Тёмный

THE CLASSIC LORD EYES:NILIKUA MTEJA SIKUA MWIZI/NILISINGIZIWA NIMEMUIBIAOMMY DIMPOZ/NAKO VS KIKOSI 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Moja ya wachanaji bora kabisa wa muda wote Bongo Lord Eyes ni moja ya watu muhimu sana katika Hipho ya Bongo,hadithi ya maisha yake ina mafundisho makubwa,struggles alizopitia sambamba na changamoto za kimaisha kama matumiz ya madawa ya kulevya yanamfanya kua moja vioo kwa vijana wanaochipukia,allingiaje na akatoka kwenye madawa,hii ni sehemu ya hadithi ya maisha yake.

Опубликовано:

 

27 дек 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@truppdizz7330
@truppdizz7330 2 месяца назад
hii ni qali sana
@user-lj8nk9xd6d
@user-lj8nk9xd6d 2 месяца назад
His voice is business 💯
@StevenMtunee
@StevenMtunee 2 месяца назад
Safi sana brother lord eyez
@innocentmushi3036
@innocentmushi3036 2 месяца назад
Huyu jamaa yupo na Energy, jamaa ni entertainer anajua. 🍾🇹🇿💯
@sportskijiwe781
@sportskijiwe781 3 месяца назад
Woooooooouffh! Eazy ni true definition ya hiphop
@sirbaraka
@sirbaraka 6 месяцев назад
Lord eyes uko fresh sana broda
@SalminHaruna
@SalminHaruna 4 месяца назад
A toun good man
@benjaminlukumay1024
@benjaminlukumay1024 6 месяцев назад
Nakuelewa sana blood
@BenePristine
@BenePristine 6 месяцев назад
brilliantly saanaa
@josephgatunzi1670
@josephgatunzi1670 4 месяца назад
Good job
@user-gb8vg8vc7s
@user-gb8vg8vc7s 6 месяцев назад
Lord eyes Huwa nakuelewa sana uandshi na sauti kali❤
@richzebest2029
@richzebest2029 5 месяцев назад
Kutoka maktaba, nakufunika ya mwanzo ilikua lod na joh makini..baada ya kuzinguana lod akarudia nakufunika utasikia humo anabweka nakufunika original.then remix na mapacha
@Bumutz-po2df
@Bumutz-po2df 6 месяцев назад
Whofuuu eyes mweusi 🔥🔥🔥🔥
@SalminHaruna
@SalminHaruna 4 месяца назад
Lordy ❤❤
@kherisalum6304
@kherisalum6304 3 месяца назад
😂😂😂😂 Hii beef niliipenda sana ilikuwa moto sanaaaa
@victordancan5271
@victordancan5271 6 месяцев назад
Nice interview 🔥
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 6 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥
@fadhilially7357
@fadhilially7357 6 месяцев назад
NAKO 2 NAKO NAWAKUBALI NYIE MASELA KWELI
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 месяцев назад
👍👊✌️。
@khatibumtaki7425
@khatibumtaki7425 6 месяцев назад
eyes muwazi
@Curioustraveller254
@Curioustraveller254 3 месяца назад
Joh Makini wasn't part of Nako2Nako?
@KuviFacts
@KuviFacts 3 месяца назад
Yes Joh hakua part ya Nako 2 nako,Joh ametokea River Camp Soldiers ,lakini ni sawa na kusema alikua affiliate (mshirika) wa Nako
@Curioustraveller254
@Curioustraveller254 3 месяца назад
@@KuviFacts Thanks for the clarification...Your biggest fan from +254
@KuviFacts
@KuviFacts 2 месяца назад
@@Curioustraveller254 pamoja sana,Asante for support
@user-fj7wu8ph1q
@user-fj7wu8ph1q 6 месяцев назад
lody ayz unasauti yautangazaji kabisa
Далее
This or That 🛍️
00:52
Просмотров 3,4 млн
Salama Na Lord Eyes Ep 20 | HAWATUWEZI Part 1
32:10
Просмотров 95 тыс.
Mkasi - SO3E12 with TID
29:03
Просмотров 169 тыс.
THE CLASSIC JOH MAKINI:
1:13:33
Просмотров 2,1 тыс.