Eeee MUNGU naamini jibu la NDUGU YANGU juu ya TIBA yake umeshalipisha KIBALI kinatoka KWAKO. WATU WATESI wangu WOTE wanyamazishwe na waamini njia za MUNGU hazichunguziki kamwe. Haleluya.
Tangu kukupata nimeona majibu ya maswali yangu mengi sana Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu alie juu sana ,,,,,,,wa Afríka Mungu ama tujia pia ,,,, ame tukumbuka kabisa......🇨🇩🇨🇩
Pastor oooh UMENENA kweli kabisa, vishetani vibaya vibaya vibaya, kwani sina NGUVU ya kuwapiga, NAOMBA MUNGU MWENYEWE awapige kiasi kwamba hawatajua nani anawapiga lkn wapigwe kwa kishondo mshindo mkubwa na bwana yesu na jamii ishuhudie na asiwepo mwingine wa kujaribu kufanya kama hawa.
Nilikua katika uraibu wa zinaa lakini nashukuru mungu kwa kufunga na kuomba niliacha kabisa hata sikumbuki nangoja mme mwema anaye mwogopa mungu na kumheshimu.
Mchungaji mungu asifiwe akubariki leo nimebariwa mutukumbuke kwa malombi tutembee katika njia ya bwana Mimi ni ndugu yenu katika Imani jina languni kitungwa dunia Douglas mchungaji Na wote walio pamoja nawe tunaitaji usaada wa maombi yenu kwani mke wangu atapita kwenye opération
Mchungaji namshukuru mungu jambo nisomo la muda ila namshukuru mungu kwakunifungua na kuachwa huru kuwa mpya kila sikuu asnte yesu umenitoa kwenye giza nene asante bwana wa majeshiiii
Nimeamini sauti ya mungu imenena ndani yangu ila nilipuuzia lakini nimepat majibu nikajua kweli nimungu alinisemeshaaa na sikuusikia nimetubu naamini mungu amenisamehee