍
@evadindi7243
@evadindi7243 4 года назад
Kweli lulu umekua hongera
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 4 года назад
Nice one😘😘😘
@scollajohn2058
@scollajohn2058 2 года назад
Nawakubali kinomanoma♥️♥️ wote yan salama na Lulu
Далее
Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 2
15:59
Просмотров 165 тыс.
Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray
19:43
Впервые дал другу машину…
00:57
GIGY AFICHUA ALIYOPITIA WHOZU KWA TUNDA MPAKA KUACHANA
10:57
ONLINE | SO1EP03 | Sisi Ni MALAIKA (Online Web Series)
6:27
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
Salama Na Shilole Ep 5 | MAMA Part 1
30:50
Просмотров 233 тыс.
🤣МАЛО КУПИТЬ ЛОШАДЬ
0:18
Просмотров 2,8 млн