Mkwere ni mchekeshaji na muigizaji aliedumu kwa karibu miongo mitatu kwenye sanaa ,hakika ni moja ya alama ya wachekeshaji nchini,tumemualika kwenye meza ya The Classic na hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano haya
5 июл 2024